Usikose nafasi hii ya kipekee ya kuboresha burudani ya nyumbani kwako kwa bei ambazo huwezi kuzikuta kirahisi! Sasa tunazo TV za Hisense zenye ubora wa picha wa kuvutia, sauti safi na muonekano wa kisasa kwa OFA KUBWA sana kuanzia
Iwe unataka TV ya kuangalia mechi, movie, YouTube au Netflix kwa family yako, huu ndio muda sahihi wa kupata ya kwako kabla stock haijaisha. Bei ni rafiki, ubora ni wa uhakika, na kila anayechukua sasa anafaidika na offer ya kipekee ambayo haitadumu muda mrefu karibu sana.
Bidhaa yako utapewa moja kwa moja kwenye maduka yetu ya Hisense kwa uhakika na usalama zaidi, hivyo unapata TV yako original bila wasiwasi wowote. Book mapema kabla offer haijaisha na stock kuisha.
Baada ya kujaza taarifa zako gusa neno tuma ukigua hapo tutapokea taarifa zako na kukupa utaratibu wa jinsi gani unaweza kupata product yetu
Hakikisha umejaza taarifa sahihi hususani namba ya simu kwasababu ndo tutakayo tumia kuwasiliana
Pata burudani ya uhakika kwa Hisense 32” ya kawaida yenye picha safi, sauti nzuri na matumizi rahisi kwa familia nzima. Inafaa kwa sebule, chumbani au biashara yako kwa bei kubwa ya offer inayovutia sana.
Furahia ulimwengu wa kidigitali kupitia Hisense 32” Smart TV yenye uwezo wa ku-connect internet, kuangalia YouTube, Netflix na apps mbalimbali kwa urahisi. Chaguo bora kwa wanaopenda burudani ya kisasa nyumbani.
Hisense 43” ya kawaida inakupa screen kubwa lenye picha kali na muonekano wa kuvutia zaidi kwa movie, mechi na vipindi unavyopenda. Ubora wa uhakika kwa bei ya offer usiyo ya kawaida.
Badilisha burudani yako kuwa ya kiwango kingine kwa Hisense 43” Smart TV yenye ubora mkubwa wa picha, internet connection na uwezo wa kutumia apps mbalimbali kwa raha zaidi ya kutazama. Ni TV inayokupa experience ya kisasa kabisa.
Mbali na TV, pia tunapatikana na bidhaa mbalimbali za Hisense zenye ubora wa hali ya juu kwa matumizi ya nyumbani na biashara. Tunazo Friji za kisasa zinazotunza vyakula vizuri, AC zenye ubaridi wa haraka na matumizi madogo ya umeme, Washing Machine za kufulia kwa urahisi zaidi pamoja na vifaa vingine vya electronic vyenye teknolojia ya kisasa na uimara wa kudumu. Chagua Hisense upate ubora, muonekano wa kisasa na huduma yenye kuaminika kwa maisha ya kila siku.
Je, TV ni original?
Ndiyo, TV zote ni original kutoka Hisense.
Je, kuna warranty?
Ndiyo, bidhaa zinakuja na warranty kwa uhakika zaidi.
Naweza kupata Smart TV?
Ndiyo, tunazo 32” Smart TV na 43” Smart TV.
Ninawezaje ku-book?
Jaza form yako kisha utawasiliana nasi kwa maelekezo zaidi.
Bidhaa nitachukulia wapi?
Bidhaa utapewa moja kwa moja kwenye maduka yetu ya Hisense.
Offer itaisha lini?
Offer ni ya muda mfupi kulingana na upatikanaji wa stock.
Baada ya kujaza taarifa zako gusa neno tuma ukigua hapo tutapokea taarifa zako na kukupa utaratibu wa jinsi gani unaweza kupata product yetu
Hakikisha umejaza taarifa sahihi hususani namba ya simu kwasababu ndo tutakayo tumia kuwasiliana
HISENSE STORE
Tunapatikana Dar es salaam Kariakoo
Makao makuu ya Hisense Tanzania
Allrights Reserved Hisense Products © 2026