Mahaba ya Dhati (23) 💞❤️

Sehemu ya 23

Nilishangaa sana uongo wa d,kweli nimeamini d simjui vizuri sio kwa vituko na drama hizi mwanaume chizi kabisaa chizi,aliendelea kulia pale hadi kamasi zinamtoka anakuja miguuni kwangu anasema mke wangu nakupenda sana nisamehe kwa kukupiga ni sababu nakupenda sana na nina wivu nawe mke wangu wewe ni make wangu sio hawala, kakangu hakupendi mm ndio nakupenda sana naomba nielewe yule anakutumia tu kuniumiza mimi,nilijikuta nalia kwa hasira sikuamini uongo wa huyu chizi jmn,

mshenga pamoja na msimamizi wa ndoa wa kiume wakanigeuka wakaanza kunisema eti kwa nn nafanya ivo?yn nawachanganya mtu na kakake?kila nikitaka kuongea wananikatisha wakanisema sana kasoro msimamizi wa ndoa wa kike ndio alikua kimya tu,baada ya kunisema wakasema muombe msamahe mme wako haraka kwa hayo uliotenda hata angekua nani asingeweza vumilia, nikawa sina namna nilimuomba msamaha na kusema mm sitembei na kakako na ananiheshimu kama shemeji yake mbona, d akasema sawa nimekusamehe mke wangu tuishi kama zamani,mshenga na msimamizi wakaongea sana wananisema tu mm nibadilike niache uhuni eti, 

mm mda wote nilikua nalia sana ukweli nikiujua mimi lkn hawakuniamini,nilitamani nikaishi jela lkn sio kwa huyu mwanaume,mshenga na wasimamizi wakaondoka,mm nikaambiwa nibaki tena nisiondoke kama kweli sitembei na rodney,baada ya kuondoka tu d akasema ww hutoki tena nje ya nyumba hii,na kuanzia sasa sitaki uongee na mtu yoyote akachukua simu yangu akakuta da silvia anapiga d akakata akatuma msg “usinitafute tena sitaki mazoea na ww niko busy nalea ndoa yangu na ww tafuta mume akuoe Malaya ww’ 

mara akakuta namba ya Rodney nae akatuma msg “skia ww acha kufatilia maisha yangu mm nampenda mme wangu na kamwe siwezi kuwa na ww hata duniani tubaki wawili tu sikupendi hata kidogo rodney nashangaa unajipendekeza kwangu,tafuta mke na wewe uoe” zile msg zikawafikia walengwa akasema tuone sasa hao wanaokutia kiburi watasemaje baada ya hizi msg pumbavu wewe, nililia sana akamuita dada wa kazi akasema sitaki mtu aingie wala atoke nje watoto wangu nitawahangaikia mwenyewe ,

mara akapiga simu mahali wakaongea mi sikujua ni nani nikaskia tu nawasubiri,akakata simu akasema kuna walinzi wanakuja hawataruhusu mtu atoke wala aingie,nikakaa nikawaza sana jmn yn nimekua mfungwa tena?muda huo akanipeleka chumbn akaanza nishika shika mi nikiwa sitaki akanitoa nguo kwa kunichania nae akatoa mi nalia tu akashika. Gududu gwake akaanza nitia kwa nguvu mm sikuloa wala na anavonishika wala sina hisia nae tena naumia ti sana akanitia wee hadi kakojoa,

alivomaliza akasema sasa ngoja nikapate mapenzi ya kweli hukoo sio mtu mkavu na amekauka kama gogo upo upo tu minyama uzembe, yani wewe shukuru una hilo tako na hips vinginevo ungekua huna soko, ngoja nikatie uchi unaoloa vizuri niteleze nienjoy,moyoni alishanitoka ivo maneno yake yalikua kichefuchefu tu masikioni mwangu, sikuumia wala nn,alichukua simu na kukata waya simu ya mezani yn alikua kama chizi alichukua hadi simu ya dada wa kazi akatoka zake bila hata kuoga,niliumizwa na vitendo vyake sanaa nilikaa mle ndani nikakumbuka mmh leo siku ya hatari nisije pata mimba ya huyu chizi nikaanza kutafuta dawa nikaona flagl nikanywa nne kwa hasira, 

siku io hakurudi na wanangu hawakuepo sikujua kawapeleka wapi na kuuliza siwezi,kesho yake akarudi na watoto niliona sana huruma kwa wanangu kwa maisha wanayoishi niliwakumbatia na kuwaomba sana msamaha kwani nawatesa na tamaa zangu nanmambo yangu na uvivu wangu wa kuchagua,maisha yakaendelea kwa staili iyo, yalikua magumu sanaa mm kupigwa ikawa kawaida kubakwa kawaida hadi nachubuka anaeza toka huko anasema nimetia mwanamke uchi mbayaa sijakojoa huko ebu tulia nikutie nikojoe zangu,nilikua naumia sana na maneno yake lkn sina jinsi,baada ya miezi miwili kupita sikuona siku zangu nikiwa na wasiwasi sana, siku moja d alikua kama kawaida akanibaka afu akaondoka nikaanza kuumwa na kubrid mno na maumiv makali ya tumbo na kiuno ilibidi dada wa kazi akawambie walinzi wao wakampigia simu akaja akanipeleka hospital, 

nilipimwa utra sound nikaambiwa nilikua na mimba imeharibika ivo natakiwa nisafishwe,nikapelekwa chumba cha kusafishiwa wakati huo d yupo nje,dokta nliekua nae ni wa kike na wa kiume nikiwa chumba cha kusafishwa nikamshika dokta hapo naugulia maumivu bdo hawajaanza kunisafisha wanaandaa vitu nikamwambia dokta ww ni mwanamke mwenzangu nakuomba niskie na uniamini,huyo hapo nje ni mme wangu amekua akinibaka na kunipiga sana na amenifungia ndani kwa miezi mitatu akinitesa angalia huku nikamuonesha mgongoni makovu na mapaja na sehemu zingine za mwili dokta akastuka akasema jmn pole dada ivo na kuharibika mimba ni sababu hio nikasema ndio,

nikawa nalia wakati huo nikasema amenitenga na wanangu na mama yangu na watu wangu mana hata simu sina nakuomba mpigie mtu mmoja huyu atanisaidia mm naomba mwambie aje anione kwa kificho angalau nimwambie nayopitia nimuombe aniangalizie wanangu mm kuishi basi tena bora kufa nimeyaharibu maisha yangu mwenyewe,dokta akanionea huruma sana kaanza nishauri pale akanishauri sana huku naugulia maumivu dokta akasema aya nipe namba ya huyo mtu nikampa akampigia kisha akasema ongea na huyu dada,dokta akanipa simu niliamua kumpigia Rodney,nilivosema hello Rodney aligundua haraka sauti yngu akasema santa vipi?uko wapi?uko salama?

nikaanza kulia sikuweza kabisa ongea dokta akasema usijali nitaongea nae kila kitu kitakua sawa,ngoja tukuondolee maumivu ila waza wanao na watu unaowapenda nikasema sawa asante,akaawaambia wanipe dawa ya kulala kidogo wakanichoma tokea hapo sikuelewa kilichoendelea nikajikuta kitandani nimelala, nilipoamka Nikaanza kuangaza macho nikapeleka macho huku na huko nikamuona Rodney amesimama anaonekana na wasiwasi sna nikamuita Rodney akaja spid karibu na kitanda, akanishika mkono akasema unaendeleaje nikasema maumivu siskii akasema sawa vizuri akasema santa pole kwa yote nikasema asante akasema nimekuja ila sikuachi safari hii naondoka na ww,nikasema hapana itakua shida akasema nipo tyr kwa kila kitu nimechoka kuangalia mana unavoumia ww na mm naumia sana santa inatosha sasa atakuua mshenzi yule, 

nimekuona mwilini ulivo santa inatosha hii ndoa yako naenda kuivunja,nikasema huku machozi yananitoka nikasema Rodney nilikupa nn hadi uwe hivo kwangu mbona huchoki?mbona unateseka kisa mm?nakunyanyasa nakutesa na nilikusaliti tena na ndugu yako kabisa jmn, akasema sababu naupendo wa dhati nawe santa nakupenda sna na sa ivi siwezi angalia mana nitakupoteza kabisa,nikamwambia kwa ulivo unatakiwa upate mwanamke atakae kupenda na kukupa furaha sio mm nakupa tabu tu, akasema hizo unazoziona ni tabu ndio zinafanya nikupende santa wangu, natamani ningekuwa na mwanamke mwingine kama usemavyo lkn nashindwa ,niangalie na uniambie nn unaona machoni kwangu?

nikamuangalia nikaanza tena kulia akasema naomba nikufute hayo machozi mama umelia sana inatosha sasa,nikasema rod mm nimeolewa na mdogo wako sasa itakuaje akasema santa amua tu na kila kitu kitaenda sawa,ndoa ni furaha sio haya maisha unayoishi ww,akasema santa nijibu unanipenda?kiukweli nilikua nimeshamuingiza Rodney moyoni kila siku nilimuwaza na kumlilia lkn sikuweza jibu akanishika akasema unajiskiaje nikikugusa?mie natetemeka hapo akasema santa nahisi kila unachohisi nahisi moyo wako umefunguka kwangu nahisi hisia zako juu yangu sema neno moja tu kila kitu nitakibadilisha nipe ruksa tu, nikasema wazazi wako watanielewa mm?akasema ww niachie mm kila kitu, najua nn nafanya nikasema mmh nipe muda nifkirie akasema sawa hata ivo hapa si mahala pake kujadili haya,

akaniachia akaenda simama pembeni mara simu yake iliita akapokea akawa anaelekeza chumba nilichopo baada ya mda akingaingia baba na mama yake wakanipa pole mama yake akanikagua mwilini akatokwa na machozi akasema pole mwanangu mimi nikasema santé mama,akasema kwa nn ulikua kimya unafanyiwa unyama huu nikasema nilifungiwa mama hata simu sina ,mama na babake wakanifariji kwa maneno mazuri sana wakaomba msamaha kwa kuniozesha kwa mtu kichaa na wakasema walijua ila wakajua amebadilika nikasema mlikua na nia njema tu lkn haya ni matatizo yake tu,

baba akauliza akasema bdo unataka kuishi na huyu mtu?nikasema hapana baba hapana natamani niondoke na wanangu baba akasema sawa,ukipona tutayajadili lkn ukitoka hapa unaenda nyumbn kwetu moja kwa moja nikasema sawa,sikumuona d wala hapo hospital, nilikaa wiki hospital nilitibiwa na majeraha ya vipigo rod akanunua dawa ya kufuta makovu na alama mwilini nikaanza kupaka kama mafuta,baada ya kutoka hospital nilienda ukweni, kisha baba na mama mkwe walimuita d nyumbn akaja alistuka alivoniona akaanza kufoka et nlitoroka hospital na nimetoa mimba yake,baba yake akasema inatosha sasa utafanya hayo hadi lini?

nyamaza kama chini mpumbavu wewe, kama unataka radhi yangu na mali zangu mpe mtoto wa watu taraka arudi kwao sio kumtesa unataka kumuua mshenzi wewe, d akasema baba sijui huyu mwanamke amewaambia nini nn ila mm sina kosa yeye anatembea na kaka Rodney,Rodney akasema oyaa jiheshimu usinitaje taje mimi, d akasema nini sasa unataka ngumi siogopi kama ww ni kakangu akamsogelea rod huku anasema ww n kaka yangu tumbo moja lkn unataka kuchukua mke wangu?rod akasema noo unakosea mm sio kakako wa tumbo moja na inshot hujazaliwa na mama wala baba yangu d akasema wamekulea ww kama mtoto wao ili usijiskie upweke,babangu na mama wana watoto wawili tu mm na dadangu,picha zako za utoto hizo akampa kasema uyo ndio mamako mzazi ambae ni shangazi yngu mdogo wa baba tena kwa mama mwingine wameshea baba tu,ulivoletwa tuliambiwa tuishi na ww vizuri lkn umekua mkaidi siku zote,umekua mjeuri uliekosa nidhamu,

umejaa tamaa,ulisema mm nalilia mali wakati mm ndio nilimuomba baba akupe ww mali angalau labda utatuliza akili ,kila kitu ulichonacho ni changu mi mi na dadangu, na babangu kwa upendo tu nikamshawishi baba akakupa lkn unaleta kiburi ww una baba yako huko tena alikukataa tokea mdogo kila kitu ulichonacho sio chako kazi ufanyi ww ni wanawake tu kampuni ya mbeya umeiua ya dar ilikua inaenda kufa bila mm kuokoa ww ni mtu gan?

nilipigwa na butwaa kuskia hayo na wazazi wa rodney walikua kimya,rodney aliendelea akasema kingine ulisema kuhusu santa sasa leo acha santa aujue ukweli,santa huyu alijua ww ni mjamzito ukiwa shuleni akaogopa msala akakimbia na siku alijua ni siku aliwapa lift kwenda hosp nesi alimwambia na yeye alimpa nesi pesa ili. Asikuambie hata wewe muda ule ujue nesi hajajua kitu akakukimbia na kipindi iko yupo na monica wake,

ndio kisa cha yy kwenda ulaya mm aliniambia kuhusu ww wakati mm nishatoka na ww kimapenzi na sababu nakupenda sikuweza kukuacha,santa huyu hajawahi kupenda na hajui kupenda anajipenda yeye tuuu na pesa basi,nilistuka na kushangaa sana, niliumia sana jmn kumbe alinitelekeza jmn huyu mwanaume na kumbe mali sio zake kasaidiwa nilishangaa sana jmn uwiii nilikataa dhahabu kwa bati la rangi santa mimi,je itakuaje baada aya d kujua wale si wazaz wake?na je atanipa taraka?na rodney itakuaje?

USIKOSE

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!