MAPENZI NDANI YA GEREZA (14) ❤❤
Umri………………..18+
Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…
ENDELEA……
Haukukawia mtalimbo wa Tabu kusimama, ulikuwa mtalimbo wa wasitani lakini ulisimama imara.
Asha alitaka kuwa wa kwanza kuanza kuzagamuana na Tabu na mimi sikutaka kumkatalia.
Alivua nguo zake haraka na kuinama mbuzi kagoma kwenda.
Tabu alimsogelea na kuuchomeka taratibu na ndipo Asha alipoanza kutoa misauti yake ya kimahaba.
Nilimsogelea na kumziba mdomo lakini mwenzangu alianza kuunyonya mkono wangu huku akiongea.
“Tabu nitie Tabu, aaaaaah….Tabu tamuuuu!”
“Asha, ongea taratibu”
“Do…ra tamu” Asha aliongea na alikivuta kichwa changu na kuanza kunikiss, na mimi hisia zangu zilipanda na sauti za Asha ndiyo zilizidi kunipandisha nyege kabisa.
Niliona kuna kila dalili za Asha kunipunja kwani mda nao ulikuwa ukisogea na wafungwa wenzetu walikaribia kutoka kwenye chakula.
Haraka nilivua nguo zangu na kuinama pembeni nakumwambia Tabu auchomoe mtalimbo wake kwenye kitumbua cha Asha, Tabu aliuchomoa mtalimbo wake kwenye kitumbua cha Asha.
“Jamaniii Tabu, bado sijatosheka mimi!”
“Nimfanye kwanza na Dora baadae nitarudi kwako!” Tabu aliongea huku akiuchomeka mtalimbo wake kwenye papuchi yangu.
Alianza kunifanya na Asha ilibidi awe refa wa mchezo, licha ya kuwa Tabu alikuwa na jinsi mbili na mwili wake kuwa legelege lakini alikuwa na ujuzi wa kukuna vizuri.
Bahati mbaya kabra hatujaendelea tulianza kusikia kelele upande wa nje za watu kuongea na moja kwa moja tulijua ni mda wa wafungwa kurudi magerezani.
“Tabu ichomoee!” Niliongea ila Tabu naye sijui alinogewa aliendelea kunifanya mpaka pale tuliposikia watu wakitembea upande wa kolidoni ndipo alipoichomoa bakora yake kwenye kitumbua changu.
Wote tulivaa haraka lakini Asha hakuacha kulalamika baada ya starehe yetu kukatishwa.
Mlango ulifunguliwa na wafungwa walianza kuingia akiwemo Monica.
“Bira shaka mlikuwa mnatiana vidole humu ndiyo maana hamjaenda kula!?” Monica aliongea.
“Kwani yanakuhusu au unataka na wewe kutiwa!?” Asha alimjibu.
“Ipo siku nitakuja kukuonesha kuwa mimi ni nani kwenye hii selo subiri tu dawa yako inachemka!” Monica alizungumza na alivyonadharau alisogea sehemu ilipo ndoo ambayo mara kadhaa wafungwa tulio kwenye selo hiyo tunaitumia kutoa haja zetu.
Alisogea mpaka kwenye kona kabisa ilipo ndoo iliyokuwa kwenye kaumbali kidogo na wafungwa tunapopenda kukaa, Monica alitutegea mgongo na kuanza kushusha mzigo.
“Aise aise aise unatoa harufu wewe mpuuzi!” Mfungwa mmoja aliongea huku akibana pua yake.
“Ndiyo maana nawaambia huyu inatakiwa awe na yeye anatiwa vidole ili k**nd lilainike na lipunguze kutoa harufu!” mfungwa mwingine aliongea.
Ndiyo maisha yetu ya gerezani yalivyokuwa na maneno kama hayo yalikuwa hayakosi.
Utaratibu wetu ndiyo ulikuwa huo karibu kila siku mimi na mwenzangu Asha wa kufanya mapenzi na Tabu.
Upande wa Tabu naye alizoea kufanya mapenzi na sisi, kuna mda mwenyewe ndiyo alikuwa akituambia tubaki ndani ya selo kwa ajili ya kufanya yetu na kwakuwa Asikari walikuwa wameshatuzoea hakuna aliyekuwa na hofu hata kidogo.
Tabu alizoea kutuhimili sisi wawili japo alikuwa hatoi mbegu nzito za kuweza kumpa mimba mwanamke, Asha alienda mbali zaidi maana alikuwa akimwambia Tabu apigie bao ndani.
Siku moja kuna majanga yalitaka kutokea upande wa Tabu na ilibaki kidogo watu wagundue kuwa Tabu anajinsia mbili. Nakumbuka ilikuwa ni mida ya jioni. siku hiyo Tabu tumbo lilimvuluga hasa!, alimsogelea Asha aliyekuwa karibu yake na kumwambia, Asha naye aliniambia mimi na macho yangu yalikuwa kwenye ndoo tunayoitumia kujisaidia.
Wafungwa wenzetu macho yote yalikuwa kwetu baada ya kutuona tukinong’onezana. Asha alipata wazo na kumwambia Tabu asogee ilipo ndoo.
Tabu alinyenyuka na kwenda ilipo ndoo na Asha alimfata na kusimama mbele yake akinitaka na mimi niende, ilibidi nifanye kama alivyotaka Asha maana nilijua lengo lake.
“Ivi nyie mnavichaa eeeh!?” Monica alituuliza.
“Hayakuhusu!” Asha aliongea.
Tabu alianza kufanya yake huku sisi tukimkinga wafungwa wenzetu wasiweze kumuona.
Wafungwa wenzetu walituona kama machizi na mwisho walibaki wakitutazama tu mpaka pale Tabu alipomaliza.
“Watu wengine ni vichaa kweli! au hana nyape huyo kama sisi!?” Mfungwa mmoja aliongea.
“Tabu alivyomzuri hivyo anakosaje nyape na wewe!?”
Waliendelea na maneno yao ya kutujadili lakini sisi hatukutaka kujali.
Baada ya siku tatu kupita siku hiyo tulifanya utaratibu wetu wa kutokwenda kula ila kuna mfungwa mmoja naye alikataa kwenda.
Tulifungiwa ndani ya selo tukiwa watu wanne na Asha alikuwa akimtazama kwa hasira.
“Wewe Naomi!?”
“Nini!?”
“Mbona hujaenda kula!?” Asha alimuuliza.
“Na mawazo yangu hapa kwani lazima kwenda!? mbona nyie hamjaenda au kuna kitu ambacho huwa mnafanya humu wengine tukiwa hatupo!?” Naomi aliongea na Asha aliamua kufunga domo lake.
Siku hiyo kila mtu alikuwa akimlaumu mwenzake, mahaba ndiyo yalitufanya tubaki selo hivyo uwepo wa Naomi uliifanya mipango yetu yote ife, mpaka wanarudi wafungwa wenzetu hakuna aliyekuwa na hamu ya kumuongelesha mwenzake hasa Asha aliyekuwa na nyege zaidi yangu……ITAENDELEA.
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU