
JOGGING MASTER ππ 22
(Master of Love π)
πππππππ
Njia nzima kila mtu alikuwa kimya hakuna aliyemsemesha mwenzake
niliona kama uvumilivu unanishinda
uko sawa ? nilimuuliza
“am not” Alinijibu
kitu Gani kitakufanya uwe sawa ? nilimuuliza
“u’re kiss will make me happy”πalisema Jarred
nikajua ni utani eti ,nilicheka lkin yeye alikuwa serious mpaka nikaogopa
“Jarred nilimuita” hakuitika alikuwa bize kumtizama mbele
“Jarred” nilimuita Tena ,hakuitika
“Jarred” nikamuita Tena ,safari hii alipack gari pembezoni mwa barabara kisha akaachia usukani na kunigeukia
“I told u Fenny u’re kiss will renew my mind” alisme akiuvamia mdomo wangu na kuanza akuupiga kiss π moja ya hatari
khee kumbe ni tamu jamni na hamsemi πππ
alinipiga ile deep kissing mpaka nikachanganyikiwa , aliniachia kisha kaegemeza kichwa achake kwenye uskani wa gari ……
alikuwa ni kama anajutia kitu fulani hivi
“please Jarred naomba uwe sawa everything will be alright” please don’t be like that ukiwa hivyo Mimi nitapata huzini zaidi
nilimwambia nikimuinua kichwa chake
U know what Fenny, nilifanya big mistake kwenye maisha yangu kumkaribisha Nancy kwenye maisha yangu ,but halikuwa kosa langu hata Mimi sikujua kama yatatokea haya Yote
kwann yananitokea haya ? yule mwanamke anataka nifanyie nini Ili aridhike
alilalamika sana Jarred lakin Mimi sikumuelewa hata kidogo maana hata sijui background ya mapenzi yao ilikuwaje
.nilikuwa namtuliza tu na kumuomba atake it easy kila kitu kitakuwa sawa …..
aliwasha gari tukaondoka
tulienda hadi sehem moja nzuri kama ya utalii hivi,hapo palikuwa na mabwawa makubwa ya kuvua samaki na upepo mwanana
tulishuka na kwenda kukaa kwenye Moja ya mabench yaliyokuwa pale …..
kumbukeni ni jion sasa na kesho natakiwa ku attend vipindi vya kule chuo na simu yangu iliizima maana Maombi angeshapiga missedcall mia tatu ππakitaka kujua kama nimeanza kuwa na wanaume hahahaha
tulikaa pale na alikuja mhudumu akatuuliza tungependelea kula chakula Gani
naomba ugali na maziwa mtindi nilisema hapo nilikuwa na njaa ya hatari ππ
sorry miss hapa tunauza sea food tu hakuna maziwa wala nyama alisema yule mhudumu aibu jmn nilishoboka haraka ona sasa naaibika Mimi πππ
“Oh sorry is my fault sikumuelekeza basi tupatie mixer ya sea food plate mbili na juice ya bitreat na strawberry alisme Jarred na kumfanya yule mhudumu aondoke kwenda kuleta …..
“Am sorry alisme Jarred”
it’s okay hakuna shida nilimjibu na kuiwasha simu yangu sasa ni majira ya saa moja kasoro usiku
ile nawasha tu simu aloo ziliingia msg 8 mfululizo
“Uko wapi
“We Fanikiwa
“Umekuja kusoma au kupuyanga
“lecture anakutafta
“we Fani
“Fani
“Fani
“Ngoja mke wake akukute akung’oe meno ππ nilicheka jamni ila Maombi
nilitoa kicheko Cha hatari mpaka Jarred akashtuka
“are u okay ? Jarred akaniuliza
ndo nilishtuka kumbe nimekenua meno yote 34 mdomoni ππ€£π€£
itaendelea dears
All Rights Reserved Β© | Simulizi TAMU