
JOGGING MASTER (10)

JOGGING MASTER ππ10
(Master of loveπ)
ππππππππ
“Am sorry kaka, π’so sorry siko sawa Mimi …..samahani sana”
nilimwambia nikimpa vitu vyake akavipokea bila kuseme neno lolote alinitizama tu mi sikujali Wala nikaendelea na safari yangu ,sikugeuka hata nyuma kabisa ….
nikafika Kule kwa dada Ukhty…. sasa nilipiga kazi balaa, sikutaka kutia kitu mdomoni maana sikuwa na appetite kabisa π’…..nilichapa kazi kwa bidii maana najua nisipowajibika nitafeli …….
nilikuwa naosha vyombo huku nikimenya viazi yaan ilimradi tu ile elfu 4 yote nipate Mimi daah π
haya maisha bwana siyo poa
Kabisaa……
Mpaka kufikia jion Niko hoiii ,hoi bin taaban π’
Nilipewa ujira wangu na kushika Njia kurudi hostel, kama kawaida uchovu jumlisha stress jumlisha kukata tamaa ni
sawasawa na unyonge π’π’
Nilipofika pale njian nilihisi kuzunguzungu sana π’
Niliona nipite pale dukani walau nipate maji ya baridi ,nilipita na kuulizia kama ningepata maji ya kunywa ……
“Katon ngapi ? aliniuliza yule mrembo
“Katon ? Mimi nahitaji ya mia Tano tu , nilimwambia
“Hapa niduka la jumla dada soma hapo juu ,Alinijibu yule mdada
“Eeh , nikainua macho juu na kusoma π ….ni kweli jmn ….sawa samahani π ,nilisema nikiondoka zangu πΆ…..
“Mpatie nitaclear , sauti ya kiume ilitokea kwa ndani dukani na sikujua nani aliesema vile π
“Dada njoo uchukue maji…. aliniita yule mdada ……
Nilirudi na kusimama lkn sikuwa sawa kichwa kilikuwa chamotooo naumwaaa kabisa yule mdada aliniona na kunikimbilia nisianguke π
“Vipi uko sawa ? aliniuliza
“Hapana , siko sawa” nilimjibu
“Kaa hapa kwanza ,alinisaidia kukaa kwenye ile bembea na kuniletea maji ya baridi……
“Una maumivu ya kichwa ?aliuliza baada ya kuona nimeshikikia kichwa changu
“Makali mno ,nilimjibu
“Umepata dawa ?
“Hapana … nilimjibu
” Jarred Utakuwa na dawa za maumivu kwenye begi yako? yule mdada alimuuliza yule mkaka aliyekuwa ndani sasa …..
“Yeah zipo …alijibu akatoka chap na kuja na vidonge flani sijawah hata kuviona jamni sisi tulishazoea Panadol tuπ’
ni yule mkaka π,ni yeye guys….. nafurahi kumuona Tena ila hata simpendi π…..
“Sorry Hii Ninini? nilimuuliza baada ya kuona zile dawa
“Ni ant pain” alijibu Jarred
“Mbona sizijui π…. nilisema
“Ni dawa ya kuondoa maumivu yoyote Yale”alijibu Jarred
“Mimi Simain kama ni dawa za maumivu hizi π€£ ,nilikuwa mbishi aloo π
“Dada unaumwa kweli wewe ? Yule mdada alianza kukasirika sasa maana Nina utoto mwingi π
“No Jaitham muache she is right …Yuko sahihi huwezi kunywa kitu hukijui alisema yule mkaka π
” Jarred Alichukua kidonge kimoja na kukimeza kisha akanipatia kimoja …..
Nilipokea……
” umeamin sasa… Hatuwezi kukuua tunakupenda mno πalisema yule mkaka
“Yeah am sorry , niliona aibu π Yan unasaidiwa bado unaleta mapoz hahahπ
Nilikunywa na kushukuru …..
“Okay have soma rest ukijiskia poa uende nyumbami ukapumzike…. alisema Jarred π
Nilimshukuru na aliondoka……
pembeni ya lile duka palikuwa na gari nzuri hiyo ukiiangalia unajiona kabisa π
Jarred aliingia kwenye ile gari na kushusha kioo
Aliiwasha na kusogea nayo hadi pale karibu na mimi …..
“In case of anything tutawasiliana take my no ,alitoa kikaratasi kwenye droo ya gari na kunipatia ,
” Asante sana nilimshukuru……. hakuongea Tena neno lingine aliwasha gari huyooo akaondoka zake …..
mmh Nilimsindikiza kwa macho mpaka alipotoweka kwenye upeo wa macho yangu …..
Ni kweli maomba alisema watu wamejipata hii ni kweli kabisa ….huyu Jamaa amejipata siyo kwa gari hiyo ππππ
Nilikaa kama nusu saa hivi
“Dada nashkuru mno naondoka sasa…
“Okay pole sana chukua juice hii hapa ,alinipatia katon ya juice ya Ceres π uwii juice hiyo sijawah hata kuionja
lakin sinnaoesa dada angu nitakuungisha siku nyingine ..nilimwambia
“usijali Jarred ameshalipia” alisema
“dah jamni ubarikiwe sana dada angu nilimwambia nikapokea ile katon na kumuaga πΆ
Nilirudi hadi hostel nilikuwa naumwa kwakweli sikuwa sawa kabisa
Nilikuta Maombi amenunua simu kubwa smart phone nzuri hiyo hatarious π
Leo umelipwa shingapi hadi uje na juice ya gharama namna hii ? aliniuliza
hamna nimepewa tu na mtu njiani
ni yeye right ? aliuliza swali la kichokozi π
“nani Tena ? nikamuuliza swali
“basi yaishe” hakutaka mambo yawe mengi ππ
“Hongera sana rafiki angu ..nilimpongeza kwa simu Kali
“Asante sana kwani ulikuwa wapi Fani ?
“Nilienda kazini ….
“Wooow hii ndo maana ya mwanamke na nusu sasa ,safi sana huyu ndo rafiki nimpendae alifurahi sana
Na hii simu ni kwajili ya biashara zetu Kuna mtu amenifundisha namna ya kuuza vitu mtandaoni kwahyo nitakuelekeza kila kitu na mambo yote yatakuwa sawa ……
Nilimkumbatia Maombi kwa uchungu
ni Rafiki wa kweli mno π
itaendelea dears

