
JOGGING MASTER (17)

JOGGING MASTER ππ 17
( Master of Love π)
πππππππ
yule mdada alileta chai kama kawaida ,kaweka mezani akabakia kutushangaa tu π
“what is it! Jarred akamuuliza
“boss naona uko na house maid wako ? yule mdada akamuuliza Jarred
“Yeah maid of my full body control alijibu Jarred na kumfanya yule mdada kuishiwa pozi akaondoka kama mwanambuzi amelowa na mvua π€£π€£π€£
nilimtizama Jarred ambae alinitizama pia na akacheka kidogo βΊοΈ
Kuna kitu nataka kukwambia Fenny
alisema ….
“kitu Gani Jarred? nilimuuliza
Yan sahizi nishakuwa mdada wa mjini jmn nimependeza kwa pesa za Jarred yaani huyu ni moja kwa moja peponi ππ€£
“unajua Fenny u’re such a beautiful girl ever??
niliinama chini kwa viaibu π
akaniinua kidevu changu na kunitizama uso wangu ….kuna kitu kizuri sana nitakwambia tarehe soon …,save the moment please don’t forget this ….alinambia kwa msisitizo
“sawa am waiting for it …..tulimaliza kunywa chai haooo tukachukua tax, akanipeleka hadi pale Lodge kisha yule tax akamrudisha Jarred kwake sijui ni wapi huko π……
Kila weekend Jarred alinipatia laki moja na nusu kwaajili ya kuwatumia wazazi huko kijijijini …. maisha ndo yalikuwa hivyo yaan kwa kifupi nililala maskini nikaamka tajiri π……
Siku moja niliamka mapemaa kujiandaa kwaajili ya jogging. ……nilisubiri sana simu ya Jarred kuwa nitoke nje twende zetu site ila hakunipigia π’ …..
nikamtumia message ….
“hello Jarred”
ilikuwa ni kawaida yake kila asbh kunitumia msg kutaka kunijuali Hali na kuniita twende zetu jogging π,yaan mpaka nikawa nimeshazoea π
basi siku hiyo ya juma Tano sikuona msg yake, mpaka saa mbili asbh …nikaona anyways
tukajiandaaa haooo mpaka tunafika chuoni sikuona msg yake yoyote …..
ndipo nilipoamua kumtafuta Tena kujua anaendeleaje ? nilimtumia msg ya pili ila ilifika tu na kuleta deliver report ….
“Gmorning my dearest” nilimtumia msg hiyo
lakin haikujibiwa …hanaga shida najua akiona tu msg yangu atanitafuta ….
tukiwa darasani tulisoma mpaka vipindi vikaisha tukaenda lunch , tukiwa tunakula simu yangu iliingia msg ……
“Sorry Fenny Nina emergency nitakutafuta nikiwa sawa”
ile msg iliupasua moyo wangu π’nilitamani kujua Jarred ana shida Gani ! amekumbwa na nini lkin nikatulia kusubr anitafute kama alivyosema ….
ila sasa uvumilivu ukanishida Binti Mimi π’nikampigia simu ila haikupokelewa ,nikawa Sina Raha Wala amani ndani hakukaliki na sikumwambia Maombi kama Kuna shida yoyote kwa Jarred ,
nikaona mbona hapakaliki nikafunga safari kwenda kwa yule mdada wa pale dukani labda anajua shida Gani imampata Jarred , hapo hata sijui yule mdada ninani yake Jarred π’ nikajibeba kaa gunia la mahindi huyooo mpaka dukani kwa watu aloo π

