
JOGGING MASTER ππ13
(Master of Love π)
ππππππππ
tukiwa tunaendelea kutafuna popcorn πΏ
Simu ya Maombi iliita palepale na haraka alipokea
“Maombi lecture ameingia darasani na anachuku list ya waliohudhuria, yaan kimbia kabla halijakukuta jambo …
“Nakuja nakuja alisema Maombi na kutuaga
“Please take u’re meal and go with it”
Jared alimwambia aende na chakula atakula hukohuko
Basi mhudumu alimfungia kwenye foil na
Kumpatia juice nzito ya Ceres akaondoka kuwahi kipindi
Nikabakia na Jared ππ
“Are u okay ? akauliza
“No ,am not ..nilisema π’
“What’s wrong with u Fenny , anapenda kuniita hivyo π
Alisema Jarred alionesha kuguswa kabisa na Hali yangu π’π’
“Nimefulizwa chuoni sijalipa feels na accomodation and I have no any support from anywhere π’ nikaanza kulia π
“Please don’t cry uko mahali sahihi kabisa tell me what is u’re wishes,alisema Jarred …..
“Naomba unisaidie hata nauli tu yakunifikisha Namtumbo nikakae nyumbani nimechoka kuteseka ππ
Nimekuja kwa wiki moja tu lakin nimeshateseka vya kutosha nahitaji kwenda kujipanga upya nyumbani πππ
Kwa malipo ya elfu mbili pale mgahawani hayawez kunilipia ada Wala kunilisha kwa miaka mitatu hapa chuoni naumia sana ni kama Mungu hanisikii vile nimeteseka sana… kijijini wazazi wangu wanaumia sana Ili tu nipate elimu lakin sasa mambo yanazidi kuwa magumu zaidi kila kunapokucha πππ
Nililia mnooooo
Jarred alinitizama na kunipatia leso yake nyeupe nzuri hiyo inanukia hatarious ….
“Please don’t do that nikabakia mpwekeπ’nineshakuzoea sana please alisema huku akilengwa na machozi machoni mwake π’π’π’ …..
“Listen Fenny Nitafanya kila kitu kurudisha furaha yako Tena …..
please kula na urelax hakuna shida yoyote ile Tena …alisema akinishikilia mikono yangu
Nilimtizama tu huku machozi yakigoma kabisa kuacha kutoka
U’re so beautiful when you’re crying unalijia Hilo ?π alisema ilimradi tu kunirudisha kwenye mood ….
Hapo nikasmile kidogo πkwa viaibu huku nikifuta machozi yaliyokuwa yakitiririka tu yenyewe
Niliacha kulia lkn nilishindwa kabisa kuyazuia machozi ,yalitoka yenyewe huku nikitabasam π’
Okay unapenda ule nn ambacho atleast kitapita na utaweza kulala vzr ? aliniuliza
“Juice tu , nilisema
Alimuita mhudumu akaagiza juice na keki lain ya red velvetπkiboko kabisa π
chakula chake pia kililetwa tukaanza kula slowly with table mannerβοΈ
tulimaliza kula then tukaenda reception…..Jarred alibook
chumba hapohapo π nikasema liwalo na liwe tu I have no way ….
Tulitoka na kuelekea chumbani ….
Jarred Alitangulia na kufungua mlango wa chumbani ….
“Welcome alisema akinitaka niingie….
“Nitaamin vipi ? π nilimuuliza
Tutaacha milango yote wazi ad usual π€£π€£Alinijibu na ashaujua ujinga wangu hahahah
Niliingia chumbani … ooh hapa ni paradise siyo chumbani oya wee ππ
kwa Kiasi fulani nimeanza kumuamini kutokana na roho yake safi kama ya Maombi ….
Chumba kilikuwa kikali balaa sijawah hata kuota tu kulala kwenye room kama ile jamni daah
Nilikuwa nashangaa tu karibia niangushe macho π
“Welcome alisema Tena
Thankyou Jarred …. niliitikia nikifuta machozi yaliyomwagika kama maji maporomokoni….
Nilikaa kitandani na yeye alivuta kiti akakaa karibu yangu …..
Unasomea Nini ? aliniuliza
Education ..nilimjibu
“I hope wanangu wamempata mwalimu mzuri alisema π
“Yeah naweza kufundisha hata kama ni wadogo nitawafundisha na wataelewa vizuri sana ππ
“Yeah I know ni wadogo sana Tena sana alisema Jarred π
Ungependa kurudi Hostel au uishi hapa mpaka umalize masomo yako ? π³π³
“Niishi hapa ? Sina pesa za kulipia Jarred nilisema kwa mshangao
Don’t worry about bills nitapay each and everything saw Fenny,
“Utakavyopenda nitafanya tu nilijibu kinyonge sana
It’s okay ungependa kuwa mwenyewe au na Rafiki yako ?
“Nampenda sana Maombi na natamani Muda wote niwenae hapa ,nilijibu kwa ujasiri mkubwa
“It’s okay basi utawasialiana nae aje na mtaishi hapa sawa mom?
“Sawa ubarikiwe sana Jarred nilipiga magoti kumshukuru nikilia kwa uchungu ππ
“Pleeeeeease Fenny huku akiniinua na kunikumbatia mnoooo
is my pleasure ,furaha yangu ni kuona mkifurahi okay ! Alisema na kuniomba nipumzike then tutawasiliana kesho mapema mnoo Ili nikaanze usajili pale chuoni …….
Tuliagana alinikiss kwenye paji langu la uso na kuniambia nilale salama na anapenda sana utoto wangu πππ …..aliondoka jogging master
itaendelea dears
All Rights Reserved Β© | Simulizi TAMU