Sehemu ya 27
Nilijiskia kichefuchefu kumuona sikuweza hata mjibu swali lake nikabaki namuangalia tu najiuliza huyu mtu na begi lake anafata nini hapa?simpendi jmn kama nini sijui,yaani matukio machafu alionifanyia yalirudi akilini kama naangalia muvi hasira zilinijia,likauliza tena santa unafanya nn hapa?nikamuangalia juu hadi chini nikamwambia nikuulize ww nn kimekuleta nyumbn kwangu ?akasema nyumbn kwako? Kivipi yani?nikasema usinihoji maswali kama nipo polise we sema shida yako nini, akasema nimekuja kwa kakangu afu ww unauliza nn kimenileta?nikasema ooh kiburi eeh subir,mara mme wangu akawa anashuka na mwanae akasema mke wangu unaongea na nani?
d alistuka nadhani alikua hajui kitu akasema mke wangu?au sijaskia vizuri bro umemuita huyu mwanamke mke wako?,mme wangu akawa ameshafika mlangoni akasema d umefata nn hapa?d akasema kaka inamaana umemuoa santa?mme wangu akasema yes na tuna watoto wawili tyr vip kwani?d akakosa pozi alilegea kama mlenda shenzi zake, mm nikasema sitaki muona huyu hapa nyumbn kwangu kwangu mme wangu sababu siwezi kaa paa moja na mnyama kama huyu ndani kwangu, nikondoka na wanangu nikapanda juu,mme wangu alibaki pale kidogo akanifata akasema bby najua amekutendea mengi sana lkn anaomba msamaha mana hana pa kwenda nikasema amekuja na kiburi sitaki hana Pa kwenda vipi? Sitaki nimesema vinginevo nitaondoka mm ubaki na ndugu yako,mme wangu akasema hapana mke wangu siwezi mchagua yeye dhidi yako unajua lkn kaomba ukamskilize naomba twende ukamskilize tu afu nitamuondoa sawa malke wangu,
nikafkiria nikawaza kilichomleta n nn?imekuaje hana pa kwenda akati alikua anaishi na monica na alipewa mtaji?nikasema kuyajua haya yote ngoja tu nikaskilize nienjoy zangu kuskia kipigo alichopata huko,nikamwambia mme wangu sawa twende kumskiliza tu mtu twende,aKasema asante mke wangu,tukaenda hadi chini sebleni nikamuita dada wa kazi nikamwambia awachukue watoto sikutaka hata wamkaribie mnyama huyu,nikakaa nikasema nakuskiliza anza kuongea,akaanza kusema kwanza naomba nisamehe kwa yote nilistuka kukuona pale najua nilikuumiza zamani sana santa na Mungu ananiadhibu kwa yote nliokufanyia,hukua na hatia wala zaidi ya kunionesha upendo naomba unisamehe sana,nikamuangalia tu sikuamini nilijua n muongo maana ni mzuri katika kudanganya,akaendelea kusema nimepata matatizo makubwa sana monica alinidanganya wale watoto kumbe sio wangu amenifilisi na ameuza nyumba nikiwa ndani amenisingizia kesi nyingi nilikaa ndani miezi sita najua yote ni laana ya niliyofanya nimejifunza sana maisha,
nikatoka nimeishi kwa tabu sina pesa wala pa kuishi nikaona bora nije kwako kakangu naomba nisaidie angalau nitaftie kazi yoyote nifanye angalau nipate kipato maana hapa hata vyeti sina monica alichoma moto vyeti vyangu,nilijua ni umalaya umemponza alionekana kuongea ukweli lkn sikumuhurumia wala akasimulia mengi sana kuwa alikua anapelekwa polisi na wanawake aliozaa na sababu hatoi matunzo ivo anaomba tumstili apate kazi yoyote angalau aweze kuendesha maisha,mm nikamskiliza alivomaliza nikaondoka nikaenda chumbn bila Kusema chochote, mme wangu akanifata akasema bby umemskia unashauri tufanyaje?kama humtaki sema mm naenda kumtoa,nikamuangalia usoni mme wangu namjua alikua ashaingiwa na huruma lkn hataki kuniumiza tu mimi yn pamoja na matatizo yote rodney bdo alimpenda ndugu yake, basi nikajua hapa niwe upande wake tu nisimfanye asijiskie vibaya mana mi sikumuonea huruma yule chizi wala,nikasema amua ww mme wangu mm nitakusapoti kwa chochote utakacho amua, akasema naomba tumsaidie akae hapa kwa muda tumtaftie kazi mahali wakati mm nafanya utaratibu wa kupata vyeti vyake vya shule aombe kazi upya ya ualimu serikalini,
nikasema sawa lkn atakuepo hapa kwangu mwezi mmoja tu ivo akae akijua hapa sio kwake yupo kwa muda tu, na mwambie sitaki mazoea na watoto wangu ,mana simuamini mnyama Yule,mme wangu akasema sawa mke wangu asante nikasema sawa,akaenda mwambia akashkuru sana,na mm nikashuka akaniambia santa asante mme wangu akasema Dylan hatumuiti hivo mke wangu,huyu ni mama mwenye nyumba na ni mke wangu mpe heshima yake tafadhari yn unamuita tu unavojiskia?,d akasema samahani nimepitiwa bro, akasema asante shem nikasema sawa huku nikiangalia pembeni,nikasema nimekuruhusu ukae hapa mwezi mmoja tu kisha uondoke zako ukajitegemee huko,sitaki usogelee wanangu,na hapa nyumbn hapa usijione ww bosi utafua nguo zako na kufanya usafi chumbn kwako mwenyewe wadada wangu wa kazi hawakuhusu,
tutakachokusaidia ni chakula tu utapikiwa,ujue hapa sio kwako ni kwangu mm nafkiri umenielewa vizuri,akasema nimekuelewa shem nikangia jikoni,huwa naandaa chakula cha mme wangu mwenyewe siku zote ivo nikaandaa tukapanga sebleni,na wadada wakaandaa cha huyo d wakaweka sebleni,wakati wa kula nikapakua nilichopika maana huwa nakula na mme wangu sahani moja kitu ambacho sikuwahi fanya nayeye,nilivomaliza d akajifanya anataka kupakua pia nilichopika mimi, sikulaza damu nikamwambia samahani hiki chakula huwa naandaa mwenyewe spesho kwa ajili ya mme wangu kipenzi sababu hali chakula cha wadada wa kazi wakati mi nipo,hivo naomba na ww usiwe unakula nilichopika mm sawa? ww pakua kwenye vyombo hivo hpo kina dada wamekupikia kizuri tu,akasema sawa shem sikuelewa, nikamuangalia tu kwa jicho baya kama mende alieingia ndani ya chakula,basi mm na mme wangu huwa tunakula kwa kulishana na kutaniana tuliendelea hivo,
d alikua anatuangalia n alionekana kuumia kabisa mm ndo nikazidisha mbwembwe hapo watoto wetu washalala juu chumbn yeye tulimpa chumba cha wageni chini,tukamaliza kula kawaida tunakaa sebleni kuangalia muvi sana sana mimi mpenda tamthilia ivo tulivomaliza nikachukua kiblanket chetu mme wangu Akalala kwenye sofa mm nikamlalia kwa juu tukajifunika tunaangalia tv hio ndio desturi yetu mana ikabidi mme wangu nae aee anafatilia tu tamthilia sababu yangu,d nae akakaa akasema bro tuweke channel za action au mpira mme wangu akasema mda wa tamthilia za mke wangu sa ivi kama unataka action chumbn kwako kuna tv kaangalie huko,mie kimya naangalia zangu,d hakunyanyuka wala akabaki amekaa pale tulivomaliza tukaenda zetu kulala kesho yake mm na mme wangu tukawahi makazini nikaondoka na watoto hadi day care maana sikumuamin Yule fala ivo nikaona bora washinde huko nikitoka kazini nikawafate,d alikua mpole alifata mashart mme wangu akamtaftia kazi kwnye kampuni ya mikate akaanza kazi kwa mshahara wa laki ,akawa anawahi sana kazini hadi akazoea mwezi ukafika akapata mshahara,
nikamwambia sasa huu ni wakati wa kujitegemea sasa akasema anaomba mwezi mwingine maana amelipa madeni sijui akajieleza nikasema sawa,mme wangu alipata safari ya kikazi akaenda Kenya kwa wiki mbili huku nyuma nilibaki na jipu hili sasa ,likaanza kutaka kunizoea sasa na likaanza eti kuniongelea habari za kimapenzi mm namshushua na kumwambia ataondoka kwangu sitaki ujinga,siku moja ilikua weekend sikwenda kazini baada ya chai nikaka nje bustanini nachat zangu na tahiya ambae alikua ananipa. Stories mana ametinginyana mambo kule ivo anaomba nimsaidie ahamie hata iringa kikazi maana kule ametia aibu alikua anaendelea na mme wa mtu akaenda fanyiwa fujo na mke wa jamaa kazini alipigwa na kuchaniwa nguo, ivo aibu yake hawezi endelea na kazi mana anasemwa na kutukanwa na watu sana, mm nikamwambia sawa nitakufanyia mpango,niko. Zangu busy nachati na tahiya mara d akaja akasema anashida nikamwambia sema nikabonyeza simu yangu kitufe cha record mana nilijua ataongea pumba,
akakaa akaanza kusema yani santa mi bdo nakupenda sana santa najua moyoni na wewe unanipenda pia mana mm ndio mwnaume wako na najua uko na kaka yngu sababu ya hasira tu naomba turudi kama zamani nimejifunza siwezi kukuumiza tena santa wangu,nakumbuka nilivokua nakupa utamu unaridhika najua kakangu hakuridhishi kama mm ndio maana ukanirudia kipindi kile, tena sa iv nina mda mrefu sijafanya mapenzi nikikukamata tunakesha santa,nimemis k yako tam bby wangu naomba nipe nafasi nikuoneshe nayosema ni kweli bby wangu,ebu ona mwenzio hali yangu ilivo mbaya ona mashine ilivosimama sababu yako mtoto umeumbika ww nakupenda sana na umezid kuwa mzuri na ulivokua na k tam nimekumis,mm namskiliza matapishi anayoongea tu akaendelea najua kakangu hakutendei haki nipe mara moja afu tunaondoka tunaenda kuishi mbali huko,nikamwambia umemaliza akasema ndio,nikasema ivi una akili ww?
akasema santa punguza hasira nikasema hujui vile unanitia kichefuchefu kila nikiona sura yako mble yangu mbwa wewe, afu skia nikuambie koma kumsema sema mme wangu eti haniridhishi mbwa ww aliekuambia nani kuwa haniridhishi?kwa taarifa yako ww ndie hujui mapenzi na nilirudi kwako kipindi kile sababu nilikua mtoto na mjinga tu na nilifkiri ni lazima niolewe na mwanaume wa kwanza pia nilikua naogopa mdinyano wa kaka yako mana alikua ananitoa nishai kwa kunipa penxi haswaaa la haja ambalo sijawahi pata, mm sikuwa najua mapenzi yeye anajua zaidi ya wewe na mimi, usikae ukajifananisha na kakako hata siku moja mana wewe hujui kitu huna lolote,yani kakako kakupita kila kitu tena umuheshimu mbwa kabisa,kakupita kuanzia akili,mashine,kutia,
uzuri na pesa pia bila kusahau umri mshenzi wewe,kakakoa ananikuna kisawasawa naridhika mpaka nasahau kama nishawahi kuwa na mshenzi wewe mmoja zamani tena ukomeee uwezi jifananisha ww na kakako kama huamini kawaulize wanawake aliopita nao wakuoe majibu ,ww endelea kuwa mali ya uma tembeza uo ukuni wako mchafu huko mm niheshimu mm ni shemeji yako mbwa ww mm ndio nimekupa nafasi ya kuishi hapa shenzi ww,yan hata duniani watu wote wasiwepo tubaki mm na ww bora nitiwe na miti kuliko mbwa ww tena ukome sijawahi kukupenda kama navompenda rodney sijawahi kojozwa kama anavonikojoza rodney wangu ww hujui kumpa mtu raha unajua kuchafua mboga tu mbwa ww,na kuanzia leo koma kuja kukaa nilipo mm koma kunisogelea kabisa,nikasema na mme wangu nitamuambia jiandae kuhama hapa shenzi,
nikanyanyuka nikaingia ndani nikamsimulia tahiya yote akasema mbwa huyu ujamchamba vya kutosha mshenzi kabisa fukuza hapo litakuharibia,nikasema namsubir kakake aje kwanza ndio nimtoe vizuri tee akasema fukuza sasa hivi na wewe nikasema hapana ngoja tu mme wangu aje, basi baada ya wik mbil mme wangu alikuja lkn nikagundua yupo mbali sana ni kama anahuzuni sna,nilimhudumia vizuri nikampikia na kumuogesha lkn hakuwa na raha kitu kilichonipa mawazo nikamuliza akasema ni uchovu lkn alikaa wiki bado yupo vile mda mwingi ana mawazo sana hana raha na sio mcheshi kama mwanzo,sikujua nn shida. siku moja nikaona nitoke nae out tukakae huko tuenjoy labda ataniambia nini kinamsibu, nikaandaa chakula cha jioni hotel tukatoka tukaenda kula na kuoata vinywaji kidogo, nikiwa kule nikamuuliza n shida akasema hakuna kitu nikasema sawa,na mm nikanuna tulirudi nyumbn kila mtu kanuna,mme wangu hakuna kitu alikua hapendi kama mm nikinuna ilipita siku mbili nimenuna tu niko busy kila kitu namfanyia lkn siongei,
yn mtu amerudi yuko tofauti namuuliza hasemi ngoja nimkomeshe ,siku moja usiku akaniamsha usingizini akasema mke wangu ivi unanipenda kweli?nikasema ndio nakupenda sana tu,akasema kama unanipenda kwa nn unataka kunisaliti?nikasema nn akasema ndio nikasema sikuelewi nataka kukusaliti vip?akachukua simu yake akawasha akasema skiliza hii,nikaanza skia sauti ya d anamwambia kaka unarudi lini?kakake akamwambia baad aya siku 10 vip kuna nn?d akasema mm nimechoka na visa vya shemej huku naona tutashindwa kuelewana mimi na wewe kaka siku moja sababu ya huyu mkeo, mme wangu akasema visa gan?akasema samahani lkn kaka mm sitaki kuwagombanisha ila kaa nae vizuri mwambie sio vizur,mme wangu akasema we niambie akasema ananifata sana mkeo anasema amenimis anasema ananipenda sana tutoroke wote atachukua pesa mimi na yeye tutoroke,
pia hajawa kukupenda pia hujawahi mridhisha kitandani kila akiwa na ww ananiwaza mm,anakuja hadi uchi usiku chumbn mkeo mm namwambia siwezi mfanyia hivo kaka lkn akasema kama sitaki anakusubiri uje anisingizie mimi nantaka ili unifukuze kaka mm nimechoka ananifata muda sana sikukuambia tu ila sa ivi imezidi,mme wangu akajib akasema nitarudi tutaongea,akamaliza kuniskulizisha, nilishangaa sana uwezo wa huyu mwanaume wa kudanganya yni ni kiboko,mme wangu akasema santa kweli nastahili fedhea hii?kwa nini?……je nn kiliendelea?
USIKOSEE
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU