
SEHEMU YA 13
Mama alituangalia kisha akapita bila kusema kitu
“Habar yangu imeishia hapa sijui nimewaza nn kufanya huu ujinga wakati hata nikifukuzwa sina pakwenda 😔(niliwaza”)
“Tulia hakuna kitacho tokea”
“Rahul unaongea tu uliona vile ametuangalia”
“Sonia ondoa hofu mama yangu hana shida”.
“Umeshasema mama yako Ila mm ni boss wangu hivyo hata nielewa hata kidogo”
“Kwani umefanya nn chaajabu”
“Weuhaujui “
“yeah sijui maana Kama nikukumbatia ni kitu Cha kawaida Sana”
“Mnaona unataka kunitia moyo tu ila hamna kitu ngoja nikafungashe mizigo yangu kabla sijatimuliwa”.
“Sonia nisikilize mimi hamna kitu chochote kila kitu kiko sawa “
………. nilitaka kusema kitu Ila Berat nae kapita shwaaa Kama kawaida yake hata salamu kwake ni shida niliinuka na kuingia chumbani kwangu ….. nilishtuka baada ya kukuta mama amekaa kitandani kwangu”ma ma mama”niliitakwa kuhofu Sana
“Abee”
” Sijua Kama ulikuja huku ”
“Kaa hapa”aliniambia nikae mm hapo nawaza kwenda kuwa chokolaa maana nitaenda wapi
“Nini kinaendelea Kati yako na Rahul”aliuliza mara tu nilipokaa
“Ha ha hamna kitu mama”
“Sitaki uongo wala maneno mengi nijibu nikichokuuliza “
“Kweli mama hamna kitu Ila alikuwa ameniletea zawadi hivyo nikawa na mshukuru”.
“Kwakumkumbatia?”
Niliangalia chini na kusema
“Nisamehe mama Ila nakuahidi sitorudia”
“Unampenda Rahul”
Aliponiuliza niliinua uso na kumuangalia
“Mhu”
“Mhu ndio nn nimejuuliza unampenda Rahul”
“Hapana “
“Unauhakika na unachokisema “
“Ndio mama “
“Sawa kuwa makini na Hawa vijana usije ukaharibu maisha yako na usiweke ukaribu na mtu ambae humpendi ni hatari sawa “
“Sawa mama”
“Haya “akainuka na kuondoka
Uuuuuuuu”nilishusha pumzi nikamshukuru Mungu na kuapa kuwa nitakuwa makini
Mara nikasikia makofi nikageuka kumbe ni Johari alikuwa akinipigia makofi
“Hongera binti kilaza naona unacheza mchezo vizur”
Sikumjibu nikatoka chumbani kabla sijavuka mlangoni alinivuta na kunisukumia ukutani akaniweka kofi zito weeeee nikihisi mashetani ya mepanda
“Unajiona mkubwa eee yaani naongea alafu unataka kunipita nilikwambia nn na unazidi kufanya nn”aliongea nakutaka kuniweka kofi lingine nimdaka mkono na kumuweka kofi la fasta akawa anataka kunirudishia nikamuwahi na kumuweka kwenye mabano aisee nilimpa mkong’oto wa kwenda 😁 alizidiwa akaanza kupiga kelele “mama nakufa nisaidie na kufa uwiiii ananiuwa”…..mda huo nimechafukwa hatarious nikaendelea kumpa za uso kwambali nikasikia hatua za miguu haraka nikajiongeza
Nikajitupa chini na kujifanya nimezimia basi alivyoona hivyo akaninuka na kunivamia juu Ile anataka kunipiga tu kina mama hao hapo “weee Johari Nini unafanya “
Aliongea mama
Rahul alimtoa kwa nguvu na kumuweka kofi akaangukia kule haraka mama akaja akawa ananiita
“Sonia Sonia amka “hapo nimetulia tu Rahul hakutaka kuchelewa alinibeba juu juu na kunipeleka kitandani “mpigie doctor aje”mama alimwambia Nicole
Alipiga akamtarifu Kisha akata sm
“We mpuuzi fungasha kila kilicho chako uondoke hapa sasaiv”aliongea Rahul akimwambia Johari
“Naomba unisamehe Ila yeye ndio amenipiga na hajazimia Ila anajifanyisha”
“Johar ondoka kabla sijakuchafua sasaiv”
“Hivi badala muwaze namna ya kumsaidia mnapiga kelele tu”aliongea Nicole
Mara nikasikia harufu ya marashi ya Berat moyo ukafanya paaaa.”huyu akijua nimejifanyisha sasaiv naondoka humu nani eee Mungu nisaidie aondoke”niliongea kimoyo moyo”
“Tokeni humu ndani”aliongea Berat na wote wakaondoka akabaki yeye na mm nikasikia mlango unafungwa ……..uwiii huyu anataka kufanya nn mbona anafunga mlango……. alinisogelea akakaa kitandani Kisha akanishika lips taraatibu na kunifinya aisee ulishapewa kifinyo Cha kwenye lips ………. Alafu akasogea kwenye sikio na kusema “sipendi ukirofi ,na uongo sitarudia hii sentence tena”…….Sasa ile sauti ilipenya Hadi kwenye mishipa yote ya moyo moja kwa moja hadi kwenye uvungu wa moyo
Mwili ukasisimka hatari siunajua kale ka feeling unakokapata pale mtu flani akija kukuongelea sikioni kwa sauti iliyojaa hisia plus joto la mdomo hewa inatoka yamoto 😁 baasi unapata ka feeling flani hivi katamu 🥰 nikasahau kama nilikuwa nimezimia sinikafungua macho Sasa ile nafungua tu macho yetu yakakutana bwana huyu Kaka atakuwa sio mtu wa kawaida maana nakuwaje mzuri hivi “nimekupa nafasi ya mwisho ukirudia sitokusamehe “
Aliongea lakin sikuzingatia Mimi nikawa biz tu kuangalia uumbaji wa Mungu
Aliinuka na kuondoka Rahul akaja na kunikuta nimeamka
“Heee mbona umeamka mapema Berat kakufanya nn”
“Ulitaka aamke kesho au asiamke kabisa”alijibu Nicole huku akiingia chumbani
“Unajisikiaje sasaiv”Nicole aliuliza
“Niko poa”.
“Sawa vizur”. doctor akawa amefika akaniangalia na kusema niko sawa itakuwa mshtuko tu
……hivyo akaondoka zake
Sasa nikawaza Kama Johari akifukuzwa nitaletewa mwingine nauyo Kama akiwa pasua kichwa zaid ya johari itakuwaje hapana siwezi kuruhu afukuzwe lazima nifanye kitu……… nikaongea na Rahul ili amrudishe kazin japo aligoma ila nilimbembeliza Hadi akakubari
“Sasa unichokoze siku nyingine nikutoe jicho na Kama ni huyo Rahul kwann usimwambie mwenyewe kuliko kuharibu siku za watu
Naunishukuru kwakua umebaki hapa kwasababu yangu kwaiyo fanya fyooo uone”nilimwambia Johari ambae mda hoo akilikuwa mpole bala
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU