KATOTO KA FORM ONE 🔞 (31)

SEHEMU YA 31 (mwisho)

Tuliposhia
KOSA
Ni kwamba choo na bafu vipo karibu, alisikia watu wanahema bafuni akahisi kitu.

Alisogea kwa hasira na kupiga teke kwenye mlango paaah, akuta mumewe kamshikisha ukuta Nurat. Wote wakashtuka na kuachiana
“Mume wangu!!!!” Alisema kwa mshangao “Nurat!!!!” aliita kwa hasira mama yule

Endelea
Mama aligeuka nyuma akadondoka chini na kupoteza fahamu kwa presha

“Mama Denis” Mzee alijifunika kwa taulo akatoka na kumshika mkewe, mke yupo amezirai.

Alimtikisa tikisa, ndipo Nurat akatoka na kuelekea chumbani kwake

*
Denis na Winnie walitoka baada ya kusikia kelele

“Vipi baba kuna nini?” Denis aliuliza

“Ah, mama yako kapata ajali ameteleza akajigonga vibaya”

“Tumuwahishe hospitali” Alisema Denis

“Sawa”

Harakati zilifanywa haraka na kumpeleka hospitali pale Mbezi Shule haraka sana.

Baba Denis alijua mkewe hata akishtuka atakuwa ameshaelewa kilichojiri,, alimtumia ujumbe Nurat
“ONDOKA URUDI KWA WAZAZI WAKO, WAAMBIE UMESHINDWA KUELEWANA NA SISI NIKIKUHITAJI TUTAWASILIANA”

Wakati anapokea hiyo message Nurat yuko kwenye pikipiki karibia afike nyumbani.

Mama Denis aliposhtuka alikasirika sana, mzee alipiga magoti lakini mkewe alimsamehe kwa masharti kila mtu awe na chumba chake na ikawa hivyo

BAADA YA MWEZI NA NUSU
Nurat alikuwa na mimba hajui ni ya nani, alikimbia Dar na kwenda kwa bibi yake huko Mpanda mkoani katavi ndo anailea taratibu
Na shule bye bye
“TO GOD BE THE GLORY”
MWISHO
Tamaa za mwili zicontrol ili kutimiza malengo ya muhimu katika maisha

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!