KIAPO CHA MASIKINI (07)

SEHEMU YA 7

ILIPOISHIA SEHEMU YA SITA : japo ilimsisimua kidogo, lakini ilikuja kiumshangazwa alipofikia chumba cha tatu toka kile chenye sauti za ajabu, ambacho alikusudia kuginga hidi kwaajili ya kuulizia, atakapo mpaka mke wake Sada, yani mama wa mtoto wake Michael, lakini kabla ata ajagusa mlango akasikia maongezi mazito toka ndani, “unajifanya ujuwi siyo, au nazani nimelewa sana, ebu lete elfu ishilini” ilikuwa ni sauti yakike ambayo ilionyesha kutokuwa na mchezo kwa kile alicho kuwa anakiongelea, “sijakuelewa ujuwe elfu ishilini inakujaje sasa?” iliuliza sauti ya kiume kwa sauti ya mshangao, “kwahiyo ulipo ingiza huku, ulizania mimi sijuwi, au ulizania nimelewa?” iliuliza sauti ya kike safari hii kwa sauti ya juu kidogo…… Endelea…..
iliyoashilia ugomvi, “mimi sikujuwa kama imeingia huko, kwanini sasa usingeichomoa” alisema yule mwanaume hapo Peter akaumiza kichwa kutafakari undani wa maongei yale, “eti unajifanya mjanja siyo, wakati ulitoa mbele makusidi, alafu uka upandisha kwa juu, ulizania sisikii?, sasa utatoa elfu ishilini na nikiwaita watu utatoa hamsini” aliongea yule mwanamke kwa sauti kali zaidi, poa basi aina aja ya kuwaita wetu, chukuwa elfu kumi na tano, sina nyingine” alisema yule mwanaume kwa sauti ya kuomboleza, “sawa lakini usirudie tena, kama unataka vitamu, bora uje naela yakueleweka” alisema yule mwanamke, hapo Peter akaona isiwe tabu, akasogea mbele zaidi kuufwata mlango mwingine wenye dalili ya kuwaka taa, huku akiendelea kuskia harufu ya bangi, na miguno ya waliokuwa katika ufanyaji wa ngono, huku kichwani mwake akijiuliza ni kwanini mke wake aje kuishi kwenye nyumba kama ile, lakini Peter akuchelewa kupotezea mawazo hayo, na kuendelea kutembea kuufwata mlango alio ukusudia ambao, ata sauti ya music ilikuwa inasikika na sasa alianza kuisikia kwa sauti ya juu sana, huku arufu ya bangi nayo ikizidi kusikika, sambamba na sauti za watu wakike kwa wakiume.
Peter akujari sana, akaufikia ule mlango na kuugonga, “hodiiii!” aliita Peter pasipo majibu, yoyote, zaidi sasa licha ya kusikia sauti za music ambazo siyo tena burudani ila ilikuwa ni kelele, pia alisikia kelele za watu wakike kwa wakiume, wakiongea mfano wawatu walio lewa pombe, Peter akukata tama, akagonga tena, na tena pasipo majibu yoyote wakati anaendelea kugonga mala sikia mlango tatu toka pale ukifunguliwa, akatazama upande ule, “humo wapo na wateja special, kama unaitaji huma ya haraka njoo huku, kila kitu unapata ela yako tu” ilikuwa ni sauti iliyochoka kwa mikwaluzo ya pombe kali, Peter akashangaa kidogo, huduma gani anazungumzia huyu mwanamke, au ndiyo ile huduma waliyopeana kile chumba cha mwanzo, kiasi cha kudaiana elfu ishilini, Peter akageuka kutazama ilikotokea sauti, akamwona mwanadada mmoja alie simama kwenye mlango wa chumba alicho tokea, amevalia kijinguo kama kitambaa chepesi sana, mkono alikuwa ameshikilia sigara, na chupa ya bia, “mhhh! Samahani, nina muulizia dada mmoja, anaitwa Sada, ametokea Mwanamonga huko Namtumbo” alisema Peter huku anamtzama vizuri yule mwanamke alie valia kijikanga chepesi, kutokana na giza akuweza kumjaji kama amevaa nguo yingine yoyote ndani au la, “mh! anamuda gani hapa, mbona simjuwi?” aliuliza yule mwanamke, ambae Peter kama peter, akuitaji maelezo ya ziada kugundua kuwa akuwa mwanamke mwenye maadiri, “toka amekuja mjini anawiki mbili, sijuwi hapa amia lini” alisema Peter kwa sauti yake tulivu iliyojaa upole, “hoooo! unamzungumzia Jada, yupo humo humo, lakini ana wageni wake toka jana wanakunywa mibia, tu, kama vipi we njoo nikupa vitu, nita kupunguzia bei, kawaida elfu tano, ukitaka kwingine elfu kumi na tano” mpaka hapo Peter alihisi mwili wake unakosa nguvu, “inamaana mama Michael amekuja kujiuza au?” alijiuliza Peter ambae akutaka kuamini jibu la ndio, lililokuwa lina mjia kichwani mwake, hivyo alicho amua nikukamata kitasa cha mlango ule na kuufungua kisha akausukuma, nao uka fungukia kwa ndani, na yeye akazama ndani.
Naam alicho kuona kulimtetemesha Peter au baba Michael, maana alimwona mke wake Sada akiwa miongoni mwa watu sita waliokuwepo mle ndani yani wanaume watatu na wanawake watatu, wakiwa wamesalia na nguo zandani tu, ndani ya chumba iki kidogo, chenye kitanda na vitu viwili, na meza ndogo iliyo jaa vyupa vya bia, na pombe kali, huku watu wanne akiwepo Sada na alie kumbatiwa na mwanaume mmoja mwenye kuvalia boxer, wakiwa wamakaa kitandani, wawili tu ndio walikuwa wamekaa mezani, kwenye kiti, nao walikuwa na vyupi tu, vifua vilikuwa wazi, moshi wa bangi ulikuwa umetawala vibaya sana mle ndani, “mama Michael, nini hiki unafanya, unatoka kijijini kuja kujizalilisha namna hii?” aliuliza Peter kwa sauti iliyo kosa nguvu ya uvumilivu, na kujiamini, usinge zania kuwa ni yule ambae alitoka kupambana na vibaka wawili, walio mvamia mama dhahabu, yani mrembo Careen, na kujiona akiishiwa nguvu za miguu, huku kichwa kikianza kuwa kizito, “watu wote mle ndani nikama walishtuka na kupigwa na butwaa, kwa ugeni ule wakatoa macho kumtazama Peter aliekuwa amesimama karibu na mlango, “we mbwa umefwata nini hapa?, umechezea maisha yangu kule kijijini na sasa unataka kuja kunimalizia huku mjini?” aliulizia Sada huku anajitoa toka kwa yule jamaa alie kuw amempakata, na kuchukuwa chupa moja kubwa ya pombe kali mezani, “mama Michael mke wangu, unaniita mimi mbwa…” kabla aja maliza kuuliza tayari chupa ilikuwa hewani inakuja usawa wa kichwa chake, kabla aja Peter ajajiuliza nini kilikuwa kina mtokea, tayari chupa ilishatuwa kichwani kwanguvu, na kusababisasha mpasuko mkubwa wa chupa ile ambayo ililia mfano wa bomu, na kutawanya vipande vya chupa hiyo sambamba na kumwagika kwa pombe iliyokuwepo ndani yake, “toka mshenzi wewe” yalikuwa ni maneno ya Sada, ambayo Peter akuyazingatia, maana tayari alishaanza kuona kizungu zungu, na kukosa nguvu za kujisimamia mwenyewe.
Hapo zilisikika kelele za kushangalia toka kwa wale watu wengine ambao sasa nao walisimama, licha ya Peter kuona hatari iliyokuwepo mbele yake lakini akuwa na lakufanya, ata alipojaribu kujiweka sawa ili kusimama vyema, lakini alishindwa na kujishikilia kwenye kingo ya mlango, huku anamwona mke wake kipenzi, akichukuwa chupa nyingine mezani na kuivurumsha kuja usoni kwake, hapo akafichauso na chupa ikagonga kisogoni, na kumfanya ahisi kizungu zungu zaidi, na kushindwa kuimili, akaenda chini kama kifurushi.
Hapo akaanza kuhisi giza likitanda usoni mwake, kwambali aliwaona wale watu wote sita, wa mle chumbani akiwepo mke wake kipenzi, wakimfwata na kuanza kupiga kwa mateke, mpaka giza lilipo tanda kabisa, na kushindwa kutambua kilichokuwa kinaendelea.***
Careen Martin, au mama wa dhahabu kama wenzie walivyopenda kumwita, ni mtoto wa pekee katika familia ya bwana Martin, ambae ni mlinzi wa mfalme Elvis Mbogo (mtoto wa mfalme Eric Mbogo wa pili) wa kwanza wa nchi tajiri ya #mbogo_land, pamoja na mke wake, yani mama Careen, ambae ni makamo wa waziri wa jinsia na watoto, wan chi hiyo, ambae waziri wake uwa ni mke wa mfalme, ya ni malikia wanchi hiyo.
Careen alizaliwa miaka ishilini na sita iliyopita, wakati wa mfalme Eric, na kulelewa kwa misingi mzuri, na maadiri mema, kama zifanyavyo familia nyingine za mbogo land, licha ya ubusy wa wazazi wake, mmoja akiwa ni askari katika kikosi cha usalama wa taifa, yani baba, na mama yake akiwa ni msaidizi wa malkia Jacline Simon, akiwa upande wa utabibu, (sasa ni naibu waziri) lakini walihakikisha wamampatia binti yao malezi mema na bora, kama inavyo takiwa, chini ya usimamizi wa yaya Groly, ambae alimlea Careen, kuanzia utoto, mpaka alipomaliza elimu yake ya chuo akiwa na miaka ishilini na moja, akiwa na degeree ya uchumi, huku ndoto zake zikiwa ni kuolewa na rafiki yake wa utotoni, yani Elvis Mbogo, mtoto wa mfalme, kitu ambacho kilisababisha yeye autunze uschana wake, pasipo kutoa kitumbua chake kwa mwanaume yoyote, japo alikuwa mcheshi, na mchangamfu sana.
Nikukumbushe kidogo, Nchi ya Mbogo land, inataratibu za kutangaza mtoto mfalme ambae ata lithi kiti cha mfalme, yani mwenye kijana au unaweza kumwita yong king, au clown prince, hivyo uanza kuonekana mitaani na kuchukuliwa kama kiongozi mkubwa zaidi ya mtoto wa mfalme, angeudhuria shughuli mbali mbali za kijamii ndani na nje ya nchi, wakati huo siku ya kutangazwa kwake kuwa mwenye kijana, ndiyo siku ambayo wange kuja wanawake bikira wazuri kuliko wote walijitunza kwaajili yake, na yeye ange chagua mmoja au wawili pengine ata zaidi, vile ambavyo angependa kufanya, japo ni mfalme mmoja tu, alie chagua zaidi ya mmoja nae ni Eugen kwa tatu, alifanya hivyo kuowapunguzia machungu, na kutoa motisha kwa waschana wengi kutunza uschana wao.
Ukweli King Elvis kwa kwanza, alifanya kama alivyo fanya baba yake, tayari kuna mwanamke alisha mwandaa, na ndie alie mchagua, kitendo kile kilimuumiza sana Careen, aliumia kiasi cha familia yake ilitambua, king Elvis alipata habari hiyo, ukweli alisikitika sana, manaa akujuwa kama Careen alikuwa ndoto za kuwa mpenzi wake, yeye alimchukulia kama rafiki na dada, asa kutokana naukaribu wa familia zao, yani mama yake na mama Careen, ambae mala tu baafa ya kuingia madarakani, alimchagua kama msaidizi wa malikia.
Careen alipitia kipindi kigumu sana, baada ya kumshuhudia rafiki yake kipenzi alichagua mwanamke mwingine, baada yake, kitendo ambacho kilisababisha aanze kutumia pombe, wine aina ya #mbogo_land quen coco wine, inayotengenezwa hapo hapo nchini kwao akuweza tena kuendelea kuishi #Mbogo_Land, akasaidiwa na wazazi wake, kuhama nchi, kuamia mchini Tanzania mkoani Ruvuma, mkoa unaopakana na nchi yake, wakiamini kuwa ataenda kubadiri mazingira na kumsahau, king Elvis, walimpatia fedha nyingi binti yao, ambazo alitumia kununua nyumba mbili, pale Songea, moja ikiwa maeneo ya mjini, mtaa wa Zanzibar, na moja kule Angoniams, ambazo alizibomoa zote mbili, na kujenga majengo makubwa sana, ambayo moja amefanya kuwa duka kubwa sana, la nguo na vifaa vya wanawake, pia aliuliza vito vya thamani, kama pete bangiri hear ring, mikufu na vitu vikingine vingi vya dhahabu, alikuwa muuzaji wa jumla, wa bidhaa hizo toka #Mbogo_Land, kuanzia vitu vya urembo vilivyo tengenezwa wa madini mambali mbali, pamoja na nguo na viatu vya kike, akisaidia na wafanyakazi wake, waliotokea nchini kwake, huku king Elvis na wazazi wa Careen wakishirikiana nae bega kwa bega, kumsaidia katika shughuri zake, King Elvis alijitaidi mala kwa mala kutuma bidhaa mpya, kwa Careen, huku akimpunguzia na kumwondolea kodi zote katika bidhaa alizo chukuwa nchi kwao, king Elvis alifanya hayo kama kulekebisha makosa yake aliyo yafanya bila kujuwa, japo Careen akulizika nailo, akutaka kabisa kupokea simu toka kwa mfalme wanchi yake, siku zote alijiona mnyonge sana kwa kilicho mtokea.
Japo ilikuwa ni kwaajili ya kuondoa mawazo lakini taratibu Careen akajikuta anaingiza fedha nyingi sana, na kuajili wafanyakazi wengi toka kule nchi kwao, ambao aliwajengea jengo kubwa pembeni ya nyumba yake, ambalo lilikuwa na vyumba ishilini na tano, hakumwacha yaya Groly, ambae alikuwa kama mfanyakazi mkuu kwa pale nyumbani, aliwasimia wafanya kazi wote wapale nyumbani, huku yeye Careen akiwasimamia wafanyakazi wadukani, huku wafanya kazi wote akiwapa maisha mazuri na huduma za kueleweka, wao na familia zao, ambazo wengi waliziacha #Mbogo_Land.
Careen aliishi maisha ya kifahari, ambayo akuweza kukosa kila alichoitaji, kuanzia vyakula vinywaji mavazi, ata usafiri alio uitaji, alitembelea gari lilo litaka, hakununua used aliagiza lile alilolitaka, huku siku zote akipata usumbufu toka kwa wanaume wenye uchu, asa wale wenye uwezo mkubwa wakifedha, wakiitaji penzi lake, lakini waligonga mwamba, sababu mwanamke huyu, hakuitaji mzowea na mtu wala kujiingiza katika mapenzi, akuamini kama kuna mwanaume mwingine anaweza kuwa na upendo wa kweli juu yake, kama Elvis alishindwa kumpenda na kumfanya mke wake, japo kijana huyu Mfalme, alionyesha kutambua kosa lake na kuitaji kuomba msahama, kwakuona kuwa msahama huo usingebadiri chochote, Careen akuwa tayari kupokea ata simu ya Elvis, mtu ambae nchi nzima ilikuwa ina mweshimu, ata ikitokea akaunganishwa kupitia mama yake, au baba yake, basi angeongea nae kwa muda mfupi sana, tena kwa sauti kavu kavu, isiyo na chembe ata moja ya urafiki, kisha simu ingekatwa.
Naam licha ya kuishi miaka minne ndani ya mji wa songea, akiwa mbali na nchi yake na mtu ambae alikuwa anampatia machungu, kila anapomwona, lakini bado Careen akuweza, kusahau kuhusu Elvis, kuna wakati mama yake alimshauri kuwa atafute mwanaume ambae ata kuwa mume wake, pengine akaondoa machungu moyoni mwake, lakini Careen alisema kuwa akuona mwanaume ambae anaweza anaweza kumtoa katika hali kama ile, ambayo iliwaumiza sana wazazi wake, ata yaya Groly.
Miezi michache iliyopita, akajitokeza mzee mmoja tajiri, anaeitwa Pitus Kalonga, ambae hakuna anae juwa chanzo cha utajiri wake, maana ukiachilia, maduka matatu cha viatu vya mtumba, alikuwa na duka la vifaa vya michezo, lakini visingeweza kumpatia fedha na gari la kifahari alilo kuwa analiendesha…… Endelea

rembo sie ongea, alitembea taratibu kurudi kule alikotoka, ili kuwarudia wale watu aliowaona kule, akawalize, ulipo mtaa wa Zanzibar, ambako alielekezwa kuwa mke wake Sada yani mama Michael anaishi…… Endelea….
Peter alitumia muda mfupi sana kukutana na mtu ambae alimsalimia kwa heshima na taazima kisha akamwiliza, “samahani ndugu, naulizia mtaa wa Mfaranyaki” alisema Peter, na hapo bila kinyongo, jamaa akamwelekeza, huku akimpatia mbinu lahisi ya kufika mfaranyaki, “alafu bro kama unataka kufika kilahisi, ebu chukuwa boda boda, hapo utafika mpaka kwenye nyumba unayoitaka” alisema yule jamaa, ambae pia alikuwa anaelekea upande wa SIDO, “asante sana kaka, hizo boda boda nitazipata wapi?” aliuliza Peter na yule jamaa akamwelekeza Peter, sehemua mbayo anaweza kupata pikipiki, “nenda upande wapili wasoko kuu, utakiuta boda boda wengi sana kule” baada ya hapo wakaagana, na Peter akaelekea upande wa sokoni kwa mala nyingine.
Dakika chache baadae Peter alikuwa amesha pata pikipiki, na kuomba apelekwe mfaranyaki, ambako walitumia dakika kumi tu kufika, “unaenda mtaagani hapa mfaranyaki?” aliuliza yule dereva wa boda boda, “karibu na garage ya Vandu (soma kiapo cha damu) alisema Peter, akiwa bado amekalia kiti cha boda boda, “ok! ni karibu na soko la wakulima” alisema boda boda huku anaondoa piki piki, kuelekea upande aliosema, ambako awakuchukuwa ata dakika tano kufika, mtaa wa Vandu, jina maarufu la utani la mtu mmoja anaemiliki garage kubwa hapa mtaani, Peter akalipia malipo ya boda boda, kiasi cha elfu moja na mia tano, “vipi bro, nikusubiri au ndio umefika?” aliuliza dereva wa boda boda, sina uhakika kama nitaondoka sasa hivi” alisema Peter, na yule boda boda akaondoka zake, kuelekea mjini, yani kule alikotoka.
Peter akatazama huku na kule mpaka alipoliona duka moja, ambalo aliona itakuiwa nivyama kama ataenda kuulizia, ili kifahamu nyumba ambayo Sada atakuwa anaishi, hivyo bila kusita akalifwata duka lile na kuingia moja kwa moja kama wateja wengine wanavyofanya, mle ndani alimkuta mzee mmoja mwenye mwonekano wa kiustadhi, yani licha ya kanzu na baraghashia aliyo vaa, pia alikuw ameachia ndevu nyingi sana, “karibu kijana” alisema yule mzee wa makamo, “asante baba yangu shikamoo” alisalimia Peter, kwa sauti ya upole iliyojaa nidhamu, ile kijijini, “marahaba kijana, nikuhudumie tafahari” alisema yule mzee muuza duka, akionyesha kupendezwa na nidhamu ya Peter, “samahani mzee nilikuwa naulizia anapoishi dada mmoja hivi, anaitwa Sada, ametoka kijijini wiki mbili zilizopita, nimeambiwa anakaa mitaa hii, karibu na garage ya Vandu” alisema Peter na hapo yule mzee akatulia kidogo kama anavuta kumbu kumbuku, “yupoje?” aliuliza yule mzee, “na hapo Peter akaanza kumwelezea mke wake, “ni mfupi hivi, mweusi kidogo, mnene kiasi..” kabla aja malizia yule mzee akamalizia yeye, “anarafudhi ya kindendeule?” ilikuwa ni sauti iliyotoka kwa namna ya mashaka, Peter akatabasamu kwa matumaini, “huyo huyo” alisema Peter kwa furaha, huku anamtazama yule mzee ambae alionekana kushangaa kidogo, “ni nani wako umesema?” aliuliza yule mzee kwa namna ile ile ya kutilia mashaka, “ni mke wangu, tuna mtoto mmoja, ametokea Mwanamonga, toka wiki iliyopita” alieleza Peter ambae alitegemea kuelekezwa nyumba anayoishi Sada mke wake, lakini baada yake akamwona yule mzee akitulia kidogo kama anatafakari jambo.
Alitumia sekunde kadhaa kabla ajainua usowake wenye mashaka, na kumtazama Peter ungesema akumwona vizuri mala ya kwanza, “nime mwona akija mala mbili hapa dukani kwangu, uwa anatokea mtaa wanyuma huku, pita kwenye hiyo chochoro, utaiona nyumba moja ya kubwa kuu kuu hivi, ulizia hapo unaweza kumpata” alielekeza yule mzee na hapo Peter akashukuru na kuaga, akielekea kule alikoelekezwa.***
Saa saa mbili na robo, gari aina ya Range Rover HSE, lilisimama nje gate moja kubwa llenye rangi ya dhahabu, lililopo mita chache toka barabara kuu iendayo mikoa ya kusini, yani Lindi na Mtwara, sambamba na ukuta mkubwa sana mweupe, wenye taa kubwa juu yake, na mfumo wa ulinzi wa umeme, unaosaidiwa na camera za ulinzi, (security camera).
Gate likafunguliwa, na gari lile likaingia ndani, kisha gate likafungwa na mlinzi, alie valia sale ya kaki, kama ile ya yule wa ofisini, gari lilitembea taratibu, kwenye njia nzuri iliyotandikwa seruji yani sementi, huku pembeni yake kukiwa na bustani nzuri za mauwa mbali mbali, na bwawa dogo la kuongelea yani swimming poor, lenye vijitanda pembeni na miamvuli pembeni yake, wakati huo huo wakaonekana watu sita, wakike watatu na wakiume watatu, waliovalia mavazi yaliyoonyesha kuwa ni wafanyakazi wa mle ndani, wakilikimbilia lile gari kabla ata alija simama, na ile lina simama tayari walikuwa wamesha lizunguka na kutulia, na vazi lao jeupe, lililoambatana na heploon (vazi la kazi za ndani), wakisubiri mlango wagari ufunguliwe.
Naam ile unafunguliwa tu, wote wakainamisha vichwa vyao, “salaam dada mkubwa” walisema wote kwa sauti iliyojaa nidhamu ya hali ya juu, kisha wakatulia hivyo hivyo kusubiri jibu, “salam” ilisikika sauti ya kike iliyojibu kwa kifupi sana, ikifwatiwa na mschana mrembo mvivu wa kuongea mwana dada Careen, aliebeba mkoba wake mweusi, haraka sana mmoja wao akasogea kwaajili ya kumpokea mkoba, lakini Careen akaonyesha ishala ya mkono, kwamba akutaka kupokelewa, kisha akaelekea ndani, huku wafanyakazi wakimtazama kwa mshangao, maana licha ya upole na ukimya wa boss wao, lakini hakuwai kukataa kupokelewa mkoba wake.
Hapo wakabakia wanamsindikiza kwa macho, akielekea kwenye mlango mkubwa wa kuingilia kwenye jengo kuwa la kifahari, la ghorofa mbili, lililoambatana na na jengo dogo upande wa kulia, pale kwenye mlango wa nyumba kubwa palikuwa na mfanyakazi, ambae alifungua mlango, na kusalimia kama wenzake, “salaam dada mkubwa” alisalimia yule mlinzi huku anainamisha kichwa chake, “salaam” alijibu kwa kifupi kama ilivyokuwa kwa wale wengine, nijambo ambalo walilizowea, kuwa boss wao siyo mwongeaji sana.
Careen alipitiliza mpaka kwenye ngazi za kuelekea ghorofa ya pili, na alipozifikia akatembea moja kwa moja kuelekea huko, huku akipishana na wafanyakazi wake waliokuwa wana msalimia kwa salamu ile ile ya kipekee, salam ambayo, mala nyingi utumiwa na watu toka nchi ya falme za #mbogo_land, na yeye alijibu kama kawaida yake, mpaka alipofika chumbani kwake, kule ghorofa ya pili, kwa haraka haraka usingejuwa kuwa kilikuwa ni chumba cha kulala, kwa jinsi kilivyo, ungesema ni duka flani la vifaa vya majumbani, lililoandaiwa maalumu kwaajili ya maonyesho flani, ilikuvutia wateja, maana kulikuwa na kila kitu mle ndani, ukiachilia ukubwa wa chumba chenyewe ambacho nisawa na sebule kubwa kwa nyumba zetu za kawaida, pia ungeshangaa kitanda cha duara cha chenye mzingo wa futi wa nane, urefu toka chini pengine ni futi mbili, vitu vya thamani vilivyopo mle ndani ambamo hamkuonekana ata kunguo moja ikining’inia, zaidi ungeona makabati meupe mazuri, yenye vitasa vilivyo nakshiwa kwa rangi ya dhahabu, pia ungeona kochi moja dogo la watu wawili, ambalo ufahari wake, ni sawa na seti kumi za makochi ya kisasa, meza ndogo ya kioo, yenye miguu iliyo pakwa uji wa dhahabu, na kufanga mng’ao wake uwe wakupendeza kama vile vitasa vya makabati, tv kubwa ukutani, pamoja na picha kubwa ya mwana dada huyo iliyotundikwa ukutani, huku sakafu ya chumba hiki kifichwa kwa dhuria la mayonya, rangi ya dhahabu.
Careen au mama wa dhahabu, aliweka mkoba wake mezani na kuufungua, kisha akatoa simu tatu, kubwa za kisasa zenyegharama kubwa kwa bei yake, alafu akaanza kubofya moja baada ya nyingine, akitazama kama kuna simu iliyopigwa au ujumbe, simu ya pili akakuta ujumbe, moyo wake ukalipuka kwa mshtuko, baada ya kuona jina la mtumaji wa ujumbe ule, ambao aiufungua huku mikono yake inatetemeka, “Careen naona umeajili body guard, lakini yambua kuwa, uwezi kunikimbia ata, lazima utaelewa tu, kuwa ninapo taka jambo langu uwasishindwa, leo umechomoka, ila siku nyingine uwezi kuchomoka” hapo Careen alitupia simu mezani na kukaa kwenye lile kochi la kiahari, huku akihema kwa hofu.
Alidumu katika hali hiyo kwa dakika mbili nzima, mpaka alipo sikia kengere ya mlango wake ikigonga akajiweka sawa kabla ajaluhusu mtu kuingia, “ingia” alisema Careen na hapo mlango ukafunguliwa, akaingia mschana mwanamke mmoja mtu mzima, “salaam dada mkubwa” alisalimia yule mwanamke mtu mzima, ambae anafaa kuwa na wajukuu, ambae atukumwona miongoni mwa wale wafanyakazi, japo na yeye alikuwa amevaa kama wale wafanyakazi, akiwa amebeba, tray lenye grass ya maziwa, “salaam yaya Groly, sikukuona wakati naingia hapa nyumbani” alisema Careen huku anachukuwa ile grass ya maziwa kwenye Tray, alilobeba yule mama, anaitwa Groly, “nilikuwa jikoni, na kuandalia chakula, leo umechelewa sana Careen kulikoni?” aliuliza yule mama alie itwa yaya na Careen, “kazi zilinibana” alijibu kwa kifupi Careen, kisha akapelaka grasi ya maziwa mdomoni na kabla aja kunywa atakidogo maziwa yale, akarudisha grass kwenye tray, hapo Groly akamtazama kwa macho ya udadisi, kama vile anamchunguza, “vipi kuhusu wafanyakazi, kuna lolote?” aliuliza Careen ambae alianza kuvua viatu vyake, “ndiyo kuna mmoja wa wafanya kazi wetu, amepigiwa simu tka nyumbani #mbogo_land, mama yake anaumwa sana, alikuwa anaomba msaada wa kupatiwa mkopo wa fedha ili aweze kumtumia kwaaajili ya matibabu” alisema yule mama Groly, huku anaweka ile tray mezani na kuchukuwa viatu vya Careen, kisha akavipeleka kwenye kabati moja ambalo alilpolifungua alikutana na peir nyingi za viatu vya kike, ambavyo ungesema vipi dukani, vipya na vizuri sana, akavuta drow kubwa ya chini, ambako kulikuwa na viatu kama peir sita za viatu, ambayo vilikuwa vimewekwa mle, akaweka na vile vilivyo vuliwa, kisha akafunga mlango ule wakabati, “mh! anauhakika kama nikweli mama yake anaumwa, ni nani huyo mfanyakazi?” aliuliza Careen kwa sauti ya mashaka, “ni Joshua, mmoja wawafanyakazi wa bustani” alijibu yaya, “ok! wasiliana na nyumbani uhakikishe kama kweli anauguliwa, kama ni kweli piga simu kwenye ofisi ya mama waeleze juu ya ilo, ombi likiwa ni kumpatia million mbili, siyo mkopo, pamoja na tiketi za ndege kwenda na kurudi, aende akamwone mama yake” alisema Careen, huku anasimama toka kwenye kwenyekochi la kifahari, “sawa dada mkubwa” alisema yaya Grory na kutaka kuondoka zake, Careen akamwonyeshea ishala ya kuondoa yale maziwa, hapo groly bila kuuliza akabeba ilel tray, na kutaka kuondoka zake.
Lakini kabla ajaufikia mlango akasita kidogo, “samahani dada Careen kuna tatizo, naona leo kama vile haupo sawa?” aliuliza yaya Groly, kwa sauti iliyo jaa upendo wa mama kwa mtoto, “hapana ni yule mjinga Kalonga, leo alituma watu kuja kunivamia” alisema Careen na kumweleza yaya huyu mzee, kama ilivyotokea kule kwenye Sonara ya #mbogo_land, “hoooo! tatizo huyo kijana siyo wa nyumbani, pengine angekufaa kwa ulinzi wako binafsi” alisema yaya Groly, na kwa mala ya kwanza leo tukamwona Careen akikunjua uso wake na kuchezesha mdomo wake kama vile anataka kutabasamu, alafu akasita, lakini ndio alikuwa amesha tabasamu hapo, zaidi ya hapo ungekaa ata wiki ujaona ilo tabasamu.
Yaya Groly, akatoka nakuondoka zake akimwacha Careen anavua nguo zake na kubakia na nguo za ndani tu, sina aja ya kueleza anavyoonekana kwa wakati huu, nazani picha unayo, jinsi chupi yake ilivyokaa kwenye makalio yake makubwa ya wastani na sidilia yake iliyo ifadhi maziwa yake yaliyo tuna vyema kifuani pake, huku mkufu mmoja wa dhahabu ukionekana kiunoni pake, na kumpendezesha zaidi, hapo Careen akasogelea kabati dogo la kioo, ambalo ndani yake lilijaa chupa kadhaa za wine, aina ya #mbogo_land quen coco wine, toka nchini #mbogo_land, na grass nne zenyeshingo ndefu, nazo ni zadhahabu, akachukuwa chupa moja na grass moja, akamimi na wine kwenye grass ile na kupelaka chupa mezani, kisha akainywa ile wine kidogo, ungesema anainonja, alafu akasogea kwenye kioo, na kujitazama, ambapo akuchukuwa ata dakika mbele ya kioo, kabla chozi alijaanza kudondoka kwenye macho yake na kutililika kwenye shavu lake, hivi huyu mwanamke anamasahibu gani, mbona maisha yake yanaonekana kujawa na hudhuni kubwa, ebu twendeni kwanza kwa Peter kule mfaranyaki, tukirudi tupate jibu la kinacho msibu huyu dada ambae anaonekana anakila kitu, lakini kasoro furaha.**
Peter alitembea kwa umakini mkubwa, kwenye chochoro za mtaa wa mfaranyaki kwa vandu, na kabla ajatokeza upande wapili akaiona nyumba moja kubwa yenye mwonekano wa kizamani, ata ukarabati aikuwai kufanyiwa tofauti na nyumba nyingine za jirani ya jengo ilo ambalo kiukweli japo mlango ulikuwa wazi, lakini hapakuonyesha dalili ya kuwepo mtu, ila aikumfanya Peter kutokusogelea mpango, na kuchungulia ndani, ambapo alikutana na giza nene, akapiga moyo konde na kuingia ndani, akajikuta yupo kwenye kolido refu, ambalo lilikuwa na milango kushoto na kulia, huku baadhi ya milango ikiwa na dalili ya kuwaka taa, hivyo aka akatembea kufwata mmoja kati ya milango ambao ulikuwa na dariri ya kuwaka taa, na kila aliposogea alianza kusikia sauti ya music sambamba na harufu ya kitu flani ambacho akuchukuwa muda kukifahamu, kuwa ilikuwa ni bangi, maana alisha wai kuona vijana wenzake wakitumia, pindi yupo shuleni, ata pale kijijini kwao, pia kuna chumba kimoja kilimvua kwa sauti ambayo ilikuwa inatoka ndani yake, ilikuwa ni sauti ya kilio laini cha mwanamke, “hassss, hooo huuuu!…….. tamu baba. Unatomb.. vizuri… Hoooooo! kojoa baba, kojoa mpenzi wangu….mbo.. yako tamu!!” Peter akuitaji mkalimani kujuwa kilichokuwa kinaendelea ndani ya chumba kile, japo ilimsisimua kidogo, lakini ilikuja kiumshangazwa alipofikia chumba cha tatu toka kile chenye sauti za ajabu, ambacho alikusudia kuginga hidi kwaajili ya kuulizia, atakapo mpaka mke wake Sada, yani mama wa mtoto wake Michael, lakini kabla ata ajagusa mlango akasikia maongezi mazito toka ndani, “unajifanya ujuwi siyo, au nazani nimelewa sana, ebu lete elfu ishilini” ilikuwa ni sauti yakike ambayo ilionyesha kutokuwa na mchezo kwa kile alicho kuwa anakiongelea, “sijakuelewa ujuwe elfu ishilini inakujaje sasa?” iliuliza sauti ya kiume kwa sauti ya mshangao, “kwahiyo ulipo ingiza huku, ulizania mimi sijuwi, au ulizania nimelewa?” iliuliza sauti ya kike safari hii kwa sauti ya juu kidogo……

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!