
KIBOKO YANGU 8
Nilitoa macho, akanifata na kunishika kisha akanambia, najua hukutegemea kunikuta hapa, haya mumeo nimekuja kununua, haya niuzie, nambie huwa unauzaga shilling ngapi…
“ hivi unataka nini kwenye maisha yangu, kwanini huniachi nipumue hata kidogo, kwanini huwa unapenda sana kunifanya niukose raha, kwanini unapenda sana nikose amani, nimekukosea nini mimi, nikawa nalalamika…
“ siwez kukuacha huru mpaka kisasi chako na wanaume kiishe, nataka uanze kuewaheshimu wanaume na kuacha tabia zako zote za ajabu, na uwe Yule peace ambae mwanaume yoyote rijal atakapokuona atataman kukuweka ndani, Yule peace ambae anaheshima na anaadabu na anamuogopa mungu na sio huyu peace ambae anawachukulia wanaume kama chombo chake cha starehe, akasema Robert…
“ na nisipokuwa hivyo unavyotaka utanifanya je/ nikauliza
‘ nitakubadilisha, either nitakufanya unipende ili unitii, au nitakufanya uwe na adabu kwa mabavu, sasa utachagua mwenyewe kama unazika au unasafirisha, na usije ukawaza kufanya makusudi yoyote yale kwangu kwa maana utaishia kuumia wewe na sio mimi, kwa kuwa nimejipanga na nitahakikisha kuwa unakuwa ninavyotaka mimi, akasema Robert
“ sawa nimekusikia baba mjengo, haya naomba uniache niondoke zangu, nikaseman nikiwa naelekea kwenye mlango, nikashangaa Robert kanifata kisha akanikumbatia kwa nyuma na kusema “naomba unipe kidogo maana nimeteseka sana kuwa karibu ya mke wangu bila kupata haki yangu….
“ una kichaa wewe, mimi…, nikawa nasema, ila kabla sijamaliza kusema nikaanza kuhisi umoto kwenye sikio langu, kumbe mzee baba alipitisha ulimi, nikajikuta mapgo ya moyo yanaanza kubadilika na kuanza kupata msisimko wa ajabu mno, nikajikuta nalegea, na rpobert alilijua hilo, akaanza sasa kuufanyia utalii mwili wangu kwa kutumia ulimi wake, sikuwa na ujanja tena, kwa maana nikajikuta naanza kuhema kama jenerotor bovu, akaja akahamia kwenye tuchuchu twangu, nyie, nikashindwa kujizuia kupiga kelele za utamu na kutoa ile miguno yetu, yeye mwenyewe hakuwa na hali, akanibeba juu juu kisha akanitupa kitandani na kusema “ naahidi kuwa utabadilika, niahidi kuwa hautampa nanii yangu mwanaume mwingine yoyote, kama unataka kuuza niuzie mimi wofe, nipo tayar kununua kwa pesa yoyote ile, ila sio kwenda kumpa mwanaume mwingine, akawa anasema kwenye tundu langu la sikio, hapo nikawa najikunja kunja kama nyoka anaetaka kujivua gamba, mwisho nikajikuta nasema “ sawa nitafanya utakachoooo, ahhhh usiache rob…, kabla sijamaliza nilichokuwa nataka kuongea nikashangaa mzee baba anazamisha mtalimbo wake, yaan niliusikilizia mpaka kwenye moyo, kisha akanambia “ naomba usisime chochote, usisemeee chochooote wife ahhhhhh wewe ni mtamu mno, shiiiiit usiongee jambo lolote zaidi ya kunipa haki yangu, nataka haki yangu, nataka unipe haki yangu wife wangu, nifanye nipagawe na wewe, wife wewe ni mtamu sana, wewe ni mtamu mno, ukigawa tamu yangu nitakuuwa, nitauwa mimi ahhhhhh, hii ni yangub pekee yangu, hiii ni yangu wife, shiiit, nakupenda, nakupenda, ahhhhh nakupenda sana peace, nimekupenda kwa muda mrefu sana, naomba usiniumize ahhhh, wewe ni mtamu jaman, mtamu sana, akawa analalamika robert…
Basi tukapeana yetu pale, na baada ya hapo kila mtu akawa hoi, tukalala kidogo, nakuja kushtuka Robert ameshaoga, akaniangalia kisha akasema “ wewe ni mrembo sana unajua , kwani I huwa unapenda kujishusha thaman, akasema
“ maisha Robert maisha ndio yamenifikisha hapa nilipo leo, sikuwah kutegemea kama nitakuja kuwa Malaya, ila wanaume ndio wamesababisha niwe hivi nilivyoleo, wamesababisha niwachukie mpka mwisho wa uhain wangu, sina uhakika kama nitakuja kumpenda mwanaumen hata siku moja kwenye maisha yangu, maana sijawah kumpenda mwanaume hata mara moja akawa na maqpenzi ya dhati na mimi, wote huwa wananiumiza, sasa kwanini na mimi nisiwaumize, ni lazima wanaume wote walipie mambo ambayo nimefanyiwa kwenye maisha yangu, nikasema …
“ ila unaujua usemi unaosema kuwa binadamu hawafanani, na hata ukutane na wema kiasi gani haimaanishi kama hakunagab wabaya, na hata ukutane na wabaya kiasi gani haimaanishi kama dunian hakuna watu wema, akasema Robert …
“ sasa hao wanaume wema mbona mimi sijawah kukutana nao hata mara moja, kila mwanaume ninae kutana nae huwa anakuwa ni kitunguu maji, kutwa kunitoa machozi tu, kutwa wanaume huwa wanaumiza hisia zangu, kwanini mimi niishi nao vzr, embu niache na maishan yangu, nikawa nalalamika…
“ siwez kukuacha na maisha yako na wakat nakupenda, na haujui nimeanza kukupenda wakat gani, na haujui nimehangaika kiasi gani mpaka nikakupata, na sina uhakika kama unamkumbuka mpenzi wako wa zaman hata kidogo, akasema Robert …
“ unamaanisha nini mbona sikuelewi, nikasema
“ kwanza niahidi nikikuhadithia maisha yangu na wewe utaniahadithia maisha yako yote, akasema Robert…
“ nakuahidi, nikajibu …
“friends are sweet like lollipop, unakumbuka hii kauli…
“ ahhhhbh Robert, mwanaume pekee ambae nilikuwa nataman kukutana nae tena, my lollipop, nikasema
“ ewaaaa, ndio mimi, sasa sijui kwanini haukunitambua muda wote huu, akasema Robert, nikajikuta namfata na kumkumbatia, kisha nikasema “ nimekutafuta sana, maana uliufanya utoto wangu uwe wa kihistoria, umeufanya utoto wangu uwe wa kihistoria, ila nakuchukia sana Robert, nikawa nalalamika…
“ kwanimi sasa mamaa, akasema Robert
“ kwanini umeniacha niteseke kiasi chote hichi, kwanini haukuja miaka yote hio, mpaka nikakata tamaa kwenye mapenzi, nikawa nalalamika…
“ ni lazima ukutane na mafarao kaba ya kufika nchi ya ahadi, akasema Robert na wote tukajikuta tunacheka…
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU