
KIBOKO YANGU 17 na 18
Nilihisi kuchanganyikiwa, nikawauliza kwa nn mimba yangu imetoka, wakanambia naonekana kama nimepata mshtuko, na huo mshtuko ndio uliopelekea mimba yangu kutoka…
Nililazwa pale, na suiku wa siku hio Robert alikuja hospital, hakuwa anaonekana kama yupo sawa, kwa maana wakat wote alikuwa analala tu, kana kwamba mtu mwenye hangpover na kila dakika alikuwa anataja jina langu, kuna muda alikuwa amesimama akiwa anasubir kuingia kenye chumba nilicholazwa, ila akaanguka ikabidi na aanze kupewa huduma ya kwanza, akaenda na yeye kulazwa, na baadae madaktar wakasema kuwa amepewa dawa za kumtoa ufahamu, kwa maana hatakuwa amelala ila atakuwa hatambuio anachokifanya, akawa anatolewa sumu za hio dawa, na baada ya hapo na yeye akalazwa, aliposhtuka jina la kwanza lilikuwa ni peace,. Yuko wapi peace wangu akawa anasema, ikabidi aletwe mpaka kwenye wodi ambayo nilikuwepo….
Aliponiona akanikumbatia kisha akasema “ upo sawa peace naomba nambie kama upo sawa, nikamuangalia tu, alikuwa anahaha sana, na akawa anataka manesi wamuambie hali yangu na mtoto, akaambiwa mimba imetoka, aiseee alilia, kana kwamba mimba ilikuwa yake, kisha akasema “ usijal mke wangu tutatafuta mtoto mwongine pamoja, basi nilikaa pale hospital kwa siku kadhaa mwisho nikaruhusiwa, nikarudi na Robert nyumban, akawa ananiuliza ilikuwaje mpaka mimba ikatoka, sikuwa nampa jibu la moja kwa moja, kwa maana nilihisi huenda sio kosa lake..
Ila hakuwa ametulia, kwa maana kila wakat alikuwa ananiuliza sababu za mimba kutoka, mwisho nikachukua siomu yangu na kumuonesha zile video, alionekana kustuka sana baada ya kuziona, kisha akaniangalia na kusema “ nani kakutumia…
“ simjui kwa maana imekuja namba ngeni …
“ mke wangu naomba nisamehe ila hata mimi sikumbuki ni linin a wakat gani nilifanya kitendo kama hicho, sijui hata ikawaje mpaka ukatumiwa hioz video, naomba unisamehe sana na naomba usije ukaniweka kweye kundi la wanaume waliokuumiza, kwa maana hata siiku moja kwenye aisha yangu sijawah kutaman kukuumiza kwa namna yoyote ile, akasema Robert …
“ naelewa kuwa haukuwa na kosa, kwa maana daktar alinambia kuwa kuna dawa ulipewa ambazo zilikuwa zinakufanya ufanye mambo bila kujielewa, na nilikuona namna ulivyokuja hata kuniona haukuwa sawa kabisa kiakili, hivyo usijal kwa maana nakuamin, nikasema, na Robert akanisogelea na kunikumbatia kisha akanambia, nitahakikisha mama yangu analiuapa kila alilokufanyia, kwa maana hawez kufanya ujinga wote huu, ety kisa nioe mwanamke anaemtaka yeye, na wakat moyo wangu wote upo kwako, akasema Robert …
“ sawa ila relax kwanza kwa maana mimi nakuamin na nataman tuachane na haya mavisasi na tuanze kuishi maisha yetu ya amani, nikasema…
“ mama hawez kukubali kutuacha salama peace, nataman sana baba yangu angekuwa hai, maana huenda angelisimamia hili, na angemuadabisha mke wake kwa ujinga wote anaoufanya, akasema Robert
“ usijilaumu kwa chochote handsome wangu, kwa maana kila kinachotokea kwenye maisha yetu kinatokea kwa sababu kwa maana either kinatufunza, au kina tukomaza, kwa hio ni lazima tukubali kukomaa na kujifunza ili tuweze kuendana na kasi ya dunia, nikasema na Robert wangu alikuwa anaonekana kanielewa ….
“embu nambie wife si pamesharudi rudi, akawa anasema
“ wapi? Nikauliza…
“ wewe nawe si huko alipotoka mtoto, maana nakutaman balaa, akasema
Nikamsogelea kisha nikamkumbatia kwa nyuma na kumuambia “ mwili wangu mali yako ufanye utakavyo…
Aiseeee alinibeba juu juu kisha akanipeleka kitandani, alinifanyia maandalizi mamoja matata, yaan mpaka nikawa napiga kelele tu, kwa namna ambavyo nilikuwa nasikia raha, nilikuwa nasikia raha mpka kichogoni yaan, mwisho akaanza kuzama kuleee, yaan ni kama alikuwa amenipania, au amejihifadhi ilia je kunikomoa, maana hadi nilikuwa napatwa na mashaka wakat ambao hakuwa anaonekana kabisa kunihitaji……..
Yaan alinipa penzi moja la kibabe, kiasi kwamba kila nikimuona nilikuwa namtamani, yaan nilikojo mpka dhambi, maana nilinena kwa lugha mpaka nikaanza kutukana sasa, baada ya hapo akanichukua natukaenda kuoga, na baada ya hapo akaanza kunipaka mafuta kisha akanambia “ nataman usahau kila kitu na unipende mimi tu, maana naamin kuwa mm ndio nimeumbwa kwaajili yako, na kingine naomba usijilaumu kwa lolote lile ambalo limetokea kwenye maisha yako kwa maana huwez kufika nchi ya ahadi kabla haujapita kwa farao, naamin wewe ni mwanamke mwenye mapenzi ya kweli, na mwanamke jasiri na mwenye upendo na huruma,na naomba ukumbuke kila dakika ya maisha yako kuwa mimi ni mumeo, na mumeo mimi nina wivu sana na wewe, akasema Robert nkajikuta natabasamu tu…
Tumemaliza hapo tukaingia jikon na kuanza kupika maana kila mmoja wetu aliuwa na njaa sana, tukala na baada ya hapo tukasidiana kufanya usafi, na baada ya hapo tukawa tumekaa ukumbini tunapiga story mara tutaniane, basi tafran tu….
Tukiwa tunataniana, mara simu ya Robert ikaanza kuita, akaipokea, alionekana kushtuka baada ya kupokea simu, akasimama na kwenda chumban kisha akavaa na kunifata na kunikiss kisha akanambia “ nakuja mke wangu naomba uwe makini kisha akaondoka zake…..
Kwa namna ambavyo nilikuwa najua vitmbi vya mama yake, nikaamua kumfata nyuma, kwa maana sikuwa na iman kama nitakuwa na moyo wa kuvumilia kumuona mwanaume wamgu akiwa karibu na mwanamke yoyote Yule, kwa maana nilimpenda kutoka ndani ya moyo wangu, nikaanza kufata nyuma, nikamuona anaingia kwenye hotel moja hivi kubwa ya kifahar, nikajikuta roho inaanza kuniuma na nilivyo na akili mbovu nilikuwa nawaza ujinga, basi nikamfata nyuma nyuma mpaka nilipomuona anaingia kwenye chumba kimoja cha ole hotel kisha akafunga mlango, nyie nilihisi kupagawa mno, nikawa najiuliza nikae pale nje nimsubiri au niingie ndani, akili yangu haikuwa inatulia kabisa, ilikuwa inanitukma lazima atakuwa na mwanamke ndani…
Nikaona usinitanie, si nikapitiliza ndani maana niliona ni bira nizuie wasifanye ujinga, kuliko kuendelea kukaa pale nje nikiwaza waza, ile naingia tu, nikamkuta Robert akiwa na wababa kama nane hivi na walikuwa wanaonekana kana kwamba walikuwa kwenye kikao, nyie niliona aibu mno, na Robert aliponiona akatabasamu lakin watu wengine wote waliokuwa pale wakawa wananiangalia kwa mshangao….
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU