KIBOKO YANGU (04)

KIBOKO YANGU 4

“wewe mpuuzi unataka kufanya nn, au hujui kama mimi ni boss wako unataka kunikiss, hivi wewe mwanaume unaakili kweli, nikaanza kulalamika, na robert kiunyonge akapondoka zake mpaka nikajisikia vibaya, ila nikajiambia ni sawa, ni lazima ateseke kwa maana kwanza simpendi, basi nikaenda zangu kuoga na siku hio Robert hakutoka kabisa kwenye chumba chake mpaka usiku wa kama saa tatu, na alienda kujifungia kuanzia saa saba mchana, akatoka hio nsaa tatu akachukua zake maziwa na kurudi kwenye stoo ambako huwa analala, sikutaka kumshemesha, na yeye hakunisemesha kabisa, kwenye majira ya kama saa nne usiku nikaanza kusikia zile kelele za mahaba, zikawa zinanivuta, nikaenda chumban kwa Robert kuchungulia, nikamuona anajimaliza zake, na mimi kwa kumuangalia tu nikajimaliza, kwa maana siwez kumgongea na kumuomba anipe, kwa maana niliona kama atazidisha mazoea na mimi, na nilikuwa najiaminisha kuwa namchukia sana Robert ….


Basi siku hio ikapita na majogoo ya siku mpya yakaanza kuwika, siku hio niliwaalika wale makahaba wenzangu pale nyumban kwangu, na walikuja kama wane, nikmwambia Robert akaandae vinywaji, na kweli akaenda kuandaa na baada ya muda akavileta, ilikuwa ni juice, sikuwa najua hata ni ya tunda gani, ila tulipoanza iunywa wote tukapaliwa, ilikuwa imejaa pilipili, nikajikuta naita “ Robert wewe Robert umetutengenezea nini hiki? Nikauliza kwa ukali…
“ kinywaji boss, akasema Robert
“ kwamba ulisikia sisi ni wahindi au, maana naona umeamua kututengenezea juice ya pilipili, nikasema na shoga yangu mmoja akadakia na kusema “ tena pilipili kichaa..
“ nisamehe boss ila mimi huwa siwezag kutengeneza juice ungenielekeza tu na ningetengeneza juice ambayon ulikuwa unaitaka, akajibu Robert kwa sauti ya unyenyekevu sana, yaan kwa namna anavyuojibu unaweza ukahisi ni bahat mbaya kumbe makusudi tu….
“ ila umempata mfanya kazi handsome, hujimalizag kweli wewe, kwa maana nakujua unapenda sana mapenzi, akasema mmoja wa mashoga zangu..
“ yaan mimi peace nidate na mwanaume kama huyu, aaa siwez nyie mnamtaman kwa kuwa hamumjui ila mimi ninae kaa nae hapa namuona kama tambara la dekii, nikasema…
Mara shoga yangu mmoja akanyanyuka na kusema kuwa anataka kwenda uwani, ila baada ya kama dakika tano tukaanza kusikia purukushani jikoni, ikabidi niende kuangalia kunanini, si ndio nikakuta wanakiss na Robert, yaan sijui ni kwanini niliumia kiasi kilem niliumia kana kwamba nimetoka kumfumania mume wangu, nikamuweka shoga yangu mwiko wa mgongo kisha nikamuuliza “ unafanya nini wewe…

Alipiga kelele kisha akanigeukia na kunambia “ sasa kama una bidhaa na huwez kuitumia tuache sisi tunaoweza tuitumie, yaan mpaka nimetaman kumzalia kijakazi wako, akasema Yule bint aloikuwa anaitwa Beatrice, nilishikwa na hasira sana na kujikuta nawatimua wote, kwa maana nilikuwa nawajua wote kuwa ni machangudoa, roho ilikuwa inaniuma sana, nikawa nashangaa namuona Robert ananiangalia kisha anaachia tabasamu, alikuwa anazidi kunifanya niwe na hasira zaidi…

“ unacheka cheka nini, embu nipikie shawarma, nikasema kwa hasira nikiwa naenda chumban kwangu, “ shawarma! Akauliza Robert kwa mshangao…
“ ni kwamba haujasikia au ni dharau zinakusumbua, nikafoka…
“ samahan sana boss wangu ila hicho chakula mimi sikijui naomba uniambie chakula kingine kwa maana naweza nikapoteza kuda tu, maana sikijui hicho chakula na sijawah kukiona hata siku moja, sasa nitakipikaje,nikasema ….
Nikamuangalia kwa dharau kisha nikasema “ haya nipikie masala chiken tena kuku awe mzima, akaniangalia kisha akasema sawa boss, basi wakat huo huo Robert akatoka na kwenda kuanza kuandaa chakula ambacho nilikuwa nimemuagiza, alipika kwa karibu lisaa lizima, nilijua ni lazima atakuwa hajui namna ya kukipika ila aliamua kuingia google, maana nilikuwa nasikia video zikiplay, amehangaika wee mwisho akamaliza kupika, akaja kunitengea, nikakiangalia kile chakula kisha nikamwambia nimeshiba akakimwage maana amechelewa sana kukileta mpaka appetite yangu imekata…
Aliniangalia kwa hasira kisha akanisogelea taratiobu mpaka nikajikuta naogopa asije akaniweka vibao bure, kisha akanambia “ unajua kuwa sikuwa najua kupika hicho chakula kabisa, nimeshinda youtobe, nimeshinjda goog;le ili nipike kitu unachokitaka, nilikuwa na hofu sana kwa maana niliogopa chakula kisije kikatokea vibaya , ila namshukuru Mungu chakula kimetokea vzr kuliko hata nilivyofikiria, alafu unakuja kunambia nikak8itupe, hivi unakichaa wewe…

“ naona umeamua kunifokea na wakat unatakiwa kunilipan pesa zangu za faini, alafu mimi ndio nakuvisha na kukulisha, unaujeuri gani wa kunikatalia ninachokitaka, nikasema kwa ukali, Robert akatabasamu kisha akasema “ najua hunijui vzr hiki chakula utakila utake usitake, nikabana pua kisha nikamuigizia kusema “ utakula hichi chakulan utake usitake..
“ yaan nikila hicho chakula labda uniue,na siku ukiniona nakula hicho chakula chako ulichokipika wewe kipuuzi, jua nitatembea uci kutoka hapa mpaka kariakoo, nikasema kwa nyodo, Robert hakuongea na mimi chochote akaingia jikon na baada ya muda nikaona anatoka na sahan kisha akenda kumwaga kitu kwenye dustbin, nikajua amenitii, ila kuanzia siku hio alikuwa anapenda sana kunipikia, alikuwa anapika chakula kitamu sana, mpaka nikawa nashangaa kwann hakuwa ananipikia vzr hivyo siku zote ambazo nmekaa nae, alafu ghafla anakuwa ananipikia, ila siku jail sana, nikawa nashisi kuwa ameamua kumtii boss wake….

Karibu wiki mbili alikuwa anapika , siku hio akanifata na kuniuliza kuwa “ unaanza kutembea uchi saa ngapi boss…
Nikatoa macho kwakuwa sikuwa nimeelewa amemaanisha nini, kwa maana ni muda umepita toka niliposema kuwa nitatembea uchi kwa kula kile chakula, akatoa simu yake kisha akanionesha picha ambayo alipiga siku ile, ilikuwa ni picha ya chakula ambacho alikipika nikamuamierisha akamwage, na nilijua kuwa ameshakimwaga, akanionesha na video mbali mbali za namna kila sikun anavyotoa kile chakula kisha ananiwekea kwenye mlo wngu wa ki9la siku bila mimi kujua, akjaniangalia kisha akaniuliza tena “ nambie unaanza kutembea uchi mda gani, yaan leo nataman sana kuinjoy …

Nilishikwa na hasira kisha nikamgeukia, “ hivi wewe ni nani mpaka unaongea maneno kama hayo kwenye nyumba yangu, nyumba ambayo nimenunua kwa pesa zangu, na kila kilichokuwa hapa ni change, yaan mwanaume mzima nakulea alafu unaniletea nyodo wewe kama nani…

Robert akaniangalia kisha akatabasamu na kusema “ najua unanilea ila kumbuka ahadi ni deni, kumbuka ahadi yako na utekeleze kama ulivyosema, kumbuka mimi nilisema lazima ule, ukaniahidi mwenyewe kuwa ukila ni lazima utembee uchi, anza sasa, akasema Robert nikajikuta nasonya kisha nikaanza kuondoka, nikashangaa ananivuta mpaka tukajikuta tunaangaliana, aliniangalia kwa jicho tamu, na vile nilikuwa na kapepo ka ngono mpaka nikajikuta naloa, nikajikuta na mimi nimelegeza jicho kwa maana niliona kama ananiita hivi…..
Alisogeza uso wake karibu yangu, na nikaanza kuzihisi pumzi zake za moto, nikajikuta nafumba macho na kutaman afanye kitu, akaniangalia kwa sekunde kadhaa kisha akaanza kucheka na kunambia “ ila mwanamke ni mzizi sana wewe, usinambie kuwa umeanza kuniutaman, kisha akaniachia na kuondoka zake….

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata