
KIAPO CHA MASIKINI (06)

SEHEMU YA 6
ILIPOISHIA SEHEMU YA TANO : Naam kijana Peter alipoachana na yule mwanamke alie mwita mrembo sie ongea, alitembea taratibu kurudi kule alikotoka, ili kuwarudia wale watu aliowaona kule, akawalize, ulipo mtaa wa Zanzibar, ambako alielekezwa kuwa mke wake Sada yani mama Michael anaishi…… Endelea….
Peter alitumia muda mfupi sana kukutana na mtu ambae alimsalimia kwa heshima na taazima kisha akamwiliza, “samahani ndugu, naulizia mtaa wa Mfaranyaki” alisema Peter, na hapo bila kinyongo, jamaa akamwelekeza, huku akimpatia mbinu lahisi ya kufika mfaranyaki, “alafu bro kama unataka kufika kilahisi, ebu chukuwa boda boda, hapo utafika mpaka kwenye nyumba unayoitaka” alisema yule jamaa, ambae pia alikuwa anaelekea upande wa SIDO, “asante sana kaka, hizo boda boda nitazipata wapi?” aliuliza Peter na yule jamaa akamwelekeza Peter, sehemua mbayo anaweza kupata pikipiki, “nenda upande wapili wasoko kuu, utakiuta boda boda wengi sana kule” baada ya hapo wakaagana, na Peter akaelekea upande wa sokoni kwa mala nyingine.
Dakika chache baadae Peter alikuwa amesha pata pikipiki, na kuomba apelekwe mfaranyaki, ambako walitumia dakika kumi tu kufika, “unaenda mtaagani hapa mfaranyaki?” aliuliza yule dereva wa boda boda, “karibu na garage ya Vandu (soma kiapo cha damu) alisema Peter, akiwa bado amekalia kiti cha boda boda, “ok! ni karibu na soko la wakulima” alisema boda boda huku anaondoa piki piki, kuelekea upande aliosema, ambako awakuchukuwa ata dakika tano kufika, mtaa wa Vandu, jina maarufu la utani la mtu mmoja anaemiliki garage kubwa hapa mtaani, Peter akalipia malipo ya boda boda, kiasi cha elfu moja na mia tano, “vipi bro, nikusubiri au ndio umefika?” aliuliza dereva wa boda boda, sina uhakika kama nitaondoka sasa hivi” alisema Peter, na yule boda boda akaondoka zake, kuelekea mjini, yani kule alikotoka.
Peter akatazama huku na kule mpaka alipoliona duka moja, ambalo aliona itakuiwa nivyama kama ataenda kuulizia, ili kifahamu nyumba ambayo Sada atakuwa anaishi, hivyo bila kusita akalifwata duka lile na kuingia moja kwa moja kama wateja wengine wanavyofanya, mle ndani alimkuta mzee mmoja mwenye mwonekano wa kiustadhi, yani licha ya kanzu na baraghashia aliyo vaa, pia alikuw ameachia ndevu nyingi sana, “karibu kijana” alisema yule mzee wa makamo, “asante baba yangu shikamoo” alisalimia Peter, kwa sauti ya upole iliyojaa nidhamu, ile kijijini, “marahaba kijana, nikuhudumie tafahari” alisema yule mzee muuza duka, akionyesha kupendezwa na nidhamu ya Peter, “samahani mzee nilikuwa naulizia anapoishi dada mmoja hivi, anaitwa Sada, ametoka kijijini wiki mbili zilizopita, nimeambiwa anakaa mitaa hii, karibu na garage ya Vandu” alisema Peter na hapo yule mzee akatulia kidogo kama anavuta kumbu kumbuku, “yupoje?” aliuliza yule mzee, “na hapo Peter akaanza kumwelezea mke wake, “ni mfupi hivi, mweusi kidogo, mnene kiasi..” kabla aja malizia yule mzee akamalizia yeye, “anarafudhi ya kindendeule?” ilikuwa ni sauti iliyotoka kwa namna ya mashaka, Peter akatabasamu kwa matumaini, “huyo huyo” alisema Peter kwa furaha, huku anamtazama yule mzee ambae alionekana kushangaa kidogo, “ni nani wako umesema?” aliuliza yule mzee kwa namna ile ile ya kutilia mashaka, “ni mke wangu, tuna mtoto mmoja, ametokea Mwanamonga, toka wiki iliyopita” alieleza Peter ambae alitegemea kuelekezwa nyumba anayoishi Sada mke wake, lakini baada yake akamwona yule mzee akitulia kidogo kama anatafakari jambo.
Alitumia sekunde kadhaa kabla ajainua usowake wenye mashaka, na kumtazama Peter ungesema akumwona vizuri mala ya kwanza, “nime mwona akija mala mbili hapa dukani kwangu, uwa anatokea mtaa wanyuma huku, pita kwenye hiyo chochoro, utaiona nyumba moja ya kubwa kuu kuu hivi, ulizia hapo unaweza kumpata” alielekeza yule mzee na hapo Peter akashukuru na kuaga, akielekea kule alikoelekezwa.***
Saa saa mbili na robo, gari aina ya Range Rover HSE, lilisimama nje gate moja kubwa llenye rangi ya dhahabu, lililopo mita chache toka barabara kuu iendayo mikoa ya kusini, yani Lindi na Mtwara, sambamba na ukuta mkubwa sana mweupe, wenye taa kubwa juu yake, na mfumo wa ulinzi wa umeme, unaosaidiwa na camera za ulinzi, (security camera).
Gate likafunguliwa, na gari lile likaingia ndani, kisha gate likafungwa na mlinzi, alie valia sale ya kaki, kama ile ya yule wa ofisini, gari lilitembea taratibu, kwenye njia nzuri iliyotandikwa seruji yani sementi, huku pembeni yake kukiwa na bustani nzuri za mauwa mbali mbali, na bwawa dogo la kuongelea yani swimming poor, lenye vijitanda pembeni na miamvuli pembeni yake, wakati huo huo wakaonekana watu sita, wakike watatu na wakiume watatu, waliovalia mavazi yaliyoonyesha kuwa ni wafanyakazi wa mle ndani, wakilikimbilia lile gari kabla ata alija simama, na ile lina simama tayari walikuwa wamesha lizunguka na kutulia, na vazi lao jeupe, lililoambatana na heploon (vazi la kazi za ndani), wakisubiri mlango wagari ufunguliwe.
Naam ile unafunguliwa tu, wote wakainamisha vichwa vyao, “salaam dada mkubwa” walisema wote kwa sauti iliyojaa nidhamu ya hali ya juu, kisha wakatulia hivyo hivyo kusubiri jibu, “salam” ilisikika sauti ya kike iliyojibu kwa kifupi sana, ikifwatiwa na mschana mrembo mvivu wa kuongea mwana dada Careen, aliebeba mkoba wake mweusi, haraka sana mmoja wao akasogea kwaajili ya kumpokea mkoba, lakini Careen akaonyesha ishala ya mkono, kwamba akutaka kupokelewa, kisha akaelekea ndani, huku wafanyakazi wakimtazama kwa mshangao, maana licha ya upole na ukimya wa boss wao, lakini hakuwai kukataa kupokelewa mkoba wake.
Hapo wakabakia wanamsindikiza kwa macho, akielekea kwenye mlango mkubwa wa kuingilia kwenye jengo kuwa la kifahari, la ghorofa mbili, lililoambatana na na jengo dogo upande wa kulia, pale kwenye mlango wa nyumba kubwa palikuwa na mfanyakazi, ambae alifungua mlango, na kusalimia kama wenzake, “salaam dada mkubwa” alisalimia yule mlinzi huku anainamisha kichwa chake, “salaam” alijibu kwa kifupi kama ilivyokuwa kwa wale wengine, nijambo ambalo walilizowea, kuwa boss wao siyo mwongeaji sana.
Careen alipitiliza mpaka kwenye ngazi za kuelekea ghorofa ya pili, na alipozifikia akatembea moja kwa moja kuelekea huko, huku akipishana na wafanyakazi wake waliokuwa wana msalimia kwa salamu ile ile ya kipekee, salam ambayo, mala nyingi utumiwa na watu toka nchi ya falme za #mbogo_land, na yeye alijibu kama kawaida yake, mpaka alipofika chumbani kwake, kule ghorofa ya pili, kwa haraka haraka usingejuwa kuwa kilikuwa ni chumba cha kulala, kwa jinsi kilivyo, ungesema ni duka flani la vifaa vya majumbani, lililoandaiwa maalumu kwaajili ya maonyesho flani, ilikuvutia wateja, maana kulikuwa na kila kitu mle ndani, ukiachilia ukubwa wa chumba chenyewe ambacho nisawa na sebule kubwa kwa nyumba zetu za kawaida, pia ungeshangaa kitanda cha duara cha chenye mzingo wa futi wa nane, urefu toka chini pengine ni futi mbili, vitu vya thamani vilivyopo mle ndani ambamo hamkuonekana ata kunguo moja ikining’inia, zaidi ungeona makabati meupe mazuri, yenye vitasa vilivyo nakshiwa kwa rangi ya dhahabu, pia ungeona kochi moja dogo la watu wawili, ambalo ufahari wake, ni sawa na seti kumi za makochi ya kisasa, meza ndogo ya kioo, yenye miguu iliyo pakwa uji wa dhahabu, na kufanga mng’ao wake uwe wakupendeza kama vile vitasa vya makabati, tv kubwa ukutani, pamoja na picha kubwa ya mwana dada huyo iliyotundikwa ukutani, huku sakafu ya chumba hiki kifichwa kwa dhuria la mayonya, rangi ya dhahabu.
Careen au mama wa dhahabu, aliweka mkoba wake mezani na kuufungua, kisha akatoa simu tatu, kubwa za kisasa zenyegharama kubwa kwa bei yake, alafu akaanza kubofya moja baada ya nyingine, akitazama kama kuna simu iliyopigwa au ujumbe, simu ya pili akakuta ujumbe, moyo wake ukalipuka kwa mshtuko, baada ya kuona jina la mtumaji wa ujumbe ule, ambao aiufungua huku mikono yake inatetemeka, “Careen naona umeajili body guard, lakini yambua kuwa, uwezi kunikimbia ata, lazima utaelewa tu, kuwa ninapo taka jambo langu uwasishindwa, leo umechomoka, ila siku nyingine uwezi kuchomoka” hapo Careen alitupia simu mezani na kukaa kwenye lile kochi la kiahari, huku akihema kwa hofu.
Alidumu katika hali hiyo kwa dakika mbili nzima, mpaka alipo sikia kengere ya mlango wake ikigonga akajiweka sawa kabla ajaluhusu mtu kuingia, “ingia” alisema Careen na hapo mlango ukafunguliwa, akaingia mschana mwanamke mmoja mtu mzima, “salaam dada mkubwa” alisalimia yule mwanamke mtu mzima, ambae anafaa kuwa na wajukuu, ambae atukumwona miongoni mwa wale wafanyakazi, japo na yeye alikuwa amevaa kama wale wafanyakazi, akiwa amebeba, tray lenye grass ya maziwa, “salaam yaya Groly, sikukuona wakati naingia hapa nyumbani” alisema Careen huku anachukuwa ile grass ya maziwa kwenye Tray, alilobeba yule mama, anaitwa Groly, “nilikuwa jikoni, na kuandalia chakula, leo umechelewa sana Careen kulikoni?” aliuliza yule mama alie itwa yaya na Careen, “kazi zilinibana” alijibu kwa kifupi Careen, kisha akapelaka grasi ya maziwa mdomoni na kabla aja kunywa atakidogo maziwa yale, akarudisha grass kwenye tray, hapo Groly akamtazama kwa macho ya udadisi, kama vile anamchunguza, “vipi kuhusu wafanyakazi, kuna lolote?” aliuliza Careen ambae alianza kuvua viatu vyake, “ndiyo kuna mmoja wa wafanya kazi wetu, amepigiwa simu tka nyumbani #mbogo_land, mama yake anaumwa sana, alikuwa anaomba msaada wa kupatiwa mkopo wa fedha ili aweze kumtumia kwaaajili ya matibabu” alisema yule mama Groly, huku anaweka ile tray mezani na kuchukuwa viatu vya Careen, kisha akavipeleka kwenye kabati moja ambalo alilpolifungua alikutana na peir nyingi za viatu vya kike, ambavyo ungesema vipi dukani, vipya na vizuri sana, akavuta drow kubwa ya chini, ambako kulikuwa na viatu kama peir sita za viatu, ambayo vilikuwa vimewekwa mle, akaweka na vile vilivyo vuliwa, kisha akafunga mlango ule wakabati, “mh! anauhakika kama nikweli mama yake anaumwa, ni nani huyo mfanyakazi?” aliuliza Careen kwa sauti ya mashaka, “ni Joshua, mmoja wawafanyakazi wa bustani” alijibu yaya, “ok! wasiliana na nyumbani uhakikishe kama kweli anauguliwa, kama ni kweli piga simu kwenye ofisi ya mama waeleze juu ya ilo, ombi likiwa ni kumpatia million mbili, siyo mkopo, pamoja na tiketi za ndege kwenda na kurudi, aende akamwone mama yake” alisema Careen, huku anasimama toka kwenye kwenyekochi la kifahari, “sawa dada mkubwa” alisema yaya Grory na kutaka kuondoka zake, Careen akamwonyeshea ishala ya kuondoa yale maziwa, hapo groly bila kuuliza akabeba ilel tray, na kutaka kuondoka zake.
Lakini kabla ajaufikia mlango akasita kidogo, “samahani dada Careen kuna tatizo, naona leo kama vile haupo sawa?” aliuliza yaya Groly, kwa sauti iliyo jaa upendo wa mama kwa mtoto, “hapana ni yule mjinga Kalonga, leo alituma watu kuja kunivamia” alisema Careen na kumweleza yaya huyu mzee, kama ilivyotokea kule kwenye Sonara ya #mbogo_land, “hoooo! tatizo huyo kijana siyo wa nyumbani, pengine angekufaa kwa ulinzi wako binafsi” alisema yaya Groly, na kwa mala ya kwanza leo tukamwona Careen akikunjua uso wake na kuchezesha mdomo wake kama vile anataka kutabasamu, alafu akasita, lakini ndio alikuwa amesha tabasamu hapo, zaidi ya hapo ungekaa ata wiki ujaona ilo tabasamu.
Yaya Groly, akatoka nakuondoka zake akimwacha Careen anavua nguo zake na kubakia na nguo za ndani tu, sina aja ya kueleza anavyoonekana kwa wakati huu, nazani picha unayo, jinsi chupi yake ilivyokaa kwenye makalio yake makubwa ya wastani na sidilia yake iliyo ifadhi maziwa yake yaliyo tuna vyema kifuani pake, huku mkufu mmoja wa dhahabu ukionekana kiunoni pake, na kumpendezesha zaidi, hapo Careen akasogelea kabati dogo la kioo, ambalo ndani yake lilijaa chupa kadhaa za wine, aina ya #mbogo_land quen coco wine, toka nchini #mbogo_land, na grass nne zenyeshingo ndefu, nazo ni zadhahabu, akachukuwa chupa moja na grass moja, akamimi na wine kwenye grass ile na kupelaka chupa mezani, kisha akainywa ile wine kidogo, ungesema anainonja, alafu akasogea kwenye kioo, na kujitazama, ambapo akuchukuwa ata dakika mbele ya kioo, kabla chozi alijaanza kudondoka kwenye macho yake na kutililika kwenye shavu lake, hivi huyu mwanamke anamasahibu gani, mbona maisha yake yanaonekana kujawa na hudhuni kubwa, ebu twendeni kwanza kwa Peter kule mfaranyaki, tukirudi tupate jibu la kinacho msibu huyu dada ambae anaonekana anakila kitu, lakini kasoro furaha.**
Peter alitembea kwa umakini mkubwa, kwenye chochoro za mtaa wa mfaranyaki kwa vandu, na kabla ajatokeza upande wapili akaiona nyumba moja kubwa yenye mwonekano wa kizamani, ata ukarabati aikuwai kufanyiwa tofauti na nyumba nyingine za jirani ya jengo ilo ambalo kiukweli japo mlango ulikuwa wazi, lakini hapakuonyesha dalili ya kuwepo mtu, ila aikumfanya Peter kutokusogelea mpango, na kuchungulia ndani, ambapo alikutana na giza nene, akapiga moyo konde na kuingia ndani, akajikuta yupo kwenye kolido refu, ambalo lilikuwa na milango kushoto na kulia, huku baadhi ya milango ikiwa na dalili ya kuwaka taa, hivyo aka akatembea kufwata mmoja kati ya milango ambao ulikuwa na dariri ya kuwaka taa, na kila aliposogea alianza kusikia sauti ya music sambamba na harufu ya kitu flani ambacho akuchukuwa muda kukifahamu, kuwa ilikuwa ni bangi, maana alisha wai kuona vijana wenzake wakitumia, pindi yupo shuleni, ata pale kijijini kwao, pia kuna chumba kimoja kilimvua kwa sauti ambayo ilikuwa inatoka ndani yake, ilikuwa ni sauti ya kilio laini cha mwanamke, “hassss, hooo huuuu!…….. tamu baba. Unatomb.. vizuri… Hoooooo! kojoa baba, kojoa mpenzi wangu….mbo.. yako tamu!!” Peter akuitaji mkalimani kujuwa kilichokuwa kinaendelea ndani ya chumba kile, japo ilimsisimua kidogo, lakini ilikuja kiumshangazwa alipofikia chumba cha tatu toka kile chenye sauti za ajabu, ambacho alikusudia kuginga hidi kwaajili ya kuulizia, atakapo mpaka mke wake Sada, yani mama wa mtoto wake Michael, lakini kabla ata ajagusa mlango akasikia maongezi mazito toka ndani, “unajifanya ujuwi siyo, au nazani nimelewa sana, ebu lete elfu ishilini” ilikuwa ni sauti yakike ambayo ilionyesha kutokuwa na mchezo kwa kile alicho kuwa anakiongelea, “sijakuelewa ujuwe elfu ishilini inakujaje sasa?” iliuliza sauti ya kiume kwa sauti ya mshangao, “kwahiyo ulipo ingiza huku, ulizania mimi sijuwi, au ulizania nimelewa?” iliuliza sauti ya kike safari hii kwa sauti ya juu kidogo……

