Sehemu ya 28
Niliumizwa sana na maneno ya huyu mshenzi tuliempokea nyumbn kwetu, pia sikuamini Mume wangu mwenyewe kama anaweza amini maneno ya mtu na kunibadilikia hivi, Nikamwangalia mme wangu huku machozi yananitoka nikasema nilitegemea chochote kutoka kwa huyo ndugu yako mshenzi mana yupo ivo yeye ni kivuruge tu iko ivo lkn sio kwako mme wangu mpenzi,yani kweli mme wngu tunaependana na kuheshimiana najua unanijua vizuri sana mana mbali na ndoa yetu mimi na wewe ni marafiki, lkn hunijuu kweli? unaweza amini maneno ya huyo mtu alienifanyia kila aina ya ukatili?alikutukana mangapi na kukufanyia mangapi mme wangu hadi leo akawa mkweli na anakuonea eti hadi huruma jmn rodney?
Unakosa raha kuwa na mm mkeo tunaependana kisa huyo mdogo ako anaekuambia maneno mazito ya uongo?nikajua unanijua vizuri na unaamini kila napokumbia nakupenda unaamini kila unavonipa utamu kuwa nakupenda na naridhika na penzi lako tamu mme wangu,nilifkiri unaamini kila nikuambiapo kuwa hakuna mwanaume mwenye mashine tam zaidi yako bby wangu rodney,kumbe huniamini na kama huniamini hunipendi kumbe kiasi iko?machozi ya hasira yalinitoka mme wangu akasema usilie mke wangu naomba niambie basi nn kilikua kinaendelea akati sipo tafadhali sijataka kukuhukumu lkn nimestuka na haya nilioambiwa sio kwamba sikuamin mke wangu tafadhali nakuamini nakupenda sana unajua make wangu, lkn hata ingekua wewe ungejiukiza kidogo make wangu,
sikutaka kuongea sana nikachukua simu yangu na mie nikawasha nikasema sikiliza hio nikaplay ile sauti akaanza kuskiliza alichokua anaongea d na majibu yangu mme wangu akasema huyu mshenzi n mchonganishi afu kumbe mjinga hivi bdo anakutamani?nikasema ww si umemuamini naomba uniache mme wangu tena ikibidi unipe taraka yangu kabisa niondoke, Rod akasema hapana mke usiongee hivo mke wangu tafadhali mke wangu naomba usije taja tena neno taraka ktk maisha yetu sipendi na naumia sana, siwezi kukuacha mm kisa mtu make wangu siwezi kamwe,nisamehe kwa ujinga wangu mke wangu nakupenda sana ndo mana nikifedheheka sana,mie hapo najiliza uongo uongo nalia nikaringaa mno mme wangu akanibembeleza sana nikakubali ila nikasema simtaki hapa huyo ndugu yako nataka kesho kukikucha aondoke simtaki kabisa kwangu mme wangu akasema sawa mke wangu usijali,
tukakumbatumiana na kuanza kupeana kitu roho unapenda kwa raha na hamu zote nikimpenda sana mne wangu,kesho yake mme wangu alimchana makavu d kwa kumskilizisha sauti yake akati ananitaka na majibu yangu na kumwambia sasa naomba uondoke mana hatuwezi ishi na ww tena,wewe ni mchonganishi ,d akapiga magoti akaomba sana msamaha mme wangu akakataa akaomba snaa mm nikasema mme wangu mwache akipata mshahara aondoke mme wangu hakujib alikasirika akaondoka akaingia chumbn,mm nikaenda mbembeleza akakaa sawa lkn akasema kwa nn tena unataka abaki?nikasema ushamjua hawezi tusumbua,na nilitaja nimpe fundisho dogo tu la maisha,kabla hata ya wiki mshahara ulitoka d akanitumia msg ya kuomba msamaha akamtumia na kakake na kusema amepata chumba anaondoka akapange,tukasema sawa mme wangu alishamtaftia vyeti na alishamtaftia kazi serikalini baada ya mwezi akapangiwa kikazi mwanza kama mwalimu wa sekondari,
akaja kushkuru akaomba tena msamaha akaondoka,alienda huko kazini wakati mm na mme wangu tunaendelea na maisha nikapata mimba tena kipindi hiko tahiya ameshahamia iringa tunaendelea na ushost akapata na mchumba rafiki yake mme wangu wakafunga ndoa ushost wetu ukanoga zaidi,d mshahara wake wa kwanza aliwatumia wazazi wa mme wangu na kuwashkuru mshahara wa pil akatuma nusu kwa rodney kumshkuru tulishangaa sana,mm nikajifungua tena mapacha safari hii mama mkwe alikuja kuniuguza na mama yangu niliskia raha sana uwepo wao,nilifunga na kizazi kabisaa maana watoto sita si mchezo niliona sasa inatosha,mme wangu alizidi nipenda akasema tuchukue wale watoto wangu na d pia tuishi nao familia itimie, nikifurahumi tukawachukua wote tukawa tunawalea,sikuwahi juta kuwa na rodney hata siku moja maana mapenzi alionipa ni makubwa sana,d alikuja kapata mchumba mwalim mwenzie wakafunga ndoa na alibadilika sana wakawa wanakuja kututembelea likizo zao,mm na rodney wangu tuliendelea na maisha na watoto wetu.
MWISHO
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU