Mahaba ya Dhati (24) πŸ’žβ€οΈ

Sehemu ya 24

D akasema yani kwa ajili ya mwanamke imefika hatua unanikana BRO?kweli nimeamini ww kaka hunipendi unaroho mbaya sana,Rodney akawa anampa Bahasha flan d akasema shika hizo karatasi ni DNA ya ww mm na baba,hapo ndipo utajuabww sio mtoto wa baba ile siku nilikuambia baba anaumwa tunatakiwa tupime vipimo vitatu tujue tunamsaidiaje nilikudanganya nilitaka nipime DNA nilijua utabisha,na huko kuna cheti chako original cha kuzaliwa chenye majina ya wazazi wako,babako yupo hai alikukataa lkn nilimtafuta na najua alipo kama huamini kamuulize bibi yetu aliewazaa kina baba na mama yako,d alikua mdogo sana kama pititoni akawa anasoma zile karatasi,

mara akasema baba na mama ni kweli haya?babake akasema ni kweli kabisa sisi ni walezi wako lkn si wazazi wako,tumekulea kwa upendo sana na kukupa kila ulichotaka lkn umeharibu kila kitu kwa ajili ya tabia zako mbovu,umeua kampuni zangu mbili umenifikisi hadi sasa nimebaki na kampuni ndogo mbili tu,umeenda ualimu ukaishia kumpa mwanafunzi na mwalimu mimba,kibaya zaidi ukawa unatembea na mwanangu mimi ambae mlitakiwa muheshimiane kama ndugu wa tumbo moja,mimi mnaniaga mnatembeleana kumbe mnamahusiano yasiofaa?mwenzio nimeshamfukuza kwangu,na sitowasamehe ktk hili, nilistuka sana kuskia hivo,kumbe yule alisema dadake walikua wapenzi?

ndo mana walikua wanakandana migongo loo mwanaume mchafu huu?baba mkwe aliendelea akasema pesa unatumia vibaya tukajua ukioa utabadilika sababu ulisema ukioa utabadilika lkn bdo ndo kwanza unakua na tabia za ajabu zaidi,tumeenda kwao huyu binti tumebeba dhamana halafu ww unampiga na kumnyanyasa hivi?naomba umuache huyu mtoto wa watu aendelee na maisha yake unamtishia umemsomesha hizo zote ni pesa zangu,kama unataka mm niendelee kukulea kwanza muache huyu mtoto wa watu kwa taraka,pili acha tabia zako chafu kama unabaki na monica baki nae maana ndio mwanamke ulisema unampenda na sio santa tena,nikastuka kumbe alimleta na monica nyumbn wakati amenioa na akasema hanipendi mm anamtaka monica nikajiona mjinga sana,

baba rod akaendelea akasema nakuskiliza majibu yako ukikataa nitataka uendelee na maisha yako kila kitu changu ukiache,d akasema nipo tyr kumuacha huyo mmwanamke hata sa ivi mana mapenzi yangu kwake yalishaisha,pia mm nakutambua ww na mama kama wazazi wangu naombeni mnisamehe nitabadilika,baba rod akasema sawa kuhusu watoto nataka uwalete hapa tutakaa na mmoja na Yule wa pili ataenda mbeya kwa mama yake na santa ndivo tulivokubaliana sitaki kupingwa,d akasema sawa baba,babake rod akasema nahitaji hilo swala lifanyike sasa hivi piga simu watoto waje hapa,

d akapiga simu kwa monica sikuamini kumbe wanangu aliwapeleka kwa monica akamwambia awalete monica akasema sawa,baba rod akasema kwa sasa hutahusika na kampuni yoyote kaa fikiria nn unataka kufanya kisha utaleta proposal nikiikubali nitakupa mtaji uanze na hio ukifeli mm sitohusika,d akasema sawa baba,baba rod aliendelea nyumba ya mikocheni itabaki ya watoto wako itapangishwa kodi itaingia kwenye account za watoto ww utaenda ishi na mwanamke uliemleta wakati santa yupo hospital ukasema unampenda,d akakaa kimya baba rod akanigeukia akasema santa mama tusamehe sana kwa yote hasa mm nilijua wapi nakuweka nikajua huyu atabadilika maana alikua kama anakupenda lkn kumbe ni mpuuzi hivyo basi niambie nn unataka nikufanyie nitakufanyia,

mm nikasema baba asante sana kwa yote na haina haja ya kuniomba msamaha baba mimi nilichokua nataka ni taraka tu baba na kingine kuanza maisha yangu upya mbali kabisa na huyu Dylan,sitaki mawasiliano nae wala hata kumuona,baba akasema sitomruhusu akusogelee hata hatua moja na kama akifanya hivo nitadeal nae mm,nikasema sawa asante,akasema mengine tutaongea badae nikasema sawa baba,monica lileta watoto wangu nikafurahi kuwaona d akaondoka na monica wake mm nikabaki pale kwa wazazi wa rod,walinilea vizur sana baada ya wiki mbili d alinipa taraka tena alikua na ticha monica nikafurahi sana,ikawa mwisho wetu,nilichukua nguo za wanangu na zangu kwenye ile nyumba ikaingizwa sokoni kutangazwa kupangishwa,nilikaa mwezi kina rod kisha nikamuomba baba anitaftie kazi ya kudumu mbeya ambayo naweza fanya maana sikutaka ishi dar,baba rod akasema sawa mwanangu,mm niliondoka na mwanangu mdogo tukarudi mbeya kwa mama muda wote huo Rodney tulikua tunawasiliana kama marafiki tu,

akanipa hela akasema nisikae kwa mama ila nipange nyumba ili niwe huru na maisha nikasema sawa,kweli nilimuacha mtoto kwa mama nikatafuta nyumba nzuri nikahamia,baba rod alinitaftia kazi kwenye kampuni maarufu nikawa nafanya kazi pale na mshahara mzuri,nilianza maisha sikutamani wanaume hata,nilikua nikiwasiliana na Rodney kama rafiki ila d alikua anajirusha mitandaoni na monica wake akisema ndio chaguo lake nilipoona nakerwa nikawablok wote,nilianza maisha baada ya muda nikachukua nikanunua kiwanja na nikachukua mkopo nikajenga nyumba yangu mwenyewe,nilikua nalipwa mshahara mzuri kiasi ivo sikupata shida nilianza kusoma degree open huku nafanya kazi nilikua busy sana na kazi zangu,wanaume wengi walikua wananitaka nikawa nawakataa sitaki kabisaa mpaka walikua wanahisi nina tatizo,ulipita mwaka mmoja tu nishahamia kwangu na nina gari langu pia na salio bnk,

nilifurahia maisha yangu sna lkn kama kawaida mwili nao una mahitaji yake,nilikua nammis sana Rodney natamani kumuona na alikua rafiki mzuri sana kwangu na umbali huu nilihisi kumpenda sana lkn nikaona haiwezekani kurudi katika familia yao,siku moja Rodney alinipiga simu akasema santa nakuja mbeya na nina mkutano na nyie hapo ofcn kwenu,nikasema wow karibu jmn akasema nimekumis sana nitafurahi sana kukuona,nikasema sawa,nikamwambia utafikia kwangu akasema hapana santa sitoweza nitafikia hotel nikasema sawa nitakufanyia booking hotel nzuri sana rod akasema poa asante,siku za yeye kuja zilikaribia nikamchukulia hotel nzuri sana,nikalipa mwenyew mana yy amenisaidia mengi kwa nn nisimlipie hotel,nikawasiliana nae akasema natoka dar na ndege,nikasema namtuma mtu akamfate ampeleke hotel akasema sawa,lkn sikuwa na nia ya kumtuma mtu wala nn nilijiandaa nikavaa kigauni changu kifupi nusu paja nje kimenichukua nilivo,

tako na hips kiuno kileee palee kiatu changu kirefu na guu langu la bia nje nikavaa kicheni changu cha gauni kiunoni kinaning’inia pembeni nilijitazama kwenye kioo nilipendeza sna,nikajiremba kiasi na kuchana weaving nlilosukia refu nikajikubali nimependeza nikatoka na gari yangu hadi airport,nikashuka kila mtu alinitazama hadi wadada warembo wa airport niliona wananitazama kwa wivu wengine walishindwa kuvumilia wakaniambia wazi wazi kuwa nimependeza na wakaomba picha sikuwa na uchoyo,santa mm nilikua mpyaa nikikusimulia niliolewa na maswahiba ya ndoa utajua natunga,nilirudi kuwa mtoto mbichii,shikamoo pesa,Rodney alitua na ndege akanipigia akasema ameshafika nikamjib anaekupokea tyr yuko hapo airport akasema sawa asante,alivotoka sehemu ya kutokea abilia nikajitokeza mbele yake Rodney alivoniona akatikisa kichwa akacheka sana akasema


β€œsanta we mjanja sana,nikamwambia’
β€œwhaaat hujafurahi kuniona”
akasema nimefurahi sana,Rodney alitabasamu jmn ni mzuri sana macho yake tabasamu lake na lips zake rangi yake ya maji wa kunde amependeza sana na kifua chake cha mazoezi amevaa shati zuri na jeanz na
raba nzuri sana nikajikuta namtaman nikajiambia santaa amkaaaaaa.rodney akanikumbatia kwa nguvu nikajiskia tofauti sana nilipata msisimko wa mwili ambao sijawahi pata maishan mapigo yangu ya moyo yakaanza kwenda mbio Rodney akasema
β€œsanta ww nimzuri sana mama”
Nikacheka nikasema β€œasante”
Akasema
β€œumependeza sana snaaaaaaa”
Tukakumbatiana baada ya mda kaniachia tukaangaliana kwa ukaribu Rodney akasogeza mdomo wake karibu na mdomo wangu mwili wangu ukafa ganzi nikaganda Rodney akaanza ninyonya mdomo ananinyonya mate mm nikahisi nimehamia dunia ingine nikazungusha mikono yangu shingoni kwake tukaanza nyonyana mate kwa mahaba tumesahau kuwa tupo airport jmn sie tushahama tupo dunia inginee kabisa tulimisiana,hapo naskia kabisa damu yangu inachemka k inajilowea uwiiiiiii…je nn kiliendelea hapo airport?je santa na Rodney watarudiana?

USIKOSE

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!