
SEHEMU YA 26
“Jamani mbona siwaelewi “
“We mama kipi usichoelewa hapa huoni mwanao anamtaka shemeji yake”Lee alimjibu mama yake ila nyie huyu Lee ni chawa wa Berat kindaki ndaki yaani ni yeye Alie niambia mchana kuwa kaka yake hawezi kuwa na mtu kama mm alafu saizi anaongea nn kha wallah huyu kichwa chake anakijua mwenyewe
“Mwambie mwanao amuachie mke wangu kabla sijamzimisha tena “
“Mke wako kwa ndoa ipi Sonia ni wangu mimi ndio nilikuwa wakwanza kumpenda sio wewe “
“Hhahahaha yeah nikweli wewe ndio ulikuwa wakwanza kumpenda but mimi ndio nimekuwa wakwanza kuwa nae na mm ndio nitakuwa wamwisho “
“In your dreams lakin kwenye maisha haya Sonia niwangu “
“Rahul Acha ujinga muachie “
“Berat nimekuwa nikikuheshimu na kukusiliza kwa Kila ulichoniambia kuliko ndugu zangu wote lakin kwa hili Niko tayar undugu Wang na wewe uishie hapa ila siwez kumuacha mwanamke wangu kisa unamtaka najua hata kile nilichokiona hakufanya kwa lidhaa yake Bali ulimfosi “
“Sikiliza Rahul najua unampenda Sonia sana ila unatakiwa kukubari kuwa huwezi kuwa nae huyu sasa ni shemeji yako na hapo alipo tayar nimeshampa mimba mda si mrefu naitwa baba kwake so achia na utafute wako”
Subiri Kwanza kasema amenipa nini yaani anataka kuwadanganya kuwa kashanipa mimi mimba jamani
“Uongo najua unadanganya”
“Fine aaaa! Sonia mwambie wewe huenda ata amini “
Sasa akili yangu ilikuwa imehamia kwenye mimba kwaiyo aliponiuliza nilijibu tu hata sikuelewa
“Nimwambie nini” nilivyojibu hivyo alinikata jicho hilo akili ikarudi sehemu yake chap
Nikamwambia Rahul “nikweli tuko kwenye mahusiano “
“Hapana najua unaongea hivyo kwasababu amekuambia useme ila najua kutoka ndani ya moyo wako mimi ndio unaenipenda na sio yeye and usijali kuhusu nilichokiona mda ule najua hukufanya kwa lidhaa yako bali alikulazimisha nisamehe kwasababu nikosa langu nilikuacha mwenyewe “
“Rahul naomba unielewe hakunilazimisha ila nilikubari mwenyewe “
“Sonia unachokiongea na ninachokiona ni vitu viwili tofauti na mimi naamin ninachokiona na nikiwa unanipenda basi “
“Rahul Nia” hata kabla sijamaliza kuongea Berat alinivuta na kuangukia kifuani mwake akanikumbatia Rahul alitaka kuja ila Lee na Wang walimuwahi wakamshika
“Kaa mbali na mke wangu nikikuona unamfata fata nitakufundisha adabu ” Berat aliongea kwa hasira akanishika na kutoka mle chumbani tukaenda chumbani kwake
Alifika akaniweka kitandani Kisha akachuchumaa mbele yangu akanishika mikono yangu na kusema
“Sonia nisamehe sana mke wangu kwakua jambo lilotokea saiz naona kama limekupa picha mabaya”
“Hapana mpenzi wangu hujakosea ila nikushindwa kuelewana tu , alafu mbona umedanganya kwamba umenipa mimba wakati Sina”
“Sijadanganya ndio iko hivyo “
“Iko hivyo kwamba unamaanisha Nina mimba?”
Hakunijibu aliinuka na kunipa denda la nguvu akasema “tunaweza kuendelea tukipoishia bado na hamu na wewe “
Heee huyu mwanaume wa ajabu kweli yaani baada ya mambo yote kutokea Bado anawaza kunyanduana tu.
Nikiwa bado nawaza alinishika mkono akaupeleka kwenye ikulu yake kweli kulikuwa macho kabisa
“Please naomba tamu” aliongea kwa huruma kama vile mtoto anaomba nyonyo kwa mama yake
“Hapana my vumilia hadi baadae maana tunaweza kukutwa tena “
“Hakuna mtu wa kuingia chumbani kwangu bila ruhusa yangu hata hivyo Kila mtu anajua sasa kuwa wewe ni wangu so haina shida”
“Naelewa my ila mama anaweza kuja kutuita maana hili jambo ni nzito na akija akatuita haitakuwa nzuri “
“Okay nimekuelewa mke wangu mzuri “
Akalala kwenye mpaja yangu huku akiwa anashika shika tumbo langu
Akainuka na kuniambia ..
‘”twende tukaoge “
“Heee mara hii “
“Yeah unajua tulifanya alafu hatukuoga unanukia shahawa “
Aliposema hivyo nikakhmbuka kweli baada ya Rahul kutumfuma tukunyanduana hatukuoga tulivaa tu. Basi nikainuka kanivua nguo na kunifunga tawel na kuingia bafuni
Niulize tulioga au tulifanya nn maana tumeingia bafuni akaanza michezo yake mara ashike hapa mara pale kwenye kuniogesha penyewe sasa aliuwa ana shughulika na sehemu mbili tu maziwa na kwenye makalio yaani hizi ndio sehemu alizokuwa bz Nazi mwisho nikazidiwa bhn tulianza kunyonyana hadi tukaamua kucheza mechi kabisa.
Mapenzi nyie yasikie tu yaani sikuwaza sijui Rahul atakuwa anaendelea au nini kinaendelea bali nilikuwa bize nagumumia utamu tu
Baada ya mechi Kali nilikuwa hoi alinipa maneno matamu akanikumbatia vizuri Kisha tukalala. Nilikuja kuamka naa sita usiku nakuta amekaa pembeni yangu huku mezan kukiwa na mahotpot kwajinsi nilivyokuwa na njaa nilimuambia kabla hujaongea chochote naomba nile kwanza akasogeza hotpot na kufungua kulikuwa na sup ya samaki samaki mkubwa ilikuwa inanukia balaa
“Kaa vizuri nikulishe mama kijacho wangu”
“Mimi sio mama kijacho bhn ‘
“Unabisha “
“Sio Kwamba nabisha ndio iko hivyo Sina mimba mm”
“Sawa kula basi” nilikaa vizuri akanilisha na mimi nikawa namlisha tukilishana hadi tukashiba
Kwakua nilikuwa nimelala mda usingizi ulikuwa umeisha hivyo tukabaki tuna angalia movie tu hadi saa kumi ndio tukalala
Asubuhi mida ya saa tatu aliniamsha ili nipate kifungua kinywa
“Umeamkaje malkia wangu”
“Salama sijui wewe”..
“Niko poa” akanilisha pale yani anataka kunilisha tu Kila siku
“Unanizoeza vibaya “
“Kwann unasema hivyo
“Si wewe Kila siku unanilisha kama vile utakuwa unanilisha hivi siku zote😏”
“Kukulisha ni jukumu langu hivyo wakati wote nitakapokuwa karibu na wewe nitakulisha bila kujali mazingira wala watu “
“Mmm unasema hivyo kwasababu ni mwanzo ila itafika mda hata kukaa na mm utakuwa unaona kazi saa hiyo sitokuwa mrembo kama leo sitokuwa na shep nzuri kama hii ya leo na matiti ya takuwa kama ndala”. Niliposema hivyo aliweka chukala pembeni akanishika mikono na kusema
“Sonia nakuahidi kuwa Kila ninalo fanya leo nitkifanya siku zote na hata kama ukija kubadilika ukawa hivyo ulivyosema bado nitakupenda na nitahakikisha naulinda mwili wako usiharibike japo Kuna vitu lazim kubadilika ila nitakupenda kwani siko na wewe leo kwasababu ya urembo wako Wala kifua Wala Shep Niko na wewe kwasababu wewe ni chaguo la moyo wangu sitokuwa na chaguo lingine Zaid yako nimekupenda Wala sitarudi nyuma
“Ulianza kunipenda lini”
“Siku ile uliyoshindwa kusoma ndio siku niliyokupenda. “
“Mmmh muongo kama ulinipenda kwann ukinipa adhabu”
“Nilipenda kwasababu nilitamani kuona ukishika nguo zangu”
Nilicheka sana kusikia vile
Wakati tukiendea kuongea mlango uligongwa Berat aliinuka na kwenda kufungua alikuwa ni mama yake niliogopa nakuona sasa kitawaka
Aliomba kuongea na sisi
Itaendelea
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU