
SEHEMU YA 19
Vile navyowapenda nimeamua kuwaletea Cha kulalia 😘 karibuni muenjoy
👇
“Aaam naomba niamke “ilibidi nitake kuamka maana hapa kinaweza kutokea kitu ambacho hakikutakiwa kutokea
Alitabasamu na kuniachia nilitoka fasta kma nakimbizwa vile
Niliingia chumbani kwangu nikaingia bafuni nikaoga chap nakutoka nilivaa nguo na kwenda jikon ili niandae chai
Nilifika nakukuta Berat akiwa anamalizia kuweka chai mezani
(Kumbe anajua kupika )
“Karibu mezani “
“Asante” alinisogezea kiti nikakaa
Nilichukua sahani yangu na kutaka kula akaniwahi na kunishika mkono
“Subiri kwanza”
Akavuta kiti nakukaa karibu yangu akachukua sahani yangu na kuanza kunilisha nilitaka kukataa ila Kama unavyomjua hataki kukerwa so nikajiachia
Alinilisha hadi nikashiba akachukua dawa na kunipa nimeze hapo ndio ilikuwa kazi maana sipendi dawa kama nn
“Fungua mdomo “Aliniambia lakin sikufumbua niliishia kukunja sura
“Sonia ” nilifungua na kumeza 🤢 nilitamani kurudisha chenji ila nikimuangalia mr naona ni pambane
Baada ya kunipa dawa ndipo na yeye alianza kunywa chai. Nilikaa na muangalia tu nilitaka kuamka niondoke akanizuia
“Ukienda huko utatapika kaa hapa “
“Hapana naenda kulala”
“Subiri twende wote”
(🙄Twende wote wapi)
“Haya” Sikuwa hata naenda kulala Wala nn nilitaka nikachukue sm yangu maana toka jana sikumshika
Alimaliza Kisha sm yake ikawa inaita akapokea nikaona hiyo ndio nafasi huyoo nikaenda chumbani kwangu
Nilichukua sm na kutoa pin number uwiii kulikuwa na missed calls mia na uchafu message ndio usiseme. Nilifungua nione ni nani aliye nitafuta hivyo
Nikikuta missed calls 90 za Rahul 10 za Nicole na mama 3
Nikaenda kwenye message kulikuwa na message 50 za Rahul na 3 za Nicole
Niliona nifungue za Rahul kwanza
Baadhi alikuwa ananijulisha kuwa wamefika zingine alinikumbusha kula mapema pia nimtafute zingine alikuwa akiuliza kwann nimekuwa kimya Nina shida gani
Niliona siwez kusoma zote nikampigia Yani haikupita hata mara mbili akawa amepokea
“Sonia uko sawa”
“Jamani hakuna hata hallo”
“Nijibu kwanza uko sawa “
“Ndio niko sawa'”
“Oh thank God nilikuwa najiandaa kuja huko maana nirihisi Berat atakuwa amekufanyia kitu kibaya”
“Hapana niko poa hamn shida ” basi tukipiga story karibia masaa mawili ndio tu kaagana baada ya kuagana na Rahul nikampigia Nicole
“We mtoto kulikon ulikuwa hupokei sm hadi kaka yangu kashindwa kula” nae aliongea bila hata salam
“Niko poa bhn vp ww”
“Niko poa hembu niambie ilikuwaje Jana ukawa hupokei sm hadi nikahisi Mr kauzu kashakufukuza”
“Hapana jana niliogelea sana hivyo nikachoka”
“Siku nyingine useme unajua Rahul hakula na alitaka kurudi ila mama akamzuia “
“Heee kumbe alitaka kurudi “
“Ndio “
Nikiwa bado naondelea kuongea na sm Berat aliingia chumbani kwangu akakaa kitandan……….nilipomuona tu nikakatisha maongezi
“Naomba hiyo sm” Mungu wangu anataka aivunje kwakua nimeongea mda mrefu so nn
Nilimpa nikashangaa akatoa line na kufungua mfuko aliokujanao mkononi
Alitoa sm Kali kuliko ile akaweka line ile aliyotoa kwenye sm yangu na akaweka nyingine tena
Alipomaliza alinipa
“Hii sm ndio utakuwa unatumia na hiyo lain utakuwa unatumia kuwasiliana na watu wako ila hii niliyokupa ni special kwa ajili yang tu sawa'”
“Sawa Asante ”
“Karibu”
Niliiangalia ile sm kwa mda Kisha nikaiweka pembeni
Alisogea na kulala mapajani mwangu
(Huyu vp jamani) niliwaza baada ya kulala kwenye mapaja yangu
“Sonia”.
“Abee”
“Asante”
“Asante ya nn “
“Kwa kuja kwenye maisha yangu”
Aliposema hivyo kama kawaida yangu aibu zikajaa nikashindwa kuongea alipoona nimekaa kimya akainuka na kunishika mikono yangu akasem
“Sonia naomba uwe wangu pekee yangu maisha yangu yote”
“Mhu”
Nilihisi kama sijasikia vile ati ni nn eti msomaji wewe umesikia kasema nn
Alipoona nimejibu (mhu) alinishika kidevu akaniinua uso sijui nilikutwa na nn sikuweza hata kumuangalia usoni alinisogelea na kunikiss kitu French kiss(denda)
Alienda kuamsha vitu ambavyo sikujua kama vilikuwepo 😁 mwamba anajua kukiss bhn nilegea hadi maini aliniinua akanibeba hadi chumbani kwake akanilaza kitandani na kuendelea kunikiss 🥰 kama unavyojua hatua moja huzalisha nyingine tulijikuta tunahama kwenye Dunia hii na kwenda sayari nyingine ya mbalia kabisa kilichofanya hapo nadhani unajua🙈
Tulimaliza kazi tuliyoianza mm mda huo nalia bala maana nilichofanyia sio poa mashuka yalikuwa yameloa damu
Berat alinikumbatia na kuniambia..
“Nakupenda sana mke wangu na kupenda ” sikuweza hata kumjibu Zaid nililia tu mwamba alinibembeleza mwishon na yeye akalia tulikuwa kama wajinga hivi😀sasa nni ambembeleze mwenzake alafu sikuwahi kufikilia kwamba mtu Kama Berat anaweza kulia alafu leo namuona analia tena bila kupigwa 😂 basi akanikumbatia vizuri nikatulia hapo nimeshachoka kulia 😀
Baada ya mda alinibeba hadi bafuni akaniogesha na kunifuta maji vizuri akanipaka mafuta na kunivalisha shati lake😀 sijui aliwaza nn wakati nguo zangu zipo hapo hapo
Akanikalisha kwenye sofa na kutoa mashuka akaweka mengine alipomaliza akanibeba tena na kunilaza yaani ni mwendo wa kubebwa tu🥰. Alienda jikon akaja na class ya maji akanipa dawa za maumivu Kisha akaja na yeye kulala akanikumbatia kam vile kifaranga 🥰. Tukauchapa usingizi
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU