CONNECTION YA BALTASAR (06)

SEHEMU YA 06

Milioni tena🙄🙄🙄 nikamwambia mama sio milioni embu angalia ile siku alinitumia elfu kumi leo asubuhi  kanitumia elfu kumi na tano na mchana akanitumia elfu tano et ya Soda mi naogopa “

“Mxeewww ndio mahela hayoo, embu leta hapa hiyo siku kibaka tu huyo ameona Umeshakuwa mzuri uschana umekunawiri anajifanya kukutumia vijihela na wewe mpuuzi hivi ni vijihelaa sio ma hela  utakuja kufa kwa vi chenchi chenchi tu “

“Ndo unanichamba😔😔”

  “Embu mpigie unipe anakujua sana huyu mtu mwenyewe anaonekana anamaisha magumuuu kama hakujui hawezi kujitumisha hela hovyo anakujua vizuri sana anachotaka hi huo Uc*** wako tu,Sasa wewe jichanganyee”

Yaan mama yangu unaweza hata kujuta kumwambia nimemwambia vizuri tu anaanza kunichamba mimi tena
Akanambia nimpigie na mie sikuw hata na salio bahati  mbaya sana kwake nakwambia akapiga simu bila kujua tupo kwenye kikao na mama yangu
Mama akaiwahi ile simu

“We mpuuzi wa kiume wewe usie na haya na ma bint wa watu mbwa wa kinyamwezi wewe  mpumbavu wa kiume tena wewe kaka wewe  sitaki kwa bint yangu sitaki nasema sitaki kwa bint yangu hivi unanielewa???……….”

 
😂😂😂😂😂mama aliongea mfululizo  utasema amemeza Flash halafu sasa aliweka sauti kubwa 

“Haloo halooo haloo!!!” Mama akaanza kuita baada ya kuona kimyaa yaan hapo kashongea mpaka mate yamemkauka kabisaaa lakini mtu kimyaa

“Ahhmmm Samahani mama yangu Samahani sanaa , nimevuka mstari wa heshima sikupaswa kumtafuta hivi naomba sana unisamehe mama yangu”

Yaan aliongea kistaarabu  mpaka mama mwenyewe aliona aibuu🤗🤗🤗Akabaki kujiuma uma tu et enhee  wewe naniii akamwambia mie naitwa mussa mama ,  anhaa musa wa wapi et  😂😂😂yaan mamaaaa🤣🤣🤣 alivyobadili upepo gaflaa

  Akamjibu aah mama mie naishi huku mbezi aah baba sawa basi usiwe unafanya hivyo mie sipendi mwanangu kudanganywa danganywa  

Yule kaka akamjibu sawa mama nimekuelewa naomba sana unisamehe  !!

  Mama yangu akawa mpoleee akakat simu nikamwambia  enhee mama yale ma tambo yako vipii?? Akasema embu koma wewee😂😂😂 Nikasema hayaa nimekoma akanambia  embu nipe hiyo simu akai block  ile namba halafu akaifuta kabisa akanambia akikutafuta tena nambie mpuuzi huyuu et mamaa! Nimemzaa mimi🤣🤣 nikamwambia mama mbona umeshindw kumchamba yeye jamani mie niache bwanaaa  akanambia  ila Dina bado mzima eeh nikamwambia mama mie mzima bwana hata sijafumuliwa

Nikaondoka zangu  kwenda ndani vile mama alikuwa ameblock ile namba hakuna shida wala hakunitafuta tena

Asubuhi  mama ananiambia  et ile hela  niirudishe kwa mwenyewe  yaan mamaaa akhaa nikakataa mwenzangu ninatoa nikamwambia ww mimi naitumia akasema utakoma kama  ni muhuni vitakutokea puani ,,, ahyaa haina shida huyu kaka hata sio muhuni

  Basi mie  nikasahau tena habar  za yule kaka  kabisa  nikaendelea  na maisha yangu
    Sa siku moja   nilitoka kulikuwa na harusi jirani  tulienda kuoa mbali kidogo na nyumba  mie nilikuwa upande wa baba harusi  anakaa mtaani kwetu huko

Nikiwa huko kuna namba ngeni ikapiga nikapokea bila hata kufikilia mara mbili

  “Samahani Dinaa naomba kuongea na wewe ” nilimsikia kwa shida sauti ya kiume lakini sikumjua na vile kulikuwa na makelele mie nikasogea pembeni  nikamwambia  we nani akanambia mussa hee moyo ukafanya paaa🙄🙄🙄 

Nikajifanya kuuliza mussa ganiii???
  Akanambia  yule uliemchoma kwa bi mkubwa wako😔😔😔nikaona aibu nikajufanya anhaaaa kumbe weweee enhee nambie

Akanambia  naomba kuonana na wewe kama hutajali🙄🙄🙄  aliongea Serious  wala hakuwa anacheka cheka tena 

Nikasema kwani  we upo wapi akanambia nambie wewe muda wako mie nifakufata hata ukinambia sasa hivi

Nikamwambia nipo harusini mie akanambia wapi nikamwambia  nilipo akaniuliza mama yupo nikamwambia hapana akasema natokea hapo sawa nikasema sawa

Yaan hapo nishatepeta hamu tena sina kukataa naogopaa najionea aibu tu mie

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

JOGGING MASTER FULL

KIBOKO YANGU FULL

BIKIRA YA BIBI HARUSI FULL