Mahaba ya Dhati (01) 💞❤️

Sehemu ya 1

Kwa jina naitwa santa,nimzaliwa wa kwanza ktk familia ya watoto watatu,tulilelewa na mama yetu baada ya baba kufariki kwa ajali wakat bado sie ni wadogo tulikua

tunaishi mkoa mbeya,mama yetu alikua mfanyakazi kwenye shirika la wazungu alijitahidi kutusomesha mm na wadogo zangu,alijinyima hatukukosa kitu,mimi nilikua na akili sana darasani pia nilijitahidi sana kusoma sababu

nilikua na ndoto za kuishi maisha mazuri sababu kwetu tulikua na hali mbaya kidoho ya maisha, ivo hata mapenzi sikuanza mapema,nilimaliza kidato cha nne nikafaulu vizuri kwenda shule ya vipaji ivo nikaenda kuanza kipindi chote hiko simjui mwanaume,mimi sikua mzuri sana wa sura ila

nilikua na shepu nzur sana watu wengi walinisifia kutokana na shepu yangu kuwa nzur,tako langu kubwa na hips,mguu mnene watu huuita wa bia na kifuani nilikua na matiti madogo tu,nikaenda kuanza kidato cha tano katika shule ya wasichana watupu mkoa wa mbali kabisa na

kwetu,nilipofika shule nikapata rafiki ambae nilikua nae chumba kimoja anaitwa vanessa na shule yetu iko mbali na mji ni porini iv japo kuna kakijiji kadogo jirani na hapo, shule ni nzur sana japo ipo kijijin lkn kila kitu kilikuepo,niliipenda sana shule yetu.

tulianza shule nikawa nafanya vizuri sana darasani ktk test naongoza walimu walinipenda sana,rafik angu vanessa pia alikua anafanya vizuri japo sio sana yy alikua ni mtu wa starehe sana na vile ni mzuri sana wa sura na umbo alikua anawapenzi wengi sana wenye pesa hakuchagua

watu wazima wala vijana hata shule alikua mtoro mm namsaidia tu kumfichia siri na kumkazania tusome,alikua akija na pesa tunatumia wote hatuli ugali wa shule sisi ni chips na vitu vingine vinavopikwa na wafanya biashara au walimu wanatuuzia,Vanessa hakuwa mchoyo kabisa

alinipenda sababu ya kumtunzia siri zake na kumsaidia darasani,vanessa alikua anashangaa mm kutokua na mpnz ivo akawa ananiita mimi mshamba sikuona shida mana nilikua na malengo yangu kwetu maskini,tulisoma nusu

muhula kisha tukafunga shule likizo ndogo, mama yangu akanitumia nauli nikarudi kwetu mbeya na vanessa akaenda kwao dar kisha baada ya likizo tukarud shule,sasa shule yetu haikua na walimu wengi mana wengi walikua

wakija wanakaa kidogo wanahama na waliobali wengi wao ni wazee na watu wazima, ivo baada ya kurudi likizo tukaletewa walimu watatu waliokua wamemaliza chuo kikuu na wakaajiriwa na kuletwa shuleni kwetu.


walimu hao walikua wanaume wawili na mwanamke mmoja,hao wanaume mmoja mtu mzima ivi mwingine kijana,walitangazwa parade wakapewa muda wa

kujitambulisha yule mbaba akatusalimia akasema anaitwa mwalim john,kijana akafatia akasema anaitwa mwalim Dylan na yule wakike anaitwa madam monica,wanafunzi wote tulipiga makofi na mjadala ulianza si unajua

wasichana tena tulianza kujadili kuhusu mwalim dylan,kila mwanafunzi alimsifia kuwa n handsome sana na mie nikiwemo na wengi walipania kumtega mwalimu wampate kimapenzi mm nilimsifia uhandsome lkn sikuwa na hilo wazo la kimapenzi niliogopa sana kashfa ya umalaya,

nikiwashangaa sana wanafunzi kwa kumtaman mwalimu lkn wao walichukulia kawaida mana hata hao wazee waliokuwepo kuna wanafunzi walikua wanatoka nao,
ticha dylan alikua ameenda hewani anarangi flani ivi sio mweusi wala mweupe,anamwili wa mazoea anavaa kisasa

ananyoa vizuri nywele zake pia anavindevu flani kidevuni ni handsome sana ,maisha yaliendelea wanafunzi wengi sana wakawa wanajipeleka ofisin kwa ticha Dylan ili awaone lkn ticha alikua sio mtu wa kujionesha anapenda

hizo mambo, vanessa nae akaniambia ticha Dylan n mzuri sana lkn mm napenda watu wenye pesa nyiingii sana walioko nje sio walim mana walimu hawana pesa, atanihonga nini mimi ticha Dylan?

nikasema mmnh na ww unamtaka nn akaseme mm ningemtaka nisingemkosa tena ningepita nae kama upepo shida hana pesa hizo labda nimtunuku tu,tukacheka nikasema tuache hayo tusome bana mie nimetumwa na kijiji mwenzako,vanessa akasema haya Santa kisomo tukacheka tukaendelea kubukua.

ticha dylan alipata wakati mgumu sana shuleni kwetu sababu hadi akiingia darasani wanafunzi wakawa wanamkalia uchi kitu ambacho kilimfanya alizile kutufundisha na alishtaki kwa walim wa kike

wakatukalisha kikao na kutuchambaaa kisawasawa ndio tabia ikakoma,ili kujilinda ticha dylan akawa mkali sana hataki utani wala mazoea na sie wakike kabisaa kitu kilichosaidia wanafunzi tukawa hatumzoei mwalimu.
siku moja nilichelewa kuamka sababu ya kusoma sana

usiku, na kawaida ya walimu kengele ya parade ikigonga tu wanapita vyumbani kuangalia watoro, ivo nikakurupuka na kuingia bafuni, ule muda nimeingia bafuni tu kuoga nikaskia sauti za walimu wakifoka na wanafunzi wakikimbia huku wakisema walimu hao walimu hao, walimu walikua

wamefika tyr kukagua waliobaki mabwenini na hawajaenda mstalini pamoja na usafi wa vyumba vyetu mm nikajificha bafu la mwisho kabisa bahati nzuri hawakuingia. wenzangu wengine ikiwemo vanesa walikamatwa wakapelekwa

mstalini kuadhibiwa sasa mm nilivo hakikisha walimu wameondoka na sisikii sauti zao tena nikadandia dirishani nikaona wanapotelea mbali nikatoka kwenye lile bafu nikawa katikati kwenye mabomba nilikua uchi kabisa

nikaoga vizuri upya fasta niwahi darasani nikamaliza ile nimesimama sikafate taulo sasa nijifute nakutana uso kwa uso na ticha dylan ananiangalia kaweka mikono yake mifukoni kwenye suruali yake na mie niko uchi kabisaa ukizingatia sijawahi mvulia nguo mwanaume…

USIKOSE

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata