INGIZA 14 🔞
Asubuhi na mapema niliamka kutoka katika kitanda cha hospitali nikatoka nje na kumkuta doctor yule wa kiume akiwa anaongea na simu, nilisimama mlangoni na kumtazama naye akanitazama halafu akanipungia na kuendelea kuongea na simu
Niliendelea kusimama pale nikimsubiri amalize kuongea na simu lakini aliongea muda mrefu mpaka nikamfuta mwenyewe huku nikichechemea
“doctor shikamoo” nilimsalimia naye kwa kuniheshimu akakata simu
“marahaba kijana vipi?” aliniuliza “umeshapona?”
“najisikia vizuri naomba niondoke niende kazini” aliniambia
“ok kachukue vidonge uondoke” alinijibu
“ehee malipo shilingi ngapi?” niliuliza
“malipo 50000 lakini umeshalipiwa” aliniambia nikashangaa
“nimeshalipiwa???” niliuliza kwa mshangao mkubwa sana
“ndiyo ndugu umeshalipiwa”
“na nani”
“usijali wewe ondoka tu” aliniambia mimi nikabaki nashangaa tu kuwa hili ni zali la wapi mbona kama sielewi elewi.
“asante doctor” nilisema kwa furaha kwani hela aliyoniachia madam Zai ilikuwa ni ya kwangu sasa kwa hiyo nilikuwa naenda kuchukua dawa na kuanza kula maisha katika mitaa.
Nilichukua dawa za maumivu na zile za kukausha kidonda halafu nikatoka nje ya geti huku nikiwa nachechemea, nilisimama barabarani ka ajili ya kungojea ipite hata pikipiki ili niweze kupanda
Katika kusubiri bodaboda akili yangu nzima ilikuwa ni kuwaza tu kuhusu yale maneno aliyoniambia mume wake mama mwenye biashara nikajiuliza ilikuwaje SMS zikakutwa kwenye simu yake na SMS hizo ni zipi maana mimi sikuwahi kuchat naye katika mahaba
Hata hivyo nikiwa naendelea kuwaza maneno hayo niliona pikipiki inakuja nikaisimamisha “oya mpaka pale kwa mzee Banga shilingi ngapi?” nilimuuliza mwendeshaji huyo wa pikipiki
“buku jero” alinijibu na mimi nikadandia pikipiki kwa haraka na kuondoka
Haikuchukuwa hata dakika kumi nilikuwa tayari niko geto kwani sikuweza kwenda kule salon kutokana na kwamba madam aliondoka na funguo ya salon kwa kujisahau hivyo nilichukua hatua ya kumuandikia message na kumuambia aniletee hiyo funguo ili kazi iendelee
Maisha yalikuwa marahisi sana kwangu kwa sababu ni siku chache tu nilikaa lakini nilikuwa nina zaidi ya laki mfukoni ambayo sikuja nayo, nilihesabu pesa zangu nikasikia shetani akiniongelesha kwa mbali japo nilikuwa ninaumwa
“nenda ukale bata” ilikuwa sauti ya ambayo ilikuwa kutoka kwa shetani mazima ilikuwa inataka nikafilisike maana Tanga mh kila kitu kitamu hadi maziwa ya Asas ni tofauti na yale ya umakondeni huko.
Nilishuka kitandani na kutoka nje nikaenda hadi bafuni nikajipiga usafi halafu nikarudi ndani na kumuona mke wa mtu akiwa anapika chakula cha mchana pale nje akanirembulia ikabidi nimsuse kidogo maana sikuwa na hamu
Nilienda chumbani nikavaa nguo zangu vizuri halafu nikaketi kwenye kochi na kuanza kuwaza nifanye nini maana nilikaa upweke sana nyumbani.
Nilikigusa kidonda changu kwenye paja kilikuwa kinauma uma nikaamua kulala na kuacha kuhangaika na mambo ya dunia, nikiwa kitandani nilianza kuchati na Vida yule mwanamke aliyenionjesha utamu wa kinyume.
“baby” nilimtext
“mmmmmh” alinijibu nikashtuka kwanza maana ndipo nilipokumbuka kwamba ni mke wa mtu
“nini?” nilimuuliza kwanini ameguna
“nimeona SMS yako nikasisimka” alinijibu nikasisimka ikabidi nipige simu ili nihakikishe kwamba ni yeye na sio mume wake
“wewe” niliongea baada ya binti kupikea simu
“niambie utamu wangu” aliniambia nikasisimka mwili mzima ndipo nikakata simu baada ya kuhakiki kwamba ni yeye
Nilipomaliza kukata simu alinitumia SMS “Mbona nimepita pale ofisini kwako haupo vipi tena?” aliniuliza
“aah naumwa jamani niko home nimejilaza”
“jamani unaumwa nini mpenzi wangu”
“jana nimejikata na chupa sasa niko hoi naumwa sana mpaka naogopa” nilimjibu
Cha kushangaza mwanamke yule hakujibu tena ile SMS akaniacha upweke mpaka nikabaki nawaza haya mambo yanaendaje hali iliyofanya mpaka usingizi ukanipitia nikasinzia mchana kweupe na hata mlango nilikuwa sijafunga
Nilikuja kushtuka baada ya kusikia kelele za wadada wakiwa wanaongea barazani nikafungua macho na kutazama juu kwenye sealing board njaa ilikuwa ni kali, nilikuwa sijala tangu jana yake yaani nilijishangaa sana tangu nije Tanga njaa imekuwa sio kali kama kipindi nilipokuwa kule nyumbani mtwara
Niliichukua simu na kuangalia saa nikakuta ni saa tisa mchana na chaji ya simu ilikuwa asilimia mbili hivyo nikashuka na kwenda kwenye chumba cha nje kwa ajili ya kuchukua chaja yangu.
Nilipofika sebuleni nilishangaa kuna harufu ya samaki zilizopikwa na kuungwa kwa nazi, ikabidi nitazame sehemu ya mezani nikakuta kuna sahani moja imefunikwa vizuri na bakuli mbili zote zimefunikwa vizuri nipo niliposhtuka
“mh hii inakuwaje tena?” niliwaza na kuzisogelea kwenye vile vyombo vilivyokuwa vimefunikwa vizuri nikafunua.
Pua yangu kidogo ing’oke maana nilipofunua sikuamini, nilikutana na bonge supu ilokuwa imeungwa vizuri huku ikiwa na samaki mkubwa ndani yake, niliifunika ile bakuli na kufunua lingine. Mh nilishtuka kwani yalikuwa ni maharage yenye supu nzito huuu nikavuta pumz na kufunika haraka halafu nikafunua sahani nikakukta imejaa wali tele huku juu pakiwa na mboga za majani pamoja na ndizi
Nilikumbuka msemo kwamba watu wanasema tanga kuna limbwata lakini hakuna limbwata huwa wanajua kumteka mtu kila sector, sikuthubutu kugusa vile vyakula maana sikujua ni nani kaweka na ameweka kwa gia gani
Niliamua kukohoa kidogo ili kuwaonyesha hapo nje kwamba nimeamka kama aliyeleta msosi yupo aje anipe maelekezo bwana. Nilienda hadi kwenye switch nikachomeka simu kwa chaji halafu nikawasha switch na kuacha simu ikiwa inaendelea kuchaj nikawasha redio
Nilidunda muziki sekunde thelathini tu nikasikia mtu anagonga mlango, nikajua yes anakuja kunipa taarifa kwamba kaweka msosi hapo.
Nilizima redio yangu kwa mapozi halafu nikakaa kwenye sofa “karibuu” niliongea kwa nidhamu halafu nikafumba macho,,, ghafla nilisikia nimevamiwa kifuani na kukumbatiwa kwa nguvu halafu nikapewa denda kwa nguvu
Nilifungua macho kwa ajili ya kutazama kwamba anayenibusu ni nani ndipo nilipokutana na sura ngeni kabisa ambayo nilikuwa siifahamu ikabidi nimsukume yule mwanamke akainuka
“wewe vipi?” nilimuuliza na kumshangaa ndipo naye aliponiangalia akashtuka
“he kumbe sio wewe” alisema kwa kujishtukia
“uwe makini acha ubwege” nilimuambia kwa hasira halafu nikainuka
“samahani kaka yangu mimi nilikuwa nafikiri humu ndani yupo Nick kumbe ni mtu mwingine kabisa” alisema maneno ambayo yalinipa mwanga kabisa na kujua kumbe yule ni shemeji yangu kwa Kaka Nick, hivyo basi nikasogea nyuma kidogo na kumuangalia
“ahaa, nick hayupo tafadhali” nilimuambia na kuketi tena
“sawa lakini kaka yangu una ulimi mtamu” aliniambia na kunirembulia nikatulia huku nikimshangaa
Yaani badala atoke nje yule mwanamke alikuja kunikumbatia tena pale kwenye sofa na kunikalia nikampakata halafu akaanza kukata kiuno ikiwa ndani ya suruali na yeye alikuwa na dera lake, saa ngapi nisinogewe nikaanza kumshika shika shemeji yangu
“mh mbona unakata hivyo” nilimuuliza huku nikilishika dera lake na kugundua kuwa hajavaa hata chupi ndani,
“nasikia ikinisugua sugua” alisema huku akiwa anazidi kukatika ndani juu ya mashine iliyotuna ndani ya bukta, tulipeana ndimi na kuanza kunyonyana
Mara ghafla akatua Mage ndani ya chumba kile na kusimama sebuleni “samahani mume wangu nimekuwekea chakula mezani, laki……” aliongea kwa mkato baada ya kuniona nikiwa napapasana na mtoto.
Niliogopa…………..ITAENDELEA
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU