INGIZA (05)

INGIZA 05 🔞

Tuliendelea kuhema kwa nguvu, mimi nikasikia usingizi mzito umenijia mpaka nikasinzia kabisa

Nilikuja kushtuka nikaangalia pembeni binti hayupo, nikasema mh kaenda wapi usikute ni mwizi

Cha kwanza nilishuka kitandani nikaenda hadi sebuleni nikawasha taa, kwani kulikuwa na giza tayari, niliitafuta suruali yangu nikaangalia kama pesa na simu vipo ndipo nikaangalia saa kwenye simu nikakuta imefika saa tatu usiku

“Heeeeh” nilishtuka nikafungua mlango na kuchungulia nje, kuna giza totoro ‘huyu demu kanipa dawa ya usingizi ama vipi’nilijiuliza na kutoka kutafuta bafu liko wapi lakini sikuona

Nilimuuliza dada mmoja aliyekuwa ameketi akichemsha maji sijui ya nini kwenye jiko la mkaa pale nje

“Sorry sister bafuni ni wapi” niliuliza

“Zunguka hapo katikati mwa vyumba hivyo hapo kuna bafu na choo”

“Asante, kuna maji au mpaka nichote nje?”

“Kuna maji sema maji ya kuoga unaweza kutumia haya hapa kama unataka ya moto” alisema kwa ukarimu mi nikatabasamu

“Hamna sister mimi napendelea ya baridi” nilisema na kutikisa kichwa nikaanza kuondoka

Kweli nilifika katika bafu lile nikakuta kuko fresh kuna bomba la mvua, nikasema naam, ngoja nioge sasa.

Nilifunga mlango then nikavua bukta yangu na kuanza kujimiminia maji kwa raha zangu

Nikiwa naoga nilikuwa nawaza sana kwanini Tanga wasichana wakorofi sana kitandani, mimi nilijuaga ni utani tu kumbe ni kweli ndipo yamezaliwa

Nilisikia sauti nje na ilikuwa ni ya kaka Nick alikuwa anaongea na mtu, mimi sikujali nikaendelea kuoga hadi nikamaliza ndipo nikatoka bafuni na kuelekea njia ya chumba cha kaka

Nilipoingia ndani hivi kwenye chumba cha nje/sebuleni nilikuta kaka ameketi na bonge la jimama linene haswa ambalo lilijazia minyama na lilivaa dera

“Shikamoo” nilimsalimia kwa nidhamu

“Marahaba” aliitika na kubadilisha channel waliyokuwa wakiangalia kwenye TV

Mimi niliingia chumbani na kubadilisha nguo, nilivaa vizuri T-shirt na jeans halafu nikajipulizia marashi na kujipaka mafuta halafu nikatoka pale sebuleni kujumuika nao kuangalia angalia TV

“Bony, vipi tupike au tukale kwa mama ntilie” aliniuliza Nick

“Vyovyote tu broo” niliongea

“ah bana wanaume mnapikaje twendeni mkaniungishe pale kibandani kwangu kuna mpaka biriani”

“Weeee” Nick alisema

“Kweli Nicki” mama yule alisema na kuinuka halafu akajinyoosha huku akivuta pumzi ndefu “Huuuuuu” nikashuhudia wowowo lake.

“Basi ngoja nioge chap” Nick aliongea

“mi natangulia, niwawekee nini?”

“Biriani na soda mbili za baridii” Nick alijibu mimi nilikuwa na njaa hatari maana sio kwa gemu za Tanga kumpokea mgeni mimi

Yule mama alitoka sehemu zake za nyuma akizintingisha nikaangalia kwa kuiba iba macho na kumgeukia kaka Nick

“Bony unaona hilo zigo?” aliniambia

“Ndio”

“Sasa ndo mama yake na yule Erica uliyemtafuna kule salon”

“Weee kweli?” niliuliza kwa mshtuko

“Yaaah”

Nick aliinuka na kwenda ndani akabadili nguo akatoka na mswaki pamoja na nguo za kwendea bafuni na taulo

Mimi nilipata fursa ya kumuandikia sms Erica mda huo

“Mambo” nilituma

“Safi nani?” aliniuliza

“Mimi Bony”

“Bony wa wapi tena”

“Niliyekufanyia massage leo pale Pendeza Barbershop”

“Ohooooo upo mkaka?” aliniuliza kwa furaha “Nimeshakumiss ujue yaani ndo unanitafuta usiku huu au ulikuwa unawakanda wengine” aliniambia

“Hahaah, hamna mda ule ule niliondoka na kurudi nyumbani tu jamani”

“Haya bana Bony lini tena utanifanyia massage”

“Siku yoyote ukiwa free”

“Powa bony nakupenda”

“Nakupenda pia”

Niliinjoy sana kuchat naye hasa nikikumbuka alikuwa ananisifia kwa wasichana wengine ina maana aliuelewa mchezo

Baada ya dakika chache kaka Nick alirudi akiwa ameshaoga, alijiweka sawa na kutoka wote tukienda kutafuta chakula tule

Tulifika hotelini kwa lile limama kinene tukaketi huku tukisubiria msosi uletwe

Mara nilisikia SMS imezama kwenye simu yangu, nikaitazama simu nikakuta ni ya namba mpya

“Mambo” ilikuwa sms

“Poa vipi?” niliuliza

“Safi kaka mkandaji, kesho zamu yangu” alituma mtu huyo

“Hee zamu ya nini na wewe ni nani?” niliuliza

“Mimi Vida nimechukua namba yako kwenye simu ya Erica, but usimuambie nataka nije kesho unikande maana nasikia wewe ni hatari mkaka” aliandika sms ndefu ilonichanganya….. ITAENDELEA

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!