Sehemu ya 10
Tulipoishia..santa mm nikaanza kulia sielewi na shule kwetu mwezi mmoja kabla ya pepa tunapimwa mimba…kwisha habari yangu mimi jmn kitumbo ndii.tunaendelea sasa,
nikawaza sana nikaona ninyanyuke tu, nikanyanyuka nikaoga nikampigia DA silvia akasema vip dogo nikamdanganya sina mimba dada nimeona mstari mmoja, mana nilijua nikasema atauliza habari za baba wa mtoto na sikutaka sema baba ni nani,akasema afadhari sasa soma kwa bidii nikasema sawa,nikawaza nimwambie ticha d?je atanielewa kweli?na mambo yote yale si atajua niliwahi kuwa na mwanaume mwengine yule gerald?nilijawa mawazo sana siku io nikaona liwalo na liwe ngoja niende kwa d nikarud rum nikavizia usiku kabisa watu wamerud kutoka prep wamelala nikatoka kama naen…
MAHABA YA DHATI❤️💞.16 NA 20
Sehemu ya 16
Rodney akanyoosha mkono kunisalimia nilikua natetemeka haswaa,tumbo la kuhara linauma, tumbo linajaa gesi linaunguruma hatari,akasema habari yako nikasimama kwa woga nikapokea mkono huku nikitetemeka na nikajibu salama,d akasema bro huyu ndio mwanamke wangu nliekuambia,rod akasema okay mzuri sana, ehee mmekutana wap tena?d akasema mbeya mara ya kwanza alikua mkali lkn safar hii ndio tukarudiana rasmi na kuuguza mtoto wetu mana aliumia mkono ,hapo yn mm miguu yangu inatetemeka sabu d anajieleza na rod anajua sasa ukweli wote kuwa nilikua namsaliti tena na mdogo ake nikiwa nawaza mwanangu wakati uo amebebwa na bibi yake akamuona rodney kumbuka mwanangu anamjua vizuri na wanapendana akaanza mchekea anataka kushuka bibi yake anakataa mara akaanza kumlilia rodney huku anasema baba baba Rodney akamchukua akaanza kucheza nae dj akanyamaza anachekaa sana ,mama ao akasema jmn mtoto kamfananisha rodney na babake hadi amemlilia d akasema damu nzito io mama, wakacheka kumbe hawajui DJ anamfahamu sana rodney ndio kamlea ,nilikua naogoapa nikazidi ogopa nasali nasema Mungu wangu nini nimefanya yani dunia yote hii nikatembee na mtu na kaka yake?kichwa kikaniuma tumbo likanizidia nikamwambia d naomba kwenda toilet d akanishika mkono akaniambia twende huku mke wangu, basi tukaenda wote d alionekana mwenye furaha sana nikaenda toilet wala mkojo hautoki na hata sihatishi natamani nitokee dirishani nikimbie, aibu gani hii mimi jmn nimejitia uwiii, d akasema bby vipi mbona hutoki? Ikabidi nitoke d alikua ananisubiri kwa nje,nikivotoka akanikumbatia akasema bby unawaonaje ndugu zangu?nikasema wapo vizuri wamenipokea vizuri nimewapenda,akanikumbatia akaninyonya mate kisha akasema bby lkn mbna kama huna raha gafra?nikasema bby kuna kitu nataka nikuambie akasema nini hiko bby niambie nikiwaza kabisa na kudhamilia kuwa nimwambie kuhusu rodney wakati nataka kusema mara rodney akaja akiwa amebeba mtoto wetu akasema mbona hamrudi , mnasubiriwa au kuna tatizo d akasema ndo nakuja lkn kuna kitu mke wangu alitaka kuniambia rodney akasema mtoto kajimwagia juice nilitaka nikambadilishe nguo sasa sijui nguo zake zipo wapi? d akasema nipe nikambadilishe bro usijali asante akamchukua mtoto akaenda nae juu chumbn,nikabaki na rodney pale natetemeka naogopa hata kumuangalia usoni, rodney akawa ananiangalia tu wala haongei kitu,tulisimama pale dakika kadhaa tuko kimya mm natetemeka najiuliza sijui nn anawaza rodney mana ananiangalia tu kwa makinini sana,najiuliza in a mana haniulizi kuhusu yaliotokea?,mara d akarudi nikashkuru nikapumua,nilimuogopa sana rodney mana najua kabisa nilimtendea ubaya sana na wakati yeye amenitendea mema mengi alinifanya nikaitwa bosslady,basi tulirudi seblen, story zikaendelea makulaji na kunywa na nini jioni ilifika Rodney alikua anakunywa tu pombe, mi nikazidi ogopa nikamwambia d kichwa kinauma nataka nikapumzike,d akasema powa, tukaaga wote lkn mama mkwe na baba mkwe walitaka DJ abaki nikakubali sikutaka mabishano tukaondoka na d tu,nilikosa sana raha d akajua ni kichwa kinauma kumbe nafsi yangu inanisuta kwa niliomtendea rodney, d akaniuguza mwenyewe kumbe mm nawaza yangu niliona huruma sana roho iliniuma sana nilijiona mkosaji sana kwa Rodney,d akataka twende hospital mana aliona nilivo nyong’onyea lkn nikasema usijali nitapona,akanipa panado nikanywa,tukaoga nikalala akanikumbatia mm nakumbuka rodney tu namuwaza hadi nalia,usiku d akawa amelala mi. Sina usingizi nikachukua simu yangu nikaanza kuandika msg lkn kila nachoandika nafuta naona hakifai kumtumia rodney,lkn nikaona nitume tu msg nisema,”Rodney nisamehe sana mimi jmn nimekukosea sana na hukustahili haya,naomba nisamehe nakupenda sana ” nikaituma whtsap msg ilifika akaisoma lkn hakujib kitu ilipita wiki nikiwa bado naumia sana sina amani na ukizingatia hanijibu kitu nazidi umia lkn nikiwa sina namna.
siku moja niko chuo nikamaliza kipindi natoka nikakuta gari sikujua ya nani, alivoshusha vioo nikamuona rodney nikaisogelea ile gari akashuka akanifungulia mlango wa gari kama kawaida yake hakuongea kitu wala, nikapanda huku naogopa,aliwasha gari akanipeleka hotel ,tulivofika akasema tumefika mama tushuke,tukashuka tukaelekea sehemu ya kukaa akaagiza chakula kikaja tukaanza kula.mm sikuwa na hamu kabisa naogopa tu nagusa guda chakula,baada ya kula Rodney akasema santa,nikaitika abee akasema nimeumizwa sana na yanayoendelea sana sijui kwa nn sikuunganisha matukio mapema kuanzia jina la mtoto na kufanana kwa mtoto na mdogo angu Dylan,ila sijuti kumtunza mtoto sabu nilifanya kwa upendo na mwisho wa siku amekua damu yetu kumbe sijajutia kuwa na ww sabu ulinipa furaha sana santa na nilikupenda kwa dhati,nilikua sijui nifanyaje, nilipoujua ukweli nikajipa muda kutafakari lkn bdo nimegundua siwezi ishi bila ww santa,nimekuzoea a
nakupenda sana santa,najua nawe upo ktk wakati mgumu unaumia hujui nn ufanye nn lkn mm kitu kimoja tu naomba usiniache santa rudi kwangu tuendelee na mapenzi yetu nipo tyr kusahau kila kitu na kuendelea na ww nakupenda sana,nilikosa jibu kabisaa machozi yananitoka sikuamini maneno hayo kutoka kwake nataman kweli ningefanya maamuzi lkn nashindwa nampenda dylan sana natamani kuwa na familia yangu na mtoto wetu ivo Rod yeye nitamuumiza tu sababu nitakua namuwaza Mtu mwingine lkn siwezi mtamkia hayo yote jmn,naogopa kumuambia naogipa kumuumiza zaidi,rod akazidi kusema santa nipo tyr kwa lolote hata kukosana na familia nzima ilimradi niwe na ww pliz sana mwenzio sijiwezi juu yako akanikumbatia na mm wala sikumzuia tukakumbatiana akasema sijiwezi juu yako santa,sema neno tu tuondoke hata nchini tukaishi nje ya nchi hata porini twende ilimradi niko na ww nitaridhika,nilizidi ona huruma mana alionekana kweli nimemuingia moyoni sana,akaendelea najua umezaa na mdogo wangu na yy ndio wa kwanza kwako lkn mm nakupenda na najua unanipenda santa,nikasema Rodney nakupenda sana tena sana mwenzio lkn sijielewi na sijui cha kufanya sijui niamue nini,nilijibu huku nalia,nikasema najiona mkosaji sana kwako kwa kukosa kwangu msimamo nakuumiza bure na hukustahili haya kabisa Rodney wangu,rodney akanikumbatia kwa nguvu akasema bby unajua kabisa sitaki ulie sipendi machozi yako bby na unajua naomba usilie sawa nikasema sawa,akanifuta machozi akasema usilie najua unapitia wakati mgumu sana najua mdogo wangu anakupenda sana lkn na mm nakupenda sana sasa, nikasema naomba mda nitafakari nikupe majibu akasema sawa lkn naomba tusiache kuwasiliana Nikasema sawa,muda huo tunaongea d akapiga simu nikatoka pembeni kupokea,d akawa anauliza nilipo nikamwambia nipo kkoo akasema ananisubir nyumbn nikasema sawa bby,nikarud kwa Rodney,akasema mm kesho narud iringa so pliiz nifkirie pia dogo asijue kuhusu mm na ww..nikasema sawa,tukaagana akanipeleka mpaka mitaa ya hom akaondoka,mie nikatembea kidogo nikafika nyumbn nikamkuta d kakasirika sana,nikasema bby vip akasema iv mke wangu utaacha lini kuficha mambo jmn?kwa nn unajiondolea uaminifu kwangu?kwa nn huniweki wazi mm na mambo yako ww wa kunifanyia ivo kwel jmn?nikasema bby mbn sikuelew akaniambia hiki nn?akanipa picha kuzichek n mm na Rodney tumekumbatiana tunachekaaa nikakosa nguvu,akasema yani kumbe unamjua kakangu vizuri? Bila shaka ameshakutia huyu si ndio? Aya niambie sasa nani unamtaka mm au kakangu..na ujibu sasa ivi nijue nn nifanye na unipe maelezo ya kina kuhusu hili we ulifkir mm sitojua..Mamaa weeee kimeumana
USIKOSE

All Rights Reserved © | Simulizi TAMU