KIAPO CHA MASIKINI (64)

SEHEMU YA 64

ILIPOISHIA SEHEMU YA SITINI NA TATU: Hiyo basi Careen licha ya kuja Tanzania kujaribu kubadiri mazingira na kumsahau Elvis, ambae siyo kwamba alikusudia kufanya hivyo, yeye alimini kuwa Careen asinge kuwa tayari kuwa mke wake, au pengine ange mchukuwa kwa ulazima tu, kwa kuwa ni mwana wa mfalme (kipindi hicho kabla aja kuwa mfalme) ndio maana akafunga safari kwenda Tanzania kutafuta mwanamke wa maisha yake, (utasoma kwenye UMEKOSEA LAKINI TAMU, msimu wapili) ………..Endelea…
Ilikuwa ngumu kumsahau, zaidi ilimfanya awachukie wanaume, chuki iliyo zidishwa na Kalonga, ambae alibainika mapema kuwa lengo lake lilikuwa ni mali na kuonja kitumbua cha Careen, maana tayari alikuwa na mke wake, Careen akajikuta analiwazwa na wine, na matumizi yake ya fedha kwenye vito vya thamani, mpaka alipokutana na kijana Peter, ambae pia anamtopesha kwenya matumizi ya wine.

Usiku huu walisherehekea kwa wine na kupeana dudu, akiwa anaendelea kuuzia maagizo ya mama yake, kwamba asifanye mapaka wafunge ndoa, ni moja ya utaratibu wa nchi kwao, asa kwa wale wanao itaji kuolewa na familia ya kifalme, huku wakipanga kesho waende wakatembee, mjini, ikiwa ni kumpeleka Michael kufurahia michezo mbali mbali na watoto wengine.**

Mida hii Sada alikuwa anaingia nyumbani, akiwa ameshiba viazi vitamu vya kukaanga, vya elfu moja, na akanywa maji ya mia mbili, yale ya kwenye kijifuko, dar es salaam walisha wai kuyaita maji ya kandoro, na sasa alikuwa amebakia na shilingi nane tu, ambayo alifika nayo nyumbani, ambako alikuta Emma bado ajarudi.

Sada alioga na kujilaza kitandani, akiwa anal ala kimang’amu ng’amu, kwa maana alikuwa anasuburi kumfungulia Emma mlango, ambae siku ile alichelewa sana na kurudi, ambapo alirudi saa saba usiku, akiwa amelewa sana, na bila kuongea chochote, akajitupa kitandani na kupitiwa na usingizi, hapo na yeye akapata nafasi ya kulala.**

Siku ya pili siku ya juma pili, mama na baba Sada, waliondoka mapema na gari pekee la abiria linalotoka pale kijijini mpaka mida hii ya saa moja na robo, walikuwa maeneo ya Namabengo, wakiendelea na safari ya kwenda mjini, na sasa walikuwa wamebakiza kilomita therathini kufika mjini, ambapo kwa mwendo huu, wa Layland wange timumia pengine lisaa lizima, ni kutokana na kusimama kila sehemu kupakia au kushusha abiria na mizigo.

Vichwani mwao walikuwa wanapiga picha ya kule waendako, ambako, ambako walipata taswira ya binti yao, akiwa kwenye kibaradha cha nyumba yake ghorofa ya pili anawapokea kwa furaha na bashasha, picha nyingine waliyo iona, ni jinsi watakavyopatiwa mapokezi ya kifalme nyumbani kwa binti yao, na bahati nzuri kwao aikuwa mala ya kwanza kwenda mjini, mala ya mwisho walenda mjini songea mwaka efu moja miatisa tisini na saba.

Hakika kama wange chelewa kidogo kuondoka pale kijijini, naamini wasinge thubutu ata kuugusa mlango wa gari ili la abiria, maana mala kulipopambazuka ndipo habari za ukweli juu ya kilicho mtokea Peter kule mjini zilipoanza kusambaa, na ndio wakati ambao, Kadara alioitaji kufahamu kilichotokea jana, nyumbani kwa kina Peter, wazazi wake wakamweleza kila kitu, kuanzia safari ya Peter kwenda mjini, akiwa na Michael, kukutana na Sada, ambae alimtaperi na kumwibia kila kitu, kisha kumtelekeza yeye na mwanae, kwenye hotel kubwa ya kifahari, wakiwa hawana ata shilingi ya kulipia.

Hakika hadithi hii ilianza kumsisimua Kadara, ambae ndie alie mpatia Sada namba ya Peter, “yani unaambiwa, kama siyo mwanamke wake huyu aliekuja nae jana, basi Peter angeenda kufungwa polisi, sijuwi ingekuwaje kwa Michae” alisema mama Kadara kwa sauti yenye udhuni, “inamaana Sada alishindwa kumfikilia mwanae Michael?” aliuliza Kadara kwa sauti iliyojaa mshangao, uliotokana na kile anacho kisikia, “kwani ata mtoto mwenyewe anamtaka basi, yani unaambiwa amemkana wazi wazi, na amesema ataju ata kumsikia” alisema mama Kadara, a mbae alieleza kila kitu mpaka jana walivyo sherehekea ujio wa Peter na mchumba wake, na jinsi waliyo onekana.

Ukweli ilimshangaza sana Kadara kwa kile alicho kifanya mwenzie, “yani Sada, anamkataa mwanae kwaajili ya yule mtu waovyo ovyo, mtu ambae anashindwa ata kumpa ela ya matibabu, mpaka namsaidia mimi” alisema Kadara kwa sauti yenye udhuni kubwa, “mh! mbona mama yake anasema kuwa Sada ana jumba kubwa la ghorofa huko mjini, tena anamifedha na magari?” aliuliza mama Kadara, kwa mshangao wakusikia kuwa Sada aliomba fedha ya matibabu kwa Kadara, “mh! unasema, ghorofa?, litoke wapi, ghorofa wakati wamepanga chumba kimoja?” alisema Kadara kwa sauti ya kuthibitisha “weeeee! usiniambie Kadara, inamaana…… (hapo mama Kadara alishika kichwa kwa mikono miwili) yoyoooo! mama Sada na mume wake wanaenda mjini kwa Sada, wanaamini kuwa ni tajiri” alisema mama Kadara, kwa sauti iliyoonyesha kuaribika kwa jambo, “sasa unapiga kelele zanini, unatakiwa kwenda kuwaeleza ukweli” alisema Kadara, wakati huo walikuwa wanamenya viazi vitamu kwaajili ya kuchemsha, ikiwa ni maandalizi ya chai, “nikawaeleze saangapi, wakapi sasa hivi watakuwa wamesha fika mjini” alisema mama Kadara kwa sauti ya masikitiko

Saa mbili na nusu za asubuhi, ndio kwanza Careen alikuwa anafumbua macho kwa maana ya kuamka, anajikuta amelala kifuani kwa Peter, Careen anainua uso, na kumtazama Peter, hapo macho yao yana nakutana kwamaana Peter nae alikuwa macho, hapo wanatabasamuliana, “salaam kipenzi cha moyo wangu” alisalimia Careen huku tabasamu pana la kivivu kiliwa usoni mwake, pamoja na macho malegevu yaliyo jaa aibu, “salaam Careen, umeamkaje” alisalimia Peter, huku ana tembeza mkono wake juu ya mgongo laini wea Careen, “najisikia vizuri, vipi umeamka mapema” aliuliza Careen huku anainuka toka juu ya Peter, na kujilaza pembeni yake, “nimeamka mapema kidogo, tana mkojo umenibana kweli kweli” alisema Peter huku anainuka na kuelekea chooni, mtupu kama alivyo lala, huku Careen anapeleka macho yake, mbele ya sehemu za jinsia za Peter.

“ata mimi mkojo umenibana” alisema Careen, huku nae anainuka na kumfwata Peter kule bafuni, huku macho yake yanaweza uona jinsi mwanaume alivyo inuka na kusimamisha mnazi.

Nikama watoto, walipeana zamu ya kujoa, “yani huyu anatamani kila saa” alisema Careen huku anakinga maji kwa ginja chake na kumwagia kwenye sehemu ile nyeti ya Peter, nani kakuambia inatamani” alisema Peter akijaribu kugeuka ili Careen asitazame, “kwani mimi sijuwi, sihiyo naiona imesimama” alisema Careen huku anamfwata Peter kule aliko gaukia na kuigusa dudu kwa mkono, na kuichezea kidogo, na kuifanya izidi kututumka zaidi, “siunaona sasa” alisema Careen huku anaacha kuchezea dudu, na kumkumbatia Peter, kwa kuzungusha mikono usawa wa tumboni mpaka mgongoni, na viuongo vyao nyeti vinakutana.

Sidhani kama kama kuna mmoja katu yetu ange vumilia, iwe wakike au wakiume, bila kuacha viungo hivi vipeane nafasi, na ndivyo ilivyokuwa kwa wawili awa, ungesema wana iba, maana walianza kule bafuni, mpaka wakaja kumalizia kitandani, huku wakipeana mitindo mbali mbali, ambayo ata majina awakuyajuwa, ilimlandi tu, walipeana walicho itaji kupeana, awakujuwa kuwa kuna mschana yupo nje na grass mbili za maziwa, amesimama mlangoni anashindwa ata kuugonga, maana alikuwa anasikia kelele za miguno ya kimahaba na yakufurahia utamu toka kwenye chumba cha boss wake, hivyo akabaki ameganda kwanza mpaka wamalize ndipo agonge mlango.**

Mida hii, ndiyo mida ambayo Emma alikuwa anafungua mlango kutoka pale nyumbani kwake mahenge, kuelekea mjini ambako leo alikuwa na kazi ya kuhakikisha anasimamia vyemzoezi la utekaji wa mtoto wa RCO Mlashani, ambao ulipangwa kama onyo la kuto kuchunguza swala la dawa za kulevya, ambalo mshukiwa wake ni, bwana Pitus Kalonga.

Tayari Emma alikuwa amesha kunywa soda ya baridi, kupunguza kilevi, ambayo alimwambia Sada akanunue, na Sada alinunua kwa fedha aliyokuwa amebakiwa nayo jana, alitumia mia tano na kubakia na mia tatu, shilingi za kitanzania, akiamini kuwa Emma ata mwachia fedha ya kutosha, “sasa baby, uniachii ata ela ya chai” alikumbusha Sada, yani Queen, ………..

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!