
KIBOKO YANGU 2
Basi bibi mimi kwa aibu nikasimama, na watu wote ambao walikuwa pale wakawa wanatupigia makofi, mashoga zangu wakawa wananishangaa kwa maana hawakujua ni lini nilikuwa na mahusiano, kwa maana mimi ni mdangaji kama wao, lakin kwa wakat ule tulibadilishana hadhi kwa maana wao ndio walikuwa wananunuliwa, ila mimi nilikuwa ndio nanunua wanaume….
Basi tukala cake na baada ya hapo tukarudi kukaa, na robert alikuwa anaonekana kunijal sana, maana mara anitengeneze nywele, mara anafute jasho basi tafran alikuwa ananifanya nijisikie vibaya sana, kuna muda nilikuwa nawaza nimuamshoe vagi ila nikaona naweza kuharibu shughuli ya watu, hivyo ikabidi ninywe maji baridi kushusha hasira….
Basi shughuli ya watu ikaisha nikanyanyuka kwa maana sikutaka kuendelea kukaa na robert maana nilikuwa hata nikimuona najikuta napatwa na hasira, kwa maana nilikuwa namuona kama amezidi shobo…
Nikatoka na kuelekeab lilipo gari langu, mara nashangaa namkuta Robert amesimama pemben ya gari langu kisha akasema “ naweza kukupeleka nyumban madam..
Nikaona kama anataka kunipanda kichwani, nikamuangalia kuanzia juu mpaka chini kisha nikasema “ ungekuwa na hadhi ya kushika gari kama hili ningekuruhusu unipeleke nyumban, ila unavyoonekana ni kama mnuka njaa mmoja, kama unashida ya pesa usiwe unanisumbua, nenda pale nyumban kwangu kisha muambie mlinzi akupe pesa ya kula, maana ukinifanyia kazi mimi na wewe lazima uwe tajiri, nikasema nikiwa naenda kupanda kwenye gari, Yule kaka akanishika mkono kisha akasema “ kwa ninavyowajua matajiri huwa wanaendeshwa, na sio kujiendesha wenyewe, kweli wewe ni tajiri ila kama mpaka sasa bado unajiendesha mwenyewe basi jua hauutendei haki utajiri wako, akasema Robert na nikajikuta namuangalia kwa hasira kwa maana nilikuwa naona kama amezidi……..
Hakusubir hata nimjibu akapanda kwenye gari na kukaa sehemu ya dereva, kisha akanambia “ panda boss nikupeleke nyumban, nikasunya kisha nikaenda kupanda na akaanza kuendesha gari, yaan kuanzia safar inaanza mpaka ananifkisha nyumban hakuna mtu ambae alimsemesha mwenzake, aliponifikisha nyumban akaja upande niliokuwepo kisha akanifungulia mlango, nikatoka na kumuangalia kama kinyesi kisha nikamuambia “ naomba funguo yangu…
“ sikutegemea kama ukinuna unakuwa mrembo hivyo peace, akasema Robert ila hata sikumjibu nikapitiliza zangu ndani moja kwa moja, nilipoingia ndani na kuoga nikampigia simu mwanaume ambae nilipanga kulala nae siku hio, kumbe bana Robert hakuondoka, sasa nashangaa muda unaenda na mwanaume wangu niliemtaka hafiki, nikapiga simu kwa huyo mwanaume ila haikuwa inapatikana, nikaona nimpotezee tu, nkampigia mwingine, kwa maana nilikuwa na namba za wanaume wengi sana kwenye simu yangu, kisha nikatoka ukumbini, kwa maana nilikuwa nataka kuchukua kitu jikon, nikashangaa namupona Robert bado hajaondoka nyumban kwangu, na tena akawa anamtimua na vitisho Yule mwanaume niliemuita……
Nikamfata ila Yule mwanaume nilieagiza aje alikuwa ameshaondoka na kumuuliza “ kwanini kwanza bado upo nyumban kwangu mpaka sasa hivi?…
“ hukunambia niondoke , ila nimejikuta nataman sana kuwa mtumishi wako, akasema Robert
“ hivi unakichaa wewe mwanaume, embu ondka nyumban kwangu kabla mashetani yangu hayajapanda, nikasema
“kumbe una mashetani boss, embu ngoja nikae hapa nione namna yanavyopanda au unaonaje, akasema Robert
Sikutaka kuendelea kubishana nae kwa maana niliona kama kubishana nae hakuwez kunipeleka popote pale, na licha ya yote Yule ni mwanaume, na alikuwa ananguvu kuliko mimi, basi Robert alilala pale ukumbin kwangu, sikujua ni kwanini alifanya vile, kwa maana ni kama kuna kitu alikuwa anataka kutoka kwangu, na sikujua ni kitu gani, kuna muda nilihisi hata ni tapeli, ila sikuwa na uhakika, kwa maana nimetokea kutowaamini kabisa wanaume kwenye maisha yangu….
Siku moja nilikuwa nimeamka asubuh na nilikuwa nataka kwenda kwenye shughukli zangu, ile natoka nakutana na robert akanifata na kunisalimia kisha akataka kujua anaweza kunisaidia nini…
“kitu pekee ambacho unaweza kunisaidia ni kuondoka nyumban kwangu, kwa maana unasababisha nishindwe kupumua kabisa, nikasema…
Akaniangalia kisha akatabasamu kisha akasema “ embu nambkie kama nisipoondoka utafanya nini?…
Aliposema hivyo nikapata wazo, nikachukua simu yangu na kuipiga, nilikuwa na nmba ya polisi mmoja hivi, na nilipohakikisha simu imepokelewa nikaanza kupiga kelele na kusema “ uwiii ananibaka, ananibaka msaada jaman … msaada…
Robert alipaki katoa macho kwa maana hakujua hata ni kwanini nilikuwa nafanya vile, na nilipoona inatiosha sasa kupiga kelele, nikamsogelea Robert kisha nikamtukana kwa maksudi, aiseee alishindwa kujizuia aliniweka kibao, yaan kitendo cha kuniweka kibao tu, asnashangaa askari polisi hao, wakatuchukua maelezo nikasema kuwa mimi simjui na ameingia ndani kwa kuruka ukuta maana hata mlinzi wangu hajui kama kuna kijana ameingia ndani, nikasema na wakat huo huo Robert akachukuliwa na kupelekwa kituo cha polisi, nilijisikia vzr sana, nikaona angalau ameondoka kwenye nyumba yangu maana alikuwa ananikera sana, sasa nilienda kwenye mizunguko yangu na wakat narudi nilipata wazo, niliwaza nikamtoe patric polisi kwa shart na aje aishi na mimi, kwa maana niliona kama akikaa polisi sitaweza kumkomoa, nikaenda mpaka kituo cha piolisi na kuomba patric atolewe, hata yeye hakuamin, nikampa sharti kuwa, anatakiwa awe kijakazi wangu, kwa maanaq anatakiwa kufanya kila ninachokitaka au anilpe faini million kumi kwa kutaka kunibaka, akaniangalia kisha akatabasamu na kusema nimekubali kuwa kijakazi wako….
Basi nikarudi nae nyumban na makusudi yangu yakaanza, kwanza nikamwambia kuwa hana sehemu anapaswa kulala zaidi ya stoo, Robert akakubali, na kingine nikamuambia kazi zote za ndani anapaswa awe anafanya yeye, na atakuwa mpishi wangu wa kila chakula ambacho nitahitaji, na hata kama nikija na marafiki zangu yeye ndio atakuwa anawapikia, nikasema na robert akakubali kila kitu ambacho nimemuambi, baada ya kuongea nae nikaondoka zangu, kwa maana niklikuwa nimemiss sana kulala na mwanaume na kuanzia Robert amekuja nyumban kwangu sikuwah kulala na mwanaume hata mara moja, basi nikaondoka zangu na baada ya muda mchache nikarudi na kijana mtanashati, Robert akawa anatuangalia, tukapitiliza chumban na tulivyofika tukaanza purukushan kwa maana nilikuwa na hamu sana, zile kiss za hapa na pale, mara tupapasana, na kila ninapoguswa nilikuwa nashindwa kujizuia kutoa miguno maana nilikuwa na hamu sio mchezo, tukiwa ndio tunaanza kupeana buerudan, mara tukasikia sauti kubwa ya mziki, yaan ni kama mtu kafunga masabufak, tukaipuuza, na kuendelea kufanya yetu, ila ile sauti ilizidi mpaka ikawa inatukera, ikabidi nitoke niangalie kuna nini, nikashangaa namkuta Robert anacheza ziki hana habari…
“ unafanya nn wewe kahaba wa kiume, niliongea kwa ukali…
“ nacheza mziki boss, akajibu rbert huku akiendelea zake kucheza, “ hii ni nyumba yangu na hauruhusiwi kufanya chochote kwaajilib yangu, akaea hata haelewi akasogea na kunishika mkono kisha akaanza kucheza na mimi, nilimuwasha kibao kisha nikasogea mpaka zilipo sabufa na kuzima…
“ ahhh boss mbona unakatisha burudani yangu, au siruhusiwi kuburudika kwa maana hukunambia kwenye sheria za kukaa hapa kama siruhusiwi kucheza mziki, alafu unatamanisha, mbona umevaa kimitego hivyo au umekuja kunitega,akasema Robert, nikitege wewe kama nani na wakat nakuona kama mwanamke mwenzangu, nikasema kisha nikaondoka zangu…
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU