BIOLOGY TEACHER 💖 10
Shafii alikuwa akisubiri niseme chochote
” Alice nasubiri kauli yako tafadhali niambie unanipenda.
” Siwezi naogopa kufanyiwa mzaha, nilifurahishwa na wewe na kujaribu kukupenda lakini uliufanya moyo wangu uyumbe.
” Naapa sitafanya mzaha, nakuahidi kukupenda siku zote sitakuacha.
” Shafii siwezi kutoa jibu sahihi bado siamini maneno unayonibia japokuwa hata Mimi nakupenda. Shafii alinishika mashavuni na kuniangalia Kisha akasema
” Ni sawa usinipe jibu fikiria kwanza. Alinibusu kwenye paji langu la uso alafu akaniaga.
” Kwaheri .
Shafii alipoondoka aliniachia na mawazo mengi sana, kwanza kwa kile kitendo Cha kunisogelea, kuushika mwili wangu na kunipiga busu kilikuwa kimevuruga ubongo wangu. Nilishindwa kutoa maamuzi Yani nilikuwa sitaki na taka . Baada ya kufikiria kwa muda niliamua kumpigia simu Miriam na kumueleza kile kilichotokea.
” Sasa unataka nikushauri Nini shoga yangu mwanaume ndio huyo kajirudi na amekuekeza hisia zake, pia Nina uhakika na wewe unampenda Sana mwk Shafii.
” Ni kweli lakini naogopa kuumizwa kwa Mara nyingine.
” Sikiliza wewe , usiishi kwa kukariri Mambo huwa yababadilika hata hivyo nilivyomuona Mwl Shafii niligundua kuwa bado anakupenda. Kwanza fikiria pale shuleni wasichana wangapi wanajipendekeza kwake na kumuandikia barua za mapenzi lakini haha mpango nao jicho lake limekuina wewe na moyo wake umekuchagua wewe. Kwakuwa amekiri kukupenda mpe nafasi ya pili.
Maneno ya Miriam yalinipa nguvu ya kukubali ombi la Shafii.
Kila wakati shafii alikuwa akinitunia ujumbe kunijulia hali, mchana alituma ujumbe uliosema
” Umeshindaje mpenzi, vipi umeshakula? Niliposoma nilisijisikia raha sana. Japokuwa nilimjibu kwa mkato lakini yeye alikuwa alinimbembeleza mno na kumuandikia maneno matamu. Ilipofika usiku ndio ilikuwa zaidi akiniita majina mazuri mazuri ya kimahaba , maneno yake yaoinilewesha nikajikuta namuandikia msg ya kumueleza Ni jinsi gani na mpenda na nipo tayari kuwa nae kwa Hali yoyote Ile. Shafii alifurahi Sana akamuomba kesho niende nyumbani kwake kwaajili ya maongezi. Baada ya kuchat kwa muda mrefu tulitakiana usiku mwema .
Kulipokucha niliamka mapema nikakaa kitandani na kupitia msg nilizotumiwa na Shafii pia nilikuta msg iliyosema
” Umeamka salama mpenzi?
” Nimeamua salama hofu na mashaka Ni kwako mubaba wangu. Nilimjibu Kisha nikaenda bafuni kusafisha mwili wangu nilipomaliza nilienda kumsaidia dada kazi za pale nyumbani. Ilipofika majira ya saa tano Shafii alinipigia simu na kunitaka niende nybani kwake. Niliingiwa bafuni nikaoga na kuvaa nguo yangu nzuri Kisha nikaondoka kuelekea kwa Mwl Shafii, nilipofika nilimkuta kasimama mlangoni alinipokea kwa tabasamu lenye bashasha, nilipofika karibu aliniachia mikono yake nilidoges karibu akanikumbatia na kunibusu kwenye mashavu yangu
” Karibu Sana mumy.
” Asante
” Nilikuwa Nina shauku Sana ya kukuona. Nilitabasamu tukaingia ndani tukakaa kwenye Kochi moja akawa ananiangalia huku akitabasamu
Niliona aibu nikawa naangalia chini huku naminya Minya vidole vyangu vya mikono, Shafii alishuka viganja vya mikono yangu alivinyanyua na kuvisogeza mdomoni kwakevna kuhusu.
” Alice kuwa na amani ujapokuwa na mimi,fanya chochote unachotaka kufanya hapa Ni kwako na Mimi Ni wako. Niliitikia kwakichwa huku nikiwa natabasamu.
” Nikuandalie kinywaji gani mpenzi wangu.
” Utakachokunywa wewe.
” Ok utakula Nini?
” Chochote.
” Lakini hakuba chakula kinachoitwa chochote.
” Utakachokipenda wewe.
” Kinywaji nitakachopenda Mimi na chakula pia mpenzi? Basi chakula sema wewe mumy wangu.
Safari hii nilijushangaa Sana nilishindwa kujiamini kabisa , sikuweza kuongea huku nikimuangalia Shafii usoni Yani ilikuwa Kama ndio Mara ya kwanza namuona.
” Niangalia Basi mumy… Alisema Shafii huku akinishika kidevu na kunigeuzia kwake.
” Bwana Mimi siwezi naona aibu. Shafii alicheka
” Acha kunifurahisha. Ok si unajua mpenzi wako mvivu kupika Sasa ngoja tuagizie chakula. Vipi utakula pizza?
” Ndio nitakula. Baada ya Mimi kukubali Shafii akipiga simu kwa Mr pizza akaagizia . Baada ya hapo alienda kuchukua juice na grass mbili akaweka mezani na kumimina kwenye grass Kisha akanyanyua grass moja akasogea karibu yangu na kutaka kuninywesha, nilitaka kuishika Ile grass ili ninywe mwenyewe Ila Shafii hakuniruhusu
” Mmmh please baby fumbua mdomo nikunyweshe. Nilifanya Kama alivyotaka , nilifungua mdomo akaninywesha Kisha nikaipokea Ile grass na kuishika mkononi kwangu. Shafii alichukua grass yake akaja kukaa pembeni yangu. Siku hiyo Shafii alikuwa ananijali Sana alienifanyia Mambo ambayo sikuwa nayajua kabisa, kifupi Mimi nilikuwa mgeni wa mapenzi kabisa ukizingatia yeye ndio alikuwa mwanaume wangu wa kwanza na ndio aliniambia ilikuwa bahati mbaya na Mambo mengine kuhusu mapenzi nilikuwa naona kwenye tamthilia na Marafiki zangu wakiwa wanaongelea hivyo sikuwahi kufanya majaribio Kama naweza.
Siku hiyo tulishinda pamoja tukiwa tunaongea , kukiss na kukumbatiana Kuna wakati shafii alinipakata na Kuna wakati akinivuta na kunilaza kifuani kwake huku akicheza nywele zangu. Ilipofika jioni ilinibidi niondoke japo kuwa sikutamani kuachana na shafii nilitamani muda wote niwe pembeni yake lakini ndio haikuwezekana nilitakiwa Kurudi nyumbani. Tuliachana kwa mabusu Kisha Shafii akanitia mpaka nje nilipopanda usafiri alirudi ndani kwake. Nilipofika tu nyumbani nilimpigia Shafii na kumwambia kuwa nimeshafika nyumbani.
” Nimefika salama mpenzi.
” Nashukuru kwa kunijulisha Ila unaniacha nikiwa mpweke
” Hata Mimi nilitamani kuwa ubavuni kwako mpenzi
” Lakini Leo Kama ulikuwa unaniogopa
” Ni kweli nilikuwa sijiamini kabisa.
” Unatakiwa kujiamini ukiwa na mimi mpenzi, Mimi Ni wako usiogope kufanya chochote unapokuwa na Mimi .
” Sawa mpenzi nashukuru kwakunipa Uhuru.
” Nakupenda Sana Alice
” Nakupenda pia. Baada ya maongezi nilikata simu nikaiweka pembeni Kisha nikavuta mto na kunikumbatia kwa furaha, nilijusikia Raha Sana kuwa mwanamke wa Shafii. Usiku mzima nilikuwa nikimuwaza na kutabasamu ovyo Kama chizi.
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU