KIBOKO YANGU (06)

KIBOKO YANGU 6

Mwandishi bahari ya simulizi
Nilishtuka mno, kwa maana sikutegemea kama nimesign nyaraka za ndoa kirahisi namna ile, nyumba yangu ilikuwa imefungwa vyumba vyiote kasoro chumba ambacho alikuwa anaishi Robert, nilihiusi kuchoka pale aliposema kuw “ mimi ni mume wako na wewe upo chini ya milki yangu, hivyo unatakiwa kuishi anapoishi kmumeo na kuhakikisha unatekeleza majukumu nyote kama mke kwangu, akasema Robert, nilikuwa kamaq sijamsikia kabisa, kwa maana nilikuwa siamin kama nimeolewa na huyu mwenda wazimu kirahisi namna ile, nilimgeukia na kumuangalia kwa sekunde kadhaa kisha nikasema “ mimi siwez kuwa mke wako hata iweje, na naomba uache hizo ndoto zako za mchana maana kwa ninavyojijua utaniacha siku so nyingi, nikasema kwa nyodo, ila Robert aliucheka sana kisha akasema “ ngoja tuone, maana mipango yangu ni wewe kuwa mke wangu mpaka kifo kitakapotutenganisha, akasema Robert ikabidi nimgeukie kwa mara nyingine…

“ nambie unataka shilling ngapi, na unataka nini kutoka kwangu, nambie unashida gani na mimi, nambie unataka kitu ganu cha thaman nikupe ili uachane na maisha yangu, nikasema …

“ relax..relax wife, naomba urelax na usiongee sana kwa maana sina ninachokihitaji kutoka kwako zaidi ya penzi lako tu, nataka kuwa na wewe maisha yangu yote, na naomba uache jeuri ya pesa basi kwa maana mimi sio sawa na hao wanaume wapuuzi unaowanunua kila siku, umenisikia, mimi ni Robert mwanaume ambae siwez kukubali kupelekwa na mwanamke na ukiwa na mimi ni lazima uishji chinin ya amri zangu, utake usitake, kwa maana ninauwezio wa kukufanya, ufanye chochote kiile ninachokitaka, akasema Robert, nikaona kama anaongea upuuzi tu, nikasonya na kuingia zangu ndani, nilikuta kweli hakuna chumba hata kimoja kilichokuwa wazi tofauti na chumba cha Robert, na nguo zangu zote alikuwa amezipanga vzr chumban kwake, sikutaka kuongea nae, maana kama anataka nimuachie nyumba basi nilikuwa tayar kumuachia na mimi nikaondoka zangu, kwa maana niliona kama sinan uwezo wa kubishana nae sana, nikatoka ila nashangaa hata funguo za gari na simu yangu sioni, nmara Robert akaja kisha akanambia “ huwez kufranya chochote kwenye hii nyumba na hauna uwezo wa kujifanyia chochote mpaka utakapokubali kuishi kama mke na sio mdangaji…

Sikumjibu nikabeba pochi yangu na kwenye pochi kulikuwa na kama shilling elfu 10, kisha nikafunga safar mpaka kwa rafiki yangu mmoja, nikashangaa anawasiwasi sana tangu nimefika, mwisho akanambia “ peace naomba uende nyumban kwako kwa maana sitaki matatizo..
“ matatizo gani, kwa hio mimi kukaa na wewe hapa kwako kwa muda mfupi ni tatizo? Nikauliza, ila hata hakutaka kunijibu na kuanza kusisistiza kuwa anataka niondiokje, nikaona sio tatizo, lakin ile natoka tu nashangaa nakutana na gari langiu na wakat nilikuwa nimeliaqcha nyumban , mara kioo kikafunguliwa, nikashangaa nakutana na lisura la Robert, nilishikwa na hasira, ila Robert akatabasamu kisha akasem “ panda kwenye gari wife, maana pesa uliyonayo ni ndogo sana, hauta weza kuzungika na pesa hio kwa rafiki zako wote, usije ukaishiwa nauli ukaja kuona mimi ni mwanaume mbaya bure, akasema Robert…

Sikumjibu na badala yake nikaanza zangu kutembea, ila Robert alikuwa nyuma yangu na gari ila sikutaka kabisa kumsemesha, nilikuwa nimebakiwa na rafiki wengine, ila kila nilipokuwa naenda hakuna mtu hata mmoja ambae alikubali kunipokea, nikaishi na pesa na Robert kila ninapoewnda alikuwa ananifata, na nikama alijua nauli yangu imeisha, akanambia, “ panda kwenye gari nakuambia kabla sijakasirika na kuondoka, akasema Robert…

“ gari langu mwenywe, na mafuta umeweka kwa pesa yangu alafu unataka kunipoangia mashart, nikasema kwa nyodo, I,la Robert akacheka isha akasema “ embu ngoja tuone kama utashinda na huo ujeuri wako, alafu angalia sASA, naondoka na gari yako ambaypo inamafuta nilioweka kwa pesa yako kama ifuatavyo na utarudi nyumban kwa miguu, akasema Robert kisha akawasha gari….

Nilitaman kumzuia maana sikuwa na hata mia, ila ujeuri na kiburi vilikuwa vinanipelekesha, maana ni kweli sikuwa nahata mia kwenye mkoba wangu, nikapata wazo kuwa nikitafute kibaba alafu kinilipe na niondoke pemben ya Robert maana nilikuwa namuona kama zaidi ya shetani, nikaanza kuzunguka zunguka nan vilen nilikuwa chombo nikaitwa na kijana mmoja hivi, nikaona ehee mambo yanaanza, Yule kaka alinitongoza nikamkubali hapo hapo, najua lazima Yule kaka aijua kuwa nilikuwa najiuza, kwa maana hata alipotaka kulala na mimi wala sikukataa kabisa, kwa maana kwa wakat ule nilikuwa naangalia namna mbali mbali zakupata pesa tu…

Akanambia kuwa anataka tuchukue chumba ila hata sikukataa, ila nilimuambia anilipe kabisa, na wa;la hakubisha akatoa elfu hamsini na kunipa kisha tukaenda kwenye lodge iliyokuwa karibu na baada ya hapo akanambia niingie chumban na yeye anaenda kuleta kinywa, kwa kuwa alikuwa ameshanilipa sikuona tabu, basi bibi mimi nikakipeleka kitumbua ndani, ila nilishangaa baada ya kufungua mlango na kuingia ndani, kwa maana nilikutana na sura ya Robert, niliona kama naota vile, nikataka kuondoka ila akaniwah kisha akafunga mlango vzr kisha akasema ‘ unapewnda Sana kutiwa eee, sasa ngoja nikuoneshe na nikutoe hipo miwasho yotye uliokuwa nayo, maana nakuonja kabisa unawashwa sana wewe, akasema Robert kisha akanifata na kyunibeba, kisha akanivua nguo, nilikuwa siwez kupiga kelele kwa maana chumban nilienda mwenyewe, basi hata hakuniandaa akaanza kunipanda, kwa karibu masaa mawili mzee hamalizi, mwisho akasema “ unatakiwakubeba mimba ili utulie, maana nakuona unawashwa sana, akaenda zakle bafuni na baada ya hapo akatoan pesa nyinginje kisha akasema mimi natangyulia nyumban, na nakusubir na ole wako uchelewe kufika, maana nimeona nikiendelea kukuchekea chekea utanipanda kichwani kisha akaondoka zake….

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata