JOGGING MASTER (19)

JOGGING MASTER πŸ’žπŸ’ž 19
(Master of Love πŸ’•)
πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’—

mwanamke alikuwa akiongea huku alisogea nilipo na kuanza kunivuta masikio kama nyau

“please Nancy stop it unanidhalilisha”
alisema Jarred kwa sauti ya ukali …..huku akimtoa Nancy mwilini mwangu , Wakat Jarred akihangaika kumtoa Nancy kwenye masikio yangu na kumsogeza pembeni

tulia nimfundishe adabu huyu mtoto mdogo alisema Nancy akajivuta akalifikia bakuli la mchuzi wa samaki akanimwagia mgongoni waaaa
“mamaaaaa, nilipiga kelele mchuzi ulikuwa wa moto mno nilipiga mayowe 😭

lakin kwann unanifanyia hivi we dada ? nimekukosea nn eti ,nilipatwa na hasira za ajabu ,nilimdaka Nancy niliayavuta mashavu yake kama mipulizo🀣🀣 ,nilimng’ata kwenye bega alilia balaaa …..

hapo sasa Jarred akamuachia ,please ondoka hapa kabla sinaita polisi alisme Jarred akimsukuma Nancy ambae alianguka chini kama kipeto

“siondoki ita hao polisi waje hapa itaaa Lisema Nancy akija Tena mwilini mwangu alooo Mimi nimetokea Namtumbo sionewi kizembe nilimchapa yule mwanamke mpaka akawa mwekundu 🀨 yaan nilimpa kichapo kitakatifu Jarred Yuko pembeni anatizama tu muvi Hana neno ….

muda huohuo Security wa pale hospital wakaja na kuamua ugomvi ….

nitakuonesha nakwambia nitakuonyesha Mal*** mkubwa wewe nitakutafuta hatujamalizana alisema Nancy akiburutwa kutolewa nje

“Am sorry” alisema Jarred akinishika mkono,tulienda kulipia chakula na kwenda kwenye gari ….tuliingia ndani ya gari nikiwa nalia mnooo Nina hasira mbaya sana na sipendi kabisa kuonewa Mimi 😭😭😭

Jarred alinitizama na kunihurumia ….

“am sorry Fenny alisema Tena

“it’s okay hakuna shida ,hapo nanuka shombo la samaki vibaya mno 😭

Jarred alinitizama bila kuongea kitu akawasha gari alikuwa kakasirika mno
…tulifika mpaka mjini katikati ya mji kwenye maduka makubwa ya nguo za kike ….

Tulishuka na kuingia ndani ……

hapo Kuna kila aina ya nguo πŸ‘—

“please chagua utakazopenda tuondoke alisema Jarred” sikumjibu kitu niliingia na kuanza kumchagua nguo ….kama kawaida mama mchungaji nikachagua gauni ndefu za heshima nne tu

“unaweza kuongeza ,alisema Jarred

“oh no thankyou” nilimwambia

tulirudi kwenye gari …naomba unirudishe lodge nikaoge
“but nyumbani ni karibu zaidi ya kule Lodge please tunaweza kwenda ? alinambia

“but hakuta kuwa na shida ? nilimuuliza

“no problem at all niamin

“okay twende ,nilikubali

aliwasha gari tukaelekea nyumbani kwake

picha linaanza geti tu halipimiki kwa mizani…yaani bonge ya geti ikiwa imezungukwa na nyaya nyingi mno za umeme ….pazuri hapo balaa nje tu Kuna garden moja matata πŸ™Œ

yaan unaweza kulala pale nje maisha yako yote na ikawa fresh kabisa🀣

alipiga honi na akaingiza gari

alooh Mimi nasema hivi tutafute pesa jamani ,hakikisha haufi masikini kama walivyokufa wazazi wako

narudia Tena ….
hakikisha haufi masikini guys πŸ™ŒπŸ™Œ

ndani pale pamezungukwa na maua ambayo sijawahi kuyaona tangu kuzaliwa kwangu …..garden yenyewe sasa ni ukijani mwanzo mwisho hapo katikati ya zile garden Kuna taa kubwa za rangi mbalimbali zikiwa zinazunguka huku na kule kupendezesha …alafu pambezooni kidogo mwa nyumba Kuna swimming pool kubwa hiyo nzuri maji ya blueeee πŸ’™ yaan Kama Niko paradiso vile

ukitupa jicho kule Kuna Bembea kubwa kama za kule dukani sasa ziko kama nne alafu pembeni ya zile bembea Kuna kama tent kubwa limeweka kivuli na sofa kubwa mbili na katikati Kuna meza ambapo watu wanapumzikia πŸ™ŒπŸ™Œ

nilisahau kama nanuka shombo ya samaki nikabakia mdomo wazi kuangalia kama nimechanganyikiwa tu loooh πŸ™Œ

“are u okay Fenny? nilishtuliwa na sauti ya Jarred akinitizama vile nimepagawa na mandhari ya nyumba yake πŸ˜‚πŸ˜‚

aibu jmn mwanamke unashangaa kama umetoka kuzimu huko hahahhaa

yeah am okay
okay let’s go inside( tuingie ndani)
aisee humu ndani hata akitaka kunikula nampa Nampa nampaaaa πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ

itaendelea dears

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata