
SEHEMU YA 15
ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NA NNE: Naam baada ya kutoka yumbani kwa wazazi wake akiwa amekatiwa simu ghafla na Sada akiwambiwa kuwa wataongea baadae, kijana Peter Jacob, alitembea taratibu kuelekea nyumbani kwake, huku akifanyiaa utani na michezo ya furaha a mwanae Michael, kila alie mwona Peter wakati ule niwazi angegundua furaha ya wazi aliyokuwa nayo kijana huyu, “tuka jiandae kesho ukakutae na mama yako” alisema Peter, ambae akiwa a habari ya kile kinachoadaliwa kwaajili yake huko mjini…… Endelea……
Michael akuwa anaelewa chochote juu ya mtu anaeitwa mama, kwani hakuwa na kumbukumbu yoyote juu ya mama yake, zaidi yeye aliungana na baba yake kusherehekea furaha aliyokuwa nayo baba yake, furaha ambayo pengine ingegeuka kuwa majuto sikuchache zijazo.
Peter na mwanae walifika nyumbani na kuanza pilika za maandalizi, ya safari ya kesho, safari ambayo, hawakujuwa matokeo yao, safari ambayo wao kama wao, waliitabiria kuwa ni safari yenye mafanikio na mwanzo mpya wa maisha ya familia yenye umoja upendo amani na furaha, na kitu ambacho kilizidi kumpa matumaini bwana Peter Jacob, ni kitendo cha kusikia simu yake inaita, hivyo akaichukuwa haraka na kutazama jina la mpigaji, akaliona jina la mama Michael, akajichekelea kwanza, kabla aja ipokea, “hallow mama Michael, nilizania utachelewa sana kupiga simu” alisema Peter kwa sauti iliyojaa furaha na uchangamfu, “nilikuwa naingia bafuni ndio maana nilikata kwanza vipi Michael anasemaje?” ilisikika sauti tulivu ya Sada au mama Michael, “yeye yupo tu, anatamani sana kukuona, yani anasema kesho anaiona mbali” alisma Peter, kwa sauti ya uchangamfu, “kesho anaiona mbali kwanini?” aliuliza Sada kwa sauti yenye mshangao na mashaka, na hapo Peter pasipo kujuwa kuwa ile simu inasikilizwa na watu wawili upande wapili, akaanza kubwabwaja, akielezea mipango yake ya safari ya kwenda mjini kununua vifaa vya ujenzi, yani kuanzia sementi, bati na kofia zake, misumari, nondo, na baadhi ya vitu vya ndani kama vile TV ya kisasa, makochi ya kisasa, umeme wanguvu ya jua, jiko la gas, na pikipiki mbili ambazo, zinge tumika kwa biashara ya kubeba abiria, ilikujipatia fedha ndogo ndogo, “pia tunakuja kufanya shoping ya nguo na viatu pamoja na kununua simu kali ya tachi” alisema Peter ambae akujuwa kama anatoa siri za kambi kwa adui, “hoooo! kumbe mume wangu, basi ukifika tu nijulishe” alisema Sada na kumfanya Peter ajitabasamie mwenyewe huku anamtazama Michael ungesema labda anaelewa kinachoendelea, “wala usijari mke wangu, tuta kuja mapemaaaaa, ilituwai kugeuka maana nitakodi gari la kubeba mizigo” alisema Peter akiwa na hali ya furaha ya kipimo cha juu kabisa, “kwanini uwe na haraka hivyo mume wangu, nyie ondokeni huko ata saa saba, unakuja tuna kaa tunaongea, siunajuwa hatuja onana muda mrefu, kesho mapema tunaanza kufanya shoping, alafu kwenye saa kumi za jioni, tuonaanza safari ya kurudi kijijini” alitoa ratiba yake Sada, ratiba ambayo ilimshanganya kidogo bwana Peter.
“inamaana tunarudi wote mama Michael?” aliuliza Peter kwa sauti iliyojawa na mshangao mkubwa, wa kuto kuamini anacho kisikia, “mime wangu jamani sasa nibakie huku nifanye nini, baada ya kukaa na wewe tulee mtoto wetu” ilikuwa ni sauti ya kubembeleza yenye kulegeza, sauti ambayo ilimfanya Peter aache mdomo wazi kwa kuto kuamini, mapenzi yamke wake liyorudi ghafla, “basi hiyo itakuwa safi, kwahiyo tutalala huko hiyo kesho?” aliuliza Peter kamavile akuwa anaamini anachoelezwa na mama wamtoto wake, “sasa je, tunalala huku, usiku tunafaidiweeeee, alafu siku yapili tuna nunua vitu vyetu, tunaondoka zetu Mwanamongaaaaa” aliongea Sada kamavile anaongea na mtoto mdogo, ambae lengo ni kumdanganya, ili mambo mengine yafanyike, “yani mke wangu mimi siamini kama kweli naongea na wewe, yani moyowangu utatulia nikija kukuona” alisema Peter ambae kukweli ata mimi sijuwi kwanini amekuwa hivi, “vipi lakini uliwai kupita hivi karibu pale nyumbani kwetu na kuwajulia hali wakina mama?” swali lilo lilitoka kwa Sada, na kuzua mtafaluku kichwani kwa Peter, maana ukweli toka siku ile wametoa maneno mabaya kwake na kwa wazazi wake, Peter alijiweka mbali sana na ile familia, “nilipanga nipite baadae nikawajulishe kuwa nasafari ya mjini” alieleza Michel, na hapo wakaagana na kukata simu.**
Yap! Kijana Emma aliachia tabasamu la pembeni, “sasa je, unazani mpango kama huo unaweza kuupanga pekeyako, au ndio tumechokana sasa?” aliuliza Emma Pengo, huku anachukuwa simu ya Queen na kuanza kunakiri namba ya Peter, kwenye simu yake, ambayo ndiyo aliyokuwa ameifwata, “hapana baby, ilikuwa lazima nikuambie, siunajuwa mimi na wewe ni mume na mke” alisema Sada kwa sauti ya kujidekesha, “najuwa lakini umesababisha nikupige, kwaajili ya kuficha siri, ila pole mke mkewangu” alisema Pengo Kabla ya kumuaga Sada na kuondoka zake, huku akimsisitiza kumshirikisha kila hatua, katika mpango wa kuzipata fedha za kijana Peter, yani mzazi mwenzie.
Ukweli Sada mwanzo hakutaka kumshirikisha, mpenzi wake Emanuel, maana ukweli nikwamba licha Emmanue kuwa na fedha ambazo aikuwa analipwa na boss wake, lakini hakuwai kumpatia Sada fedha ambayo angeifanya ya matumizi, zaidi alikuwa anaishia kulipiwa pombe na chakula tu, huku akitumika kingono, muda vile ambavyo Emma alitaka, ukweli Sada alijifunza mengi kwa kijana huyu, yaliyo mazuri na yale machafu, yaliyofurahisha na kuchukiza, yaliyo mpa utamu na uchungu, maana alilazimika kukubari ata kuingiliwa kinyume na maumbile na mpenzi wake huyo, au kufanya mapenzi ya mdomo, wakati wmingine Emanuule akimwaga watoto mdomoni mwake, na yeye Sada alifanya hayo, ili kumlizisha mpenzi wake huyo, mwenye hakiri zilizo tangulia, na yeye kuendelea kupata hifadhi ya kulala, pombe na chakula, huku akitunza sifa kuwa anaishi na bwana, hakuwa na uwezo wa kukataa, sababu tayari hakuwa na sehemu ya kwenda, hivyo alizania kuwa fedha zile za Peter zinge msaidia kuanza maisha mapya, lakini bahati mbaya ikaangukia upande wake, na Emmanuel akauotea mchongo, kama ingekuwa rahisi, kwa Sada kuepukaa na haya yote basi angeamua kutoroka na kurudi kijijini, lakini kwakile ambacho alikifanya miezi kadhaa iliyopita akuwa nasehemu ya kuiweka sura yake pale kijijini.
Sada alijiinua kitandani, na kusogelea kioo, akajitazama jinsi alivyo pondeka usoni, kisha akaelekea bafuni kunawa, huku akijikuta anaanza kumchukia Peter na mwanae wa kumzaa Michael, “yani we mshenzi umenipinza mapaka nimepigwa hivi, saa zamu yako itakuja mbwa wewe na hicho kifaranga chako mtajibeba” alisema Sada, kwa sauti iliyojaa hasira kali, “nitawafanyia kitu ambacho kita kufanya ujute kuzaliwa mwanaume” aliendelea kujiongelesha Sada, ambae mpaka sasa sikujuwa anamchukia Peter kwa sababu gani, maana yeye akusababisha chocho kwake ila nitamaa zake tu, ndizo zilizo mponza.***
Naam, siku hii likuwa ndefu sana kwa Peter, ambae aliona kila dakika imebeba, sekunde elfu tisa, na kila lisaa libeba dakika elfu moja, mbaya zaidi ata hamu ya kula iliondoka, kwa furaraha aliyo kuwa nayo, alijaribu kujipatia vijikazi vidogo vidogo, ili muda uende, lakini bdao aliwai kumaliza na muda nikama ulikuwa pale pale, alijipangia safari zisizo rathmi, ilimradi kupoteza muda, lakini mpaka anarui nyumbani bado muda aliouona ulikuwa pale pale.
Mida ya saa kumi na moja alijikuta mbele ya nyumba ya mzee Nyoni, ambapo aliwakuta wazazi wa Sada wakiwa wamekaa kinyonge kweli kweli hawana mbele wala nyuma, makoo yamewakauka, kwa kiu ya pombe ambayo wenzao walikuwa wanaiogelea, kutokana nafedha nyingi walizokuwa nazo, mwanzo wazee wale walishangaa kumwona Peter na wanae Michael akiingia pale nyumbani kwao, maana nimiezi sita imepita, toka kijana huyu alipofika pale kwao, lakini hali yake ya furaha, ili waondoa hofu wazee hawa, “karibu baba habari za siku nyingi” alisalimia mzee Nyoni na mke wake, kwa heshima na taazima, “nzuri tu wazee wangu shikamoni” alisalimia Peter, akifwatiwa na mwanae Michael, ambae alikuwa anaongea kwa kuunga unga, “marahaba mwanangu karibu sana” waliitikia wazazi wale ambao, miezi kadhaa iliyopita walimwongelesha kijana huyu, kwa nyido na majigambo, “wazee nimekuja kuwaaga kesho naenda mjini, nimewasiliana na mama Michael, yeye nita mkuta huko, na kesho kutwa ninarudi nae, tunakuja kuanza maisha mapya” alisema Peter kwa sauti ambayo kama syo uchangamfu uliokuwa nao, basi nazani wale wzee wangesema kuwa ni utani, “kwahiyo mwananguume msamehe Sada?” aliuliza mama Sada kwa sauti yakuto kuamini alicho kisikia, “mama mimi sikuwa na tatizo na yeye, kwakuwa ameonyesha anataka turudiane mimi sina kipingamizi chochote” alisema Peter kwa sauti iliyoonyesha upendo nidhamu, na nia thabiti ya kufanya kile alicho kiongea, “jamani asante sana baba, afadhari kama umemsamehe mwenzio, kweli mungu akubariki, na kulide na mabaya yote” alisema mama Sada kwa sauti ya mlipuko wa furaha, huku anapiga magoti na kunyoosha mikono juu, “asante mwanangu, ilo ndilo linalotakiwa, kusameheana nivyema pale mtu anapoitaji msamaha” alisema mze Nyoni., na mke wake akadakia, “tena mimi naamini kabisa kuna mtu alimloga Sada, asingeweza kufanya vile alivyofanya kwahakiri zake” maongezi yalikuwa mengi ya kufarijiana na kudanganyana.
Mwisho Peter aliwapatia fedha kiasi cha tsh laki mbili tathlim wakwe zake, na kuondoka zake, kuelekea nyumbani, wakati huo tayari ilisha timia saa mbili za usiku, alifika nyumbani kwake na kuandaa chakula kwaaajili ya mwanae, maana yeye hakuwa na hamu yakula kabisa, na licha ya kuingia kitandani mapema, lakini hakupata usingizi mpaka saa saba za usiku, ambapo alipitiwa na usingizi, na kuja kushtuka saa kumi na moja alfajili, ambapo akaanza kujiandaa kwa safari, ambayo aliinza saa saba za mchana, kwa kuelekea wilayani namtumbo kupanda magari yanayotoka wilani Tunduru, akiwa na fedha zake zote, nguo chache, za kwake na mwanae Michael, akipanga kwenda kununua nguo zaidi huko mjini, na ndio wakati ambao alikumbuka kumpigia mwenyeji wake kumjulisha kuwa anaanza safari ya kuelekea mjini, lakini alipo ibofya simu yake, ndipo alipogundua kuwa simu hiyo aikuwa na chaji, hivyo akapanga akifika mjini aichaji kisha ampigie Sada, kumjulisha kuwa ameshaingia mjini.**
Yap, waati hayo yanaendelea, huku nako bwana Kalonga, alikuwa anapanga majeshi yake vyema kabisa kwaajili ya tukio, ambalo walipanga kulitekeleza usiku wa siku ile, “kumbukeni, nyie ambao mtakuwa kwenye kikao, hakikisheni amfanyikosa, kwenye kuweka kilevi kwenye kichwaji chochote, ambacho Careen ata kitumia, wakati huo Pengo na wenzako, mtafwatilia kwa ukaribu, yani akianza kulewa tu, nyie mnaeda kumchukuwa na kumpeka kwenye gari lenu, mnampeleka kwenye ile nyumba yangu ya shambani, ambako mimi nitakuwa nawasubiri, nitakuwa nae huko mpaka nyie mmalize kazi, ya kubeba kila kitu ofisini kwake ndio tutaenda kumtupa nje ya geti lake” alisema Kalonga akiwa mbele ya watu nane, kati yao wawili ni watu wazima wanaume, moja mschana wakati ya miaka 25, wote waliovalia kinadhifu, ungesema ni watu wenye wadhifa flani, au wafanyakazi wa maofisi makubwa makubwa, huku watano wakiwa ni vijana wenye mwonekano wa kuogofya walio ongozwa na bwana Emanuel, au pengo, kama walivyo mbatiza, “huo mpango umetulia boss, nazani hakuna kitakacho haribika” alisema Emanuel, kijana mtuufu anae aminiwa na bwana Kalo, “ok! mnaweza kwenda kumpumzika ili saa kumi na moja muwe pale, maana yule mschana anapenda kwenda na wakati” alisisitiza Kalonga, na vijana wake wakatawanyika.***
Saa kimu na moja kamili ilimkuta Sada akiwa amejilaza kitandani ndani ya chumba cha mpenzi wake Emma, akisubiri simu toka kwa Peter, yani mume wake wa zamani, lakini toka saa nane mpaka saa kumi na moja akukuwa na simu yoyote, na ata alipojaribu kupiga simu ile aikuwa inapatikana, “huyu mshenzi anamana gani, kunifanyia hivi, Emma si ata niuwa jamani, atajuwa nime mdanganya, huwiiiii, ebu pokea simu we jinga la kijiji” alisema Sada, huku ana jiinua toka kitandani na kuelekea bafuni, akaoge ilikujiandaa kabisa, maana mida ya mtoko na muewe inakaribia, lakini alikuwa na matumaini makubwa kuwa lazima Peter ata ingia mjini na kumpigia simu hivyo muda wote anatakiwa kuwa tayari kwa kwenda kumamilisha mpango wake wakujipatia fedha kwa mtu anae mwita Jinga la Kijiji.****
Naam saa kumi na robo, ndio mida ambayo, Peter na mwanae Michael wakiwa na begi lao, lenye nguo chache na fedha nyingi, walishuka toka kwenye bus, dogo la Napo movement, linalofanya safari zake songea tunduru, na kuanza kusaka sehemu za kuchaji simu, ili awasiliane na mwenyeji wake yani mama Michael ambae huku mjini wanamfahamu kwa jina la Queen.
Lakini katika tafuta tafuta yake akapata wazo la kutafuta sehemu ambayo angepata ata bia mbili wakati anasubiri simu yake ipate chaji kidogo, hivyo akaenda kwenye sehemu ambayo kuna pikipiki za kukodi, yani boda boda, maana alikumbuka mala yake ya mwisho kufika mjini,a alielekezwa kuwa boda boda ndio wenye uwezo wakutambua sehemu yoyote yamji, alikuwa nalengo la kupelekwa sehemu hiyo nzuri ambayo ange pata huduma ya chakula na kinywaji kidogo kwaajili yake na mwanae Michael, wakati wanasubiri kuwasiliana na mwenyeji wake ambae waliamini kuwa watafikia kwake, wazo ambalo lilifanikiwa, maana mala baada ya kupata boda boda alimshauri kuwa ampeleke Mtini pub, ikiwa nisehemu ambayo wanaweza kupata kile wanacho kiitaji, yaniPeter na mwanae***
Naaam nje ya jengo kubwa la ghorofa tatu, la Makimakuluga motel, upande wakushoto, walionekana watu wakiwa wamekaa kwenye viti vyao, wakizunguka meza zao, zilizo jaa vinywaji mbali mbali, wakinjinywea katika nyuso za furaha, upande wa kulia yalionekana magari mengi yakiwa yameegeshwa, mengi yao yalikuwa ni ya wateja ambao walikuwa ndani ya hotel ile, iliyopo karibu kabisa na mtini pub, lilionekana kiliingia gari moja ainaya BMW jeusi, na kusimama kwenye maegesho ya ile motel kubwa sana, hapa mjini songea, kisha wakashuka watu watatu, wawili wakiwa ni wazee wamakamo waliovalia suit zao nyeusi, na viatu vyao vyeusi, huku wakifwatiwa na mschana mmoja alie valia vizuri kabisa, huku amebeba sanduku dogo, la Ngozi, nalo jeusi, waka tembea taratibu kuingia ndani ya jingo lile la ghorofa tatu, wakionyesha walikuwa na kikao muhimu, na mtu muhimu sana……
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU