JOGGING MASTER (11)

JOGGING MASTERπŸ’žπŸ’ž11
(Master of Love πŸ’—)
πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—

“Nilimkumbatia Maombi na kumshukuru kwa moyo wake wa dhahabu , she is the best ,sijawah kuona mtu mwenye upendo kama huyu …..

“Nimebakiwa na laki mbili na nusu tufanye maarifa ni kitu gan tufanye Ili kujiokoa kwenye huu mtihani alisema ….

“But siko sawa nahisi naumwa naomba tujadili hili kesho rafk angu ,nilimuomba

Sawa au twende hospital. ?

Hapana nitakuwa sawa nikipumzika

Basi nililala zangu kupunguza mawazo …..

Asbh na mapema niliamka nikiwa fiti kalikitu ,Maombi aliwahi darasani na mm niliwahi kule kule kwa Jana πŸ˜‚


Nikiwa njian hata kabla sijafika pale barabarani kwenye lile duka
Kuna gari ilipita nyuma yangu na kunipigia honi , haikuwa ile gari ya Jana hii ni nyingine …..

Piiip,nilisogea pembeni kidogo

who is this guy? nilijiuliza
nikiwa kwenye kujiuliza
Kioo kilishushwa na dereva alikuwa ni Jarred 😌😌

“Uko sawa ?

“Ndiyo shkamoo” nilimsalimia

“Marahaba”
Alikuwa na kikombe Cha kahawa zile za takeaway

“Ingia nikusogeze” alisema

“Hapana nitafika” siyo mbali hata

“please alisisitiza”

“Nitafika tu nashkuru” Cha ubishi Mimi kama kawaida yangu πŸ˜‚

“Please hakuna kibaya nitakufanya trust me”πŸ˜‚ aliongeza msisitizo

“Sawa ila uache milango wazi …. nilimwambia

Alicheka kwanza 🀣 ,

“how can I drive milango ikiwa wazi πŸ˜‚ aliuliza akicheka

“Basi acha vioo wazi πŸ˜‚πŸ˜‚”

“Sawa nitaacha …alinifungulia mlango wa pembeni yake nikaingia 🀣🀣

Akashusha vioo vyooote mpaka vya nyuma 🀣🀣🀣 nifungue na buti pia ? akaniuliza πŸ˜‚πŸ˜‚ niliishia kucheka sana

“Umeniamin sasa ? akaniuliza

“Ndiyo , kidogo tu”

Alicheka akiangalia mbele , safari hii hakuvaa nguo za mazoezi alikuwa full suit ,amewakaa kavaa official kabisa Yan hatarious πŸ˜‚ πŸ˜‚

“Can I know u’re name ? aliniuliza

“Naitwa Fanikiwa

“okay nice name na utafanikiwa kweli ,alisema 😌

“Hutaki kujua jina langu ? Aliniuliza

“Nalijua unaitwa Jarred”πŸ˜‚

“Yeah u’re right”

“unaelekea wapi ?
“Kazini

“Okay” alisema

Aliendesha gari mpaka karibia na ule mgahawa …ni palee nilimuonesha nikimpa ishara asimamishe gari mbali kidogo na pale πŸ˜‚

“Hutaki nikufikishe ? Aliuliza

“Hapana wataanza kusema nimepata mchumba πŸ˜‚mi
staki mambo ya wachumba wachumba nimekuja kusoma huku πŸ˜‚

Jarred alicheka mno

“Unasoma ?

“Ndio ila nakaribia kuacha chuo na kurudi nyumbani Namtumbo

“Ooh una graduate right”

“Nilimtizama na kutikisa kichwa ishara ya kukataa”😒

“It’s okay go then after here
utanitafuta kwa ile namba for more stories alisema …..

Nilimshukuru na kushuka kwenda kazini ….
Alinipungia na kuondoka zake ,

Kazi kazi mtoto wa maskini nilipiga kazi balaaa…. piga kazi mnooo mpaka jion Niko hoiii πŸ™Œkama kawaida nikalipwa ujira wangu na kuanza kuondoka nilitembea kama dakika mbili tu

Mara paaaap ile gari hii hapa ikapack pembeni yangu πŸ˜‚ mtego huu jamani πŸ˜‚

Kioo kikafunguliwa

“How was u’re day ?
“It was fine” nilimjibu
“Okay twende nikusogeze” alisema


Rule no 1 ?nilimwambia

“To open all the shadows “πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alijibu

nilishindwa akujizuia nilicheka mno nae akiwa anacheka slowly tu πŸ˜‚ kicheko Cha kitajiri πŸ˜‚πŸ™Œ

Niliingia kwenye gari na kweli akafungua madirisha yooote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚utoto Raha Sana πŸ™Œ….

“Unadhan naweza kukufanyia nn ? aliniuliza

“Hamna mi staki kuguswa na wanaume πŸ˜‚

“What? ,But kuguswa tu au Kuna one thing more ? akauliza

“I don’t know but mama alisema marufuku
kugusana na wanaume πŸ˜‚

“I like u’re childhood(nimependa utoto wako)🀣alisema Jarred

“Unaelekea wapi?

Nilimwambia chuo ninachosoma
Ooh kumbe pale okay napajua vzr aliendesha mpaka pale tukafika

Kama kawaida nilimuomba asimame mbali kidogo na pale Ili kuepusha wambea wasinione wakajua nimepata mchumba 🀣


“How can u work and studying at once ?u awezaje kufanya kazi na kusoma kwa pamoja ? akauliza

“Ni story ndefu sana Jarred ipo siku nitakusimulia kama nikiendelea kuwepo hapa mjini …nilimjibu

“What do mean .? Aliniuliza

Kabla sijamjibu

“Fanikiwaaa ,sauti ya Maombi ilisikika masikion mwangu 🀣🀣amenionaaaaaaaaπŸ™Œ hahahaha

“Bye Jarred see u tomorrow” nikatomua mbio πŸƒ

Nilienda kwa Maombi na kumkumbatia

“Yule ninani ? aliuliza hakutaka ngonjera kabisa πŸ˜‚

” Ni Jarred”
“Yupi ? Aliuliza kama mzazi wangu Yan πŸ˜‚πŸ™Œ

Nilikaa kimya kidogo
itaendelea dears

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

SHEMEJI UMECHOMEKA KWELI? FULL

LOML | Love Of My Life FULL

BIKIRA YA BIBI HARUSI FULL

UKO HOME NIJE FULL