Mahaba ya Dhati (18) πŸ’žβ€οΈ

Sehemu ya 18

Nilistuka sana,nikamsukuma rod nikasimama nikasema bby sio unavofkiria kabisa bby naomba niskilize,d hakunijibu ila akampiga kakake ngumi ya uso ngumi kaliiii sanaaaa,Rodney akaenda chini d akamfata akampa ngumi ingine mm nipo pembeni nimeshika kichwa naomba watu waachanishwe,Rodney nae akasimama akataka mpiga ngumi kuna mtu akamdaka akasema jmn mnapigania nn?siku izo watu wagonjwa hatupigani hovyo na hapa jamani sio mahala pake shida nn?dylan akasema bro kaa mbali na maisha yangu,narudia tena kaa mbali na maisha yangu kaa mbali na mwanamke wangu, tutauana broo sipendii, afu akanishika mkono kwa nguvu akanza nivuta,niliumia nilimuwaza sana rodney na zile ngumi, sijui kwa nini niliumia sana kitendo cha rodney kupigwa ngumi, Rodney akawa anatufata akanishika nae mkono akasema mwachie huyu mwanamke,jmn niliona aibu nilishangazwa na tukio hili jmn nafedheheka mimi uwiii, d akasema iv ww bro una wazimu?rodney akasema nimesema mwachie mana mm ndie nlikuja nae hapa sio wewe d akasema unawazimu ww nadhani si ndio?hujui huyu ni mwanamke wangu?rodney akasema sitaki maneno mengi nimesema mwachie hujui mm kakako?d akanivuta hapo naumia huyu ananivuta na huyu ananivuta,watu wakaja kuachanisha lkn bdo walinishika wananivuta nikasema mnaniumiza jmn naumia d hakuniachia lkn Rodney ndio akaniachia,mkaka mmoja akasema yani nyie mnagombea mwanamke?mwingine akasema si amekujua na huyu sasa inakuaje?we demu Malaya sana yani unagombanisha ndugu,rodney akamvaa akaanza mpiga Yule kaka na d nae kuona hivo akamvaa Yule kaka wakaanza kumpiga yn vurugu walinzi wakaja wakaamua,d akanishika mkono ananivuta mm hapo naogopa namjua d akikasirika,Rodney bdo anatufata alivotukaribia akasema ww dogo unajifanyaga chiz na vihasira vyako vya kijinga ole wako umpige santa hapo ndipo utakua umeanzisha vita ya mawe wakati unakaa nyumba ya vioo,d akasema huyu ni mwanamke wangu hata ufanyaje huwezi kua nae utabaki hivo kumtamani lkn hutompata labda mm nife na usinipangie naweza mfanya chochote niamuacho,rod akasema ww n mtoto tu mm nilianza ona jua kabla yako huwezi niambia kitu,d akasema unafkiri sijui kama wakati unamtaka santa ulikua unajua kabisa ni mwanamke wangu?sabu nilikuonesha picha kabla ivo unamjua vizuri na pia uliona jina la mtoto wangu na kadi ya clinik ina majina yangu lkn ulivo mbinafsi sababu baba alinichagua mm kama mmiliki mkuubwa wa kampun na kunipeleka ulaya kwa wawekezaji na wananijua mm na sahihi yangu ndio kuu ukaona unikomoe kwa mwanamke naempenda si ndio?maneno ya d yaliingia maskioni kwangu sikuamini nilichoskia kuhusu Rod kumbe Rodney alinijua fika mm ni nani?na alijua mimba ni ya mdogo wake?yani nimeingia ktkt ya ugomvi wa wanafamilia kisa mbali nilichukia saanaa nilimchukia rodney rasmi pia moyo wangu ulifarijika mana nilikua najiona mkosaji mbele ya Rodney,sikuamin Rodney alikua amekuja kwangu kwa sababu ya kumkomoa d,Rodney akasema santa usimskilize huyo mm nakupenda kweli tena sana na ww Dylan santa nitampata kwa gharama yoyote unanijua nadhani subir,d hakusema kitu akaniambia ingia kwenye gar,nikaingia hakusema njia nzima hadi nyumbn alivofika akashuka na mm nikashuka akanikamata mkono akanivutia ndani akasema santa kuanzia sasa sitaki mahusiano na ww ila mm na ww tutalea mtoto tu,maana huna msimamo nahisi unamtaka sana kakangu kuliko mm kiasi cha kwenda nae mahali pa wazi na kuanza kunyonyana mate,sitaki maelezo utakaa hapa sababu nataka mwanangu akae vizuri,nitafanya kila kitu kuhusu mtoto tu ila chuo utajua mwenyewe lkn kuanzia sasa mm sio mwanaume wako tena,aliongea kwa hasira d,mm nikapiga magoti huku nalia nasema nisamehe mpnz wangu rod alinifata akasema tuongee kitu kuhusu ww lkn kufika pale akaanza kuongea yake na alinibusu bila mm kutaka,d hakunijibu kitu,niliomba sana msamaha lkn hakujibu kitu,nikaona isiwe tabu nikanyamaza d akatoka nje mm nikaanza kufunga nguo mara rod akanipigia nikapokea nikamwambia rod mm nampenda d snaa naomba asiniharibie, rod akasema sawa nakuelewa lkn mbona unalia amekupiga huyo mwehu?mm nikasema hapana lkn amechukia sana kumbe wakati namueleza hivo kuwa amechukia lkn hajanipiga d alikua ndo anarudi akaskia na kanikuta nafunga nguo akaninyang`anya simu kucheki ni Rodney d alipiga simu chini ikapasuka vipande vipande laini akaiokota akaivunja afu akasema iv ww mwanamke unanidharau sana si et?nikasema sio ivo bby, d akasema umeona unioneshe sasa na unampigia simu bwanako aje akufate uondoke si ndio?nikasema hapana akasema kwa nn unaninyanyasa ww mwanamke?kwa nn unanitesa na penzi lako?yani nakukuta unanyonywa mate hadhalani nakuleta nyumbn lkn bdo unataka kuondoka kwenda kwa bwanako?santa nimekukosea nn?kwa nn hunipendi kwa nn unaniua huku unaniangalia?akatoka nje ya chumba akarudi na kisu akasema nichome basi nife nijue moja kuwa hunitaki duniani kuliko kunitesa hivo,mapenzi yangu kwako huyaoni?hadi unichanganye na kakangu?mm nikasema sio ivo d nakupenda akasema unanipenda unatoka na mtu mwingine?unanipenda unanyonywa mate hadharani?mbona niko tyr kukuoa santa?mbona nilishakubali yote?au sikutii vizuri niambie,niliumia sana maneno yake alitia huruma sana nikajikuta nalia tu,akasema haya fanya un achotaka nisije nikawa nakuzuia furaha yako,mm nikaogopa kumuumiza zaidi nikaendelea kufunga nguo lkn d alinigeukia ghafra akachukua begi na kurushia huko akanishika akaanza nipa kichapo sasa,alinipiga sana huku anasema una kiburi sana ww mwanamke humu ndani hutoki umeskia humu ndani hutoki,huku ananipiga anasema mm ndo mme wako santa unaniskia ananipa vibao vya haja mm nalia utaniua d jmn uwiiii d nisamehe mpnz nisamehe d lkn d hakuelewa nilipigwa sana anasema kakangu anakupa kiburi si ndio?anakutia vizuri kuliko mimi si ndio? Jibu Malaya mkubwa wewe nakuua leo, nililia sana lkn hakukuwa na mtu wa kunisaidia d aliendelea kunipiga sana alitoa mkanda wake akaanz Nichapa nao nikisimama nakula ngumi uwii nakufa leo nililia hadi damu ikaanza kutoka Puani ndio akaniacha,akanichukua tena akaanza nifuta damu huku anasema unaona sasa umenisababisha nikuumize yote hii ni sababu ya kiburi chako, akatafuta panado akanipa akaniogesha akanipaka dawa ya kupaka sehemu nilipokua nimevimba muda wote nilikua nalia tu, akaniacha akatoka bila kusema chochote,cha ajabu sikujutia kipigo ila nikajutia kukubali kutoka na kakake muda ule,nikakaa pale nikajikaza mana alinipiga sana tu,hapo sina simu,nilikaa baada kama ya lisaa akarud akakuta mm nipo kitandani,dada wa kazi mda huo alienda misele yake ivo akati napigwa hakuwepo,d akaingia jikon akapika akaleta chakula chumbn,akaniamsha akasema amka ule nikawa naogopa kukataa akaniambia amka bana nikaamka nikaanza kula taratibu lkn mikono inauma,d alikua hapigi kichwan wala usoni ila mwilini japo siku io alinipiga ngumi ya uso ikatua puani ndio damu zikaanza,tukala tukiwa kimya nikasema nimeshiba nikaanza kutoa vyombo akasema acha natoa mwenyew,akatoa vyombo akarudi akaingia kuoga akaja akalala kimya,nikawa natamani kuongea nae nakuwa na wasiwasi jmn,lkn nikajipa moyo nikamuamsha nikasema samahani bby naomba tuongee,hakujibu kitu akaamka akakaa kitandani,nikaanza kujieleza samahani mpnz wangu kwa yote sikukusudia kufanya vile wala sikumpa nafasi ya kufanya vile nisamehe mpnz wangu,mm nakupenda ww nayeye anajua,sirudii tena kumuweka jirani wala kumskiliza,d akawa kimya tu nikamshika nikasema bby nisamehe mwenzio nimekosa mpnz nakupenda sana nateseka hivi tunagombana babangu,d bdo alikua amekasirika,nikasema bby naumia sna kukuumiza sabu nakupenda sana mpnz wangu nakupenda sana, d akaniangalia mda huo nalia sana d akanishika mkono akasema santa kakangu anakutumia kuniumiza mm,kakangu anakufahamu kabla hata hajakuona nilimuonesha picha yako mapema na jina lako lote anajua,mwanaume pekee naekupenda n mm tu we hangaika nitachoka santa nitaona bora niishi peke angu niwe natia tu wanawake na kuwaacha santa,nilivoskia vile nikamsogelea nikaanza kumnyonya mdomo hakukataa akajibu mapigo akanitoa nguo japo mwili una maumiv lkn nikajikaza sana akawa ananishika kimahaba huku anasema nakupenda mke mke wangu ona nimekupiga umeumia hivi,nisamehe mke wangu akanikumbatia akasema siwezi kukutia una maumiv mke wangu na kuanzia leo siji kukupiga tena mke wangu nisamehe,nikasema sawa mme wangu asante,tukakumbatiana tukalala,kesho yake akanipeleka chuo akaja kunichukua tukarudi nyumbn akanipa simu nzur kuliko alioharib na laini mpya,d alitimiza ahadi yake ya kwenda nyumbn mm nilibaki chuo nilikua na mitihani yeye akaenda na ndugu zake na babake wakatoa mahali na kumlipia mtoto kisha wakarudi mm nikavalishwa pete na siku zote Rodney hakuwepo wala hakushiriki,d alinunua nyumba tukahamia kwetu nyumba nzuri tu,tulikua tunapendana sana tena sana na mtoto wetu,siku moja nikiwa matembezini kariakoo hapo nilikua mjamzito nikaitwa na mtu nilipogeuka nikakutana uso kwa uso na Vanessa yupo kawaida sanaa yn ni kama maisha yamempiga mnoo,nilishangaa akanisalimia nikamjibu akaomba tuongee akasema kuna kitu muhimu sana anataka aniambie,nikawaza anataka kuniambia nn?sikuwahi sahau alichonifanyia tukiwa shuleni….je n nn anataka kuniambia?

USIKOSE

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!