Sehemu ya 19
Nikaona Kwani sh ngapi isiwe tabu,nikaenda mskiliza,tukakaa kwenye bar flan kariakoo pale,nikasema nakuskiliza maana sina muda sana nawahi home,akasema nitaongea haraka haraka wala usijali, nikasema itakua vizur sana akasema santa kwanza nisamehe kwa yote nliokufanyia wakati tunasoma,nikasema labda uniambie kitu kimoja tu,kwa nn ulinifanyia vile akati unajua mm nilikua rafiki yako?akasema ni ujinga tu na wivu,nikasema wivu wan nn?akasema nilikua namtaka ticha akuache mana mi nilimkosa kipindi kile,nikasema ila wewe umenipitisha kwenye mapito magumu sana ktk maisha yangu ww msichana lkn,akasema nisamehe sana santa,nimekutafuta sana sijawahi kukuona hadi leo hii,nikaona anajieleza sana nikasema nimekusamehe tyr tufanye yamepita,mara simu yangu ikawa inaita nikaangalia alikua ni d,nikapokea akasema nishafika kkoo upo sehemu gn?nikamuelekeza bar tuliopo akasema anakuja,Vanessa akauliza ni nani huyo anakuja?mikamwambia ni mme wangu akasema umeolewa kumbe mwenzetu? hongera nikasema ndio na nina mtoto na huyu tumboni ni wapili,akasema hongera dia kwa kupata mme maana wanaume wa kuoa miaka hii ni shida sana,nikasema asante Mungu mwema,basi tukaanza piga stor za hapa na pale Vanessa akauliza kwa hio ticha Dylan umewahi onana nae?nikacheka tu kabla sijajibu d akawa anaingia alikoingilia Vanessa alikua amekupa mgongo hivo alikua haoni anavokuja,d akafika kapitiliza kunibusu akasema pole na mizunguko mke wangu nikasema asante kisha akageuka amsalimie nlie kaa nae akastuka na akashangaa kuona ni Vanessa,Vanessa akastuka nusu afe baada ya kuona ni ticha Dylan,d hakumsalimia wala, mimi nikasema Vanessa huyu ndio mme wangu Vanessa alibaki mdomo wazi akamsalimia shikamoo d akasema marahaba na hakuendelea kuongea,Vanessa akasema nimefurahi kuwaona mm nikasema asante lkn d alikua kimya tu kama hasikii,nikasimama nikamwambia Vanessa mm naondoka si unaona nimekuja kufatwa?akasema sawa kwani mnaelekea wapi naombeni lift,d akasema nina watu kwenye gari ivo siti hakuna Vanessa akasema sawa haina shida.akasema naomba namba yako ya simu santa d akasema mke wangu ebu twende bana tunachelewa,nikaona huruma nikampa namba lkn d alikasirika sana akasema kwa nn umempa namba umesahau alichokufanyia nikasema bby ametia sana huruma,d akasema mke wangu dunia ya sasa haitaki watu wenye huruma hizo tena kwa watu ambao walisha kufanyia ww unyama,nikasema nimekuelewa mme wangu,tuliondoka tukafika nyumbn maisha yakaendelea huku nasoma huku nina mimba Rodney wala hakuwahi nitafuta,nikafika miezi ya kujifungua bahati nzuri ilikua likizo nikajifungua katoto ka kike kazuri sana,d alifurahi sana,Vanessa alikua ananipigia sana anataka aje kwangu lkn mm mwenyew nilikua sitaki aje maana ni kivuruge na d alishasema hamtaki ivo tukabaki kuchat tu,mama yngu alikuja kuniuguza baada ya mwezi akondoka nikabaki mm na wanangu tu na mme wangu na dada wa kazi,d alikua ananipenda sana mm na watoto wake yani humwambii kitu,siku moja nimekaa nikapata ,msg kwa namba nisioijua imeandikwa “hongera sana santa” nikaiangalia ile namba ni kama naijua nikapiga akawa hapokei nikajib msg nikasema asante,akajibu nimekumis sanaa nikaona nipige akapokea nikauliza nani mwenzangu akasema mm Rodney, nikasema shem habari yako?akacheka akasema santa ww leo unaniita mm shem?nikasema ndio maana ww ni shemeji yangu kwani hujui mm ni mchumba wa mdogo wako na ni mke kimila?akasema okay nashkuru kwa kunikumbusha maana nilisahau,mm kwangu ww bdo unaishi,nikasema shem tuheshimiane…kabla sijamaliza akasema santaa pliiz ujue unaniona kama mm fala sana vile nimekua nikikuonesha upande wangu mmoja tu,naomba usiniite shem mm,unaniita shem wakati nilikua nakutia mm tunapika pakua?leo unaniita shem?alipanik Rodney kitu kilichonishangaza sikuwahi muona hivo,nikasema kumbe ndo ulivo?akasema ww ulikua na mimi lkn ukanisaliti ukarudi kwa mwanaume aliekutelekeza na kuwa na wanawake wengine wengi tu,ivi unafkiri upo peke ako kwa huyo Dylan?kwanza amekuambia kuhusu mtoto alie zaa huko?nikasema rod pliz mm sijui ww na d mnamigogoro gn naomba nisiwe katikati ya mgogoro wenu mm sikujua nyie ndugu,akasema hukujua si ndio?ww unafkiri mm nipo na ww kwa sababu ya kumkomoa d?mm sina shida na d sabu mm nina akili kuliko yeye mm nilikuja kwako nikiwa sijui mana nilishatambulishwa wanawake wengi nae ,nikakupenda nikakuzoea na kukuambia lengo langu wakati nimekupenda tyr nimeshakutia ndipo nikoneshwa picha na kujua wewe ndie,sasa ulitaka nikuache?wakati nakupenda?ulitaka nikutoroke? Sikuweza santa, nikasema sawa Rodney hakuna baya ulilowahi nifanyia hata siku moja zaidi ya kunionesha upendo na mimi naheshimu hilo,naomba elewa mm nampenda sana d tena sana,sipendi kumuuzi wala kuharibu mahusiano yetu,nakuomba usinitafute tena mm na ww haiwezekani na mm nakupenda ww kama shemeji yangu tu kwa heri,rod akasema skia santa,amka unadanganywa nakuambia huyo mmeo anamtoto na mwanmke mwingine na unamjua,maana mlikua nae shuleni nikikutajia huwezi amin,nikastuka nikasema mtoto?mbona sijawahi sikia?mm d ananipenda kuhusu hilo angesema,nikamjib nikasema usitake kunigombanisha na mme wangu kwa uongo wako,kama angekua na mtoto angeniambia,rod alicheka snaa akasema santa nakujua vizuri sana mbali na kusoma una akili za kuzaliwa na unanijua mm pia siwezi kukudanganya hata kama nakupenda,chunguza ukijua na ukitaka kujua ukweli nitafute nitakuambia kila kitu na huyo mmeo sio muaminifu ni Malaya sana tena sana tu,ana wanawake wengi sana nimekaa kimya muda sababu niliamua kukuacha lkn naumia unavofanyiwa na ninayoyaona na ukizingatia magonjwa mengi sa ivi,mm sikuamini nikasema siwez kukuamini ww wakati mm namjua mme wangu nikakata siku,Rodney akatuma msg akasema “muulize najua atakudanganya lkn ww utamsoma usoni sababu hataki ujue maana mtu aliezaa nae ww unamjua na alikua anakusaliti wakati upo nae tokea shule” mmh nikawaza je amezaa na nani shuleni nilikosoma?mbn Rodney anaonesha anauhakika na anachosema?nikajiuliza maswali mengi nikaona sipati majibu,d si yupo nitamuuliza,jion nikapika d kawaida huwa anawahi sana kurudi,tukaoga wote tukakaa kuangalia tv lkn nilikua na mawazo sana na d akagundua akauliza jmn kuna nn bby?mbna kama una mawazo sana?nikasema hakuna kitu akasema mmh nakujua mke wangu najua kuna kitu mm nikasema wala hakuna kitu,akasema mm n mme wako tena nae kupenda sana sipendi kukuona unakosa raha kama kuna jambo mke wangu nijulishe tuhangaike nalo wote mm nikasema hakuna shida bby kuchoka tu akasema pole mke wangu,akanikumbatia mda wa kula ukafika tukaenda mezani tukala tukaingia kulala,nikajiuliza sana maswali je nimwambie au niwe zangu kimya tu?labda Rodney anataka kutugombanisha lkn nafsi yangu ikawa inasema hapana muulize tu,nikaanza mshika shika kifua nikashisha mkono hadi kwenye utamu wake nikaanza kuuchezea na mda huo mm nishapona uzazi,mashine yake
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU