
SEHEMU YA 23
Nililia sana yaani kila nikikumbuka mambo ambayo tulikuwa tunayafanya roho iliniuma zaidi
Nicole alishindwa kunielewa kabisa alinibembeleza sana hakutaka kumuita Rahul kwakua alitamani sana nawe sasa akisema amuuite lazima atajua kuwa nilikuwa na mtu hivyo anaweza kugaili so akaamua anibebe peke yake
Basi alinibembeleza pale hadi akachoka siku nzima sikula Wala kunywa Yaan nikulia tu
Usiku ulifika lakin niliuona mrefu mno nilitamani hata kusikia sauti yake tu lakin sikumpata 😓 siku hiyo ilipita tukiwa chumban
Kesho yake Nicole alienda chuo kabla hajaondoka alinishauri nijaribu kuigiza kuwa niko sawa’ na nifanye kazi kama kawaida kwani nilikuwa kazin hivyo nisipokuwa makini naweza kupoteza kazi
basi akaenda na mimi nikafanya alivyonishauri nikawa nafanya kazi japo kinyonge na pia nilitumia mda sana kumaliza
Ulipofika mda wakula sikuwa hata na hamu yakula kwakuwa tunashinda na Johar haikuwa shida usiku nilidanganya kuwa nimekula sna mchana
Niliingia chumbani kwangu nikaenda bafuni nikalia weee hadi nilipoona kuwa nimepunguza machungu nikaenda kulala
Kesho yake asubuhi niliamka na kuwenda kuhakikisha kama kaondoka au ananizuga usikute yupo
Sasaile nakaribia kwenye chumba cha Wang maana vyumba vyao havikuwa mbali
Nikasikia wakiongea
“Hivi Rahul niwakunifanya hivi mimi yaani yuko radhi kabisa kugombana na mm kisa kile kidudu mtu”
“Ila tuache utani Rahul anampenda sana Sonia “
“Wewe yaani Rahul huyu au nani hawezi kutoka na Sonia hata siku moja
Kwanza hawaendani hata kidogo “
“No mimi nahisi atakuwa anatoka na Berat kwasababu Jana tume wahi kurudi ila hakuwepo alfu wanaKuja kurudi saa mbili huku wameshikana mikono”
“Hahahaha Berat kbisa ndio atoke na ile takataka hivi unamuonaje Berat kwa mfano kwanzia lini Berat akawa a mazoea na msichana yoyote aliye iliengia humu ndani “..
Nilisikia hivyo niliumia sna kumbe alikuwa akipita tu na ndio maana kaniblock
😭
Siku zilienda wiki ikakata na wiki ya pili akiwa bado haj arudi
Mda huo nimekonda kama nini sijui
Siku ya j pili Nicole pamojan na wengine isipokuwa Rahul walienda kanisani na mimi
“Nikijifungia chumbani nikalala zangu
Nilikuwa nakakibia kulala geti likifunguliwa nilishangaa nani atKuw amekuja maana sikuwa na taarifa ya kupokea mgeni ua mama amerudi nikasimama na kuchunguli ili nijue weee sinikamuona Berat nilikimbia nusu niache miguu 🤣
Nilimkimbilia na kumkumbatia mda huo huo nikashusha mvua ya makiss
“I love you Berat nakupenda sana please ” niliongea huku na mbusu busu bila hata mapangilio
“Sonia “
“No Berat siko tayar kuacha na wewe nakupenda sana siwez kuishi bila wewe nakupenda “sikutaka hata kumsikiliza anataka kuongea nn
“Sonia come down ok” naelewa basi yaani nilimkumbatia na kulia huku nikimwambia nampenda
Mara si akashuka mdada kwenye lile gari alilokuja nalo nyie huyu dada ni pisi la nguvu
Nilijikuta naishiwa nguvu maana nikihisi tayar nimeachwa nanilikumbuka maneno ya kina wang nikaishiwa nguvu kabisa nilijitoa kwenye kumbato huku machozi yakushuka kama mvua
“Sonia “aliniita lakin niligeuka nyuma na kutaka kuondoka maana mapenzi ya meshakufa
kitendo kile Cha kuja na mwanamke mwingine
Alinivuta na kuniss mdomoni nilipata hasira nikatamani nimsukumie huko lakin naanzaje badala yake nikawa na mpa ushirikiano huku nampiga piga vingimi vya uongo na kweli yaani saiyo na enjoy alafu saa hiyo hiyo natamani nimzabue hata makofi
Basi wakati tumezama kwenye kiss tulishtuka kusikia kishindo kama mtu kandondoka
.
Tuligeuka na kuangalia ni nn
. Mungu wangu Rahul
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU