
JOGGING MASTER ππ 23
(Master of Love π
πππππππ
Nilishindwa kujieleza ikabidi nikuoneshe Jarred ile msg kutoka kwa Maombi
π€£ Jarred nae akashindwa kujiuzuia alicheka huyo nikafanikiwa kurudisha mood yake βΊοΈ
“when u smile u look more than handsome man”nilimwambia bila kuficha
“like u when u cry” π Alinijibu kwamba nikiwa nalia ndo nakuwa mzuri zaid hahah
basi chakula kikaletwa pale tukaanza kula na kwakweli tulikuwa na njaa mno tulikula hatarious,ile sea food ilikuwa tam balaa sijui ni mende wale au panzi mi sielewi ππ chakula kilikuwa kitamu sana
tulipomaliza kula Jarred aliniomba twende tukavue kidogo samaki ku refresh minds zetu …Tulichukua vifaa na kwenda kuvua samaki huku tukipiga story za hapa na pale ππ
basi baada ya muda simu ya Jarred iliita alikuwa ni mama Linus
“Mom Linus” aliita Jarred
Jarred Jiden anahitaji kuonana na wewe nna amekataa kabisa kula alisme mama Linus
am coming soon alisema na kukata simu
linapokuja suala la Jiden Jarred anakuwa confused sana anampenda mno kijana wake nilikuwa namuona jinsi alivyokuwa makini ….
“we have to go Fenny alinambia na tukaondoka zetu
Naomba unipitishe Lodge kesho Nina kipindi asubuhi sana nilimwambia Jarred
please tukamuone Jiden kwanza
hapana Jarred nitakuja siku nyingine nilikataa katakata nilitakiwa kwenda kujua maendeleo ya kule chuoni na kupata updates zingine
basi hakuwa mbishi, alinipisha supermarket akatuchukulia mahitaji kama Nido kubwa chops na makolo kolo kibao yalijaa kwenye mfuko yani . ….tukatoka akaendesha mpaka pale Lodge akaishusha tukaagana akaondoka zake …..
niliingia room na kukuta Maombi Yuko bize kusoma π
“vipi mbona unasoma usiku huu ni saa tatu Kuna nn kwani ?
“Ohoo hakuna kitu kina wachumba wewe endelea kuzagaa na wanaume za watu ma jogging master wanakimbia kimbia tu hata hawajui wanakimbiza Nini ……. kesho saa kumi na mbili asubuh Kuna test chuoni hapo ulipo huna notes ,huna summary Wala kichwani hakuna material ,unamuwaza tu yule handsome sasa endelea π alisema Maombi kwa uchungu mwingi kama mzazi wangu Yan hahaha
“My Lord test ?
“hapana jaribio π€£π€£alijibu
nilichanganyikiwa ukizingatia kusoma kwenyewe imekuwa kama muujiza tu ,nilienda kuoga chap nikasogea lipo Maombi nikapiga picha notes zake chap na kuanza Kusoma …nikiwa anasoma simu iliingia
namba ngeni
Huyu nani Tena π
itaendelea dears
All Rights Reserved Β© | Simulizi TAMU