
KIBOKO YANGU 13
Asubuh alipigiwa simu nikshangaa anasema jiandae twende, basi nikavaa haraka haraka kisha nikaanza safar, Robert akanishika mkono, na baada ya hapo tukaanza kuondoka, tukaenda mpaka sehemu moja ambayo ilikuwa ni jumba kubwa la kifahar kisha akanambia niingen ndano, nikashangaa namuona leonard akiwa amelegea, kana kwamba alikuwa ni mtu ambae alikuwa amepigwa mno, aliponiona akaniita na kusema “ naomba nisamehe sana , nilikuwa na shida ya pesa ndio maana nikakubali, naomba nisamehe sana, akasema leonard…
Robert aliniangalia kisha akasema ‘ naomba usilete huruma, naomba unambie nimfanya je huyu mpuuzi, wewe mjinga haya sema ilikuwaje mpka ukamtoa chozi mwanamke wangu, akaanza kufoka Robert, yaan namna alivyo unaweza ukadhan ni mwanume mlaaini lain, mimi mwenyewe sikutegemea kama anafoka kiasi kile…
“ kuna kijana alinifata alikuwa na gari na kwenye gari kulikuwa na mwanamke ambae sikuwah kumuona sura, akanipa kazi kuwa nifanye vyuovyote vile nimpate peace, haikuwa kazi ngumu sana , kwa maana nilikuwa nawajua wanawake vzr, nikaenda kumtongoza peace na kila wiki alikuwa ananitumia karibu laki na nusu, ya kuspend na peace, na kwakuwa peace alikuwa ni mdogo, ukimpa elfu kumi anakuona bonge la bwana, nilimpata kirahisi na nahisi Yule mama alikuwa anataka kumuhathiri huyu bint kisaikolojia, kuna muda nilikuwa namuonea huruma maana nilikuwan namuona kama hana hatia kabisa, ila nilikuwa nahitaji sana pesa, nilikuwa nahitaji sana kuwa na pesa nyingi sana kwa sababu yangu na dada yangu mgonjwa, naomba mnisamehe sana, maana mimi ndio chanzo cha kila kitu, akasema leonard, Robert alimshikan na kuanza kumshushia mangumi huku akisema…
“ unathubutuje, unathubutuje lakin kumuumiza bint mdogo asiekuwa na hatia, alimpiga sana kisha akamwambia kun a task nyingine atampa, na wakat huo mimi nilikuwa siamin nilichosikia, nilijiona kama nina nuksi kumbe kuna mtu alikuwa anataka nijione kama nina nuksi, tulirudi hotel na wakat wote nilikuwa nalia tu, “ kwanini mama yako aliamua kunifanyia hivi lakin, mbona hata sikuwa namjua, mbona angenambia nikuache ningekuba… kabla sijamaliza nikashangaa nimewekewa kidole kwenye lips zangu kisha Robert akasema “ usirudie tena, usirudie tena kusema habar za kuachana, na kama utafikiria kuniacha kivyovyote vile kwa sababu ya jambo lolote lile, nenda katafute chakula ule ushbe kwa maana naamin utakuwa na njaa, mm na wewe hatuwez kuachana na mm siwezi kukuacha hata iweje, akawa anasema Robert….
“ kila aliekuumiza ni lazima alipe maumivu yako , na kila aliekutoa chozi ni lazima na yeye alie, alisema Robert, nolihisi kama naota vile, sikuwah kufikiria kama kuna mwanaume ambae anaweza kuja kwenye maisha yangu na kunipambania kama anavyonipambania Robert, basi tukala na baada ya hapo akataka nimsimulie baada ya ;leonard nilikutana na mwanaumr gani mwingine….
Nikaanza kumsimulia, “ nilikuwa kwenye daladala kuna kijana akanilipia nauli, nilimshukuru na kumpuuza kwa maana sikuona kama ni kitu kikubwa sana, na baada ya hapo nikawa namuona kila wakat, nikawa namuona kila siku, akaja akanitongoza, na kwakuwa kwa kipindi kile nilikuwa mpweke na nilitoka kwenye maumivu nikamkubali, tukaanza mahusiano, na baada ya muda mchache nikawa nikumuomba hela hata ya vocha ananitukana na kuniita maskin, alikuwa ananidhalilisha sana, na kila wakat alikuwa ananiambia sitakaa nipate mwanaume kama sina pesa, kwa maana mm sina akili,. Lakin sikuwah kumuomba zaidi ya elfu tano, ila nilikuwa nikimuomba ananiita Malaya, nilikuwa naumia sana , mwisho nikawa namuona anabadilisha wanawake kama nguo, sikutegemea kabisa kama atakuwa vile, nilikuwa ni mtu wa kumfumania kila siku na kila nikimfumania alikuwa ananitukana sana na kusema kuwa alikuwa ananionea huruma tu na hakuna mwanaume hata mmoja ambae anawezxa kuishi na mimi, nilikuwa najisikia vibaya sana , mwisho akaanza kutangazia watu kuwa mm ni mgonjwa na nina taka kumuambukiza kwanguvu, niliona nijivue tu, nab ado hakuniacha salama kwa maneno mpaka nilipohama kabisa kwa wazaz wangu, kwa maana nilikuwa nawaonea aibu mpaka wazaz wangu, maana kila mtu mtaan alijua kuwa mm nilikuwa ni muathirika, nikawa nasimulia…
Robert alitoa picha ambayo nyuma iliandikwa ‘ the second ex….
Akapiga simu tena akanambia twende, tulienda sehemu tofauti na tulipoenda mwanzo, tulimkutab huyo kijana, alikuwa kaiva na alikuwa ni mjeuri kwa hio alipigwa sana kuliko leonard, nilipomuona nilitaman kumpiga sana, maana huyu ndio alieharibu saikolojia yangu mazima, kulikuwa na rungu ni;lilichukua na kuanza kumpiga, watu wa Robert walikuwa wamemshika, nilimpiga sana kisha nikasema “ sikuwah kutegemea kama nitakuja kukutana na wewe mpuuzi tena, ulifanya maisha yangu kuwa magumu sana, nakuchukia mno….
Robert nae alimshikan na kuanza kumpasau, kiufupi tulimuoshea vya kutosha, kisha wakamuuliza nani alimtuma kumuuliza, akatoa maelezo kama yale aliotoa leonard, nikamuona erobert kang’ata meno kisha akasema “ mamaaaaa….
Baada ya hapo tukaondoka, kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu nilihisi kama nimeutua mzigo mzitro moyon mwangu, nilikuwa huru mpaka Robert aliniona kisha akaniambia, nitahakikisha kila aliekufanyia ubaya analipa kwa alichokufanyia….
Basi tukarudi hotelin ambapo tulikulan tukaoga na kulala, na hatukufanya tena chochote, maana Robert wangu alikuwa anasema mpaka tumalize kulipa kisasi, na ananivutia hisia ili siku akiinishika, ahakikishe kuwa nawasahau ex wangu wote….
Basi tukalala hivyo hivyo kwa tabu tabu mpaka asubuh, sasa asubuh Robert akaenda kuagiza chai, aliporudi mm ndio nilikuwa nimetoka kuoga, sasa sikumuona kama ameingia ndani, nikashusha taulo mpaka chini kisha nikaanza kupaka mafuta, nikashangaa nakumbatiwa kwa nyuma, Robert alikuwa kama amechanganyikiwa kwa maana alikuwa ananikiss hovyo sehemu mbali mbali za mwili wangu, mwisho, akanigeuza tukaanza ile French kiss, tukajikuta wote tunakuwa hoi, hapo Robert kalegeza jicho balaa nikaona leo naliwa, maana alikuwa yuko moto balaa, na mm ndio nililoa chapa chapa, akaniangalia kisha akasema “ mamaaa kwann unanifanyia makusudi hivi, unajua kabisa una umbio zuri kwann unanitega ety, akawa analalamika…
“ sikuwa najua ka…, kabla sijamaliza kuongea nikashangaa natulizwa na busu, nyie nikazidi kulegea, ila robert bana amezidi kuwa romantic na yeye mpaka nikawa nahisi kuchanganyikiwa….
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU