
JOGGING MASTER ππ 20
(Master of Love π
πππππππ
tulifika mlangoni Jarred alibonyeza namba flani pale mlangoni kwenye kitasa na mlango ukafunguka waaa π€£π€£
toto la Mafumbo nimepagawa nashangaa kama jambazi π€£π€£
“welcome alinambia akitangulia kuingia ndani
kabla sijaingia ndani nilikutana na ubaridi mmoja matata pamoja na harufu nzuuuri ya manukato
jamani mwenzenu naolewa leoleo π€£π€£ Sitaki nishauriwe aisee ….
niliingia ndani break ya kwanza kutumbua macho kama mwizi hahaha
.nilianza kushangaa uzuri wa sebule ile
sofa Kali mnooo Yan Kuna kila aina ya urembo ambao kila mtu atauhitaji ndani kwake. …pazuri jmn Hilo li TV sijapata kuona ππ
nilibakia naduwaa tu
Jarred alipoona nimechanganyikiwa alinifuata na kuniomba mkono wangu π
nilimpatia mkono na tukaanza kupanda ngazi kuelekea juu ghorofani …
wakati tukipanda ngazi shingo yangu iligoma kuangalia mbele ilijinyonga na kuangalia nyuma kule sebuleni π€£π€£π€£π
nashangaa mpaka naboa π€£ sijawahi kuona sasa nifanyeje jamani ….
tulifika sehem moja hivi kuna kama kioo hivi Cha mvirongo nikabakia π…akabonyeza sehem flani kile kioo kikafunguka tukaingia mara shwaaa kikaanza kupanda juu π€£π€£(lift hiyo ) nikawa nahisi kizunguzungu mwenzenu karibu niing’oe meno π€£
nikamshikilia Jarred akinikumbatia kabisa nikatulia kwenye kifua chake kipana na kizuri mno βΊοΈβΊοΈ
alikuwa akinitizama sana kwa macho yake mazuri ya kupendeza lakin hakuwa sawa kabisa π’……
tulifika tukshuka na kuelekea kwenye mlango mwingine ambapo aliweka namba kwenye kitasa mlango ukafunguka
hapo sasa ndo nikajua ya kuwa huyu Jamaa licha ya kunilipia lodge na ada ya miaka mitatu lakin ni ana utajiri mkubwa mnoooππ
chumba kikubwa kama sebule yetu,ya shangazi,ya bamdogo na bamkubwa na ya mama Poyu wa kule Namtumbo ukiziunganisha hizo sebule tano ndo unapata chumba chake kimojaπ€£
kama kawaida mshamba Mimi π yalinitoka kama nimebanwa na mlango …..
kitanda kwanza nashindwa kueleza kikubwaa kirefuu Hilo godoro sijui ni nch 40 mi sielewi jamani ukutani kabandika picha yake na mtoto mmoja wakiwa wamekumbatiana wametabasamu βΊοΈβΊοΈ
nadhan ndo kijana wake huyu alafu sasa chumba kizima ni rangi ya grey kila kitu mule ndani ni grey vitu vipo kwa set kitanda kina kabati yake , dressing yake shoe rack yake na kila kitu mpaka dinner set ipo chumbani imagine …
ndani pananukia pamepoaaa hapo hatarious nilibakia nimetumbua macho tu nisijue la kufanya …..
” unatakiwa kuoga Ili tutoke” alisema
“that is our bathroom ” akinioneshea kwa kidole chake
hapo bathroom palikuwa na mlango wa kioo ambao ukiwa ndani nahisi mtu ana kuona vile unaoga π€£anaona vitraako vyako vyote niliogopa ππ
“Kwan hakuna mlango π€£nilimuuliza
upo ule pale π,akioneshea kwenye kile kioo π€£π€£
“hamna mlango wa mbao ?π€£π€£ nikamuuliza
“alitabasam π…..don’t worry hautaonekana ukiwa ndani ππ
akainuka na kwenda kwenye kabati yake akanitolea taulo ya rangi ya grey akanipatia π yaan kile chumba kila kitu ni grey kinapendeza mnoo π
nilichukua taulo kwa kuchuchumaa kidogo kamna mjuavyo wanawake wa vijijini tuna nidhamu sana π€£π€£
nilienda bafuni …huko sasa jmn Kuna vioo kila sehemu π€£Yan unaoga huku unaangalia nyeti zako vile zimekaaπ€£π€£, pembeni Kuna jacuzzi Yan bafuni tu ni kama chumba Cha wazazi wangu kule Namtumbo π€£π€£,nilibakia kushangaa tu nisiamin Niko ndotoni au Niko live π
nikatoa ile nguo ya shombo ya samaki nikachukua sabuni ilikuwa ni shower gelπ inanukia hiyo vibaya mno ππ
nikaanza kuoga huku najitizama vile nimeumbwa na shepu kama mwiko π€£π€£
mzuri wa sura ila shepu dada shepu kama kijiko π€£
nilioga nikamaliza then nikavaa
ile taulo ilikuwa fupi sana πsa natokaje kule kwa Jarred akiniona itakuwaje ?π€£mbona kama nakaribisha mnyanduano hapa hahaha
MWISHO WA SEASON YETU YA KWANZA
JE NINI KILIENDELEA HI SI YA KUKOSA
SEASON 2
All Rights Reserved Β© | Simulizi TAMU