Sehemu ya 21
sikuamini kabisa na sikutaka kuamini macho yangu jmn yani namuona madam monica yule alieripoti na kina ticha d,aliekua anafundisha nae shuleni kwetu,kumbe alikua na mahusiano nae?sikuamini,Dylan alimuweka mtoto chini akanifata akasema mke wangu skiliza,akawa anataka kunishika nikamnyoshea mkono kuonesha asinisogelee nikasema endeleeni kulea mtoto wenu kisha nikatoka nje,d akatoka nae ananifata ananiita mke wangu skiliza mke wangu,nikasema usinitie aibu zaidi wewe ebu rudi kaendelee na mkutano wako wa bagamoyo usinifate tafadhari, samahani kwa kukukatiza malezi d, rudi zako na uko ivo bila shati unanitia aibu,wala hakuskia akasema mke wangu tafadhali naomba niskilize tafadhari mm sikumjibu wala hapo natembea fasta mara bahati nzuri kuna boda boda ilikua inakuja nikasimamisha ikasimama nikapanda nikasema naomba ondoa pikipiki haraka Yule wa boda boda akaondoka,sikugeuka hata nyuma, nikafika mahali nilipoona d hawezi niona nikamwambia simama akasimama nikampa hela yake nikaanza kutembea hata sielewi naenda wapi nilishachanganyikiwa yaan d ananidanganya?kumbe alikua natembea na mm huku anatembea na mwalimu mon jmn maana mtoto ake anaeza kuwa na umri sawa na mwanangu,na kwa nn amenificha?kumbe madam alikua make mwenza? Afu d kaaga anasafiri atarudi kesho yake kumbe amekuja kwa mwanamke wake?kama kulea mtoto inakuaje analala huku?inaonesha bdo wanamahusiano niliumia sanaa jmn,mara Rodney akanipigia simu sikupokea sikutaka kuonana na mtu mm roho iliniuma sana tena sana kwa nn amenidanganya na analala huku huku na mwanamke wake?mvua ikaanza kunyesha ile kubwa sana lkn mm nimesongwa na mawazo yani najiona mjinga wala siskii mvua,nikiwa natembea naloa mara nikakumbatiwa na mtu kwa nyuma sikujibu hata kustuka nilikua nimeshaumia mwili umekufa ganzi akili haipo hapo nikiwa bdo nalia kumbe ni Rodney akasema usifanye ivo santa sijakuambia haya ili uumie ila kukuonesha kwamba uliempa moyo wako sio sahihi kwako mama yangu pliz naomba tuondoke nikupeleke nyumbn,nikasema sitaki kwenda nyumbn maana sitaki muona huyo mtu naomba niache niende popote mm nyie mmekuja maishani mwangu kuniumiza natakiwa nikae mbali sana na nyie, rod aKasema siwezi kukuacha santa iko kitu hakiwezekani mimi nakupenda kweli si utani,mara akanibeba hadi kwenye gari lake akanikalisha hapo nimeloaa hatari akawasha gari hadi kwenye nyumba moja sikuitambua ni ya nani,akanifungukia mlango akanishika mkono mie nalia tu nimeloa chapachapa sina hata nguvu ,akafungua mlango tukaingia ndani akasema naomba utoe nguo umeloa utaumwa jmn santa,nikasema hata nikitoa nitavaa nguo gn akasema kuna nguo zako huku ulizoacha iringa nilikuja nazo na hapa ni kwangu wala usiwe na shaka,nikaona haina haja mi kuringa ringa yalishanikuta nikasema asante akanipeleka chumbn nikakuta kuna picha yangu kubwa sana ukutani nimeweka pozi nilipiga akati niko nae nikaiangalia nikamuangalia nayeye akawa kimya tu ananiangalia,nikasema naomba nipishe nibadili nguo,akasema sawa ila usilie pliz umekua wewe sa ivi ujue kuna muda hutakiwi kulia kabisa nikasema sawa,nikaingia bafuni nikatoa nguo nikaanza kulia tena nikalia sana kiasi cha kulia kwa nguvu kabisa nilijiona mjinga yan ananisaliti d?nilimchagua yeye ananipiga navumilia ananisaliti? nikipata picha alivokua comfortable kavaa singlend kapaki gari na monica anasema mwekee maji baba denis anataka kuoga yani ni kama anafamilia ingine nililia sna,Rodney akaskia akaja lkn akawa nje ya bafu anasema santa pliz nisamehe najua nimekukosea sana kukujulisha haya lkn naumia unavofanyiwa jmn,sikumskia sikuacha kulia rod akaingia bafuni nikiwa uchi hivohivo akanikumbatia akaanza nibembeleza anasema nisilie akanibembeleza sana nikanyamaza,akaniogesha akanifuta akanivalisha nguo akasema pumzika kidogo, sikugoma namjua Rod hivo nilikua comfortable tu nikapanda kitandani,alisema anapika lkn sikutaka hata kula nilitaka kulala tu,simu yangu ililoa na mvua ivo ikawa imezima,nikalala na kama unavojua ukilia sana usingizi huwa jirani,nilistuka saa nne usiku rod akiwa pembeni anafanya kazi zake kwenye laptop,nikamuliza saa ngapi sa iz?akasema sa iv ni saa 4 usiku,nikasema sijawajulia hali wanangu sijui wanaendeleaje na Yule mdogo ananyonya ujue,rod akasema daa basi urudi kwa watoto nikasema naenda wafata hasa mdogo,akasema sawa,nikasema rod asante kwa yote akasema usijali ila nisamehe kwa kukuumiza,nikasema wala ilibidi nione ili niamke maana nililala, nilikua sijitambui rod akasema pole santa nikasema asante nitapoa tu,nikaamka rod akanipeleka hadi nyumbn nikamwambia nisubiri akasema sawa,nikaingia ndani ya geti sikuona gari ya d,nikaingia ndani nikamkuta dada wa kazi ananyweshana maziwa na chloe,nikampokea mtoto nikasema babake yupo wapi akasema amekuja hapa amechanganyikiwa amekaa alivoona huji ameenda kukutafuta,nikasema aya twende chumbn kwa mtoto tukaenda nikamwambia weka pampas na vitu vingine vya mtoto kwenye begi wakati mm naeka nguo za mtoto nikamwambia mm naondoka nasafir kidogo, mwangalie sana dj dada akasema sawa nikatoka nikapanda gari ya rod huku nimembeba mwanangu nina hasira sana,rod akawasha gari tukaanza kuondoka mara nikaona gari inakuja nikajificha nilijua atakua d na kweli tukapishana akaingia getin rod akasema santa unauhakika na unachofanya nikasema ndio nauhakika sana na ninachofanya akasema okay basi tukaenda nyumbn kwake tukafika nikamwmbia huyu ni mtoto wenu damu yenu hangaika nae nikampa rod mtoto Rod akamshika huku ananiangalia anacheka,nilikua najua rod anapenda sana watoto kweli akamshika mm nikauliza pombe ziko wapi?rod akasema santa hunywagi pombe ww nikasema kwa io unanikatalia unaninyanyasa rod?akasema hapana mama zipo pale counta korido ya seblen,nikaenda nikaona red wine nikamimina kwenye grass nikaanza kunywa nikanywa sanaaa nikalewa nikamwmbia Rod niwekee wimbo wa nalivua pendo Rod akacheka akautafuta kwenye simu akaunganisha bruetooth kwenye mziki wake nikaanza kucheza mziki mda huo mtoto kalala Rod akampeleka chumbani mana angeamka kwa kelele kile mm nacheza zangu huku nakunywa rod akarudi huku anacheka nikamwambia nacheza vizuri ee akasema sanaaa nikasema nichukue video akakaataa nikasema nichukue banaa akakubali akaanza kunichukua video hapo simu yangu haipo hewani wala imezima ilivoloa nikacheza sana,hadi nikachoka nikalala,rod aliniheshimu nikalala peke angu chumbn kwake yy akalala chumba kingine na mtoto vizuri, kesho yake nilichelewa kuamka nikakuta anamuogesha mtoto wanacheza wenyewe wanaogeshana nikamuangalia nikajiuliza hiv huyu ndio alinitaka kisa kumuumiza d kweli?mbona ananijali mm na wanangu?mbona nahisi kama d ameniongopea?mtu alietaka kulipiza au kumkomoa mtu anakuaga hivi? nikapuuza mawazo yangu,yy akaniona akasema mama huyoo kaamka chloe umemuona utanyonya wine leo mwanangu hadi ukome,nikacheka akasema unajiskiaje?nikasema niko poa japo kichwa kinazunguka akasema kaa hapo kwanza usije anguka, nikakaa akamweka mtoto kwenye taulo akambeba akaondoka nae wakaenda kuniletea soda baridi pepsii nikanywa akasema tushuke chini nikashuka mana anaishi nyumba ya ghorofa nae,tukaenda mezani akasema kunywa supu io nilikuandalia nilimuangalia kisha nikapakua supu ya ng’ombe ililia nikanywa nikawa poa kidogo nikamwambai rod asante mda huo anamvalisha mtoto nguo akasema usijali,nikasema naomba niambie kila kitu kuhusu d,akasema noo santa inatosha unachojua naomba usiniulize kingine tena,nikasema okay basi naomba niazime gari kuna mahali naenda ila naomba ukae na mtoto akasema sawa mie tena na mtoto hakuna shida ila tunyonyeshe basi ndo uende nikasema sawa,jmn hasira hadi nasahau kunyonyesha,nikamchukua mwanangu nikamnyonyesha kwa muda mrefu hadi akaacha mwenyewe,nikasema haya tyr naomba ubaki na mtoto pia sichelewi kurudi,akasema sawa nikaenda kuoga nikavaa mana kuna nguo zangu za toka Iringa kumbuka na kumuachia maziwa ya kopo na nikapika uji nikaacha kwnye chupa nikaondoka huyooo hadi kwa monica,nikafika nikamkuta yeye yupo nje anatapika,nilivomuona anatapika tena roho ikawa inanidunda akatapika akamaliza akanawa mara akaniona akastuka akasema umefata nn hapa we mtoto?nikasema nimekuja kwa amani tu tuongee kama wanawake mana we ni mke mwenzangu ivo usiniite mtoto,akasema kama umemfata mme wako hayupo sasa unataka tuongee nn?nikasema madam mm na ww ni wanawake tuongee kuhusu hili akasema haya karibu ndani,nikasema asante nikaingia nikasema samahani kwa kuja lkn nilitaka kujua ukweli kuhusu ww na d mana mtu pekee anaeweza niambia ukweli ni wewe, monica akasema ukweli unaujua mimi ni mama denis na yeye n baba denis nafkiri uliona jana,nikasema alinificha mm nilikua sijui hata, monica akasema santa nafkiri umekua sasa inabidi uwe na akili za kiutu uzima,mm na Dylan sio tu wazazi wa mtoto mmoja ila tunatarajia mtoto mwengine huyu yupo tumbon mm na yeye tupo pamoja muda mrefu sasa na sidhan kama tunaweza achana,hakukuambia sababu anataka kunilinda mm nisije pata kashkash lkn mm na yeye ni wapenzi na yeye ndio kanihamisha kazi sa iv nipo dar ili tuwe karibu na pia amenijengea tunahamia muda sio mrefu kwetu,kama ww umeamua kuwa mke amua tu kua mke wa ndani lkn Dylan humjui vizuri na sio mm tu sa iv kuna msichana mwingine ana mimba yake nikastuka akasema unastuka nini? ndio d ni mwanaume asietulia ila mm sababu ananijali sioni sababu ya kupanik na kuhangaika, akachukua simu yake akanipa nikaona msg alikua nachati na mwanamke wanatukanana na mwanamke wanamtaja Dylan,akanionesha picha za huyo dada ninamjua anafanya kazi kwenye kampuni yao kina d,na ni mjamzito jmn nilichoka sanaa niliumia nikashngaa nimeolewa na mtu gan mimi?akasema ww umeamua kuolewa nae pambana sasa huo ndio ukweli,na sio hao tu wapo wengi kama huamini chunguza,nikakaa tu nashangaa nilihisi anamuongelea mtu mwingine,mara simu ya monica ikaita akaiangalia akasema ehee sikiliza huyo mume wako anapiga sasa, akapokea akaweka loudspika ilikua ni sauti ya d,d akasema bby vip mtoto anaendeleaje?niliumia yani anamuita bby?monica akasema anaendelea vizuri ila mm leo natapika balaa d akasema pole mamangu utakua mshtuko wa jana wa ujio wa yule mwanamke mshamba mshamba, kijacho wangu kastuka, monica akasema inawezekana,vip leo unakuja?d akasema lazima nije nikutie kimoja afu nirudi hom,niliumia mwanaume mshenzi yule,monica akasema mkeo vip amerudi?d akasema hajarudi sijui hata yupo wapi nimemtafuta sanaa,monica akasema mmh sa itakuaje d akasema mm ndo kivuli chake ataenda wapi u afkiri? Mwache ahangaike hukoo atarudi tu nitamsoundisha yataisha tu namjulia sna hapindui kwangu mshamba yule,nikaumia zile kauli sana jmn nikajikuta nalia, monica akasema haya nakusubir,d akasema afu jiandae uhamie kwako watu wa usafi washamaliza nimewalipa mke wangu sawa nakupenda sana Monica wangu moyo wangu unao mama nadhani unajua,monica akasema najua baby daddy, roho ilinipasuka kuskia anaitwa mke wangu afu eti mi mshamba ananijua daah kumne nasoundishwa tu jmn? niliona d sio mtu jmn ni muongo lkn nikajikaza Monica akasema huyo mkeo si unampenda jmn?d akasema nampendea nini?yale matako na hips?mana kama sura kawaida sanaa mke wangu wewe ndio nakupenda,yule nipo nae basi tu,uwii niliumia sanaa jmn nilijiona mimi fala wa mwisho,basi wakaongea kimahaba wakamaliza,monica akasema haya habari ndo hio santa ww mtoto sana huwezi michezo hii ukitaka usihi kwa raha achana na kuamini na kufatilia wanaume,nikasema kweli dada sijakua siwezi hio michezo,nikaaga nikondoka,niliingia kwenye gari nililia snaaa niliona nimeolewa na mtu simjui vizuri mtu mshenzi wa tabia, nikawasha gari nikatembea kidogo nikaona nataka kugonga watu,nikapaki nikampigia rod simu huku nalia rod akauliza nilipo nikamwambia akasema nakuja, maskini Rodney wa watu akachukua uber akaja na mtoto,akafika akakaa upande wa dereva huku kashka mtoto tukaanza safari,nililia njia nzima nikasema rod nimeolewa na nani mm?rod akasema nyamaza santa nikasema ww unajua ana mwanamke mwingine ana mimba?rod akasema sijui nikasema ww muongo sana unajifanya hujui kumbe muongo au unanikomoa,rod akakaa kimya tu,tukafika nyumbn kwake nikalia sana kama kawaida akanibembeleza,nikasema Rodney najuta sana kuolewa na d mm sikujua kama yuko ivo,rod akasema kumbuka nilikuambia mm tena nilikuonya sana mm,nilikuambia kuwa usimuamin d lkn ukaona mm ndio muongo,santa ukimpenda mwanamke huwez hata nyanyua mkono wako kumpiga hata afanye nn,mtu anaekupiga kiasi kile hana mapenzi na sio sahihi ww kupigwa kabisa,mm nikakaa kimya tu najutia,nikamuangalia sana rod usoni,uso wake ulijawa na huruma sana,nilijuta sana sikujua cha kufanya nilikaa kwa Rod pale siku mbili Rodney akaninunulia simu mpya kali nikarenew line ile nimeweka tu kwenye simu siku io nlikua peke angu,nikakutana na msg nyingi za d ananibembeleza mara nikakutana na ingine tena katuma inaonesha kabisa alituma msg nzuri lkn baadae akaanza kutuma msg mbaya akasema “ww uko wapi?maana kama ni ugomvi tunatakiwa kuongea lkn ww umetumia hii kama njia ya kwenda kufanya umalaya wako we ni Malaya sana ndo mana ukanichanganya mimi na kaka yangu,unazunguka kwenye majumba ya watu kutafuta yasokuhusu ivi mm na ww nani mwanaume?nani amemuoa mwenzie?si nilitoa mahali kwenu ww?rudisha mtoto wangu ww endelea na mambo yako umenichosha”sikuamin macho yangu ile msg kama katuma na d niliisoma mara mbili mbili,naona alivoona msg zimekua delivered akaamua kupiga simu sasa sikupokea akapiga tena sikupokea akatuma ujumbe “ivi santa ni hili kosa tu nililofanya au ulikua unantaftia sababu ya kuniacha?kwani kuzaa n nn?kipindi ww unahangaika na umalaya wako na Malaya mwenzio Vanessa mtoto wa watu monica alikua akinifariji akinipenda na kunipa mapenzi sasa ww unachomind nn?kama kuzaa nilishazaa siwezi badili hilo”ile msg iliniuma sna nikawa namfkiria iv n huyu d nilieolewa nae ndio yupo iv?jmn kweli n d huyu?nikiwa najiuliza simu yangu ikaita ilikua namba ngeni nikapokea nikaskia wanabishana ni mdada na mkaka kuskiliza vizuri n d na mdada,Yule dada anasema namchana asilete pozi d anasema mchane tu nishachoka mwanamke anataka kubembelezwaaa kama yeye ndo oxygen bana walikua wanaongea hawakujua kama mm naskia nimeshapokea,nilizidi umia
nikajikaza nikakata simu afu nikapiga akapokea nikasema “hello” Yule dada akasema “we mwanamke si ulitaka ndoa ww?sasa mbona wamkimbia mme?heheheeeee dada pambana humo ndani wenzio tupo nje huku tu nakula bata kwa marefu na mapana,fanya ulete mtoto wa kulea tupo mtoto wa bby hatohangaika sa umeondoka na mtoto inahuu ”nilipatwa na hasira nikamwambia kama unataka mtoto si uzae wako?yule dad akasema ndo namsubiri hapa mm mama k wa mmeo bibi wee kitulize tuletee mtoto, mara namskia d pembeni anasema mwambie huyo asijione yeye aliewekwa ndani kama ndo anakizazi peke ake nilimueka ndani sabu alipendwa na kukutwa na bikra tu basi asitambe sana mm naoa yoyote na watoto ninapo nane mpaka sasa na vijacho wawili,,,,nilikosa nguvu kabisa?jmn mbna d kabadilika hivi?d wa kunisema mm hivo?jmn nililia sana nikaona natakiwa kufanya maamuzi sasa …
USIKOSE
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU