KATOTO KA FORM ONE π
SEHEMU YA 17
TULIPOISHIA
Nuu aliokota khanga haraka akainuka, na kutaka kuondoka, ila Ommy alizidi kumbana kitendo kilichofanya iwe inamsugua matakoni……..βAaash niache ommy pleaseβ alisema huku akipeleka mkono na kuishika dudu βWewe bhana, mbona imesimamaβ alisema mtoto wa kike. Ila ghafla Winnie alikohoa wote wakashtuka.
Walipotazama mbele hivi, Winnie kasimama ukutani anawatazama kwa hasira kaja sekunde kadhaa zilizopita.
βWinnie!β Ommy aliita kwa aibu
ENDELEA
Winnie hakuitika aliwatazama tu huku wakijishtukia na Nuu akifunga khanga yake kiunoni.
Winnie aligeuka na kupiga hatua kadhaa kuelekea chumbani kwake βOna sasa unaniletea matatizo mimi na rafiki yanguβ Nurat alimuambia Ommy
βSorryβ alisema Ommy naye akaondoka akaelekea chumbani kwake na kufunga mlango, alibaki anawaza kwanini anapatwa na tamaa kiasi kile kwa Nurat
Nurat naye aliondoka kuelekea chumbani, tena aliposukuma mlango tu hivi alimkuta Winnie akiwa ameketi kajiinamia kichwa huku akilia kwa kwikwi
βWinnieβ Nurat aliita kwa uoga, alijua mwenzake lazima amuhisi vibaya. Alirudishia mlango na kwenda kuketi kando ya Winnie βOmmy ndo ana tamaa, alikuja pale ananisumbua, haki ya Mungu sikuwa na mpango nayeβ Alijitetea lakini Winnie aliendelea kukaa kimya
βUsilie sasa, muonyeshe mapenzi matamu achanganyikiwe na hatokusaliti kamwe shostβ alisema Nurat huku akimshika mabegani Winnie
βNiachie malaya weweβ alisema na kujikungβuta halafu akajirusha kitandani
βMi sio malaya Winnie, sijatembea na boy wakoβ
βMbona ulikuwa uchi?β
βNilikuwa nataka kuondoka akanivuta kwa nguvu ndio kanga ikadondoka ila kiukweli sina hisia nayeβ alizidi kujitetea
Kweli haikupita dakika nzima, ujumbe uliingia kwenye simu ya Winnie, akainasa na kuufungua akasoma
βSAMAHANI MKE WANGU, NAJUA NAKUKERA ILA HII HAITAJIRUDIA, NI KAKA DENIS ALINITUMA NIJE KUMPIMA KAMA ANAMPENDA KWELIβ
Sifahamu Ommy alitoa wapi uongo mkubwa na wenye ushawishi namna hii. Winnie alitulia huku kidogo akipata nafuu ya moyo
βKWENDA HUKO HAUJATUMWA CHOCHOTEβ alimjibu
βKWELI WALLAH NAKUAPIA, NI KWAMBA ALINIAMBIA NIMPIME MAANA ANATAKA BAADAYE AJE AMUOEβ
βMMH, ILA SASA HATA KAMA ULITUMWA NA KA DENIS, JE KWA MFANO ANGEKUBALI SI UNGEMLA WEWE?β Winnie aliuliza
βNISINGEWEZA KUFANYA LOLOTE NA ILHALI NAJUA NIKO NA WEWE, HALAFU BABY WEWE UNAFIKIRI SINA AKILI KWELI NILALE NA MWANAMKE MWINGINE HUKU NDANI WAKATI WEWE UPO HAPA?β aliuliza
βDAAAH! HAYA BHANAβ Winnie alijikuta anadanganyika kirahis rahisi tu.
Walilala
**
BAADA YA SIKU MBILI
Ilikuwa ni siku ya jumamosi Nurat alimfuata mama Denis
βMamaβ alimuita kwa nidhamu
βAbee mwanangu Nuratβ
βNaomba ruhusa nikawasalimie wazazi wangu Matosaβ alisema binti
Mama akitabasamu βNilijua lazima utakuwa umewamiss sana….! Basi usijali nenda kawasalimu wazazi wako sawa?β alisema mama
βAsante mamaβ alisema mtoto wa kike kwa furaga
βOkayβ mama alisema.
Nurat alijiandaa haraka haraka na kuondoka kama alivyoahidi kwamba anaenda kuwasalimu wazazi huko Matosa karibu na Kimara
*
Madina naye alikuwa nyumbani na dada yake wakiongea
βDada mi naenda zangu kwa rafiki yanguβ
βOsha kwanza vyomba na ufue nguo zako zinanuka huko ndaniβ alisema dada yake kwa hasira
βMmmh, si ntaosha kesho?β alisema Madina
βKesho? Kesho tunaenda wote kwa Mwamposa tukaombewe, utaosha saa ngapi? Embu acha ujinga nenda kaoshe vyombo ndo uondoke hapaβ
βSawaβ Madina kwa hasira aliinuka na kwenda kufanya kama alivyokuwa ameagizwa.
Ilikuwa ni mida ya saa 4 asubuhi alikuwa anaanika nguo na vyombo alishamaliza muda mrefu maana alifanya haraka haraka
Madinna alioga na kuvaa nguo ya kubanda iliyomfanya aonekane na madodo yajichore vizuri kifuani.
Alijitazama kwenye kioo akatabasamu kwa furaha baada ya kuona alivyodamshi
βLazima akakomeβ Alisema Madinna
Baada ya hapo alijipulizia marashi, akachukua simu yake aina ya iPhone 5 akatia kwenye pochi na kutoka nje, alipofika nje alimuaga dada yake kisha akaondoka kuelekea barabarani
βMbwa huyu sijui anaenda kuto…..waβ alisema dasa kwa hasira βWewe Madi….na wewe, ole wako ushike mimbaβ alisema kwa hasira dada lakini Madina alisonya na kuendelea na safari
Alipofika mbele kidogo alienda kwenye kibanda cha M pesa na kutoa pesa taslim 15000, (Elfu kumi na tano) za kitanzania.
Baadaa ya hapo alichukua pikipiki akaenda mpaka bondeni kisha akapanda gari ya Tegeta nyuki. Alipofika Tegeta alikwea gari la Bagamoyo na safari ilianza kuelekea bagamoyo.
*
Kwa upande wa nyumbani kwa Mama Denis ni kwamba Denis alikuwa akifyeka maua ya yeboyebo huku akisikiliza music kwenye spika za masikioni. Aliimba pamoja na wimbo wa Darasa na Sho Madjozi ule wa (I like it) halafu akashtuka baada ya kuguswa begani akageuka na kumkuta Winnie amesimama nyuma yake akitabasamu
Denis alitoa spika masikioni na kucheka
βDaaah yaani weweβ Winnie alisema kwa macho yaliyolegea na kunyanyua mkono akamfinya shavuni
βNini sasa?β alisema Denis na kujishika shavuni
βNakuita muda wote huo husikii? Na earphone zakoβ alisema kwa hisia binti huyo
βIβm sorry sikusikia, nilikuwa nasikiliza mziki mneneβ alisema
βMmmh, Muoneβ Binti alisema na kumshika mkono anamvuta kwa nguvu βHaya twende tukaleβ alisema mtoto wa kike huku akionyesha hisia fulani
βMmmh!β Denis aliguna βKale mi nitakula baadayeβ Denis alisema
βNooo bhan, mi siwezi kula peke yangu nataka nikale na weweβ alisema kwa,hisia za mahaba kabisa huku akizidi kumvuta ikabid Denis auvute mkono kwa nguvu ili binti amuachie, lakini haikuwa hivyo ile amemvuta tu mtoto wa kike moja kwa moja alikuja kinyume nyuma na matako yakatua juu ya uume wa Denis mbele kabisa ya suruali halafu alivyo na makusudi alibaki pale pale
βTwende bhan…..tukale kaka Dee…..β alisema huku akifumba macho zaidi na kumgeuzia shingo
βOh, basi sawa……sawa…..twendeβ Denis alisema vile ili binti aondoke pale.
Winnie alimvuta wakaondoka wote kweli,
βNurat si anajifanya mjanja’ Winnie aliwaza βngoja nimuonyeshe…..lazima ka Denis anito…..be, ili aone uchungu wa kuchukuliwa mpenzi’ alizidi kuwaza huyo mtoto wakike……JE ITAKUWAJE? USIKOSE SEHEMU YA 18
All Rights Reserved Β© | Simulizi TAMU