KIAPO CHA MASIKINI (20)

SEHEMU YA 20

ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NA TISA: Lakini ile anaanza kukimbia tu, akajikwaa kwenye mguu wa Janja ambae alikuwa ambae pia alikuwa anajiandaa kuinuka, na wote wawili wakajibwaga chini tena nakubamiza nyoso zao sakafuni na kuinuka tena huku wameshikilia nyuso zao, zilizokuwa zinavuja damu, na kuanza kukimbia kuelekea kwenye ngazi za kueleka chini, wakati huo Careen akijaribu kutaa kuelekea ndani ya chumba namba saba, kitendo ambacho Peter alikishangaa na kukiogopa, maana aliofia angekosa cha kujieleza mbele ya mke wake, pale atakaporudi toka kutafuta chakula…. Endelea……
Lakini kwakuwa aliona wazi kuwa mwanadada huyu anaitaji msaada wake na alikuwa ajiwezi kwa lolote akaamua kumsaidia, “akija Sada nitamweleza jinsi ilivyokuwa” alijisemea Peter huku anaokota lile begi la yule mwanamke mrembo sana, kisha akamsogelea na kumwinua, ambao kutkana na kulegea kwa yule mwanamke, ilishindwa ata kujikokota, hivyo akalazimika kumbeba kabisa.
Uwezi amini kilicho mkuta Careen, ambae licha kuwa alikuwa amezidiwa na kilevi asicho kujuwa kilicho changanywa kwenye maji aliyokunywa, lakini pale Careen alipo nyanyuliwa na kijana huyu mwenye nguvu, na kumweka kwenye kifua chake akimkubatia kwa mikono yake yenye misuri ambayo ungesema ni kwaajili ya mazoezi, anayo yafanya kwenye kumbi za kisasa za mazoezi yani GYM, lakini kumbe ni mwili uliojengeka kwa kazi mbali mbali zikiwemo za shamba, Careen alijikuta akisisimkwa na mwili mwili msima, huku mapigo ya moyo wake, yakianza kuongeza kasi kwa kuogopa kinaweza kumtokea, kile kilichotaka kumtokea kule nje kwa wale vijana wa Kalonga, na wasi wasi ulizidi zaidi alipoona analazwa kitandani, alitamani kumweleza jambo yule kijana, lakini mdomo wake ulikuwa mzito, akaishia kujisemea mwenye kimoyo moyo, “naomba usinifanye chochote nita kulipa kiasi unachotaka” na baada yakulazwa kitandani, Careen akajikuta ata macho yanakuwa mazito, nayaka jifumba kabisa, sasa akuweza tena kuyafumbua, akahisi yule kijana anamvua viatu vyake na kumlaza vizuri kitandani, kisha aka mfunika kwa shuka, alitamani kumwambi asante kijana huyu, lakini alishindwa kabisa, huku akijikuta akizidiwa na giza usoni mwake na kupotelea kwenye usingizi mzito.**
Baada ya kutoka kule ndani, wakiwa na maumivu makali sehemu mbali mbali za miili yao, pamoja na kuficha nyuso zao zilizo tapakaa damu, Emmanule na Hussein, walielekea kwenye gari lao aina ya IST Toyota, “kaka hii ni moja kwa moja nyumbani lakini lazima tumpigie boss kumjulisha mpango umearibika, yule jamaa nimjinga sana” alisema Emanuel, hapo ni kama vile awajaja na wenzao, maana waliingia ndani ya gari ilo na kuliwasha, kisha wakaondoa gari, wakiwaacha wenzao waliokuwa ndani ya Toyota Vitz, wanashangaa wasijuwe imekuwaje, yani kama mpango umefanikiwa au umeshindikana, hivyo nawao wakaondoa gari kuanza kulifwata nyuma gari lile la wakina Emmanuel.
Naam bwana Pitus Kalonga, akiwa katika nyumba yake ya maficho, iliyopo kilomita tano, toka nyumbani kwake Mateka, jilani na milima ya matogoro, alikuwa ametulia sebuleni, amevalia tauro ndani hakuwa na kitu chochote, amekaa kwenye kochi dogo, akimulikwa na mwanga afifu, japo usingetuzuwia kuona mezani kulikuwa na nini, kulikuwa na chupa moja kubwa ya pombe kali, sahani yenye karanga mbichi, nusu kilo, vipande viwili vikubwa ya mihogo, na mkononi alikuwa ameshika kijiti flani kidogo, ambacho kwa wale waliosoma hadithi ya utani wa bibi wanakifahamu, ambacho alikuwa anakitafuna taratibu, huku mala kwa mala akisubiri simu, toka kwa kijana wake Emanuel Msengi, au Pengo, ambayo alikuwa na uhakika ingekuwa nzuri kwake, ingemweleza kuwa tayari wapo njiani wamesha mteka Careen na sasa wanamleta kwake, ajilie kitumbua usiku kucha, maana maandalizi aliyokuwa anayafanya hayakuwa madogo, alipania kukesha na mama wa Dhahabu, mwanamke ambae amemsumbua kwa muda mrefu sana,
Naam bwana Kalonga ambae sasa alikuwa ameshaanza kuona matokea ya maandalizi yake, kwa dudu yake kuanza kujitutumua ndani ya tauro, mala akasikia simu yake inaita, alipoitazama akaona kuwa mpigaji ni Pengo, hapo akaachia tabasamu pana kama la fisi mwenye uchu, huku anaiokota simu yake, toka mezani, na kuipokea, “niambie Emma…” kabla ata ajamiliza alichotaka kuongea, akakatizwa na Emmanuel, “boss yule mshenzi ameingilia tena mpango wetu, ametupiga vibaya sana..” Kalonga akusibiri Emmanuel amalize maneno yake, akamdaka juu kwa juu, “si ange wauwa kabisa washeni nyie, sasa mimi nita mtomb… ndani kwa aya madudu niliyokula” alisema kwa hasira Kalonga, na kukata simu, kisha akaiweka mezani na kujishika kichwa, kama vile anasikia maumivu, “khaaaaa! Hivi nimtu gani huyo anae ingilia mipango yangu kila siku” aling’aka kalonga kwa sauti iliyojaa hasira, huku kichwani mwake akianza kuwaza ata mpata mwanamke gani wakuja kubeba majukumu ya Careen, maana aliona mke wake asingefaa kulipia jambo ilo, “huyu shenzi anae vuluga mipango yangu ni nani, inamaana anijuwi mimi ni nani, sasa ata nitambua” alisema Kalonga huku anaanza kupekuwa simu yake kutafuta namba ya mwanamke ambae anaweza kuja kuwa mbadala wa Careen, japo moyoni mwake alikasirika sana kwa kukosa kile ambacho alikitarajia, kwa siku ile yenye maandalizi ya hai ya juu.**
Naam saa nne za usiku, nyumbani kwa Careen wafanyakazi wote walikuwa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!