MAPENZI NDANI YA GEREZA (11) ❤❤
Umri………………..18+
Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…..
ENDELEA…….
Mwanzoni wafungwa karibia wote tulijua ni utani ila siku zilizofata tulijionea wenyewe kwani hatukuwa na uhuru tena wa kuoga tukiwa wenyewe bira kusimamiwa, asikari zaidi wa nne walikuwa wakitusimamia kila siku.
Wenzangu na mimi waliokuwa wemezoea kusagana ndiyo walikuwa waathirika wakubwa wa utaratibu ule mpya. Siku moja tukiwa selo Eliza aliongea na wafungwa karibu wote walitega masikio kumsikiliza.
“Jamani naombeni tuwe kitu kimoja!”
“Kitu kimoja kivipi wewe demu wa Monica!?” mfungwa mwenzetu alimuuliza.
“Nyege zitatuua sisi wengine” Eliza alizungua.
“Subiri siku ukitoka gerezani ukatiwe huko nje mpaka utachoka mwenyewe” Mfungwa mwingine aliongea kwa mara nyingine lakini Asha alininisogelea na kuniambia kuwa kitu anachokiongea Eliza ni ukweli mtupu kwani hata yeye alikuwa na nyege na alitamani Teddy amtibu.
“Zoea tu Asha hamna namna!”
“Kwani wewe huna hisia Dora hapo ulipo!?” Asha aliniuliza na mimi nilimkatalia na kumwambia kuwa sina hisia zozote zile za kufanya mapenzi.
“Ni kawaida yako tu kukataa ila angekuwepo hapa Afande basi ungempanulia mapaja Dora!” Asha aliongea na mimi sikutishika na maneno yake maana tayari nilikuwa nimeshamzoea.
Mwaka mmoja ulipita na Teddy alikuwa tayari ameshatoka jela baada ya kumaliza kifungo chake cha mda mfupi alichokuwa nacho, kwa kipindi hicho asikari walipunguza kutusimamia wakati wa kuoga na mara nyingi tulikuwa tukisimamiwa na asikari mmoja tu. Baadhi ya wafungwa waliendeleza michezo yao ya kushikana matiti na kutiana vidole kwa ajili ya kupunguza hamu, Afande aliyekuwa akitusimamia mwanzoni alikuwa mkali na alikataza watu wasifanye michezo michafu ila baada ya mda aliacha kuwazuia na aliwataka wawe makini tu.
Upande wangu pamoja na shoga yangu Asha na sisi tulijikuta tukiwa ni miongoni mwao, kiufupi nilijikuta nikiizoea hali ile ya kufanya mapenzi ya jinsia moja nikiwa na Asha. Mazingira yalinilazimisha na mbaya zaidi sikuwahi kumuona asikari aliyekuwa akipenda kufanya mapenzi na mimi zahanati.
Asha ndiyo alikuwa mme wangu na mke wangu kiufupi tulikuwa kama tumeoana mimi na yeye.
Basi siku zilisogea na mwezi uliofata kuna binti mweupe aliyekuwa na sura nzuri aliletwa kwenye selo yetu. karibu kila mfungwa alitamani kutengeneza urafiki naye ila binti alikuwa na aibu sana, Asha kama kawaida yake alinisogelea na kuniuliza.
“Mme wangu huyo naye kafanya kosa gani mpaka kaletwa huku mbona ni binti mrembo sana!?”
“Asha mimi sijui alafu usiwe unaniita mme wako”
“Lazima nikuite mme wangu maana wewe huwa unatuliza nyege zangu vizuri, unajua kuzibinya vizuri chuchu zangu mpaka raha Dora!” Asha alianza kuongea maneno yake ya chombeza ila mimi macho yangu yalikuwa kwa binti aliyekuwa amezongwa na wafungwa wenzetu wengi akiwemo Monica kama ilivyo kawaida yake, yeye kila mgeni anataka awe demu wake tu hasa akiwa mzuri, cha kushukuru nikuwa Monica aliumbwa mwanamke kama angekuwa mwanaume aaaaah walai nahapa, lazima angekuwa na watoto wa kutosha na huwenda hata magonjwa angekuwa tayari ameshayaokota.
Binti alijitambulisha kwa jina la Tabu na hakutaka kutuambia sababu iliyomfanya mpaka akaletwa gerezani.
Basi siku mbili zilipita huku karibu kila mfungwa akitamani kuwa karibu na Tabu, kipindi hicho pia kilikuwa ni kipindi cha bata gerezani kwani ulikuwa sio msimu wa kulima, kilikuwa ni kipindi ambacho karibu kila mfungwa alikuwa akikipenda.
Hakukuwa na kazi nyingi gerezani zaidi ya vikazi vidogo vidogo tulivyokuwa tukipewa.
Basi bhana karibu kila mfungwa alishangaa kwani Tabu hakuwahi kuoga tangu aletwe gerezani.
Hakuna aliyetaka kujali japo wengi tulitamani kujua sababu iliyokuwa ikimfanya Tabu asioge.
Siku hiyo pia kwa mara nyingine mda wa kuoga ulipofika Tabu alijumuika na sisi kama ulivyokuwa utaratibu lakini hakuvua nguo zaidi ya kutuangalia tu sisi, kama kawaida yetu mimi na Asha pamoja na wafungwa wengine tulianza kufanya yetu tukichonoana hapa na pale kwa ajili ya kutuliza hisia tu.
Uzuri mimi na Asha tulikuwa sehemu ya mafichoni kidogo na tukiwa tunaendelea na mambo yetu ya kushikana matiti tulisikia sauti ya mtu ikituongelesha.
“Mnaweza kunisaidia kitu!?”
wote tuligeuka kumwangalia mtu aliyetuongelesha.
Alikuwa ni Tabu, binti mrembo aliyekuwa nyuma yetu.
“Ndio, sema chochote tu tutakusaidia hata ukitaka kusuguliwa, yupo mtaalamu wangu atakusugua mpaka nyege zitaisha zote” Asha alidakia.
“Hapana nataka mnikinge ili watu wasinione nikiwa naoga” Tabu alizungumza.
Asha alitaka kumuuliza kwanini tumkinge ikiwa wote tuliokuwemo ni wanawake ila nilimzuia asiendelee kumuuliza maswali yake.
Basi mimi na Asha tulikubaliana na Tabu alisogea kwenye kona kabisa akiwa na maji yake na kuvua nguo zake huku akiwa ametutegea mgongo, hata sisi hatukuweza kumuona vizuri kutokana na kutega mgongo.
Tabu alianza kuoga, Asha aligeuka na kuanza kumuangalia jinsi alivyokuwa akionga wakati huo mimi nikiwa nimetega mgongo nikiangalia sehemu nyingine kabisa.
Nilishituka kumuona Asha akinipiga akinitaka nigeuke kumwangalia Tabu.
“Kuna tatizo gani mbona unanipiga!?” Nilimuuliza Asha kwa sauti ya chini na uhakika hata Tabu aliweza kuisikia.
Asha hakutaka kuongea zaidi ya kidole chake kukiweka katikati ya mdomo wake akinitaka ninyamaze.
Niligeuka na kuangalia sehemu aliyokuwa anataka nitazame.
Looooh! nilipatwa na mshangao baada ya kumuona Tabu akiwa na mpini pamoja na korodani, pasipo yeye kujua kila alipokuwa akiinama kwa ajili ya kuchota maji na kujimwagia ndipo mtalimbo pamoja na kengele zake mbili zilikuwa zikining’inia……..ITAENDELEA.
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU