
KATOTO KA FORM ONE ๐ (31)

SEHEMU YA 31 (mwisho)
Tuliposhia
KOSA
Ni kwamba choo na bafu vipo karibu, alisikia watu wanahema bafuni akahisi kitu.
Alisogea kwa hasira na kupiga teke kwenye mlango paaah, akuta mumewe kamshikisha ukuta Nurat. Wote wakashtuka na kuachiana
โMume wangu!!!!โ Alisema kwa mshangao โNurat!!!!โ aliita kwa hasira mama yule
Endelea
Mama aligeuka nyuma akadondoka chini na kupoteza fahamu kwa presha
โMama Denisโ Mzee alijifunika kwa taulo akatoka na kumshika mkewe, mke yupo amezirai.
Alimtikisa tikisa, ndipo Nurat akatoka na kuelekea chumbani kwake
*
Denis na Winnie walitoka baada ya kusikia kelele
โVipi baba kuna nini?โ Denis aliuliza
โAh, mama yako kapata ajali ameteleza akajigonga vibayaโ
โTumuwahishe hospitaliโ Alisema Denis
โSawaโ
Harakati zilifanywa haraka na kumpeleka hospitali pale Mbezi Shule haraka sana.
Baba Denis alijua mkewe hata akishtuka atakuwa ameshaelewa kilichojiri,, alimtumia ujumbe Nurat
โONDOKA URUDI KWA WAZAZI WAKO, WAAMBIE UMESHINDWA KUELEWANA NA SISI NIKIKUHITAJI TUTAWASILIANAโ
Wakati anapokea hiyo message Nurat yuko kwenye pikipiki karibia afike nyumbani.
Mama Denis aliposhtuka alikasirika sana, mzee alipiga magoti lakini mkewe alimsamehe kwa masharti kila mtu awe na chumba chake na ikawa hivyo
BAADA YA MWEZI NA NUSU
Nurat alikuwa na mimba hajui ni ya nani, alikimbia Dar na kwenda kwa bibi yake huko Mpanda mkoani katavi ndo anailea taratibu
Na shule bye bye
โTO GOD BE THE GLORYโ
MWISHO
Tamaa za mwili zicontrol ili kutimiza malengo ya muhimu katika maisha

