KATOTO KA FORM ONE π
SEHEMU YA 15
Wakati Nurat aliporudi kutoka shule jioni aliwasha simu yake na walikuwa chumbani pamoja na Winnie. Muda huo Nurat alikuwa ameshikilia simu yake mkononi ndo ameiwasha.
Baada ya kuwaka kabisa, ziliingia jumbe tatu, mbili zikiwa za namba mpya huku moja ikiwa ni ya Ando
Namba mpya: 1 Vipi shem? 2 Hellow
Ando: Uko vyema malaika?
Alizisoma ila akapuuzia zile za Ando kisha akamjibu huyo wa namba mpya
βHellow nani wewe?β aliuliza Nurat halafu akaendelea kupiga story na Winnie. Baada ya dakika moja, Nurat aliacha simu kitandani akatoka maana hakutaka kule nyumbani wajue kwamba anamiliki simu.
Alipotoka tu hivi, ile namba mpya ilijibu ujumbe. Winnie na kisebusebu chake akafungua ile message na kusoma ujumbe iliandikwa hivi
βMimi Ommy, kumbe ushatoka shule?β aliuliza Omary kumbe wakati binti alipochat naye jana ake, alikuwa amemfanya jamaa apate namba ya Nurat kirahisi
Alijibu Winnie mwenyewe βNdio, nishatokaβ
βWoow, nashukuru kwa yale ya jana kiukweli, asante sana nimeinjoy Nuuβ alijibu kwa mbwembwe bwana Ommy message ile
βHaaaaah, kumbe eehβ Winnie alisema kwa hasira akijua kwamba Ommy tayari ameshauonja utamu wa Nurat.
Muda huo huo Nurat aliingia akakuta akiwa na sahani ilojaa ubwabwa, Winnie ameketi amefura anatetemeka kwa hasira. Alinyanyua uso akamtazama Nuu kwa hasira
βWewe malayaβ Alisema Winnie
βMalaya?β Nuu aliuliza kwa mshangao βmbona unanitukana?β
βWewe na Ommy mmefanya nini?β aliuliza mtoto huyo wa kike akiwa na hasira kali
βEeh?β binti alishangaa βMimi na Ommy? Kivipi Winnie?β
βNtapasua hii simu, unafikiri sijaona messeji anazokutumia?β
βMessage gani?β bado Nuu alishangaa maana alikuwa hajawahi kuchat na Ommy.
Winnie akamgeuzia kioo cha simu na binti akakitazama kuna message ya Ommy
βWhaat? Mbona unanishangaza mimi hata hiyo namba siijui? Kwani kainjoy nini na mimi?β aliuliza Nurat.
Winnie hakujibu chochote, alichukua simu na kumtumia ujumbe mfupi Ommy βEmbu nipigieβ alituma
βWinnie sikuelewiβ alisema Nurat kwa bado alikuwa katika hali ya mshangao mkubwa. Ndipo simu ya Winnie ikaita
βNgoja utaelewa tuβ alisema binti Winnie kisha akapokea simu ya Ommy βWewe mwanaumeβ
βNambie kipenzi changuβ
βPlease ishia hapo hapo, nieleze kwanza umefanya nini na Nuu?β aliuliza
βKivipi?β Ommy aliuliza
βUnafikiri sijaona text zenu si ndio?β alisema kwa hasira
βAhahaa…acha mambo yako bana Winnie nimemshukuru kuna kitu kingine kakifanya sio mapenziβ
βKitu gani hicho unasema umeinjoy?β alisema
βNimeinjoy alichokufundisha unajua kile ulichonifanyia bafuni leo nimefurahi sanaβ alisema Ommy yaani yeye alikuwa anashukuru kisa Nuu kamfunisha Winnie kunyonya naniliu
βMhβ Winnie aliguna
βNakucheki mke wangu ngoja nije hapo homeβ
Ommy alikata simu na kumuachia Nurat bifu
βKilichokutuma ukamuambie kwamba umenifundisha hivyo nini? Wewe unamtaka wewe tena nahisi ushampa uchafu wako huoβ
βNisamehe Winnie mimi sijafanya chochote, sorry sanaβ
βToka huko…..mfyuuuu, muoneβ Winnie alibonga kwa hasira halafu akainuka na kuchukua kiswaswadu chake akaondoka kule chumbani
Ni kweli mtu yeyote akikuta ujumbe wa aina ile kutoka kwa mpenzi wake lazima atajua wameshapeana raha. Nuu alibaki aelewi ila alikuwa ameshaomba msamaha vizuri na kusoma zile message
Aliketi kitandani akaendelea kula ubwaba huku akiwaza lakini sio kivile. Ndipo akatumiwa ujumbe na Madina, ambaye alikuwa akisoma naye
βBabyβ Alituma Madinna, ni majina ya kawaida watoto wa kike kuitana wao kwa wao
βNambie sweetheartβ Nuu alijibu
βVipi yule mkaka anakusumbua bado?β aliuliza Madinna
βYupi?β
βYule sijui ndo Ando sijui Bando ππβ alituma Madina
βAmenitext sijamjibuβ alisema Nuu
βNimemtukana vibaya sana…..mbwa yuleβ alisema Madinna βEti anataka nikamtembelee huko Bagamoyo mimi nina muda huo?β
βHaaa…..yashakuwa hayo? Achana naye hana jipya hata mwenye sio handsome boy na dudu yake sio kubwa nilivyoiona kwenye pichaβ Nuu alipigia msumari
βPoa shoga ngoja nizidi kumpa vidonge vyakeβ Madina alijibu
βOk…..kuna mtu kanitibua hapa vibaya sanaβ alisema
βNani tena honey?β Madina aliuliza
βAcha tyu, nikija school kesho nitakuelezea shoga anguβ
βPouwah…..leo hauendi kufundishwa na yule uliyeniambia alikufundisha jana mkat….anaβ
βHah, hajarudi akirudi naenda kusomaβ
βMh, eti kusoma, Ngoja tu nikutakie kitombo chemaβ
βHahahaa…..β Nuu alicheka sana……ITAENDELEA
All Rights Reserved Β© | Simulizi TAMU