Mahaba ya Dhati (07) 💞❤️

Sehemu ya 7

Tulipoishia nikastuka namuona mtu kumchek ni vanessa nikistuka nusu nife, amenuna balaa akasema ww mwanamke mnafki sana ww ,sijawahi ona mwanamke mnafki kama ww toka dunia iumbwe,nikapigwa na butwaa mana sijui cha kusema ameona kila kitu akasema vipi umekua bubu gafra?ww si unajifanya mtakatifu wewe kisomo kumbe malaya ulieshindikana unatembea hadi na mwalimu wako?siku zote najichora nakwambia nampenda namtaka kumbe ww unatembea nae husemi?au uliona mi namtaka ndo mana ukamtaka na wewe? Au ulitaka niharibia tu kujiona mzuri na sura yako ngumu hio? unapotea usiku kujifanya unasoma kumbe unakuja kulala na mwalimu wako?ww msichana noma nimekuvulia kofia,yn kujifanya mlokole mtakatifu kumbe huna lolote malaya tu ukasubiri mtu nae mtaka mm ndo ujipeleke utiwe?nikaona anafika mbali nikasema vanessa sio ivo na unafika mbali sana naomba tuondoke hapa nitakuekeza kila kitu, akasema kwa nn?twende wapi? unaogopa nn?unaogopa watu watajua uchafu wako si ndio malaika?si wengine tunajulikana ni malaya wakorofi ila ww mtakatifu kumbe ndo mchafu kuliko shetani, unanyata unaingia kwa mwalimu unatumika mwenyew unaliaa hata haya huna kwa mwalimu wako?umenishinda,nikamwambia vanessa ebu niskilize jmn, akasema nikuskilize nn muongo mnafki ww?umenichukulia bwana angu nimpendae ndo mana d alibadilika gafra akawa akasema mi sijatulia kunbe umeniharibia, nikashangaa kauli hio,yeye akaendelea kusema nakwambia utalipia yaani nitakukomesha ww mshenzi dunia nzima itajua uchafu wako mbwa wewe sa subiri,akaondoka nikaanza mfata nikasema vanessa niskilize jmn, akasema sitaki ushoga na ww niache mshenzi ww mnafki mkubwa, wewe unaeza muua mtu unamuangalia achana na mimi,basi sikuona shida matusi yalizidi nikamuacha basi akitangaza poa sina namna,nikampigia simu d nikamwambia kila kitu akasema usijali hawezi fanya chochote huyo anakutisha tu, sawa mana nae ana yake nakubwa zaidi ivo hawezi kusema we kua na amani ,nikasema kumbe akasema ndio mwache aseme popote kama hajipendi, ww kua na amani bby sawa nenda kapumzike,nikasema sawa,nikaenda zangu room nikamkuta nikabadili nguo, yeye amekaa ananiangalia tu hanimalizi,mi nikalala zangu nachat na bby wangu kwenye blanket ataniambia nini mi nishashinda vita babu ee,hakunisemesha kitu usiku huko, asubuhi nikaamka nikaoga nikaenda zangu darasani vanessa bado hakunisemesha wala yuko busy na mdada mmoja ambae anajifanyage hampendi kisa ni mzuri dada wa watu,tukiwa darasani akawa anaongena mafumbo mafumbo akasema eti, jmn ogopa sana watu wakimya wanaojifanya watakatifu wanamatukio makubwa sana, ukiwaona huwezi dhania, mm wala sikujali,walianza kudajili darasani japo hawataji mtu, watu walikua wanajua mm na vanessa ni marafiki lkn wakaona wala hatuko pamoja wakawa wanatujadili kimya kimya, kuna mda ticha d akaja akamuita vanessa akasema nakuhitaji ofcn kwangu afu akaondoka,vanessa akanyanyuka akatembea hadi mbele ya darasani akaweka pozi afu akasema siku zote dhahabu ni dhahabu tu huwezi fananisha dhahabu na bati hata ulipake rangi vipi, mm nikakausha tu nilikua dongo langu lile,akaenda huko sijui akaambiwa nn akarudi mdogo sana hana mdomo tena nikajua tyr kashachanwa makavu live huko,mie kimya mda wa chai nikaenda kunywa chai peke wangu na tukarudi darasani hatuongeii, muda wa kutoka darasani tena nikatoka zangu sina habari nikaoga nikalala ili usiku nisome vizuri,mara vanessa akaja akasema santa nina shida na ww, nikasema sema nakuskia, nilikasirika mafumbo yake darasani, akasema naomba tukaongee nje nikasema sawa,tukatoka akasema samahani kwa ajili ya jana nilikusema niliona wivu sabu ya ticha d lkn leo ticha kaniita kaniambia anakupenda kweli ivo imebidi niheshimu hilo,mm nikawa kimya tu siamini, mara akacheka akasema shoga anguu kwa nn sasa ulikua huniambii kuwa d ni mtu wako jmn? Ningemheshimu kama shemeji, nikasema mmh nilikua naogopa akasema ungesema banaa,ehee nipe stor mlianza lini, nikivo mjinga nikaanza msimulia wakati tuko form five akasema kumbe zamani nikasema ndio.hata wakati unasema unamtaka wakati mm na yy tayr tupo pamoja akasema heee ila unafaidi ticha d mzuri nikacheka tu akasema kitandani vipi?nikasema yupo vizuri mnoo akataka maelezo ya kina nikajianika mwanamke nikamsimulia hadi size ya ududu wa ticha d tulicheka na kufurahi,basi tukaongea mengi sana nikijua mwenzangu amenielewa na hana kinyongo.

siku zipita sikwenda kwa d kama siku tatu hivi nilikua na test pia nilikua naogopa sana, hivo nkawa nasoma tu,baada ya test kwisha nikaenda hapo tumebakisha miezi minne hivi tunamaliza shule,nikaenda kwa d wangu siku io nikapewa utamu sanaaa sikurudi hostel nililala kwa d mana ilikua n ijumaa kuamkia jmos nilimwambia vanessa kukiwa na figisu anitext jmos nikashinda pale pia kila kitu ndani kwa ndani ivo mi ni kupewa utamu tu nikamwambia tena vanessa kama kuna ishu atanistua akasema sawa,lkn hakukua na ishu jmoc hio jion ndio nikatoka kurudi hostel vanessa akawa anasema iv unasoma huko au unatiwa tu nikasema kuna muda wa kusoma na ananifundisha anataka nifaulu nilidanganya nitasoma sa ngapi kutwa nauchezea ududu, vanessa akasema haya bna mwenzetu.

siku zilienda ikaja siku ya mnada kijijini kwetu siku io tunaruhusiwa kwenda kununua vitu vanessa akasema tuombe ruhusa twende mjini bana tukazunguke,nikakubaki nikamuaga vizur sana d akanipa na hela na akasema nirudi nikasema sawa, tulienda kwa madam Monica ndie alikua zamu tukaomba ruhusa tunaenda mjini vanessa akasema mamake anaumwa moro yupo anaenda muona mimi nikasema nimetumiwa EMS naomba nikafate Monica akaturuhusu tukaenda mjin, tulifika mjini kumbe tukazunguka sana, vanessa akasema kuna watu wake anaenda kuonana nao ndo tukale tuondoke kurud shule mm nikamuamin nikasema sawa,nikamsindikiza muda wote nlikua nachat na d wangu,kufika hotel nikashangaa kuna Gerald na mwenzie mmoja ambae namjua kama mpenzi wa vanessa aliemakiza na kina Gerald, nikawasalimia tukakaa Gerald akaagiza chakula wenyewe na vanessa wakawa wanakunywa pombe kali mm sinywag pombe na sihawahi kunywa nikawa nakunywa juice,stori zilinoga hadi mida ya sa 10 nikamwambia vaney mda umeenda tutakosa magar,akasema Gerald ana gar yake atatupeleka mda huo mimi d ananimind kwenye simu kwa nn sijatoka mjini,basi ikabidi niende pembeni kuongea nae nikaongea wee nikamdanganya usafiri unasumbua akawa anasema aje anifate nikamwambia hapana nitarud akasema unanipa wasiwasi sana ww sikuelew kabisa na uko na huyo vanessa simuamini kabisa, mm nikasema hapana bby nakuja akasema sawa kama kuna tatizo niambie nitakuja nikasema sawa,basi nikarudi kukaa nikakuta grass yangu imejaa juic akati nilikua chini kabisa juic nilioiacha, sikujali nikaanza kunywa sasa nikawa naona radha n tofaut nikauliza mbona juic yangu ina utam tofauti? vee akasema nineona hio ya embe nzito sana nimekuchanganyia na juic ya apple nikasema ahaaa sawa,nikawa nakunywa wee nikamaliza akanimiminia ingine n kwel ulikua kwenyw box la juice ya apple nikawa nakunywa mara nikaanza huhisi kizunguzungu nikaanza kuongea sana nikachangamka nacheza hadi mziki vee anacheka nakina gerald aanasema huyo ndo Santa tunaemtaka sasa,nikauliza mmeniwekea nn kwenye juice mbona sijielewe?vee akasema pombe kidogo uchangamke ulizubaa kama mnyoo looo wakacheka nikasema mm sijawah kunywa pombe afu unataka nikamwambie nn dylan,vee akasema dylan wa nn akat Gerald katoka dar kakufata nikasema hee kwani mi nilimuita? mm nampenda dylan wangu anajua kunifanya na ananipenda,hapo naropokwa tu,Gerald akasema mm najua kukufanya zaidi ya huyo utaona leo mana nitakupa utamu hadi umsahau,kuskia hivo nikastuka akili kama zikarudi na simu yngu ikawa inaita,nikaenda pembeni nikapokea alikua ni ticha d, nikasema mme wangu(hapo sijawahi muita ivo d shikamoo pombe)akasema naam mke wangu,nikasema nakupenda sanaaaaa nimekumis sanaaaaa yn ww mwanaume wangu wa pekee unajua kunipa raha nakupenda napenda tango lako nikifika nakuja unipe hadi nishindwe kutembea,akacheka akasema bby uko wapi nikasema mjini akasema mbona hurud nikasema namsubiri vanessa yupo na bwanake bby,d akagundua utofaut akasema bby umekunywa pombe? Kabla sijajibu vanessa alishafika akanipokonya simu akasema ticha tupo mjin tunakula maisha tunakunywa santa wako yule mtakatifu kalewa hatari,sikujua d kamjib nn mm mda huo kichwa kinazunguka tu wakaongea nikaskia jina Gerald linatajwa mara naona gerald anakuja anapewa simu sijui nn wanaongea na d siekewii, nikakasirika nikamwambia vee nipe simu yngu niongee na bby wngu,vee akacheka akasema mwanaume anaekupenda n Gerald tu na leo anaenda kukupa dudu tuliaaa, nikasema siwezi nipe simu akasema umelewa sikupi nikamwambia aya kaa nayo basi mshenziii wewe mara Gerald akaanza nikumbatia ananishika shika mm nakataa lkn nguvu sina mara anibusu mm nakataa lkn siwezi nikaona anazidi nikasena naenda chooni niachie nikajinyanyua huku nikipepesuka nikaondoka baada ya hapo sikujua nn kimetokea,nikastuka kesho yake mwanga mkalii nikajiangalia nipo chumbani kitandan sijyi wapi, mana sio hostel wala kwa d na sijavaa nguo kabisa nipo uchi kabisaa,nikanyanyuka kichwa kinauma sana najaribu kukumbuka kilichotokea, nikakumbuka nikienda hotel na vee wakanipa juic ya apple kumbe pombe nikalewa nikaongea na d,hapo hapo nikakumbuka d wangu nikaanza jipapasa nikitafuta simu lkn sikua nayo,nikakumbuka alikua nayo vee,lkn najiuliza ina maana mm nimekuja kulala na Gerald kwel?nilimuwaza d wangu sikupata jibu,nikasema mm sifai jmn mimi kweli Malaya sasa uwiii d nitamwambia nini?na vipi shuleni mimi?vanessa yuko wapi?,mara akaingia dada mmoja nikamwangalia ni dada alimaliza form six shuleni kwetu tulikua nae room moja,nikasema da silvia nipo wap akasema kwangu hapa,akasema kwa unakunywa sana,nikasema hapana sikunywa nikamsimulia akasema pole sana mdogo angu,mana mm nilikukuta choon unalia unasema hutaki kulala na Gerald sabu unamchumba ako sasa nakuskiliza ukazima ila uliniomba Nikutoe pale nikusaidie ndio nikakuleta huku nikasema asante dadangu,nikasema naazima simu akanipa nikampigia simu d namba yake nilishika kichwan akapokea,nikajitambulisha mi Santa, cha ajabu akasema sema,nikasema bby jana magar yali.. Kabla sijamaliza akasema ebu skia wewe santa Endelea na maisha yako achana na mm,afu akakata simu,nikastuka nusu nife ,nn kimetokea jmn?

USIKOSE

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!