BIOLOGY TEACHER (09)

BIOLOGY TEACHER 9

Wakati narudi walipo wenzangu Kuna mtu alirusha Mpira ukaja kunipiga begani.
” Ethan unajua umeniumiza. Ethan alinifuata na kuniambua
“Pole Alice nisamehe Sana , haikuwa makusudi. Alinipa pole huku akinishika begani.
” Bega langu kinauma ujue.
” Pole, nisamehe mumy. Ethan alisogea karibu na kunikumbatia.
” Nimekusamehe.
” Asante chakudeka . Ethan aliniachia akaokota Mpira wake na kwenda kuendelea kucheza .

Badae wanafunzi wote Walienda assembly kusikiliza hutuba ya mkuu wa shule Mimi nilikuwa nimekaa nyuma ya madarasa nikiwa nasikiliza muziki huku nikiwa nimevaa headphone masikioni. Mziki ulikolea mpaka nikawa nafumba macho na kumtingisha kichwa changu. Mara nilishituka baada ya kutolewa head phones masikioni, nilifumba macho nikamuona mwl shafii akiwa kachuchumaa pembeni na alikuwa ask niangalia kwa hasira. Nilihusi atakuwa kakasirika kwa sababu sikuwa assembly na mkuu wa shule alikuwa akiongea na wanafunzi wote pamoja na walimu nikawa naandaa jinsi ya kujitetea. Lakini kabla sijafanya hivyo alisema
” Kwanini umeruhusu yule kijana akukumbatie?
” Unazungumzia kijana gani? Niliuliza nikiwa na hofu na nilikuwa nimeshaelewa ni kijana gani alikuwa anazungumziwa pale.
” Kwanini unaruhusu mtu wa jindia nyingine akukumbatie wakati unajua kuwa sipendi hicho kitu? Nilishindwa kuongea kitu nikawa namuangalia tu, Mwl Shafii alinisogelea karibu na kumsogeza uso wake karibu na uso wangu .
” Kwani Kuna ubaya gani rafiki alinikumbatia? Isitoshe sio Mimi niliemkumbatia yeye ndio alinikumbatia.
” Nasema hivi sitaki, sitaki kuona unashikwashikwa mwili wako na mwanaume mwingine. Hapo Shafii aliongea kwa ukali zaidi mpaka nikaogopa
” Sikiliza Alice usiendelee kunichanganya akili yangu kwa Mambo unayofanya , usifanye kila mtu akajua kuwa Nina wivu juu yako. Nilishangaaa nikawa nimemtolea macho maana sikuamini nilichokisikia kutoka kwa Shafii. Tuliangaliana hukuvnikiwa najiuliza kana huyu mtu atakuwa ananipenda kweli au ananitanani ? Nilitamani kuuliza ili nipate jibu sahihi kutoka kwake lakini kabla sijafanya hivyo tulisikia mtu anakuja tulipo, Mwl Shafii alisogea nyuma . Alifika madame lizy
” Alice mbona upo huku wakati wenzako wote wapo assembly? Aliuliza madam lizy kabla sijajibu Shafii alijibu.
” Anasema hajisikii vizuri kichwa kinamuuma, ndio nilikuwa namshauri atumie dawa za kutuliza maumivu.
” Oooh pole, Kama unajisikia vibaya Sana unaweza kwenda nyumbani. Nyanyuka twende
Madame lizy alinishika mkono tukaongozana mpaka ofisini , wakati huo Mwl Shafii alikuwa akitufuata nyuma. Madam lizy alinipatia chupa ya maji ya kunywa.
” Kunywa haya maji yanaweza yakakusaidia.

Nilipokuwa chupa ya maji na kuanza kunywa taratibu. Madam lizy alitoka akatuacha na Mwl Shafii, Shafii alikuwa akiniangalia mpaka nikawa naona aibu nilinyanyuka nikawa naondoka
” Alice unaenda wapi? Aliniuliza lakini sikumjibu nikatoka na kwenda kuungana na wenzangu assembly.

Baada ya kufunga shule nilikuwa tu nyumbani , ndani ya wiki moja nikajiona Kama mgonjwa nikaanza kumtembelea marafiki na Kurudi nyumbani jioni. Siku moja nilirudi nikamkuta Kaka Bray akiwa amekaa na Mwl Shafii nikawasalimia.
” Wewe umetoka wapi? Aliuliza Kaka Bray baada ya kiitikia salamu.
” Nimetoka kwakina miriam.
” Nilikwambiaje kuhusu kuzurula Kama kuku wa kienyeji?
” Lakini inachosha kukaa tu nyumbani.
” Shafii Kama tulivyoongea naomba uwe unakuja kumfundisha dogo. Alisema Bray na Shafii akamjibu
” Kuhusu Hilo halina shida.
” Lakini nimepata tution nataka kuongea na baba.
” Haina haja , Shafii atakufundisha ataanza kesho.

Kesho yake majira ya saa moja jioni shafii alifika tukaanza kufundisha a mpaka ilipofika saa tatu akaondoka ,ilikuwa hivyo kwa muda wa siku tano. Siku moja majira ya saa nne asubuhi nilikuwa chumbani kwangu nimejilaza na dada wa kazi alikuwa alienda sokoni , mama , baba na Kaka Bray walisafiri Walienda shamba. Nikiwa Sina hili Wala lile nilihisi napapaswa miguuni nilishituka nikaamua haraka .
” Shafii unafanya Nini hapa? Shafii alisogea mpaka pale nilipokuwa nimekaa akauliza
” Ulikuwa unafanya nini?
” Kwanini upo hapa wakati unajua rafiki yako hayupo?
” Najua, nafahamu hapa nyumbani hakuna mtu yoyote zaidi yako , na nimekuja hapa kwaajili yako kipenzi. Nipo hapa kukwambia kilichopo moyoni kwangu. Nakupenda Sana Alice nimegundua siwezi kuuficha huu ukweli ambao nimejaribu kuuficha na kupoteza hisia zangu juu yako lakini imeshindikana ..
” Siamini kabisa hayo unavyosemaunajua niliumia kiasi gani ulivyoniambia nisahau kwa kile kilichotokea siku Ile? Unajua nilijisikiaje na nilichukua muda gani kuuguza maumivu yaliyokuwa moyoni kwangu. Shafii nilikupenda Sana mpaka nikaamua kukupa usichana wangu lakini wewe hukujali ulinichukulia Kama msichana muhuni niliejirahisisha kwako.
” Usisene hivyo mpenzi, kwani hata Mimi nilifanya vile kwasababu ya Kaka yako lakini ukweli Ni kwamba nakupenda na nakuhitaji Zaidi.
” Hapana unasema hivyo kwaajili ya kunitumia siwezi kukuamini. Shafii alipanda kitandani akanishika kwa nguvu na kunibusu, nilijaribu kumsukuma lakini nilishindwa alikuwa na nguvu Sana nikajikuta najilaza kitandani na kumuacha amalize alichokianzisha.
Baada ya kumaliza kunibusu aliniachia na kusema
” Alice wewe ndio mwanamke wa pekee ulienivutia , naomba unielewe , safari hii nitahakikisha sikuumizi.
” Na itakuwaje kuhusu Kaka Bray, humuogopi Tena?
” Kwa jinsi ninavyompenda nitakuwa tayari kwa chochote kwani hata Mimi naumizwa na kile kilichotokea, nakupenda Sana Alice nikubalie ombi langu. Shafii aliniomba sana na kunifanya nibaki njia panda sikujua ni nimkubalie au nikatae.

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!