Sehemu ya 11
Bosi wangu akanishauri sana, akasema kubali kutoka na huyu kaka ni ana hela na ametulia mi namjua sana,sijawahi sikia ana mambo mambo ya ajabu na sio mtu wa wanawake huyo, akasema utaishi kwa raha na utalea mwanao kwa raha sana, nikasema mmh sawa,akasema sasa natoka narudi sasa ivi nataka nikakuletee kivazi cha jioni maana nguo zako sizielewagi bana sijui ndo matenite? nikacheka akaondoka mida ya jioni akarud na mfuko akanipa akasema humo ndani kuna gauni viatu na pochi mpyaa usinitie aibu huko unakoenda na tajiri nikacheka nikasema asante aunt rose, nikaangalia ni nguo nzuri na pochi za kisasa kweli nikasema asante sana aunt.
Namna nilivokua naishi na bosi wangu aunt rose wafanyakazi wengine wa supermarket walijua ni aunt yangu kabisa na aunt mwenyewe n mama wa mjini haswaa ,basi mida ya sa 12 rodney alipiga simu akasema aje anifate wapi na saa ngap,nikamwambia uje hapa hapa supermarket akasema sawa muda gani? nikamwambia saa mbili akasema sawa,kawaida tunafungaga sa moja nanusu, lkn siku io aunt alisema niondoke sa moja kamili yy atafunga ili niwahi nikajiandae tyr kwa tajiri et,ivo nikafanya ivo nikaenda kwangu, nikaoga nikavaa ile gauni jmn ilikua fupi iv iko juu ya magot imeniachia hivi usawa wa tumbo, huwez jua kama nina kitumbo na kiatu na kamba kamba kama travota chini kifupi na kipochi kizur kinainai cha kamba ya cheni ivi, nikaweka simu na hela kiasi aunt alisema nikiwa natoka nisisahau kubeba pesa ktk pochi mana washamba pekee huenda mahali bila hata mia ,sa mbil kamili shap Rodney akapiga simu akasema amefika niko hapa nje supermarket, nikatoka getin akaniona akasogeza gar hadi nilipo akashuka na akanifungulia mlango wa gari nikaingia tukaanza safari tukiwa njiani akaniuliza akasema unaishi hapo nikasema ndio, akasema umependeza sana nikasema asante,tukafika hotel nzur sana tukashuka tukaenda kukaa kwenye meza flan,wahudumu wakaja wakatukaribisha tukaagiza mm juice yy akaagiza pombe wine tu,chakula akauliza nachopenda mm nikasema atakachokula yy,akasema saaa akaagiza baada ya muda kikaja tukala huku tunaongea mambo mbali mbali tukamaliza kula tukaendelea kunywa mm juic yy wine mara Rodney akasema santa naomba nikuulize kitu kama hutojali, nikasema sawa uliza tu haina shida akasema,una miaka mingapi,nikacheka nikasema nina miaka 18 sa iv akasema kweli nikasema ndio akasema una elimu gan nikamwambia nimemaliza six mwaka huu akasema okayy tena matokeo yalitoka ehee yapoje?nikasema sijapass vizuri nimepata division three, akasema okay sio mbaya kombi gani? Nikasema HGL akasema umejitahidi sana lkn pamoja na kijacho huyo ungepata ziro,nikasema mmh haya asante, nilikua anasifia tu nisijiskie vibaya, akasema nitakupa zawadi yako kwa kujitahidi nikacheka nikasema asante,akasema baba wa kijacho yupo wapi?nikakosa poz nikanyongea,aligundua akasema samahan kama nimekukwaza nikasema hapana wala hujanikwaza nikamwmbia sijui alipo akasema kwa nn hujui?alikukataa au?nikasema hapana na hajui kama mm mjamzito,akasema mmh sasa ipoje santa? Inakuaje baba mtoto hajui kama ww ni mjamzito? niweke wazi nataka kukujua vizur,nikaona isiwe shida kama atanipenda anipende nilivo kama atanichukia basi, nikamsimukia kila kitu kuhusu mm na ticha japo sikumtajia jina na nikasema rafik angu alitugombanisha yy akawa na mwanamke mwingine na mpaka namaliza hakuwepo shule,Rodney akasema pole sana ndio alikua mtu wako wa kwanza au alikua na mwingine? nikasema ndio alikua wa kwanza na wapekee japo rafiki wangu alifanya ajue mimi sijatukia wakati sio kweli,akasema daah pole sana aisee, lkn usijali mambo yatakua sawa tu,nikasema sawa asante,akauliza kuhusu wazazi nikamwambia akauliza mpango wangu wa chuo nikamwambia nasave pesa nisome mwakani nikiwa nimejifungua na mtoto amechangamka mana nataka nikae nae mwanangu,afu nisome hata diploma tu, rod akasema sawa,akasema chuo gn unapenda nikasema nilikua napenda mzumbe na UDSM lkn sa ivi sijui, akasema unaemweza bdo kusoma usikate tamaa, nikasema mmh sijui ,nikamwambia Rodney sijawahi mwambia mtu ukwel kuhusu baba kijacho naogopa sana sababu alikua mwalimu wangu lkn sijui kwa nn nimekuambia ww,akacheka afu akasema damu zetu zimeendana pia usijali wala hutoskia kwa mtu yote ulioniambia, nikasema asante,tuliongea mengi sana na mimi nikamuuliza umri akasema mm ni mkubwa nina miaka 28 sa iv sijaoa wala, nikacheka afu nikasema okay,tuliongea sana hadi mida ya saa sita usiku, akanirudisha nyumbn kwangu nikamwambia karibu ndani uone napo ishi akasema sawa asante akaingia akakaa kidogo akaaga akaondoka,akiwa njiani akanipigia simu akasema nimeenjoy sana kampani yako santa nimejiskia raha sana leo,nikasema asante akasema naomba usiache kutoka na mm sabu nakupenda sana,nikasema jmn kweli akasema kweli santa nakupenda mnoo sio tu sababu wewe mzur nakupenda sababu una misimamo na maisha sijakuona una wanaume ovyo nimekufatilia mda mrefu sana,nikasema jmn akasema kweli,nikasema unanipendaje akasema unataka kujua nakupendaje nikasema ndio akasema utajua kesho nikacheka nikasema aya bana sawa,basi tukaagana nikalala zangu huku nikitafakari story zetu na rodney,kesho yake mapema akanipigia simu, akasema mmeamkaje wapenzi wangu?nikasema mm na nani?akasema ww na kijacho wetu nikacheka nikasema salama tu akasema unajiandaa kwenda kazini kwako nikasema ndio akasema sawa nakutakia kazi njema nikasema nawe pia tukaagana ivo,mie nikaoga nikaenda kazini kwangu Rodney alikua anapiga simu mara kwa mara na anatuma msg pia,ktk maongezi akasema jioni atanifata tukale tena nikasema sawa,mida ya mchana anitumia laki mbili kwenye simu eti nile mchana, nilishangaa jmn lakini mbili kula? nikamshkuru na kusema yan hela yote hii nile mchana akasema ndio kula chochote nikasema mmh jmn aya bana asante,muda huko huko nimetoka kukata simu ya Rodney aunt rose akaja, alivofika tu akauliza akasema eheeee shoga wangu niambie jana ilikuaje? nikamsimulia nilienjoy na kasema na leo tutatoka aunt akasema safi sana naomba uende salun haraka hizo nywele zako ukaweke sawa hapa niachie na ukirudi kapumzike usiku usichoke akanipa 50 nikacheka akasema ww cheka mm nakuandalia maisha hapa ukiwa mchafu na uko hovyo unavitu vya bei ya chini unapata wanaume wa chini lkn ukijiweka juu unapata wa juu wenzio sasa kaji update shoga angu, nikachekaa nikasema asante aunt yangu, nikaita bodaboda nikaondoka nikaenda salun nikasuka nikapendeza nikapitia dukan nikanunua nguo kwa pesa aliotuma Rodney maneno ya aunt yaliniingia, nikarudi kwangu nikapumzika jioni nikajiandaa Rodney akanifata,akanisifia tena kupendeza na uzuri wangu,tulikua tumeshazoeana kidogo tukala huku tunataniana mara rod akanishika mikono akasema jana uliuliza nakupendaje nataka nikujib sasa ivi hapa, upo tyr? Nikajibu kwa kichwa kuonesha nimekubali, akanishika mikono akasema santa mm nakupenda kimapenzi natamani sana na naomba sana unipe nafasi niwe mpenzi wako nikupendee nikulee ww na kijacho wetu na mimi niwe baba yake, naomba nikubali santa sitakuumiza wala sitakufanya ulie,sitokutoroka wala sitoamini chochote toka kwa mtu kuhusu wewe hadi nijionee, nakupenda toka ndani ya moyo wangu santa,naomba nipe nafasi kwenye moyo wako nitibu majeraha yako yote, aliongea kwa msistizo huku akitia huruma, alionekana anaongea kweli toka moyoni, nikainama chini nikakosa jibu akaninyanyua uso na mkono wake akasema santa pliz naomba nipe nafasi ktk maisha yako na pia ndani ya moyo wako,nikasema rodney mm n mjamzito na nina mimba ya mtu mwingine unawezaje nipenda mm au unanitania?niliona tupo kuigiza yn mwanaume wa kitanzania anipende na mimba mimi? Niliona haiwezekani, akasema santa nimekuona ulivo na najua unamimba ya mtu mwingine, lkn nakupenda ww ivo kiumbe kilichopo ndani yako nacho nakipenda sababu ni sehemu ya wewe, naomba nikubali sitotaka mapenzi na ww hadi ujifungue mtoto akue lkn nitakua na ww sambamba na utaona nia yangu ya dhati kwako,naomba nielewe nikubalie nakupenda sana mwenzio,aliongea kwa huruma sana nikasema lkn nitakua najiskia vibaya sana vile nina mimba ya mtu mwingine, akasema santa,nakupenda usiwaze kingine niangalie mm nachosema mbona mi nakupenda mwenyewe na hujanilazimisha?,nilikua mbishi sana lkn alinibembeleza sana hadi nikakubali akafurahi sana,akanibusu mdomoni nikatulia tu,akaninyonya sana mate mwili wangu ukasisimka nikamjib na mie,tulinyonyana kwa mda kidogo tukaachiana,akasema niambie kuanzia sasa ww ni mpenz wangu,nikacheka afu nikasema ndio mimi ni wako Rodney, akafurahi sana akasema asante sana my sweetheart,tuliongea pale huku amenishika mikono, kidogo ananibusu muda ukaenda akanirudisha nyumbn,kesho yake kama kawaida mawasiliano yaliendelea kuanzia naamka hadi nipo kazini, nilikua naenjoy ukizingatia nilikua na uhusiano na ticha wa usiku tu kutiana, lkn Rodney nachati nae ananibebisha mnoo, aunt rose alikua akauliza ilikuaje, nikamwmbia tumekua wapenzi akasema whaaaat?safi sna umenifurahisha sanaaaa sasa utulizane utakula mema ya nchi kupata kijana tajiri na anakupenda sio kazi ndogo, wenzio mjini wanaroga wawapate hao, nikacheka nikasema sawa sitokuangusha.
Mapenzi yangu na rodney yakaanza rasmi lkn alipata safari gafra akasafiri akaenda nje akarud na simu kali ya gharama akanipa zawadi eti ya kujitahidi, pia aliniletea nguo nzuri na ndio siku io akanipeleka kwake, kuzuri hatari jumba kubwa zuri mno akanipa uhuru wa kwenda kwake muda wowote,,mimba yangu ikafika miez tisa nikiwa na furaha zangu nimetakataaa.
siku moja niko dukani mara nikaskia mkojo kwenda chooni maji yakatoka badala ya mkojo na kiuno na tumbo kwa chini ya kitovu likachachamaa kuima hatari, nikampigia simu Rodney nikamwmbia akaja fasta akanipeleka hospital nikajifungua mtoto mzuri wa kiume,nilifurahi sana,nilijifungua kwa raha hospital ya gharama bil yote alilipa rodney,kesho yake niikaruhusiwa kutoka aunta rose alikuepo pia ivo nikaenda kwa aunt rose kukaa Rodney alikua ananijali kwa kila kitu kama baba wa mtoto kabisa,miezi minne ikapita mwanangu amechangamka nimerud kwangu na kazi nimeanza ,Rodney akasema anataka anipangie nyumba kubwa ili niweze ishi na housegirl,sikukataa ivo akanipangia nyumba nzima baada ya kukataa kuishi kwake mana alitaka tukaishi wote kwake niliona ni mapema mno,nikatafuta na housegal mwanangu nikamuita dylan junior rodney akasema ilo jina kama la mdogo wangu anaenifata nikasema kweli akasema ndio nikacheka tu sikumwambia ndo jina la babake wala hapo sijawah fanya chochote na rodney,siku moja Rodney alinipigia simu anaumwa nikaenda kwake nikiwa na mwanangu nilikua kweli anaumwa maskini anatetemeka huyo nikampikia na kumsaidia saidia vitu mbalimbali, akaomba tulale pale kwa ajili ya kumuangalizia hali usiku,sikusita mana kanitendea mema mengi sana, nilikaa kama wik iv nalala nae kitanda kimoja ila mtoto anakua katikati bahati nzur aunt alikuwepo ivo akawa anasimamia yy kazi ,aunt rose alimpenda sana Rodney ivo chochote kuhusu Rodney hapingi, Rodney alipona nikamuaga kuwa kesho naondoka akasema nimekuzoea santa baki tuishi wote hapa mama, nikasema pole bby inabidi nirudi tu nikaendelee na kazi tusije peana vishawishi mtoto bado mdogo akasema naskitika ila asante sana kwa kunijali akanisogelea wakat mwanangu amelala chumbni akaanza ninyonya mate,nilikua na muda mrefu sana sijanyanduliwa ibo nikajiachia na vihamu vipo, tukanyonyana kwa muda,mwili wangu ukaanza nisaliti rasmi sasa ukaanza pata moto na msisimko, ham ya mapenzi inanijia Rodney akanitoa nguo sikumkatalia wala nimeshalegea nataka tena nilikua napenda nikabaki mtupu hapo tumbo limeisha na nimenawili nimezidi kuwa na mshepu wa haja mara akatoa nguo zake akabaki nilistuka baada ya kumuangalia usawa wa mshedede sikuamini nilichoona..nikasema jmn nini hiki?
USIKOSE
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU