KATOTO KA FORM ONE 🔞
SEHEMU YA 23
SIKU YA JUMATATU SAA NNE NA DAKIKA 20 ASUBUHI
“Shoga angu yalonikuta mwenzako natetemeka, nataka niondoke kwa yule mama” Nurat alimuambia mwenzake Madina
“Tatizo nini kipenzi?” aliuliza Madina
“Yule dada wa kazi niliokuambia anafanya kazi pale nyumbani, kaniletea timbwili yaani acha tu”
“kivipi?” Nurat aliuliza na kufunga sketi vizuri huku akitembea kuelekea eneo fulani kununua vitu vya kutafuna
“Yaani, aliamua atoke na yule mkaka, Denis, halafu na mimi si nikawa nataka nimlipize nitoke na houseboy Omar”
“Akakufuma?”
“Hamna, yaani katika kumtega nikajisahau nikadondosha khanga nikijua bado yupo kumbe baba ndo yuko pale sebuleni hafu nikabaki uchi wa mnyama kabisa” alisema Nurat
“Mungu wangu! Mbona imekuwa pambe, sasa itakuwaje?” aliuliza Madina
“Nilikimbia ila alikuwa ameshaona kila kitu, hadi tamu yangu maana niliinama nikamgeuzia makalio ikarudi nyuma yote mi nikijua namuonyeshea kijana yule houseboy”
“Pole, sasa hapo ondoka uhamie kwetu, ila sio siri yule kaka wa Bagamoyo anajua kukuna shoga” alisema madina huku akiwa anagonga na Nuu
“Bhana usinikumbushe nitawashwa” alisema wote wakacheka na kuingia kibandani wanataka mihogo
Upande wa nyumbani pia baba na mama Denis baada ya kujadili kwa kina walifikia hitimisho wamuambie mzazi wa binti kwamba mtoto wao anamiliki simu isijekuwa wamemruhusu au wamnyang’anye
Mapema, Baba Denis alichukua simu na kumpigia mzee Mpili
“Ee ndugu yangu umenikumbuka leo?” Mzee mpili alisema baada ya kupokea simu
“Naam, ukiona hivyo ujue kuna tatizo”
“Tatizo gani tena?” Mzee Mpili aliuliza kwa mshtuko kidogo, hisia zilimpeleka moja kwa moja kwa bintie maana alijua ndiye aliyekuwa mikononi mwa Ba Denis
“acha tu, lakini salama huko?”
“Salama sana, huko kwenu vipi?” aliuliza mzee Mpili
“Huku salama pia, ila…”
“Ila nini?”
“Tumeona tusijelaumiana baadaye, hivi una taarifa kwamba binti yako anamiliki simu?” aliuliza
“Simu?!!! Simu gani??! Binti yupi? Nurat au?” mzee aliuliza maswali mfululizo alihisi anachanganywa tu
“Ndio, Nurat nimegundua ana simu ila kabla sijachukua maamuzi nikaona nikupigie isije ikawa wewe ndiye uliyemruhusu” alisema
“Siwezi mimi fanya huo ujinga! Sikiliza kama kweli anayo tafadhali mpige sana halafu ipasue halafu mwambie aje tuongee naye huku nyumbani mpumbavu huyo, mwana izaya mkubwa” Mzee mpili alifoka
“Sawa mzee wangu hamna tatizo nitajua namna ya kufanya”
“Haya, ninaomba ufanye haraka, yaani timu yangu leo inacheza lakini yeye ananiletea ujinga ananiharibia hamu ya kuangalia mpira kabisa shenzi”
“Usikasirike sana tutayamaliza”
“Sawa nitashukuru”
“Haya msalimie mama”
“Nawewe pia msalimie huyo mama huko”
“Haya, zimefika”
Ba Denis alikata simu kwa hasira halafy akaondoka pale alipokuwa na kwenda moja kwa moja hadi nyumbani ambapo alimkuta mkewe na kumueleza kila kitu
*
Baba Denis naye alimuita Winifrida
“Abe….”
“Njoo toka huko chumbani” alisema
“nakuja baba” alisema binti
Ndani ya sekunde kadhaa binti alitoka chumbani na kumfuata mzee sebuleni akiwa na mama, mama aliketi ila mzee alisimama
“Sasa sikiliza Winnie” Ma Denis alianza
“Ndio mama nakusikiliza”
“Unajua huyo msichana anahifadhi wapi simu?” aliuliza
“Ndio ninafahamu”
“Exactly, tuletee hapa sasa hivi” alisema Baba Denis
“eeh, akija kuniuliza?”
“Umuambie tumeingia tumapekuwa ndani, kwani nyumbani ya nani hii?” aliuliza mama
“ni ya kwenu”
“Tuna mamlaka ya kuingia chumba chochote”
“Sawa mama nawaletea” alisema Winnie na kugeuka akapiga hatua kuelekea chumbani kwake
“Sasa hivi……right now”
Winnie alienda chumbani na kukagua simu ipo pale pale alipozoea kuikuta, alivyo na makusudi Winnie aliitoa hadi password na kuwapelekea maana alishaikariri kutokana na kumuona binti akiitoa mara kwa mara
Alimpa mzee, mzee akaitazama na kisha akampatia mkewe ndipo akaikagua akakuta picha kibao za uchi za mtoto yule, pia akakuta jumbe chafu sana alizochati na wanaume tofauti tofauti
“Heeh, huyu mtoto ameharibika jamani sasa picha gani hizi?” aliuliza kwa mshangao halafu akainuka na kwenda nayo chumbani kuihifadhi
Winnie alifurahi sana baada ya kuona kisasi chake kinaendelea kutiliwa mkazo na wazazi…..JE NURAT AKIRUDI NYUMBANI ATAFANYA NINI? USIKOSE SEHEMU YA 24
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU