CHAGUO LA MOYO (09)

SEHEMU YA 09

Tuliingia kwenye gari na safari ikaanza
“Sonia”Rahul aliniita baada ya kimya kirefu kupita
“Abee”
“Una boyfriend”
“Boyfriend ndio nin”
“Naamanisha una mpenzi?”
“Hapana”
“Kwanin “
“Sijui”
“Hahaha haya ngoja nisikuchoshe na maswali”

Baada ya mda kadhaa tulifika na tukaanza kuchagua nguo

Nilichagua nguo chache nikihofia kukatwa hela yote

“Nimemaliza”nilimwambia Rahul
“Umemaliza kufanya nn”
“Kuchagua nguo”
Nilivyosema aliinuka na kushika nguo nilizochagua nakukagua moja baada ya nyingine
“We unatani kweli hizi nguo ndio umechagua”.
“Zinanitosha”
Anilisogea na kunishika pegani na kusema………”Sonia naomba ukiwa na Mimi uwe huru kwa chochote sawae…. Na ukihitaji chochote usisite kuniambia napenda kukuona ukiwa na furaha so nitafanya chochote kuhakikisha kuwa unafura “………nilimuangalia tu bila kujibu chochote

“Kaa hapo “aliniambia na kuchagua mwenyewe……..alijachugua nguo nyingi pamoja na viatu
“Nimemaliza tunaweza kwenda”

“Unataka kula nn”
“Sijui Johari atakuwa amepika nn”
“Hatuli nyumban kuna mahari nataka tupite”
“Ooo chochote”
“Chochote ndio chakula gani hicho”
“Usijisumbue mm nitakula tukirudi nyumban”
“Sonia nimekwambia kuwa uwe huru kwangu so please usiongee hivyo”
“Lakin kama tukila huku chakula cha nyumban si kita haribikia”
“Anaweka kwenye fridge”
“Sawa”

Tulienda sehemu ya chakula ……. Nilijisikia aibu kwa jinsi nilivyokuwa nimevaa ila Rahul alinionesha tabasamu mda wote …….baada ya dakk kadhaa chakula kililetwa ….. mimi kuona tu mate yakanijaa 😋 ilikuwa 🍕
“Karibu”alinikaribisha Rahul
Nilianza kula
Bila hata kunawa Rahul aliniangalia kwa tabasamu nono na kusema kama ukipenda nitakuleta kila siku
…….mimi mda huo nasikilizia utamu wa 🍕 nikaona nusimjibu ……..basi tulikula na baada ya kula tulienda sehemu moja hivi Rahul akashuka mm nikabaki kwenye gari badaa ya kama dakika 20 akarudi na mfuko
“Samahani nimekuweka mda mrefu”
“Haina shida”
“Okay kuna kitu chochote unahitaji au sehemu yoyote unayotaka kwenda?
“Hapanaa”
“Okay so tunaenda nyumban”

Aliwasha gari safari ya kurudi nyumban ikaanza mda wote alikuwa akiongea jinsi gani amefurahi kuwa na mm kwa mda wote huo…….Mimi nilikuwa nikekaa kimya tu maana sikuwa hata na lakujibu

Tulifika nyumban milinzi akapeba vitu kupeleka ndani

“Aaaa peleka chumbani kwa Sonia”
“Mlinzi alipeleka na mm nikaenda moja kwa moja jikon ile nafika hee nilipokelewa na hiyo sura 😡 umerudi ee umekizungusha huko wee saiz ndio unarudi ……… Sasa mda si mrefu Berat anakuja akikuta hujapasi nguo zake safari ya kwenu inakuhusu……..uwiiii alivyoongea hivyo nikakumbuka kuwa nilitakiwa kupasi nguo nilizofua haraka nikaenda kuanua na kuingia ndani ili nipasi
“Hey vp mbona unaharaka hivyo mwishoni utaumia” alikuwa Rahul
“Aaa nimekumbuka sijapasi nguo za kaka yako”
“Oo ondoa shaka,na ufanye ukiwa umetulia usije ukaungua “. Yaani huu mda naongea na huyu ningekuwa nimeshamaliza nguo moja lakin niko bz nafanya ujinga”niliwaza na kuondoka wakati napasi Rahul alikuja na
“Acha nipasi mimi usije ukajiunguza kwa haraka zako Kama unakazi nyingine kafanye”
“Hapana asante acha niifanye mwenyewe hili ni jukumu langu”
“Hata wewe ni jukumu langu so niache nifanye”
“Haya kama umeamua”

Nilikaa pembeni huku yeye akipasi na mda huo alikuwa akinipigisha story kama zote

Kwa mda niliofika humu ndani nimemuona Rahul mtu watofauti Sana na wengine
Au wewe unaonaje

Baada ya kupasi nilizipanga nguo kabatini na kutoka

“Naonda kuoga mda wa dinner unakalibia,na I ngekuwa vizuri na wewe ukaenda kuoga Ila ukipenda”
“Sawa asante Sana”
“Karibu”alijibu na kuondoka

Na Mimi nilienda chumbani kwangu na kumkuta Johari akiwa amekaa kitandani huku kamwaga vitu vyote kitandani
“Nilikuonya hukusikia Sasa utanikoma”.aliongea na kuondoka

Hee jamani kwani mm nimefanya nn

Nilikusanya vitu nakuweka kabatini Kisha nikaenda kuoga……..mda wa chukula ulifika na wote walikuwa wamesharudi hivyo wote tulikutana mezani……..
“Sonia umepata vitu vyote ulivyohitaji”aliuliza mama
“Ndio”
“Okay vizur”
“Asantee mama ubarikiwe”
“Hahaha sio mm nilietoa hela ni Rahul kwaiyo abarikiwe yeye”
“Nilimgeukia Rahul na kutabasamu bila kuongea kitu….nayeye nae alitabasamu na kunikonyeza Sasa kile kitendo Berat aka Mr kauzu akakiona aisee alituangalia Hilo jicho …….kila mtu akaangalia kwenye sahani yake fasta

T
Kama kawaida mr kauzu ndio anakuwaga wakwanza kumaliza kula aliinuka na

“Sonia ukimaliza kula nakuhitaji chumbani kwangu”
“😳😳Nimesafanya nini

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!