
SEHEMU YA 25
‘”siendi kwani kupika ni kazi ya nani “
“Oo umesahau makubaliano yetu au”
“Sijasahau unaweza kwenda kusema kika kitu kama ukipenda ila kupika sipiki”
“Aaaa a sawa subiri uone nitakacho kufanya mjinga wewe”
Johar aliondoka na kwenda jikon akapika angeacha aone kama hatutimuliwi sote π
Basi niliendalea kukaa chumbani mda huo nimeshalia hadi nikachoka na hizi rangi zetu ukilia unakuwa Kama nyanya π₯΅
“Nenda kawapokee wageni” Johar aliongea lakin sikumjibu “wewe sinaongea na wewe”
“Haya kaa hapo waingie ndani na mizigo Yao ndio utajua ” alibamiza mlango na akuondoka
Yaani sikuwa hata na nguvu za kutembea kwanza kwa hasira niliyokuwa nayo juu yake nibora nikae tu humu chumbani maana naweza kufanya kitu cha ajabu
Mlango wa chumba ulifunguliwa sasa nikajua ni Johar karudi tena
“Johar toka chumba kwangu kwani wewe ukiwapokea Ku”nilishindwa kumalizia kuongea baada ya Kumuona Berat amesimama mlangoni
Niulize zile hasira nilizosema kuwa ninanzo ziliyeyukia wapi π€£
Niliamka haraka na kumkimbilia nikamkumbatia huku nikilia
“Am sorry my love ” aliongea Berat huku akinipapasa mgongoni
“Tafadhali Sonia usilie mpenzi wangu nakupenda sana”
“No we nimuongo Berat hunipendi mimi hunipendi”
“Nakupenda Sonia “
“Muongo ungekuwa unanipenda usingeniacha kwenye maumivu hivi, wakati unajua kiasi gani nakupenda “
“I’m sorry najua kitendo Cha mimi kuondoka bila kukupa taarifa kilikuumiza ila nitaka ujue hisia zako kwangu na sio uumie “
“Nijue hisia zangu kwako kwamba nilikuwa sijui Berat wewe unajua nikiasi gani ninavyokupenda na unajua kuwa siwez kuwa nafuraha bila uwepo wako lakin ukachagua kunikatili hukutaka hata kusikia sauti yangu Wala hata message zangu hukutaka kuziona ndio maana ukaniblock unajua nikiasi gani niliumia kuona umeondoka bila kuniambia alafu umeniblock nimelia usiku na mchana nikitamani hata kukuona “
“Nisamehe sana mke wangu nakupenda “
“Nakuchukia Berat nakuchukia Sana wewe nimuongo Berat unaniambia unanipenda wakati unamwanamke wako huko “
“Sonia niangalie “
“Sitaki we nimuongo “
“Hakuna mwanamke mwingine kwenye maisha yangu Zaid yako Sonia nakupenda wewe tu “
Nilitaka kuongea lakin alinikatisha kwakuniss nilitamani kumsukuma ila nilishindwa nikabaki Nampa ushirikiano huku nampiga piga vingimi vya uongo na kweli π₯°
“Nakupenda sana Sonia nakupenda” nilimshika tai ni kamsogeza nakuendelea kukiss sikutaka kusikia chochote zaidi nilitaka kitu roho inapenda na alielewa kanibeba na kunilaza kitandani taratibu huku akichokoza wadudu π nilimfungua vifungo vya shati na kulivua nikapitisha mikono yangu taratibu kwanzia kifuani hadi kwenye mkanda nikamwambia “I miss you” kidume alivamia shingo langu akawa kama vampire anaetafuta mshipa wa damu π tukaanza kutangaza msamaha rasmiπ€£
Mda huo sikuwaza sijui nani kavikwa Pete Wala mchepuko nilikuwa na sikilizia utamu tu alikuwa akanifanyia vitu adimu ambavyo hakuwahi kunifanyia nikwambie ni vitu gani hivyo π niache kwanza nienjoy harafu nitakwambia siku nyingine
“Asante sana mume wangu nakupenda” nilimshukuru nahodha wangu baada ya kunifikisha pwaniπ₯°
“Nakupenda pia babe asante kwa kunipa penzi tamu”
Basi tulipeana maneno matamu pale huku mikono ikitalii sehemu baadhi za mali asili. Mwisho tukalejea mchezoni tena
Wakati utamu unakolea ghafla mlango ulifunguliwa sote tulishtuka kumbe hatukufunga mlango na funguo
Alikuwa Rahul ndie alifungua mlango huku akiwa ameshika maua na box la cake alividondosha chini akarudi nyuma taratibu huku ameshikilia mlango mara akaanguka chini kama mziko
“Rahul “niliita nakutaka kumkimbilia Berat alinishika “Vaa nguo” kumbe nitaka kukimbia bila nguo Berat aliamka akavaa chap akampigia Lee akaja wakambeba
“Hina haja ya kumpeleka hospital unaweza kumuita doctor akaja kumuangalia ila ataamka mda simrefu
“Lakin kwann tusimpeleke hospital anaweza kupata shida” niliongea kwa wasi wasi
“No atakuwa sawa,” basi walimpigia doctor na mda huo mama na wengine wakawa wamerudi
“Kuna nini ” mama aliuliza
Mda huo nawaza itakuwaje kama kitu kibaya kikimkuta
“Amepata mshtuko ‘” Berat alimjibu mama yake
“Amepata mshtuko wanini na alikuwa wapi”
“Ameona kitu ambacho hakutakiwa kukiona na alikuwa hapa”
“Kitu gani hicho hadi kumpa mshtuko”
Kabla hajamjibu doctor alifika sijui kapaa maana sio kwa kufika fasta hivi
Tulitoka nje doctor akabaki akifanya kazi yake mimi hapo natetemeka balaa Berat aliliona hilo akanishika mkono na kuniambia
“Ondoa shaka atakuwa sawa”
“Kweli “
“Yeah “
Sasa nikajilaza began nikaona wote wanatuangalia tu lakin hakuna alieongea macho yalikuwa kwetu ila akili ilikuwa kwa Rahul π
Doctor alitoka chumbani wote tuliinuka kujua nn kinaendelea
“Hali yake sio mbaya inaonekana amepata mshtuko mkubwa ila ataamka mda wowote kwaiyo ondoeni shaka”
“Uuuuu asante Mungu maana kama kingetokea kibaya sijui ningefanya nn”
Nilishukuru
“Mnaweza kuniambia ni kitu gani kimetokea ” mama aliuliza kwa hasira
Kabla mtu yoyote hajaongea
Rahul aliamka na kuita jina langu kwa saut
“Soniaaa”tuliingia chumbani haraka kama tunawahi mafuta ya upako kwa mwamposa π Berat alikuwa wamwisho yaani yuko kama vile hajikatokea kitu
“So so Sonia” aliamka na kuja kunikumbatia huku machozi ya kimtoka
Nilihisi aibu nikashindwa hata niongee nn
“Sonia I love you na kupenda sana”
Aliongea akiambatanisha na mabusu wee Berat alinivuta na kunitoa mikononi mwake
“Kuwa na anadabu huyu ni shemeji yako ” Berat aliongea kwa ukali. Rahul nae alinishika mkono na kunivuta ila Berat hakuniachia
“Huyu sio shemeji yangu ni mwanamke mke wangu”
“Nikitu gani kinaendelea hapa mbona siwaelewi”
Mama aliongea lakin hakuna hata aliemsikia
“Rahul muachie mkono”
“Simuachii kwani ni wangu “
“Rahul naongea mara ya mwisho muachie mkono now”
” Nimesema simuachii “
Berat aliniachia na kumfata Rahul alitaka kumpa ngumi nikakaa katikat kuzuia
“Sonia nenda chumbani now” aliongea na Rahul akanishika na kuniweka nyuma yake
Watu wote walikuwa midomo wazi kwani hakuna alie tegemea kitu kama kile
All Rights Reserved Β© | Simulizi TAMU