
SEHEMU YA 04
mama akanionya onya hapo akanichamba kuhusu kumuibia hela akasema ndio maana alikuwa anapoteza hela kumbe mimi ndio naiba 🙄 Sijawahi hata kumuibia helaa huyu mwanamke jamani mungu shahidi lakini tafanyaje sasa sina pa kuipeleka hii mihogo 🤦♀️
Hela iliyobaki mmh nikaona bora kula miguu ya kuku mwenyewe huyu mwanamke asije kuniua buree😟😟😟 na Itkadi zake ngumu ngumu ….
Na ka hela kaka isha habari tena za kuweka bundle nikasahau na vile nilikuwa nishamaliza shida yangu ya kuona Chululu ya Kaka mia nne akaaa🤣🤣🤣 sikuwa na shida tena
Usiku kuna namba ngeni ikanitext , hapo zilikuwa zimepita kama siku tatu hivi tangu ninunue mihogo au nipewe hela na yule mtu asiejulikana
(Mamboo)
(Nanii??)
(Mmmh vibaya hivyo wenzio wanaitikia hata salamu kwanza mrembo)
Mmh nikawaza hili li nani hilii nikaandika kwa hasira (bwana weeeh kama huwezi kusema we nani kausha mxeeeeww)
Haikupita muda simu ikaanza kuita namba ile ile iliyotuma sms nikapokea nimekunja sura hatari
“Halooo”
Nikasikia sauti ya kiume kwanza nikatulia kuitafuta na zile hasira kidogo zikanywea
“Mambo” akanasalimia tena amechamgamka hatari
:poa”
“Uko poa”
“Ndio”
Yaan hapo najibu kifupi huku naivuta ile sauti kama niliwahi kuisikia sehemu
“Hujanijua??” Nikataka nimjibu kwa karaha yaan ananiuliza hijanijua wakati hata kujitambulisha hajajitambulisha nikajikazaaa
“Ndio”
“Okay let call It Friend “
“Sijasoma kaka angu kama huwezi kuongea kiswahili basiii”
Hapo kaba likanishinda ananiletea English wakati mie ni Form 4 felia Mxeeeew
Akaanza kucheka akacheka kwelii mie nipo kimyaa namsikiliza akanambia embu acha hasira bwanaaa mie musaa”
“Mussa gani?? “
“Mmmhhhh hapoo sijui nikutambulishe vipi okay mie yule nilikutext Ma juzi kati kule fb kuna kitu ulikuwa unahitaji nikakutumia jina langu ni mussa”
Ohoooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣nilicheka kwa aibuuu nikamwambia kumbe wewe akasema ndio we mkali mpaka umenitisha daah nikasema hamna bwana mie hata sio.akasema mmh lakini una sauti nzuriii kweli nilijua naongea na katoto nikasema hee kwahiyo nilimtumia matusi.mtoto wa watu🤣🤣🤣
. Daah nikasema mie sio mtoto bwana nimemaliza mpaka 4m4 ujue akanambia kwahiyo una miaka mingapi nikasema 17 akanambia we bado mtoto bwana kumbe upo Under18 halafu mie nikakutumia vitu vya Kumi na nane plus (18+) daaaah 🤣🤣
Nikamwambia bwana sio mie mkubwaaa
Akanambia umeolewa eeh?? Nikasema mmmh anioe nanii miee akasema kwa sauti hii Hope utakuwa mzuri zaidi ya hii sauti yako mie nikachekaa si unajua wadada tukiwa tunasifiwa huwa nguvu zinaisha kabisaaaa😂😂😂 mwili unakuwa unatetemeka kwa Rahaaa
Basi tukaongea tukaongea tukaongeaaaa usiku hapo unaenda tu kaka ana story huyu sijawahi kuonaaa🤗 Mpaka ukaingia usiku sanaa mie nasinzia yaan akiongea najikuta sijasikia yote nilikuwa nimesinzia
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU